ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

VIONGOZI WATETEZI WA MAMA SSH MKOANI MWANZA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Hii ni baada ya kumaliza kikao kifupi Cha viongozi Jengo la CCM MKOA wa MWANZA
    Viongozi hao wamekuwa ni chachu kubwa katika suala Zima la kuielewesha Jamii juu ya maendeleo makubwa anayozidi kuyaonyesha RAIS WA NCHI YETU TANZANIA,MH; DAKTARI SAMIA SULUU HASSAN NA AMILI JESHI MKUU.
    Aidha walisisitiza kuwa utekelezaji unaoendelea mpaka Sasa wa kuleta maendeleo katika sekta zote Kwa ufanisi Mkubwa na ubunifu alionao SSH ni mambo ya kujivunia katika Taifa letu.

ความคิดเห็น •