H Muafrika Habari
H Muafrika Habari
  • 39
  • 10 748
MAFUNZO YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA KWA WATOTO WANAOTOKEA MAZINGIRA HATARISHI.
MAFUNZO HAYO YAMERATIBIWA NA TAASISI YA MTETEZI WA MAMA MKOA WA MWANZA MAPEMA LEO 26/07/2024.
MAFUNZO HAYO YAMETOLEWA NA WAHUSIKA WAFUATAO;-
•DAWATI LA JINSIA.
•STREET STARS FOUNDATION.
•SEKOUTOURE HOSPITAL.
•CF HOSPITAL.
HUKU MGENI RASMI AKIWA NI KAMISHINA WA KUZUWIA MADAWA YA KULEVYA WA KANDA.
มุมมอง: 15

วีดีโอ

MFALME MASSUBO,AMBAYE NI MLEZI WA SHIRIKA LA MUJATA MKOANI MARA.
มุมมอง 55หลายเดือนก่อน
Aliyaeleza hayo baada ya kikao Cha wadau wa maendeleo na michezo mapema Leo 22 July 2024 katika uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza.
SHIRIKA LA MFUMO NA MUUNDO WA MUUNGANO WA JAMII TANZANIA;-
มุมมอง 24หลายเดือนก่อน
NI WADAU WAKUBWA KATIKA SUALA ZIMA LA MAENDELEO WAKIANZA NA NGAZI YA FAMILIA HADI TAIFA. HAKIKA SHIRIKA HILI LIMEKUWA NI MSINGI WA KUIGWA NA JAMII ZOTE HASA KATIKA KAULIMBIU YAO YA KUPAMBANA NA (KADHIMA) KAMPENI DHIDI YA MAOVU. NIKIGUSA BAADHI YA KAZI WALIZO WAHI KUZIFANYA CHINI YA CHIEF MKUU WA SHIRIKA HILI NDUGU PETER KAYEMBA, *MKOA WA MBEYA WALIFANIKIWA KULEJESHA AMANI 2009 KWENYE MAUWAJI YA...
MUJATA IKIWAKILISHWA NA VIONGOZI WA MWANZA TAIFA,KATIKA KIKAO CHA WADAU WA MAENDELEO NA MICHEZO.
มุมมอง 31หลายเดือนก่อน
HII NI BAADA YA MKUU WA MKOA WA MWANZA KUFUNGUA RASMI ZOEZI LA UGAWAJI WA TIKETI,KUELEKEA MECHI ITAKAYO HUSISHA TIMU PENDWA KTK JIJI LA MIAMBA SII NYINGINE NI PAMBA JIJI.
VIONGOZI WATETEZI WA MAMA SSH MKOANI MWANZA.
มุมมอง 312 หลายเดือนก่อน
Hii ni baada ya kumaliza kikao kifupi Cha viongozi Jengo la CCM MKOA wa MWANZA Viongozi hao wamekuwa ni chachu kubwa katika suala Zima la kuielewesha Jamii juu ya maendeleo makubwa anayozidi kuyaonyesha RAIS WA NCHI YETU TANZANIA,MH; DAKTARI SAMIA SULUU HASSAN NA AMILI JESHI MKUU. Aidha walisisitiza kuwa utekelezaji unaoendelea mpaka Sasa wa kuleta maendeleo katika sekta zote Kwa ufanisi Mkubwa...
Bwana BASHIRI MOHAMEDI (35),Mkazi wa Nyakato Mkoa wa Mwanza,Afikishwa Mahakamani.
มุมมอง 2173 หลายเดือนก่อน
Amefikishwa Mahakamani Kwa kosa la kumgeuza kuwa Mke Mtoto wake wa kuzaa.
Ikiwa kiu yake ni kupata matibabu., ikupendeze wewe unayeweza kumtibisha Kwa mchango ama kumpeleka🏥.
มุมมอง 133 หลายเดือนก่อน
Ikiwa kiu yake ni kupata matibabu., ikupendeze wewe unayeweza kumtibisha Kwa mchango ama kumpeleka🏥.
Mkuu wa kituo Cha police Nyashishi Mkoani Mwanza Ndugu M CHACHA,ameishukuru Jamii Kwa kumuamini.
มุมมอง 1644 หลายเดือนก่อน
Mnamo April 25/2024,Afisa wa Jeshi la police ambae ni Mkuu wa kituo Cha police Nyashishi Mkoani Mwanza Ndugu M W CHACHA., Alitumukiwa Cheti Cha ushiriki Bora katika Jamii,Eidha amepongeza juhudi za kimkakati ambazo zinasimamiwa na kamanda wa Jeshi la Police Mkoani Mwanza Ndugu Afande W MUTAFUNGWA,za kuhakikisha jamii inakuwa salama wakati wote., Zaidi amepongeza uongozi mzima wa Serikali ya Tan...
Vijana nao hawakuwa mbali kupongeza serikali iliyopo Madarakani,ikiongozwa na Mama Mahili Rai SSH🇹🇿.
มุมมอง 54 หลายเดือนก่อน
Vijana nao hawakuwa mbali kupongeza serikali iliyopo Madarakani,ikiongozwa na Mama Mahili Rai SSH🇹🇿.
CCM Mkoani Mwanza,wapongeza juhudi za kiutendaji na Maendeleo chini ya Mh; SSH Rais wa Tanzania 🇹🇿.
มุมมอง 64 หลายเดือนก่อน
CCM Mkoani Mwanza,wapongeza juhudi za kiutendaji na Maendeleo chini ya Mh; SSH Rais wa Tanzania 🇹🇿.
06/04/2025 muwakirishi wa Wazee alipongeza na kuchombeza kwa utani kama kawaida yake Tanzania oyee🇹🇿
มุมมอง 2894 หลายเดือนก่อน
06/04/2025 muwakirishi wa Wazee alipongeza na kuchombeza kwa utani kama kawaida yake Tanzania oyee🇹🇿
Makabidhiano ya majukumu, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh;Saiddi Mtanda Akirithi Kwa Amos makala.
มุมมอง 235 หลายเดือนก่อน
Makabidhiano ya majukumu, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh;Saiddi Mtanda Akirithi Kwa Amos makala.
Amos Makala;Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,alieleza mambo muhimu na changamoto zinazotekelezwa na Serikali.
มุมมอง 555 หลายเดือนก่อน
Amos Makala;Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,alieleza mambo muhimu na changamoto zinazotekelezwa na Serikali.

ความคิดเห็น

  • @HappyMasali
    @HappyMasali 2 หลายเดือนก่อน

    Wa Baba Muhimu na Mahili wa Nyumbani kwao🥰

  • @HappyMasali
    @HappyMasali 3 หลายเดือนก่อน

    Changamoto inampata yeyote,

  • @HappyMasali
    @HappyMasali 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa Madampo baasi🇹🇿,hewa safi mazingira Bora na afya Njema Kwa viumbe wote

  • @HappyMasali
    @HappyMasali 3 หลายเดือนก่อน

    Mkakati wa kuweka Miji ktk Hali ya usafi/kutumia changamoto hasi kuwa chanya,ustawi wa mazingira,Chini ya uongozi makini wa Mama yetu Rais Samia Suluu Hassani 🇹🇿,

  • @HappyMasali
    @HappyMasali 4 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la police Mwanza linazidi kutikisa kiutendaji "kongole nyingi Kwa RPC 🇹🇿

  • @HappyMasali
    @HappyMasali 5 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo tupitiayo ni Siri yake Muumba🙌🤲