MUMEKOSA SUBRA KUMTUMBUA SHEIKH WA MKOA WA DSM KTK KIPINDI HIKI AMBACHO MAJI YAMEKOROGEKA HIVYO MUMEJITIA KTK TUHUMA ZA KUTOA MAAMUZI YA LIYO KANDAMIZWA NA USHAWISHI WA MTU FULANI
Kwanini mumemuondosha shekh Alhad mbona hamujaelezea 7babu au ndo kwa 7bu ya ndoa ya yule muhuni docta mwaka anayetukana mashekh huku akikupakeni mafuta kwa mgongo wa chupa nyie mabwana wakubwa? LEO MUMEAMUA KUMTENGA SHEKHE ALHAD MUNAKOSEA SANA AISEE
Nilikuwa sitaki kukoment ila imebidi al Hadi siwakumtetea hata kidogo huoni alipo kuwa anauharibu uisilam anaingia makanisani kawasifu makafiri mpk kusema hata nabii Muhammed hakupendwa kama hvi au hukusikia haya ndgu
Mimi nahisi uwezo wa katiba umetumika vibaya. Hicho nikiburi mnaweza kutengua bila sababu. Kuna hatari ya baraza kutumika vibaya dhidi watu wanaonekana hawendi kulingana na matakwa ya wakubwa. Jambo zima hili limeonyesha udhaifu wa mufti. Inaonyesha kuwa watu wanaweza kutengeneza makundi alafu mufti akaweza kusukumwa kwenye Kandi fulani.ukweli haionyeshi taswira na waislam wengi wamezidi kutokua na Imani na mufti na baraza zime la maulamaa.
Kwani wewe si ndio ulikuwa ukishadidia kila siku kuwa ALHAD anakufuru na yupo makosani?. Sasa maamuzi mengine sisi huwa hatujui na mashekh wanaheshimiana hawawezi kuanikana kwa machafu ila wanatumia busara kubadilishana uongozi. Hilo ni FUNZO yafaa sisi kujiuliza. JEE KUNA NINI?. Jibu kamili itakuwa ni kubuni tu fikra ila wao ndio wenye kufahamu juu ya hilo. Nafkiri sio wapuuzi na wanajua kuliko mimi
@@ahmadbadawi9664 😂mie najua kuwa ni muwahabi ila metumia hekma tu kumuelekeza. Yeye mwenyewe hajijui maskini kuwa yupo katika kundi alilolitabiri Mtume saw kuwa kundi la pembe ya Shetani. Wanakula Ramadhani mvhana kwa kuitakidi kuwa ni skukuu. Ah, kwakweli wanasikitisha sana. Wanaacha mashekh walioaminiwa na waislamu wote na mufti alioaminiwa na mashekh wote na wanafuata vishehe viliopinda viliokosa ata adabu. Wanatiwa upuuzi vichwani mwao mpaka baba zao waliolala makaburini hawaendi kuwazuru wala kuwasomea dua. Wanasikitisha sana ila ndio huna la kufanya, mpaka Allah sw akitaka mwenyewe waongoke basi watabadilika inshallah.
Kutengua uteuzi wa Sheikh wa mkoa kwasabb ya doct mwaka sioni km mmefanya haki, yule alifuata taratb zote ukiskiliza vzr kafuata tartb za dini,nyie mmekurupuka nidhahir mmepewa chochote kitu.
Mbona hatuwaelewi nyinyi? Hikichombo mimi bado sijawahi kukubaliananacho, siliwagi kinasadianini na kiliundwa kwa madhumuni, kama kisingekuwepo waislam tungekuwambali Tanzania
Shekh CHISENGA ameshindwa kutoa jibu sahihi.kuhusu kwanini utenguaji huo umefanyika xaxa ....kajibu kitu ambacho akitoshelezi kua jibu. Alipaswa anyooke TU . NIKWA AJILI YAKUMVUA DR.WEEK .NDOA YAKE NA NI MTU MWENYE NGUVU KWENYE MAMLAKA KUU ZA BAKWATA. UWO NDIO USAHIHI .CYO KONA KONA MONALISA .
Ata chizenga asingejibu lolote pia sawa, maana jibu pia huwa ugomvi mara nyengine. Na chizenga kazi yake kusuluhisha ugomvi. Kwaio inajulikana nini tatizo na pengine sio kosa la mwanzo ila waislamu kamili huwa wanabusara kuliko unavyozania wewe akilini mwako. Hakupenda kutoa neno la kashfa kwa muislamu na ni tofauti na MAWAHABI (pembe ya shetani).
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
MUMEKOSA SUBRA KUMTUMBUA SHEIKH WA MKOA WA DSM KTK KIPINDI HIKI AMBACHO MAJI YAMEKOROGEKA HIVYO MUMEJITIA KTK TUHUMA ZA KUTOA MAAMUZI YA LIYO KANDAMIZWA NA USHAWISHI WA MTU FULANI
yaani ni watu wa ajabu sana hao wnao jiita maulamaa
Kwanini mumemuondosha shekh Alhad mbona hamujaelezea 7babu au ndo kwa 7bu ya ndoa ya yule muhuni docta mwaka anayetukana mashekh huku akikupakeni mafuta kwa mgongo wa chupa nyie mabwana wakubwa?
LEO MUMEAMUA KUMTENGA SHEKHE ALHAD MUNAKOSEA SANA AISEE
Nilikuwa sitaki kukoment ila imebidi al Hadi siwakumtetea hata kidogo huoni alipo kuwa anauharibu uisilam anaingia makanisani kawasifu makafiri mpk kusema hata nabii Muhammed hakupendwa kama hvi au hukusikia haya ndgu
Chawa naona mmeguswa jipu kutumbuliwa
Kwahiyo watu wote wanao tumbuliwa unapew sababu mbn akiteuliw mbon auomb sababu
Wamekosea sana tena sana ila wajue yakuwa dunia ni duara
Masha Allaah msimamo mzuri wa Baraza Kama kaulibiu yake BADILIKA JITAMBUE ACHA MAZOEA
Asante katibu
Kiti cha Kinyozi.
Kila unapomaliza kunyoa anakuja❤mwengine kunyolewa
Mimi nahisi uwezo wa katiba umetumika vibaya. Hicho nikiburi mnaweza kutengua bila sababu. Kuna hatari ya baraza kutumika vibaya dhidi watu wanaonekana hawendi kulingana na matakwa ya wakubwa. Jambo zima hili limeonyesha udhaifu wa mufti. Inaonyesha kuwa watu wanaweza kutengeneza makundi alafu mufti akaweza kusukumwa kwenye Kandi fulani.ukweli haionyeshi taswira na waislam wengi wamezidi kutokua na Imani na mufti na baraza zime la maulamaa.
Kwani wewe si ndio ulikuwa ukishadidia kila siku kuwa ALHAD anakufuru na yupo makosani?. Sasa maamuzi mengine sisi huwa hatujui na mashekh wanaheshimiana hawawezi kuanikana kwa machafu ila wanatumia busara kubadilishana uongozi. Hilo ni FUNZO yafaa sisi kujiuliza. JEE KUNA NINI?. Jibu kamili itakuwa ni kubuni tu fikra ila wao ndio wenye kufahamu juu ya hilo. Nafkiri sio wapuuzi na wanajua kuliko mimi
nikweli
Umesema kweli ndugu yangu
Maelezo mazuri sana kutoka kwa Sheikh
Naam
ULAMAA wame chomoa betri huko daah aisee ni hatari
Kwa hakika Allah alinde na awahifadh watu wa Sunna na nyiny watu wa matamanio mung awaongoz
We kilaza sana na upo katika ujinga mkubwa mno tena mno
Bakwata badilikeni sana nawaambia mtajibu kwa Allah.nawaambia
Wabadilike kwa kumtumbua alhad musa?
Kikweli dini yetu nzuri lakini mnaiharibu sana mwezi hamtangazi mpaka mungu anawaona mtajibu kesho
Hatutangazi mwezi wa Saudia rabia. Kila pahala na muandamo wake kama uchomozaji wa jua
@@hilalkhalfan1452 huyu Dada ana harufu ya uanswar achana nae
@@ahmadbadawi9664 😂mie najua kuwa ni muwahabi ila metumia hekma tu kumuelekeza. Yeye mwenyewe hajijui maskini kuwa yupo katika kundi alilolitabiri Mtume saw kuwa kundi la pembe ya Shetani. Wanakula Ramadhani mvhana kwa kuitakidi kuwa ni skukuu. Ah, kwakweli wanasikitisha sana. Wanaacha mashekh walioaminiwa na waislamu wote na mufti alioaminiwa na mashekh wote na wanafuata vishehe viliopinda viliokosa ata adabu. Wanatiwa upuuzi vichwani mwao mpaka baba zao waliolala makaburini hawaendi kuwazuru wala kuwasomea dua. Wanasikitisha sana ila ndio huna la kufanya, mpaka Allah sw akitaka mwenyewe waongoke basi watabadilika inshallah.
Kutengua uteuzi wa Sheikh wa mkoa kwasabb ya doct mwaka sioni km mmefanya haki, yule alifuata taratb zote ukiskiliza vzr kafuata tartb za dini,nyie mmekurupuka nidhahir mmepewa chochote kitu.
Kwa hiyo eti tukio la Dokta Mwaka halikuhusika!!??
Chanzo cha kumtoa Alhadi ndio lilikua sali la msingi.
Sawa kabbisa, huyu Al Hadi alikosea sana,mara nyingi sana.amecheleweshwa kutenguliwa
Mbona hatuwaelewi nyinyi? Hikichombo mimi bado sijawahi kukubaliananacho, siliwagi kinasadianini na kiliundwa kwa madhumuni, kama kisingekuwepo waislam tungekuwambali Tanzania
Angalia watu wenye elimu wanakupiga kwa hadithi
Mumeamua maamuzi yanayo kubalika kabisa
Aibu sana waislam tunagombanishwa na watu ambao wapo kimaslai yao binafsi
Aibu ni nyie munao shuku sababu ya Mufti kutumia uwezo wake wa kisheria kumteua na kutengua sheikh wa mkoa
yaani aibu sana
Shekh CHISENGA ameshindwa kutoa jibu sahihi.kuhusu kwanini utenguaji huo umefanyika xaxa ....kajibu kitu ambacho akitoshelezi kua jibu. Alipaswa anyooke TU . NIKWA AJILI YAKUMVUA DR.WEEK .NDOA YAKE NA NI MTU MWENYE NGUVU KWENYE MAMLAKA KUU ZA BAKWATA. UWO NDIO USAHIHI .CYO KONA KONA MONALISA .
Ata chizenga asingejibu lolote pia sawa, maana jibu pia huwa ugomvi mara nyengine. Na chizenga kazi yake kusuluhisha ugomvi. Kwaio inajulikana nini tatizo na pengine sio kosa la mwanzo ila waislamu kamili huwa wanabusara kuliko unavyozania wewe akilini mwako. Hakupenda kutoa neno la kashfa kwa muislamu na ni tofauti na MAWAHABI (pembe ya shetani).
Chawa naona mmeguswa jipu kutumbuliwa
Wamefanya jambo jema kumuondo yule mbwana anazalilisha uwislamu
Mashehe wa mchuzi mwekundu
Mi huyu namuona kabisa nimtu flani mnafki mnafki hata hafai kuwa ktk hio nafasi, mfyuh
Msigombane shehe nyinyi ndio viongozi wetu aliekuwa mke wa Dr Mwaka kachoka na mume kwa masaibu ya mumewe anastahili talaka
SAFI SANA
huyo kizenga muhuni tu
Hata kama atakuwa mhuni ( Allah S.W ndiye mjuzi) LAKINI Alhadi alipitiliza jamani @ too much Kibri
@@ashimuidrisa1002 kiburi cha alhad ni kip
Alishawahi kukutongozea mdogo wako au
Nakubaliana nawewe
Si aliwahi kusema magufuli ni mtukufu kuliko hata issa, Muhammad, Alhad alijawa na kibri kulikoni nafasi yake
L