Baada ya kustaafu, haya ndiyo maisha ya Mzee Yusuf Makamba-2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimempenda huyu baba mungu akupe umri mrefu babu yangu 😘😘😘😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jacquelinosmond221
    @jacquelinosmond221 3 ปีที่แล้ว +6

    Ng'ombe haziokotwi wala sehemu ya kufugia haiokotwi. Ukisikiliza sana mtu mwenye hela unaweza ukajiona dhaifu kumbe misingi inatofautiana kila mtu na jinsi alivyojaliwa

  • @christianmakawa5722
    @christianmakawa5722 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama tunaweza kuweka muda kurekodi ufugaji huu,basi tuweke muda kurekodi ufugaji wa kisasa unaopatikana nchini mwetu....Huu ni ufugaji wa kawaida sana,

    • @mushumbaeric4916
      @mushumbaeric4916 5 ปีที่แล้ว

      Ufugaji wa kosasa upi ulionao wewe tuje tulekodi maana kama MTU ameweza kushiliki maonyesho ya kilimo unataka ujifunze wapi kama sio kwa uyu

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 5 ปีที่แล้ว

      Christian Makawa; Unajua, ukiwa na akili na ukaongea ukweli kwenye jamii isiyoshikilia dira uliyonayo, lazima utabatizwa tuu Kwa matope. Umeongea kifalsafa sana with positive logic reasoning. HONGERA!
      This kind of farming is primitive, rudiment, stagnant, poor kabisa & encourages only simple minded ones!

    • @christinammassy1550
      @christinammassy1550 3 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na mawazo ya kimaskini na kushindwa ku appriciate vinavyoonekana u maskini milele.

  • @georgematahimba5242
    @georgematahimba5242 5 ปีที่แล้ว +1

    Wale vijana wa Moro kwa sasa ni matajiri....nawafaham

  • @johnrickmwamselele1036
    @johnrickmwamselele1036 ปีที่แล้ว

    Wastafu Tazara mbaka leo hawapatiiii sitaiki zao wakistafu wanasindikizwa na kifo na sio mafao yao .Tuache kujinadi wakati Kuna wazeee wanakufa mbaka leo hawajui Nssf Wala lumpsome zao

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee anaishi wapi nataka na mm nimtembelee nipate hekima kutoka kwake

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Watu wazuri hawafi tunakusubiri uje kwa membe

  • @chachamagoti2400
    @chachamagoti2400 5 ปีที่แล้ว +6

    Acha kudanganya vijana wateeteni wapate ajira. Mbona hukujiajiri wewe mpaka ulivostaafu.

  • @Iddi-xw7vw
    @Iddi-xw7vw 2 หลายเดือนก่อน

    Atukopesheki.Tudhamini.Tufuge

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 5 ปีที่แล้ว +3

    Sawa lakini wewe ulivuna mzee ukatibu, ukuu wa mkoa n.k, japo kila mtu anaweza kufuga lakini umesema ulipewa hao.

  • @Iddi-xw7vw
    @Iddi-xw7vw 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo. mtaji.

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu Hapo

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 2 ปีที่แล้ว

    Saf

  • @ausonjustinian2080
    @ausonjustinian2080 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika uzee dawa. Hacha tujifunze. Safi hiyo. UBARIKIWE SANA.

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 ปีที่แล้ว +1

    We si umejiajiri baada ya kustaafu siasa, halafu hata ww si umetajwa na Musiba

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 5 ปีที่แล้ว

    [12/11, 09:45] MDACHI OG: th-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/w-d-xo.html
    [12/11, 09:46] MDACHI OG: th-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/w-d-xo.html
    [12/11, 09:46] MDACHI OG: th-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/w-d-xo.html
    [12/11, 09:46] MDACHI OG: th-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/w-d-xo.html
    [12/11, 09:46] MDACHI OG: th-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/w-d-xo.html
    [12/11, 09:46] MDACHI OG: th-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/w-d-xo.html
    [12/11, 09:46] MDACHI OG: th-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/w-d-xo.html

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 5 ปีที่แล้ว

    Mfano mzur Wa kuigwa kwa kiongoz wetu MKUU Wa mkoa Wa zaman Wa DSM nimefurahishwa pia kuona ndiz utadhan yupo bukoba

  • @wemadoktarmichael6448
    @wemadoktarmichael6448 5 ปีที่แล้ว

    We mzee usituchoshe mbona ukufanya hivyo ukiwa kijana tuache tule ujana na Sie tukifikia mwisho ndo tutafanya hiyo

  • @selekitimuo2227
    @selekitimuo2227 5 ปีที่แล้ว +1

    hacha uzushi wang'ombe watatu unajingamba

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 2 ปีที่แล้ว

    Uliweka akiba yako ya uzeeni baada ya kustaafu,usisahau kuweka akiba yako baada ya mauti yako.

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 5 ปีที่แล้ว +2

    umestaafu pesa unazo ila kwa hili nimeipenda

  • @geoffreymwarabu8323
    @geoffreymwarabu8323 5 ปีที่แล้ว +6

    hongera sana baba yetu mzee Makamba. Mungu azidi kukubariki

  • @samoragoodwin7309
    @samoragoodwin7309 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee makamba cha msingi nikuwa na akiba sio kufuga lojic nikuwa na akiba wengine wanajenga hotel wengine wakulima,wengine nyumba zakupangisha , na unapoona watu wanakuja kununua maziwa ni kawida uliamua kufuga na ukiitaji gest mwenzako anayo utalala na ukitaka maboga utapata kwa mkulima nao niwastaafu kwa hyo usifokee kwa ajili ya kazi ulioipenda

  • @IBENGM
    @IBENGM 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mzee wetu tunakupenda..Mungu azidi kukujalia maisha marefu!

  • @abdonmsafiri3770
    @abdonmsafiri3770 5 ปีที่แล้ว +1

    mzee acha kujificha sema bia sitegemei mtoto eti vocha sitegemei mtoto acha izo makamba

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว +1

    Unauza maziwa kwa sababu wengine hawafugi 😀😀😀😀😀

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +1

    Eti chai ya rangi safi sana mzee😁😁😁

  • @jamalmageser9390
    @jamalmageser9390 6 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana daily news nimejifunza kwa mzee Makamba

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 5 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri baba. Mungu akutunze na akulinde

  • @kochaa6096
    @kochaa6096 2 ปีที่แล้ว

    Mbona kinasifa sana

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว

    Tujifunze kupitia hawa wazee...ana akili sana na anatumia akili kisevu pesa

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 5 ปีที่แล้ว +1

    Lakini aise kajitahidi,tujifunze kwake Makamba kajiandaa vuzuri hata akinyimwa mshahara ataishi

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 5 ปีที่แล้ว

    Sasa Mzee bata unawapa mabaki ya chakula ya hotel vingine vimechacha dah

  • @lobalobaanase438
    @lobalobaanase438 5 ปีที่แล้ว

    kwa kila mstafuu lazima afugee? hapana mwingine atajenga mwingine atakuwa na daladala mwingine hotel mzee mkamba wilaya nzima mkiwa wafugaji kuuza maziwa itakuwa issure

  • @beanymosesmkuchula6651
    @beanymosesmkuchula6651 2 ปีที่แล้ว

    Na bado unaomba kuilamba asali

  • @princebuganzilut2047
    @princebuganzilut2047 3 ปีที่แล้ว

    Muigizaji tu huyo. Asajiliwe kaole

  • @nestorymatogwa9255
    @nestorymatogwa9255 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwa mahesabu ya pension za sasa lazima mstaafu wa serikali hata chai ya rangi hawatamudu

  • @fatumasaid4370
    @fatumasaid4370 5 ปีที่แล้ว +1

    Haaaaaa jirani yangu huyooooo
    👏👏👏👏👏👏

  • @ugaboy4736
    @ugaboy4736 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi saana sio lazima umiliki mabasi

  • @zahabujoseph6584
    @zahabujoseph6584 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee bna eti hukwenda #minaki wala #chuokikuu!!! minaki ya sasa cyo ile tuliyosoma cc chini ya #mtesigwa then #paulmjale sasa hivi nill.

  • @ibrahimngirini8737
    @ibrahimngirini8737 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama nimeskia MINAKI iviii

  • @benedictmwakabungu6946
    @benedictmwakabungu6946 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mzee makamba kwa darasa la vitendo

  • @jotitv7513
    @jotitv7513 2 ปีที่แล้ว

    Mwandishi jitaidi hujui kuuliza maswali.. haujakaa kiuandishi kabisa

  • @bikyeombebyatungayves5308
    @bikyeombebyatungayves5308 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wako amejiajiri?

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 5 ปีที่แล้ว +1

    asante kutupatia elimu

  • @erastojacob17
    @erastojacob17 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda Mzee wetu Nimejifunza kitu kabla ya kustaafu inatakiwa kujiandaa.

    • @johnrickmwamselele1036
      @johnrickmwamselele1036 ปีที่แล้ว

      Usifananishe alumasi na jiwe .mbona mbaka leo mnachowafanyia wastafu Tazara sio kizuri izo ngombe zitashuka toka mbinguni

  • @isayamax4476
    @isayamax4476 5 ปีที่แล้ว

    Mzee makamba huko vizuri sana....nakukubali sana.

  • @ramabwagizo3974
    @ramabwagizo3974 2 ปีที่แล้ว

    Osie umghoshii kwei

  • @rutakihama7599
    @rutakihama7599 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @avax5717
    @avax5717 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up!

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 ปีที่แล้ว

    Jiji la Makamba

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 3 ปีที่แล้ว

    Hongera BABA WA MAEZANGULU

  • @halemasalim9330
    @halemasalim9330 5 ปีที่แล้ว

    Ipo nyumba nzur tuu jirani yetu

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 ปีที่แล้ว

    Maneno ya kipato ayo

  • @maombimimi9014
    @maombimimi9014 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzee alitengeneza maisha baada ya kustaafu,,,vizuri sana mzee

  • @richardprivatus5615
    @richardprivatus5615 3 ปีที่แล้ว

    Ukopoa mzee

  • @danielijackson8700
    @danielijackson8700 3 ปีที่แล้ว

    Hongea mghoshi

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 5 ปีที่แล้ว

    rahis kuzungumza kwako ilikua rahis kupata hvo ulikua kiongoz ambae hana sehem ya kuanzia wala mtaji lazima atamke ajira na maisha magumu

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 5 ปีที่แล้ว +3

    malizake hasa hakuonyeshi uyo hakuna mwanasiasa anaeonyesha Mali zake

  • @dorothyannan4857
    @dorothyannan4857 5 ปีที่แล้ว

    Hahahah. Hongera mzee

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 ปีที่แล้ว

    Mzee nakupenda,

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏

  • @sebastianchambile9509
    @sebastianchambile9509 3 ปีที่แล้ว

    Hits

  • @doyjack95jack39
    @doyjack95jack39 5 ปีที่แล้ว +1

    acha maneno chefu mzee,hata tukisoma ajira atupati,wenyw kwa wenyw nyie nenda uko

    • @asiliyakechuma7335
      @asiliyakechuma7335 5 ปีที่แล้ว +3

      Jiajiri baba ukitegemea nimexoma et nangojea ajira utafel

  • @rajabnzota9871
    @rajabnzota9871 3 ปีที่แล้ว

    Mzee Makamba akiwa RC DAR "panda mti wa matunda utafaidi kivuli na tunda"

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 ปีที่แล้ว +1

    Ujenzi umechelewa kukamilika

  • @farajaluvanda1242
    @farajaluvanda1242 5 ปีที่แล้ว

    Wasomi tumeshamuelewa Mzee makamba Anaebisha ajifanye kama anajikuna tu alafu aone.

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 5 ปีที่แล้ว +1

    mbn nyumb haieleweki sijaona nyumb yke hpo

    • @mayajon7011
      @mayajon7011 5 ปีที่แล้ว

      Happy Arooun ananyumba nzuri hyo mzee

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana mzee wetu
    Hongera,ila kiswahili halisi cha kisamba
    Angwe ndima ndima osie iwe ekhaaa...

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 2 ปีที่แล้ว

      Mtani wako uyooo

    • @godwinmamkwe9825
      @godwinmamkwe9825 2 ปีที่แล้ว

      Nyuki njoo uingie kwenye mzinga wa babu!!
      Vipi walishaingia?