Kaka SHEDY naomba unielezee kwa faida ya wote juu ya zle movie za spartacus n.k zile scene za sex ile ni kweli au lah? Kama ni kweli utuelezee makubaliano yao kimkataba ad kufanya vle na kama c kweli pia utuelezee wanafanya ujanja gan ad movie inaonekana wamesex kweli !! Ni hilo to brother!
Kweli,shida zikizidi ndipo maarifa huja ✅
Ok bro
Justine tunaomba GMO TAFADHALI
Alizaliwa kwenye maisha magumu mara tunasikia kaenda marekani au maisha magumu ya huko ni tofauti na maisha magumu ya huku unakosa hata buku
Sikilizaga kwa makini.marekani ilichukua mda.
Hapo kwenye "tusiwadharau watu kama akina Masoud Kipanya na gari lake la umeme" nimekupenda bure
Kama ni kampuni ya pili kwa ukubwa duniani...je ni ipi sasa kampuni ya kwanza kwa ukubwa?
Kaka SHEDY naomba unielezee kwa faida ya wote juu ya zle movie za spartacus n.k zile scene za sex ile ni kweli au lah? Kama ni kweli utuelezee makubaliano yao kimkataba ad kufanya vle na kama c kweli pia utuelezee wanafanya ujanja gan ad movie inaonekana wamesex kweli !! Ni hilo to brother!
Kampuni ya kwanza Ni ipi sasa
God did 🤲
video sauti ipo chini sana
Jastin naomba utuletee makala inayo husu GMO..
Gieneticaly modfide organism (vinasaba vilivyoongezewa virutubishi)
@@emanuelnjalakila4693 safi👍
Ndugu utuletee mada ya GMO
Sasa twende kaziii
Mimi n Albert Einstein Sasa twende kazi
Thanks for
❤❤❤
😇Twende kaz
Makn Sana 🔥
Mm naendesha Toyota toka mwaka 1980
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
Kongole zako kk,twende kazi
God did 🤲