Raddi Kwa Dr. Islam Muhammad kwa Tuhuma Zake Dhidi ya Masalafy..🎙Sheikh Abdallah Humeid حفظه الله

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 250

  • @saidimadzumba2266
    @saidimadzumba2266 ปีที่แล้ว +5

    Allah amlinde sheikh Islam! Husda zimweepuke na ampe afya njema!

  • @Hibu730
    @Hibu730 2 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah Dr.Islam yuko sawa.
    Twamuomba Allah atuhifadhi na atuongoze njia iliyosawa pia twamuomba Allah awape busara,hekima na upole baadhi ya masheikh ambao hupendelea zaidi vurugu kuliko busara.

  • @lASChanel-di7ki
    @lASChanel-di7ki ปีที่แล้ว +3

    Allahu akuhifath shekh dkt islam na akupe afya njema ama shekh abdallah hueidi Allaah akuongoze maana katika watu alio wataja dkt islam nawe umo na ina sikitisha sana

  • @iddinkupe7459
    @iddinkupe7459 3 ปีที่แล้ว +16

    Allah akuongoze kijana mwenzetu umepotea Sana na hicho kibri ulichonacho daah!!unahali mbaya Sana akhy Ila Allah akuongoze

    • @awadhmchaki6567
      @awadhmchaki6567 2 ปีที่แล้ว

      Ww utaenda kuulizwa mbele ya Allah ww unamfikia Elimu Hebu tia mbele ya Sheikh Abdallah Humeid ALLAH AKUHIFADHI SHEKH WETU

    • @OmarAbdalla-ug5yg
      @OmarAbdalla-ug5yg 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@awadhmchaki6567Kwanza amjibu MOHAMMAD MAFUTAkuwa ni mwna chama wa ccm....kama kweli mnapenda kheri nyinyi😂

    • @OmarAbdalla-ug5yg
      @OmarAbdalla-ug5yg 4 หลายเดือนก่อน

      Sio mnaraddi wengine tu akofanya ndgu yenu sio kosa ila akifnya mwengne hapana هل انتم معصومين؟

  • @abdulazizmohammad1105
    @abdulazizmohammad1105 2 ปีที่แล้ว +2

    Alhamndulillah shukra shkh abul khatwab kwa kubainisha njia ya wema waliotangulia nmekuelew hakika

    • @Abuu-Ayman148
      @Abuu-Ayman148 2 ปีที่แล้ว

      حفظه الله

    • @YusuphSadiki
      @YusuphSadiki 5 หลายเดือนก่อน

      Akh ujue watu wanamtetea Islam Hali yakua kapinda watakuja kuulizwa mbele ya Allah kiukweli watu hawamchi Allah

  • @ibn_maleeqqeibraheem_188
    @ibn_maleeqqeibraheem_188 3 ปีที่แล้ว +29

    Dr .islam muhammad Allah amukhifadhi yuko sawa kabisa ,very true hamna makosa yoyote hapo

    • @abbasmohammed2321
      @abbasmohammed2321 3 ปีที่แล้ว

      Sioni makosa pia mimi

    • @babauna3458
      @babauna3458 2 ปีที่แล้ว +2

      Dr islam yuko sawa kabisa, Alhamdulillah , Allah atupe mwisho mwema sote sisi watu Ahli sunna wal jamaa . Na wewe Abdulli humeid uko sawa kabisa lakini kuwa mpole katika kuweka watu sawa kam hii clip maneno mazuri.( Quran 16 :125 ) Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka.

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 2 ปีที่แล้ว +1

      Sheikh Islam utatulia tu ukweli maana hapo dalili sio Akili ALLAH akuhifadhi islam

    • @abdulhalim5950
      @abdulhalim5950 2 ปีที่แล้ว

      @@babauna3458 sasa ww upo upande wa nani naona huelewek

    • @rukiafaraj1400
      @rukiafaraj1400 29 วันที่ผ่านมา

      Aamiyn yaa Rabbi

  • @shabanedin5633
    @shabanedin5633 2 ปีที่แล้ว +9

    Aty Radii, kwa nani? Amejitakasa aje? Dr. Islam ALLAH amehifadhi anasema haki. Alhamdulilah.

  • @AbuuAbdillah-b2q
    @AbuuAbdillah-b2q 2 หลายเดือนก่อน

    Shaikh Humeid uweleweki Allah akukinge na Kibri

  • @Neighborsjiran
    @Neighborsjiran 2 ปีที่แล้ว +11

    MashaAllah Dr Islam Muhammad unafundisha vema Alhamdulilah

  • @officialJauzy
    @officialJauzy 2 ปีที่แล้ว +14

    Wallahy kwa fitina hii hamna cha zaidi unachotaka zaidi ya hizi views zetu na kufarakanisha waisilamu .....hii sio haqq tafuta elimu ya usawa ufundishe waisilamu

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว +2

    بارك الله فيك
    Umeeleza mambo kwa njia nzuri. Shukran

  • @karimabdoul7619
    @karimabdoul7619 2 ปีที่แล้ว +7

    Dr islam Allah azidi kumhifadhi. Tuna faidika sana kwa Elimu yake. Na anazungu mziya bidaada sana tu ila yeye hachanganiy madaa kama huyo mwengine

  • @alakhy9448
    @alakhy9448 3 ปีที่แล้ว +7

    Abdallah humeyd acha ufinyu wa fikra

  • @babauna3458
    @babauna3458 2 ปีที่แล้ว +23

    Dr islam yuko sawa kabisa, Alhamdulillah , Allah atupe mwisho mwema sote sisi watu Ahli sunna wal jamaa . Na wewe Abdallah humeid uko sawa kabisa lakini kuwa mpole katika kuweka watu sawa kam hii clip maneno mazuri.( Quran 16 :125 ) Waite waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hikima na mawaidha mema, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anaye mjua zaidi aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka.

  • @abulhanifah254
    @abulhanifah254 ปีที่แล้ว

    Tazkiyyah aliyokusudiaa Abdhalla Humeid ni ya kujiepusha na Bida'h, Shirk na Dalalat .
    Masalafy hawajitakasi kuwa wao ni wachaa mungu sana.
    Masalafy wajitakasa kutokana na Bida'h,shirk na dalalat.
    Jamaa kuweni na insa'f (fairness) na muache ushabiki .

  • @JK-um6op
    @JK-um6op 2 ปีที่แล้ว +11

    Doctor Islam spoke the bitter truth wallah, dilele you are taking your faith for granted. May Allah guide us all.. Wallah bro dilele be humble.. this Deen belongs to Allah not individuals.. Deen is advice.. Also Deen belongs to Allah.. He may take his Deen and demote you cos of KIBR (wal 3iyadh Billah).. May Allah guide us All Yaarab..

  • @mariamswaleh8209
    @mariamswaleh8209 3 ปีที่แล้ว +5

    Shukran Allah akubarik

  • @shebesalim6674
    @shebesalim6674 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Daktur Islam

  • @abuuaminah
    @abuuaminah 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah asema 'walaa tuzakkuu anfusakum'
    Humedi amesoma mienzi sita alafu awadogosha maulamaa.

    • @nzeyimanarahma137
      @nzeyimanarahma137 2 ปีที่แล้ว

      Mche mola wako .ye humeid alikufata akakwambia kuwa alisoma miezi sita??
      Usimuhukumie mtu aliyakuwa hujamfata kumuuliza uhakika wake

  • @sahraqaalib902
    @sahraqaalib902 3 ปีที่แล้ว +27

    Namuomba Allaah Subhana Wata'ala amuhifadhi Dr Islam,kwani anatuelemisha saana na tunafaidika nae saaana.

    • @abbasmohammed2321
      @abbasmohammed2321 3 ปีที่แล้ว +1

      Ameen yaa Rabb

    • @rahmaabdillahi2795
      @rahmaabdillahi2795 2 ปีที่แล้ว +2

      Aamiin wala hataji mtu katika Duruus zake... Wanajishuku wenye kujishuku.... Kutokana na chuki

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 2 ปีที่แล้ว

      آمين❤️❤️

    • @mwarabuwamafia5590
      @mwarabuwamafia5590 2 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @ibn_maleeqqeibraheem_188
      @ibn_maleeqqeibraheem_188 2 ปีที่แล้ว

      Allah yibarik.....shekh islam anatoa msfunzo mazuri sana hata mm ni mwanafunzi wake namuamini mia mia

  • @tvstation6472
    @tvstation6472 2 ปีที่แล้ว +5

    Sote tunakubali mmesoma Ila punguzeni ukali humeid na mwenzio ibn bachu,, mnakera sasa

  • @abdulshakurwafula4248
    @abdulshakurwafula4248 3 ปีที่แล้ว +12

    Subhanallah. Sina ilmu lakini maneno aliyoyazungumza Dr Islam hayakutaja kikundi chochote ila alikuwa anayataja maneno waziwazi tu.

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndiyo hivo mm mwenye na mshangaa

  • @ghaleebahmeed6454
    @ghaleebahmeed6454 2 ปีที่แล้ว +9

    Modern salafi's quote more sheikhs than the prophet and the sahaba. Hakuna mahali inakubalika kujitakasa nafsi wacheni kudanganyana

  • @allykais8478
    @allykais8478 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah dr islam

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 2 ปีที่แล้ว +1

    Hamuwezikuinyamazisha dawatusallafiya nyinyi endeleeni na uadui wenu ila naona mumechelewa tu daawa imekuwa mm mwenyewe allah nishahid masalafi nikiwaona wabaya mno kila mda watu wanatahadharisha na salafy mm nikaamuwa nitie niende darasani kwao wallahi ilikuwa naingia darasani na suti hali ya watu wote wamevaa kanzu ila mm nimeenda kusikiliza uwoubaya wao na nimeenda kuwakebehi wallah maajabu allah katiya hidaya zilesuti ninazo na nimenunuwa bei sijui lini nemezivaa wamenisomesha kwasasa kanzu naipenda sana kuliko vazi jengine na mm bado ni kijana ila kwa daawahii Allhamdulillah dawaimetubadilisha sana tulikuwa waovu sana na ilikuwa tunazania haitafika siku tutaacha ila kweli ELIMU NI NURU YA MAISHA ila sisekula pekeyake na yadini ndo hususa na masalafy wanajitahidi kusomesha wallahi kherikubwa allah awahifadhi na maadui masheikh wetu

  • @Team-t6k
    @Team-t6k 3 ปีที่แล้ว +12

    Aliye kata maneno haya sijuwi anataka kufika mu kitu gani ao anataka kupotosha nini maneno ya Dr yako sahihi 100% wala hajataja Mtu yoyote lakini wale waliyokosa elimu na kuvamiya wanapata shida saaana alikata ichi kipande Allah atakuliza na ujipange kujibu kwa dalili tosha maana unatumiya fikra za kupotosha watu kisha usalafi sio kundi ni njiya na muongozo kisha Dr mnasamakama saaana yeye sio masumi asiyokeseya anaweza kukoseya saaana t kumbe wakati mwingine mpe heshima yake ao mumfate mumulize aliyekusudia yani unataka kusema kuwa Dr ana support bid'a alaaaaaa Dunia hiyi utaona mengi

  • @abuuzwiin1876
    @abuuzwiin1876 2 ปีที่แล้ว +1

    masala FIL FIL ..mzushi huishimu ramadhan..

  • @hamenyimanasalum7289
    @hamenyimanasalum7289 ปีที่แล้ว

    Nimeisha kufatilia clip zako nyingi

  • @muhammad-Swaabir
    @muhammad-Swaabir 3 ปีที่แล้ว +5

    Humeid soma mwanzo huna ilmu unayo toa zaidi ya matusi

  • @mn-fy7oq
    @mn-fy7oq 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani na wasiokuwa na elimu hzi twawafundisha nini kwa sababu mwenye elimu kama haijakaa vzri utachanganikiwa Mashekh jamani Mcheni Allah

  • @mahmoudkullatein8733
    @mahmoudkullatein8733 3 ปีที่แล้ว +22

    May Allah protect you Abdalla Humeid carry on da’watul Salafiya

    • @Daarul_Ghurabaa
      @Daarul_Ghurabaa  3 ปีที่แล้ว +1

      آمين

    • @abdulhafidhswaleh1174
      @abdulhafidhswaleh1174 2 ปีที่แล้ว

      @@Daarul_Ghurabaa اسلم عليكم sioni kosa kaka nifafanulie tafadhali

    • @ankaldally2734
      @ankaldally2734 2 ปีที่แล้ว

      👊

    • @omarrankstvchannel9917
      @omarrankstvchannel9917 2 ปีที่แล้ว +1

      subahanaAllah hawa masheikhe ni wote Abdallah Humeid,kassim mafuta, Mohammed bachu na Dr Islam ni masalafi ni masheikhe tunawategemea na wasikiliza sna na kuwafwatilia lakini vle wengne wanawakosoa na kuwatoa katika usalafi hainifurahishi kabisa wanatuchanganya kabisa kujua njia sahihi ni ipi,sio sahihi kukosoana kwa njia hii,kujiona ww ni bora kuliko mwngne sio sawa ni vzri kutafuta njia kumwambia hapa umekosea na sio hivi katika mtandao

    • @abdulhafidhswaleh1174
      @abdulhafidhswaleh1174 2 ปีที่แล้ว

      Siku hizi hakuna kurekebishana ama kumtoa makosa imagine mpka dkt islam wamemtoa neema ilioje Allah amejalia hesabu ya waja kwake yy...na neema kubwa ilioje mlango wa kumtoa muislamu katika uislamu ni ngumu...ila hilo masalafi wa zama hizi hawaliwezi

  • @saidikabuta4982
    @saidikabuta4982 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwani anaekufa na kalimatu tauheed katamka haasa laa illaaha Ila llah muhammadu rrasuulullaah ataigia peponi???

    • @nzeyimanarahma137
      @nzeyimanarahma137 2 ปีที่แล้ว

      Point Ni kuijuwa na kuifwata ndo Apo umemaanisha kufa nayo ikiwa mtu atakufa nayo hiyo Kalimatu tauhid Basi ataingia peponi hiyo Ni sahihi kabis Ni Hadithi ya mtume S.A.W
      Kumbe si kila. atakae itamka ataingia peponi lakini kila aliye kufa anaijuwa ujuzi usio kuwa na ujinga Basi ataingia peponi

  • @abdulhafidhswaleh1174
    @abdulhafidhswaleh1174 3 ปีที่แล้ว +4

    Ogopa الله dilele

  • @mwarabuwamafia5590
    @mwarabuwamafia5590 2 ปีที่แล้ว +10

    ⚖️MAJIBU YA KIELIMU(رد علمي) KWA KASSIM MAFUTA NA ABDALLAH HUMEID KWA KITENDO CHAO CHA KUMTOA KATIKA SUNNA SHEIKH DR ISLAM BILA HOJA WALA DALILI⚖️
    ▪️Katika Majibu yake Sheikh Kassm alisikika akidai kuwa Sheikh Dr Islam Muhammad Saalim(Allah amhifadhi)eti halinganii Dawaah ya Kisalafu na Sunna kwa Maana analingia Batili na Upotevu !.
    ▪️Ni vizuri kwa Muislamu kujua Maana halisi ya Daawah ya Kisalafi (دعوة سلفية)ni atakudua kuwa maneno ya Kassim kwa Sheikh Islam ni Maneno ya Uongo na Uzushi.
    NI NINI MAANA YA DAAWAH YA KISALAF(الدعوة السلفية )?
    ▪️Ni kuwaliangia na Kuwaita watu kufata Uislamu sahihi alio ufundisha Bwana Mtume Muhammad (Sala lahu alayhi Wasallam),Maswahaba ,na Taabiina na wale wote walio fata kwa wema hadi Siku ya Qiyaama.Vile vile Ulinganio huu unaitwa Daawah ya Ahlu Sunnat Wal Jamaa.
    MISINGI MIKUBWA YA DAAWAH YA AHLU SUNNA
    ▪️Daawah ya Ahlu Sunna imejengwa juu ya Misingi mbali mbali ,Na Miongoni mwa Misingi hiyo:-
    1.KULINGANIA WATU TAUHIID
    ▪️Daawah ya Ahlu Sunna imejikita katika kuwalingia watu katika kumpwekesha Allaah(Taalaa)Katika Matendo yake,Ibaada zake ,Majina na Sifa zake .
    ▪️Daawah ya Ahlu Sunna inapa Tauhiid kipao mbele katika yanja mbali mbali za Daawah ,ikiwemo :-
    (I)Kuifundisha
    (ii)Kundika Vitabu
    (iii)Kueleza katika Majukwaa na Mitandao mbali mbali ya Kijamii.
    2.KUPIGA VITA SHIRKI
    ▪️Daawah ya Ahlu Sunna imejengwa katika msingi wa kupiga Vita Shirki ,Kufur na Washirikana kwa aina zake zote .
    3.KUPIGA VITA BID'AA
    ▪️Daawah ya Ahlu Sunna ni yenye kupiga vita aina zote za Bidaa (Bidaa za Kiitikad,au bidaa za Matendo) vile kupiga vita Makundi yote ya watu Bidaa na kubainisha Upotevu wao ili waislmu watahadhari nao.
    4.KUTILIA UMUHIMU ELIMU
    ▪️Daawah ya Ahul Sunna inahimiza watu kutafuta Elimu , kusoma ,Kufundisha na kuisambaza .
    ▪️Daawah ya Ahlu Sunna haibagui Elimu maadamu Elimu hiyo ina manuufaa kwa watu .
    5.KUHIMIZA TABIA NJEMA
    ▪️Daawah ya Ahlu Sunna inahimiza watu kujipamba na Tabia njema za Kiislamu Mfano Ukweli,Uwadilifu,Uwamifu n.k,kutahadharisha watu na tabia Mbaya mfano Uongo ,Chuki,Khiyana ,Jeuri na n.k .
    ZINGATIA:-
    (i)Daawah ya Ahul Sunna sio Dawaah ya Kutukana watu,Kusambaza Majungu na Fitna,Kuhukumu watu Kwa Dhulma na Ujinga kwasabu ya kutofautina na Mtu Katika mambo ya Kifiqh ambayo yanakubali Ikhitilaaf
    (ii)Msingi gani ambao Sheikh Islamu ameghalifu au jambo gani la Batili ambalo amelilingia Katika Darasa zake ??? Ni wajubu likwe wazi na sio kungea kwa dhana tu .
    (iii)Usalafi sio Ukoo ,wala kabila la Mtu,bali Usalafi ni Kufata Mwenendo wa Mtume Muhammad (Salla Lahu alayhi Wasallam)mtu anaweza kuwa Salaf na wala hajiiti kwakuwa mazingatio ni kufata sio kujiita ,Vilevile sio Sharti la Mtu kuwa salafi katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki lazima ashirikiane na Kassim Mafuta au lazima yeye ndio ampitishe kuwa fulani Salaf .
    (iv)Nilio yataja hapo juu ndio anayo yalingania Sheikh Islam kwa mujibu wa Darasa zake kupitia Akauti zake.kwa mtu ambae hana chembe ya Taasubi atembelee Akauti za Sheikh Dr Islam atajua kuwa Sheikh analingia Dawaah ya Ahlu Sunna wala halingii Batili kama anavyo dai Mafuta.
    Allaah atupe Elimu na Uwadilifu
    Inaendelea ...
    وصلى الله وسلم وبارك على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين .
    Muandishi :-
    Ally Yahya Al-Qusheiry
    Dar es Salaam ,Tanzania
    📞+255652082775

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 2 ปีที่แล้ว +1

      Majibu yako kwa ufupi sana
      Dr islam anashirikiana na watu wa bidaa katika Da'awa yake ... Ahudhuria makongamano ya watu wa bidaa tena wale wenyewe achana na mahzibi mfano wa yusufabd mbali ashirukiana na masufi ... Kwa mfano ashahudhiroa makongamano kadhaa ukumbi wa sh khalifa yalokia yamechanganya moka masufi wakubwa
      Dr islam hawapigi vita wazushi walo jazana katika mji wa mambasa mbali ataka kuonyesha daawa yao ni sawa tu na ndo asema watu wasibainishwe wasipigwe raddi wala wasitajwe kwa majina yao......... yeye hawataji watu wazushi wasanii kama yusufabd au kipozeo jambo ambalo limepelekea umma kuwaona wazushi hawa wako sawa ni watu wa sunna... Da'awa ya sunna akihitajika atajwe mzushi mtu muovu hutajwa tu kama vile Quran imetaja watu waovu kwa majina yao na mtumeﷺ pia kataja
      Dr islam hasomeshi tawhid hana hata kitabu kimoja ashawahi kusomesha cha tawhid na hilo ni kwa sababu ajua wafuasi wake watakimbia akisomesha tawhid na yeye ataka wingi wa watu ...sio usul thalatha wala kitabu tawhid wal qawaidul arbaa hana hata risala moja a Tawhid amesomesha
      Dr islam hana malezi katika Da'awa yake wanachuoni huanza kuwalea watu kwa elim ya chin wakipanda polepole.... dr islam hafanyi hivo ... Watu wengi wanaokaa chin ya dr katika watu wa kawaida hakuna faida wanapata asomesha mambo makubwa kuliko akil zao.... wengi wao hubakia tu kusifu umeskia darsa ya leo ilivokua kali lakn hana alilofaham ...
      Kwa mfano 40 nawawia amesomesha taqriban miaka 4 hio riyaadhu salihiina sjui atasomesha miaka mingapi .. usluubu huo haumnufaishi muislam wa kawaida asojua namna ya iutawadha kuoga janaba kuswali asojua tawhid atakufa bila kujua tawhid .. bali hata wanafunzi wanafatilia hadith moja moka unachoka wengi wao wanatoroka darsa zake unaenda unkaa mwaka mzima ukirud kitabu akijafika popote .
      Dr islam aweza maliza ramadhan nzima darsa ni neno ardhi tu bas ramadhan ikaisha hivo hajatoka hapo ... Suratul qaaf amesomesha saa hii naona ni karbia miaka minne ndani ya ramadhan
      Moinganizi ni yule anaelea umma kwanzia kwa elim ndogo akioanda juu awaam hawajui lolote yeye awapa masala makubwa kuwapotezea mda .... Mimi mwenyewe noimfatilia dr katika kusoma nkaona napoteza mda na sisongi mbele
      Najua haya kwa yule mwenye ushabiki kwa dr hatoelewa lakin atakaeyasoma kwa makin atajua ninachokusudia
      Qasim amafuta mfatilie katika darsa zake utaona faida kubwa sana Quran walalh tarjama yake ndo tarjama ulokua bora mara kumi ya Dr ina faida kemkem wala harefushi kwa namna ya kuchosha kama dr wala hafupishi ufupisho wa kumnyima mtu faida
      Na mimi nazungumza hivi kwa sababu niko na ujuzi na pande zote... kwa mda mrefu noikua mfuasi wa hao mashekhe akina dr. Yusufabdi ambae sasa hivi amekua msanii sh bahero kipozeo nurdin kishki wa kuacti na wengineo ambao hatukuwahi ifaham dini yetu mpka tulipojiliwa na daawa salafiya Allah awahifadhi mashekhe wa Da'awa hii mubarak

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 2 ปีที่แล้ว

      JazakaAllaahu'khayran Sheikh
      Shukran sana kwani Umesema ukweli kabisa
      Alhamdulillah
      Dr Sheikh Islam Muhammad
      Yuko sawa kabisa
      Allaah Atuongoze sote Waislamu.
      Allaah'Maak Sheikh.

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว

      @@abuahlaam barakallahu fiik akhy duh umefungua mambo wazi kabisaa..... anaetaka haki ameelewa, sikai tena chini yake...

  • @hamenyimanasalum7289
    @hamenyimanasalum7289 ปีที่แล้ว +1

    Remember one think 🤔 ALLAH ajatuhita sisi masalafi but Ametuhita waislam suratul al Imran sasa teambie wapi Allah ameita uyu umma wa mwisho kwa jina salafiℹ️👂

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 5 หลายเดือนก่อน

      ALLAH amewaita wapi watu wa bidaa au hawapo?
      Mbona mnajiita masufi, mashia nk?

  • @abdallahsalim9265
    @abdallahsalim9265 2 ปีที่แล้ว +30

    Nenda ukae chini ya daktur Islam usome… wacha kutafuta umaarufuu kwa kumpiga vita. Sisi tulioko Tanzania tunamtambua dr Islam ni nanii. Sheikh ameogelea katika bahari ya elimu wewe umeshazama. Allah amuhifadhi Dr Islam.

  • @salhacker7728
    @salhacker7728 3 ปีที่แล้ว +5

    Abdallah Humeid mpaka kufikia kujibu ni waz una sifa hzo

  • @aishahashim.5079
    @aishahashim.5079 3 ปีที่แล้ว +2

    Abdallah humeid nenda kasome Kwanza Acha kujiinua Hakuna anepinga kuwa mwenendo wa watu wema ndio wajibu wetu kuifuata lakini maradhi ya nafsi ndio Sheikh anayazungumza Acha kujiinua Acha kujiinua Acha kujiinua Acha kujiinua. Tutauona utakasifu wako mwishoni mwa uhai wako

    • @husseinsuleiman614
      @husseinsuleiman614 2 ปีที่แล้ว

      mwanamke wa kiislam unahangaika na sm janja,maneno ambayo hayana adab wayazungumza...mumeo utamuheshim kwa hali hii? hao wote ni daai wa ahlu sunna..waache wawekane sawa wenyewe,,pigia fatwa ya sheikh fauzan..mizozo ya watu daawa..ww swaghiir..achana nayo fanya ibaadat, af cha2 fatwa ya sheikh fauzan kuhus mwanamke na kadhia hizi pamoja na kutumia sm janja..haifai..ww si wakusema abdallah humeid akasome,, abdallah humeid na dr islam wote wamesoma..ALLAH huwalipa kwa daawa..jipime ww unafanya nn kupata thawab? ni ushaur tu ndg yang bint

  • @rukiafaraj1400
    @rukiafaraj1400 29 วันที่ผ่านมา

    Dr Islam upo sahihi

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 7 หลายเดือนก่อน

    Mashekhe tende tuu

  • @saidishalako
    @saidishalako 2 ปีที่แล้ว +2

    Assalam Aleikum.Alhamdullah.Nimelipata jibu lako Al Akh Suyutwi.Kila Sh. Ana njia ya ufundishaji wake.Nami naamini pia Mashekhe wale wanaokubalia kamera wapo wazuri tu na wanaokemea bida'a kadiri ya uwezo wao.Pia jua namkubali sana Sh Kassim(ALLAH Amhifadhi) na Marjii yangu kwa masala mengi tu.Ila kumbuka zama za Imam Abu Hanifa na Imam Hassan Thauri (Rehmallahu Aleikum)

  • @saidihaji3739
    @saidihaji3739 2 ปีที่แล้ว +1

    MAWAHABI WALIKUWA WANAWAGAWA WAISLAMU KWA MUDA MREFU SAANA
    SASA ALLAH ANAWALIPA HAPA HAPA DUNIANI WANAANZA KUTAFUNANA WAO KWA WAO .
    NA HIVI SASA WAKO MAKUNDI CHUNGU MZIMA NA KILA MMOJA ANAJIONA YEYE NDIO SALAFIY WA SAWA .

    • @saidishalako
      @saidishalako 2 ปีที่แล้ว

      Assalam Aleikum. Nakunasihi ndugu yangu usiwe miongoni mwa wale wajinga.Hakuna watu wajiitao au kujinasibisha wahabi.Hili ni neno walitumialo maadui wa Daawa Salafiya kwa njia kejeli na stihizai. Nawe kama waipenda Sunna jiepushe nalo.

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 2 ปีที่แล้ว

      @@saidishalako
      Rudi ktk vitabu utaona mawahabi ni mafuasi wa Muhammad lbn Abdul wahhab nnajdiii ..
      Ambae alidai eti kipindi chake hakuna mwenye kuijua maana ya
      [لا إله إلا الله ۔۔ محمد رسول الله]
      Na Shaafiiyyah ni wafuasi wa lmam shafiiii .
      Maalikiyyah ni wafuasi wa lmam Malik bni Anas.
      ....... Halafu rudi ktk vitabu utakuta mawahabi wenyewe wanalitumia jina la uwahabi kwa kujiita wenyewe.
      ........ ..... Nayo ni daawa ya fitna angalia wafuasi wake kila mmoja anamtoa mwenzake kila siku takriban wanagawana makundi makundi .. Badala ya kuwa pmj.
      Utakuta kuna makundi kibao kama.
      HAJAAWIRA.
      MADAAKHILA.
      SURURUYYAH
      JAAMIYYAH.
      ALBANIYYAH.
      MAJADIIDA.
      MAHIZBIYYAH
      N.K Yapo zaidi ya makundi 20 . Kazi yao ni kuugawa umma tu .
      WA INNAA LILLAH WAINNAA ILAIHI RAJIUUN

    • @saidishalako
      @saidishalako 2 ปีที่แล้ว

      Nishakuelewa ndugu Haji.Ila siku nyingine tutajie jina la Kitabu,kimfano tu .

  • @zaburionlinetv6245
    @zaburionlinetv6245 2 ปีที่แล้ว +8

    UNATAFUTA VIEWERS AU?
    MAANA HAMNA RADD HAPO NA ATARADIWA VIPI ILIHALI ALICHOSEMA DR ISLAM NI SAHIHI

    • @habibmohaa1733
      @habibmohaa1733 2 ปีที่แล้ว +2

      Huyu amemraddi sheikh Uthaymin Kwasababu dr lslam alimnukuu sheikh Uthaymin na wala hakuongeza neno

  • @tahirissa6579
    @tahirissa6579 2 ปีที่แล้ว +9

    Abdallah Humeid nenda kwanza kwa Dr Islam ukasome
    Hii bahari si saizi yako

  • @mahmoudkullatein8733
    @mahmoudkullatein8733 3 ปีที่แล้ว +6

    Lion of Kenya

  • @hassanbinhalkano1616
    @hassanbinhalkano1616 3 ปีที่แล้ว +5

    ماشاء الله

  • @ibn_maleeqqeibraheem_188
    @ibn_maleeqqeibraheem_188 2 ปีที่แล้ว +3

    humeid duktur sio size yako ilmu,nenda ukafunzwe

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 7 หลายเดือนก่อน

    Madhhab yapo kwa sababu ya watu lakini dini ipo kwa sababu imeletwa na Allah

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhaanallah

  • @aliyahya5785
    @aliyahya5785 2 ปีที่แล้ว +7

    Wew achakujisifu wew unaejiita salafi. . Allah anasema "namsijitakase nafsi zenu yeye Allah ndio ajuae alie mchamungu kati yenu" hawa watu wahatari sana ...... Allah awaongoze katka haki

  • @omarbwanaali2871
    @omarbwanaali2871 2 ปีที่แล้ว

    Acha kujitakasa.. Dr. Anaelimisha watu Kwa njia ya usawa.. Yako mambo mengi muhimu ambao waislamu hawayajui wafundishee.. Sio kutoa Raddi Kila kukicha.. wakosoa watu tuu.. Alkamalulillah☝️.. walaa tuzakkuu anfusakum, hua a'alamu bimanittaqaa

  • @saidhamad9723
    @saidhamad9723 3 ปีที่แล้ว +4

    Acha sifa ww abdallah punguza ria unaonesha izo sifa mbya zilizotajwa unahusika

  • @khamisibanikhalifa8332
    @khamisibanikhalifa8332 3 ปีที่แล้ว +12

    jamani kwangu Mimi Dr Islam yupo sahihi Kila mtu abaki na itikadi yake Ila sishangai sana mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake alisema uma utagawanyika makundi mengi Ila litakalo faulu nilile lililo fwata Qur'an na suna hivi vikundi vya nini

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว +3

    HATA KAFIRI ANOABUDU YESU PIA HUJIONA YUPO SAWA KAMA HUYU HUMEID. HAJUI KUWA UONGOFU ANOONGOZA NI ALLAH SW PEKEAKE.

  • @chemistrymadeeasy7706
    @chemistrymadeeasy7706 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamaa mbona mwatuchezea, Doktur amesema Abdallah Humeid aende wakajadili wazi ukweli ujulikane. Sasa mbona yuaogopa? Kama hawezi enda basi acheni kelele.Manhaj Salafiyyah si kujiita Bali ni kufahamu ilmu.

    • @muhammad-Swaabir
      @muhammad-Swaabir 3 ปีที่แล้ว +6

      Wacha yeye hata kasimu mafuta hawezi kaa mbele ya duktrur akapotosha

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      @@muhammad-Swaabir ni wengi kumbe

    • @jumasibanilo2912
      @jumasibanilo2912 2 ปีที่แล้ว

      Jamaa angalieni Saaaana masaala haya iwe ni salafiya au haul sunnah Tena nashua na wengine pia tusifuate upenzi kuweka comment s tu bila tafkur kweli tunafuata sunnah au tunashabikia tu kulingana na tarbia zetu na jamii mzima tuliomo, kwa kiswal kisanii tukichanganya na batri nyingi!!!! Haya tulio comment hapa tuna wake wangapi, watoto wangapi, vip sadaqa zetu , vip qyamolei tunasimama??kisha tunaishi Kama waislamu kweli?? Au modern life kisha twasema eeh so waoslaam et mmhhh!!! Hayaaa

    • @awadhtwalal8951
      @awadhtwalal8951 ปีที่แล้ว

      Ati akae mbele ya daktoor?
      Akae kwanza asome sahihul bukhari kwanzia mwanzo wa kitabu hadi mwisho.
      Kazi matusi na kujitakasa kujiona hamna kama wao kwa usawa...
      Bullshit.
      Iko siku mtazidi kudhihirika kwa upuzi mulokua nao nyinyi watu wa vurugu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 ปีที่แล้ว +1

    RADD NDIYO FAGIO LA KUONDOA UCHAFU KWA UISILAM,BILA RADD UISLAM UTAJAA TAKATAKA!!

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 2 ปีที่แล้ว +1

    Dr Islam Muhammad Allaah Amuhifadhi yuko Sawa kabisa sababu huku uk(Uingereza) pia tuko nao
    Mfano wa hao wanaojiita
    Super Salafi
    Mtihani mkubwa huu
    Allaah Awape Hidaayah na sisi pia
    Dr Islam Amesema ukweli kabisa kuhusu Fikra hizo na kwa Masikitiko makubwa
    Wapo Jamaa wa Ahlus sunnah wa Jamaa wameanzisha groups Mfano wa hizo
    Wengine hata Sheikh Abdallah Swaleh Al Farsy (Rahimahu'Alllaah)
    Wanampiga vita!
    Hatari hii...

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 2 ปีที่แล้ว

      JazakaAllaahu'khayran Dr Islam
      Allaah'Maak Sheikh
      Tunapata faida nyingi sana
      Maa Shaa Allaah
      Alhamdulillah

  • @ahmedkhamis9539
    @ahmedkhamis9539 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuandika comment ila kuna mashekh wengine wanajiona kwamba wako sawa kwa kila jambo

  • @didaali4799
    @didaali4799 2 ปีที่แล้ว +2

    Waeza face to face na Dr Islam,wacha kujigamba kijana...kama kweli wajua haki na usawa kuna watu wataka kufikishiwa uislamu nenda vijijini huko

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 2 ปีที่แล้ว

      Kundi Zima la kina humeidy huwa liko mijini wala haliendi vijijini kupeleka dini.Kazi yao kubwa nikukaa mijini na kula wali wakishashiba watafute Kanda za masheikh wengine waangalie kisha wawapige raddi baasi.Mafuta na humeidy jamani raddi sio dini

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe Abdalla Humedi Kwanza umesoma wapi?

    • @saidahamed7587
      @saidahamed7587 2 ปีที่แล้ว

      ww elimu unayo

    • @tahiraabdul1701
      @tahiraabdul1701 2 ปีที่แล้ว

      @@saidahamed7587 nyingi

    • @tahiraabdul1701
      @tahiraabdul1701 2 ปีที่แล้ว

      @@saidahamed7587 si umwache ajibu hilo swali ,shida yako ipi

  • @IbrahimIsmail-te7mw
    @IbrahimIsmail-te7mw ปีที่แล้ว

    Dilele we hujielewii

  • @johnthumbi2528
    @johnthumbi2528 3 ปีที่แล้ว +10

    Sheikh umesoma lakini omba ALLAH Akuongoze,unabeta ki elimu.sheikh islam anafudisha wenye mumepotesha

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب ปีที่แล้ว +1

    Doctor ISLAAM Yuko Sawa

  • @mohammedkhalid9975
    @mohammedkhalid9975 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa Daktur ametaja kundi gani hapo ?? Dr Yuko sawa ….Sheikh Abdallah nakusikiza lakini leo kafail lakini ndo Binadamu alivyo lazima kuna mahali atakosea Shukran

    • @mwarabuwamafia5590
      @mwarabuwamafia5590 2 ปีที่แล้ว +1

      Apigwe raddi na yy kwa uzish wake dhidi ya daktur amezoea kutoa raddi bila hoja za kielem

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 2 ปีที่แล้ว +1

      Dilele hakosei kabisaaa tena sio yeye tu kundi lao Zima liko sawa kabisaaa.Wenye kukosea ni hao masheikh wengine

  • @abuJamal15
    @abuJamal15 2 ปีที่แล้ว +3

    Shida ya huyu ndugu yetu kila anaemfundisha mwisho wake huyo mwalimu anakua hizbi kulingana na hicho Chama chao

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب ปีที่แล้ว

    Abdullah humeyd sijaona unachotetea kwasababu Sisi NI watanzania na tunasoma dagh'wah zenu hata ww huko Kenya mnayoharibu mengi kuliko

  • @mwanaimachayoa8217
    @mwanaimachayoa8217 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kipi umekosoa hapo mbona unafanya vitu vya kipuuz hata asie kua na elmu atakuona mjinga

  • @suleali4915
    @suleali4915 4 หลายเดือนก่อน

    Mashekh nyinyi mnasababisha dini watu waiyone ngumu pumbavu ww

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 5 หลายเดือนก่อน

    Mtuhajiiti mtuwasunna kisha akawa hazipigivita bid,aa nakuhadharisha watu nawatu wabid ,aa isipokua Alwah atamshughulisha nakutafuta dunia au atamuingiza ktk hizo bid,aa kama huku zenj maanswari wengine wameingia ktk jamaat tabligh wenge wamerudi kwenye usufi wengine daaesh wengine kwenye demokras wengine wametafut mashamba wanalima wameacha kusomesha _

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 5 หลายเดือนก่อน

    Ikisha maanswari wazenj anashangaza utakuta msikiti mmoja waonamatabligh wanashirikiana utadhani wakopamoja nahli nyoyozao zikotofaiti nakuthibitisha hilo sheish Omar alifukuzwa na matabligh kwakua anasomesha sharhu sunna (sunna na bid,aa dhwiddan mutanakidhwan)

  • @qurantajweed3935
    @qurantajweed3935 2 ปีที่แล้ว +7

    😂 Humeid hawezi kamwe kukubali... Always contradict Hadiths by which favours him

  • @shariffhabshy6770
    @shariffhabshy6770 3 ปีที่แล้ว +6

    Sasa huo nduo ujinga wako wagawanya watu kwa lazima na hiyo ndio tazkiya na wakataa.

    • @awadhtwalal8951
      @awadhtwalal8951 ปีที่แล้ว

      Fadhali uwaambie.
      Wamekosa kazi.
      Kazi kujitakasa na kujiona hamna kama wao.

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 ปีที่แล้ว +4

    Hio manhaj anajaribu kuieleza nani kama si mtu?Hivyo huyo mtu ndie atakaejibiwa,si manhaj.Na Dr.Islam kakosea nini na watu wanatenda na kusema aliyoyasema.Hata sekunde hajaikosoa manhaj.Tumuogopeni Allah,tena ni Allah peke yake ndie anayemjua nana kaongoka na nani kapotea.

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 2 ปีที่แล้ว

      Majibu yako kwa ufupi sana
      Dr islam anashirikiana na watu wa bidaa katika Da'awa yake ... Ahudhuria makongamano ya watu wa bidaa tena wale wenyewe achana na mahzibi mfano wa yusufabd mbali ashirukiana na masufi ... Kwa mfano ashahudhiroa makongamano kadhaa ukumbi wa sh khalifa yalokia yamechanganya moka masufi wakubwa
      Dr islam hawapigi vita wazushi walo jazana katika mji wa mambasa mbali ataka kuonyesha daawa yao ni sawa tu na ndo asema watu wasibainishwe wasipigwe raddi wala wasitajwe kwa majina yao......... yeye hawataji watu wazushi wasanii kama yusufabd au kipozeo jambo ambalo limepelekea umma kuwaona wazushi hawa wako sawa ni watu wa sunna... Da'awa ya sunna akihitajika atajwe mzushi mtu muovu hutajwa tu kama vile Quran imetaja watu waovu kwa majina yao na mtumeﷺ pia kataja
      Dr islam hasomeshi tawhid hana hata kitabu kimoja ashawahi kusomesha cha tawhid na hilo ni kwa sababu ajua wafuasi wake watakimbia akisomesha tawhid na yeye ataka wingi wa watu ...sio usul thalatha wala kitabu tawhid wal qawaidul arbaa hana hata risala moja a Tawhid amesomesha
      Dr islam hana malezi katika Da'awa yake wanachuoni huanza kuwalea watu kwa elim ya chin wakipanda polepole.... dr islam hafanyi hivo ... Watu wengi wanaokaa chin ya dr katika watu wa kawaida hakuna faida wanapata asomesha mambo makubwa kuliko akil zao.... wengi wao hubakia tu kusifu umeskia darsa ya leo ilivokua kali lakn hana alilofaham ...
      Kwa mfano 40 nawawia amesomesha taqriban miaka 4 hio riyaadhu salihiina sjui atasomesha miaka mingapi .. usluubu huo haumnufaishi muislam wa kawaida asojua namna ya iutawadha kuoga janaba kuswali asojua tawhid atakufa bila kujua tawhid .. bali hata wanafunzi wanafatilia hadith moja moka unachoka wengi wao wanatoroka darsa zake unaenda unkaa mwaka mzima ukirud kitabu akijafika popote .
      Dr islam aweza maliza ramadhan nzima darsa ni neno ardhi tu bas ramadhan ikaisha hivo hajatoka hapo ... Suratul qaaf amesomesha saa hii naona ni karbia miaka minne ndani ya ramadhan
      Moinganizi ni yule anaelea umma kwanzia kwa elim ndogo akioanda juu awaam hawajui lolote yeye awapa masala makubwa kuwapotezea mda .... Mimi mwenyewe noimfatilia dr katika kusoma nkaona napoteza mda na sisongi mbele
      Najua haya kwa yule mwenye ushabiki kwa dr hatoelewa lakin atakaeyasoma kwa makin atajua ninachokusudia
      Qasim amafuta mfatilie katika darsa zake utaona faida kubwa sana Quran walalh tarjama yake ndo tarjama ulokua bora mara kumi ya Dr ina faida kemkem wala harefushi kwa namna ya kuchosha kama dr wala hafupishi ufupisho wa kumnyima mtu faida
      Na mimi nazungumza hivi kwa sababu niko na ujuzi na pande zote... kwa mda mrefu noikua mfuasi wa hao mashekhe akina dr. Yusufabdi ambae sasa hivi amekua msanii sh bahero kipozeo nurdin kishki wa kuacti na wengineo ambao hatukuwahi ifaham dini yetu mpka tulipojiliwa na daawa salafiya Allah awahifadhi mashekhe wa Da'awa hii mubarak

  • @saidihaji3739
    @saidihaji3739 2 ปีที่แล้ว +3

    MIMI LEO NAULIZA .. (( KAMA USALAFI NI KUFUATA KITABU NA SUNNA))
    NANI KTK WAISLAMU HAFUATI KITABU NA SUNNA KWA UFAHAMU WA SALAFI ???

  • @ramadhanmbwana5718
    @ramadhanmbwana5718 10 หลายเดือนก่อน +1

    MASHAALLAH BAYANI IKO VIZURI MAHIZBIY WATAAMKA HAPO
    LAKINI HAKI ITABAKI KUA NI HAKI
    جزاكم الله خيرا أبا الخطاب

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Islam amezungumzia watu sio dini bado hata wewe hujielewi kama ulivyojiona wewe uko sahihi hata sheikh yuko sahihi kama asingekua sahihi angekua ameshatoka huko alipo tumu ogopeni Allah (s.w)

  • @halimahussein6792
    @halimahussein6792 ปีที่แล้ว

    acheni mambo ya Raddi kila mmoja afundishe kile chenye ushahidi ndani ya Qur-an na sunna

  • @salimuselemani8754
    @salimuselemani8754 2 ปีที่แล้ว +4

    Humeid ninahisi kama uko na Hasad sana. Badilika kwa ajili ya Allah .

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 2 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana na wewe mia kwa mia.Humeidy ana shida kidogo naona akilini.Na wafuasi wao pia wakiambiwa twendeeeee hao wenda wala hawahoji.Mtazamo wangu mimi humeidy na mafuta wanadi kundi lao zaidi kuliko kuitangaza dini

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 ปีที่แล้ว

    Haman daawa mbovu yakujitukuza kama hii

  • @muhammadnassibu7706
    @muhammadnassibu7706 3 ปีที่แล้ว +10

    ولا تزكو بانفسكم هو اعلم بمن التقى

  • @shabanijuma4162
    @shabanijuma4162 3 ปีที่แล้ว +5

    hakika manhaj salafiyaah imekingwa na makosaa

    • @salhacker7728
      @salhacker7728 3 ปีที่แล้ว

      Man haj imekingwa vp watu wake?!

    • @shabanijuma4162
      @shabanijuma4162 3 ปีที่แล้ว

      siasema watu wake nimesema manhaj kama manhaj

    • @shabanijuma4162
      @shabanijuma4162 3 ปีที่แล้ว +1

      usahihi ni kwamba ukifuataa manha unafuata njiaa sahih isiyonamashakaa ndani yake kwasabbu ni mafunzo ya uhakika lkn haimaanishii kuaa ukiwa unafuata dhambi hukosei katika makosaa ya kibiinaadamu hakuna binadamu asiekosea naa ukifuata manhaj ukakosea katika jambo ladini manhaj yenyewe inakurudishaa katka mrengo sahihi Allah mjuzi zaid

    • @salhacker7728
      @salhacker7728 3 ปีที่แล้ว +2

      @@shabanijuma4162 vzur nimekuelewa. Haya hyo jeuri na kibri kinacho fanywa na baadhi ya wanao jinasibisha na kujiona kwamba hyo njia ni yao na sio ya watu wengine na kujifadhilisha dhid ya wengine, na kutumia vpim ambavyo yanaenda kinyume na njia ya Mtume na maswahaba zake

    • @mahirjamir8528
      @mahirjamir8528 2 ปีที่แล้ว

      Naam

  • @mohamedalawyi8336
    @mohamedalawyi8336 2 ปีที่แล้ว +4

    Dr Islam uko SAWA . Tunajua MaSheikh wengine kila kitu WAJUA wao . Achana nao .

  • @aliraso1129
    @aliraso1129 3 ปีที่แล้ว +1

    Endelea Sheikh usichoke kuwaweka sawa hao tsalafu

    • @iddinkupe7459
      @iddinkupe7459 3 ปีที่แล้ว +2

      Daah!! Wew unafuata tu Kama mkia Allah akuongoze

  • @amnadegneh5328
    @amnadegneh5328 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalam aleykum...al akh dilele umezidi....ukijifananisha na Dr islam urongo....alafu ww ndio hizbi maanake una tahazub akhi...kweli manhaj haina makosa lkn ww una makosa maana hujui mfumo wa nasiha....

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 2 ปีที่แล้ว

    Bainisha haqi ndio ila si kwa vijembe na kejeli bima'ana unawafundisha nn wasio na i'lmu (unawafunza kuwa kejeli ina nafasi ktk dini hali ya kuwa hakuna salafi mwenye kufanya huo ujinga)

  • @AjsProSigns
    @AjsProSigns 2 ปีที่แล้ว

    hawa wanaoondesha hizi chanel inaonekana ni watoto kiakili hata kama wana watoto

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 3 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kuachanganya waislamu na maneno ya mipasho,,hamuezi kuijua haki mpaka muende tabligh

    • @abuahlaam
      @abuahlaam 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha hii yako sasa ni comedy

  • @abuahlaam
    @abuahlaam 2 ปีที่แล้ว +2

    BAYANA KWA UFUPI kwa yule asofaham uhakika wa jambo
    Dr islam anashirikiana na watu wa bidaa katika Da'awa yake ... Ahudhuria makongamano ya watu wa bidaa tena wale wenyewe achana na mahzibi mfano wa yusufabd mbali ashirukiana na masufi ... Kwa mfano ashahudhiroa makongamano kadhaa ukumbi wa sh khalifa yalokia yamechanganya moka masufi wakubwa
    Dr islam hawapigi vita wazushi walo jazana katika mji wa mambasa mbali ataka kuonyesha daawa yao ni sawa tu na ndo asema watu wasibainishwe wasipigwe raddi wala wasitajwe kwa majina yao......... yeye hawataji watu wazushi wasanii kama yusufabd au kipozeo jambo ambalo limepelekea umma kuwaona wazushi hawa wako sawa ni watu wa sunna... Da'awa ya sunna akihitajika atajwe mzushi mtu muovu hutajwa tu kama vile Quran imetaja watu waovu kwa majina yao na mtumeﷺ pia kataja
    Dr islam hasomeshi tawhid hana hata kitabu kimoja ashawahi kusomesha cha tawhid na hilo ni kwa sababu ajua wafuasi wake watakimbia akisomesha tawhid na yeye ataka wingi wa watu ...sio usul thalatha wala kitabu tawhid wal qawaidul arbaa hana hata risala moja a Tawhid amesomesha
    Dr islam hana malezi katika Da'awa yake wanachuoni huanza kuwalea watu kwa elim ya chin wakipanda polepole.... dr islam hafanyi hivo ... Watu wengi wanaokaa chin ya dr katika watu wa kawaida hakuna faida wanapata asomesha mambo makubwa kuliko akil zao.... wengi wao hubakia tu kusifu umeskia darsa ya leo ilivokua kali lakn hana alilofaham ...
    Kwa mfano 40 nawawia amesomesha taqriban miaka 4 hio riyaadhu salihiina sjui atasomesha miaka mingapi .. usluubu huo haumnufaishi muislam wa kawaida asojua namna ya iutawadha kuoga janaba kuswali asojua tawhid atakufa bila kujua tawhid .. bali hata wanafunzi wanafatilia hadith moja moka unachoka wengi wao wanatoroka darsa zake unaenda unkaa mwaka mzima ukirud kitabu akijafika popote .
    Dr islam aweza maliza ramadhan nzima darsa ni neno ardhi tu bas ramadhan ikaisha hivo hajatoka hapo ... Suratul qaaf amesomesha saa hii naona ni karbia miaka minne ndani ya ramadhan
    Moinganizi ni yule anaelea umma kwanzia kwa elim ndogo akioanda juu awaam hawajui lolote yeye awapa masala makubwa kuwapotezea mda .... Mimi mwenyewe noimfatilia dr katika kusoma nkaona napoteza mda na sisongi mbele
    Najua haya kwa yule mwenye ushabiki kwa dr hatoelewa lakin atakaeyasoma kwa makin atajua ninachokusudia
    Qasim amafuta mfatilie katika darsa zake utaona faida kubwa sana Quran walalh tarjama yake ndo tarjama ulokua bora mara kumi ya Dr ina faida kemkem wala harefushi kwa namna ya kuchosha kama dr wala hafupishi ufupisho wa kumnyima mtu faida
    Na mimi nazungumza hivi kwa sababu niko na ujuzi na pande zote... kwa mda mrefu noikua mfuasi wa hao mashekhe akina dr. Yusufabdi ambae sasa hivi amekua msanii sh bahero kipozeo nurdin kishki wa kuacti na wengineo ambao hatukuwahi ifaham dini yetu mpka tulipojiliwa na daawa salafiya Allah awahifadhi mashekhe wa Da'awa hii mubarak

    • @hadanahadana4205
      @hadanahadana4205 2 ปีที่แล้ว

      Wewe kama huelewi wengine wanaelewa alicokifundisha

    • @halimakassimngare4873
      @halimakassimngare4873 2 ปีที่แล้ว

      wacha ushabikii katika dini wacha kuzungmzia vibaya da'awa za mashekh mujtahidiin,,,, wacha kuftinisha watuu waislam wengi wanafaidika kwao...tafta ya kuzungumza na kama huna unyamazee

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 ปีที่แล้ว

    Mawahabi kwa Mawahabi

    • @abdulisomani2443
      @abdulisomani2443 2 ปีที่แล้ว

      unamjua Muhammad IBN Abdul wahab wewe ..kaa chini usome Allaah akuongoze

    • @halidijuma1884
      @halidijuma1884 2 ปีที่แล้ว

      Abdul somani Bora wewe unaemjuwa ulikaa chini ulisoma nae,,Babaa ,,,hatuwezi kuwa mawahabi kwa staili hiyo ya DHARAU kwa WENGINE,,

  • @macmilanisaac1708
    @macmilanisaac1708 3 ปีที่แล้ว +3

    Shekhe wewe wamtoa mwenzako makosa? Kama hujamuelewa kwanini usimfuate ukamuliza uwazi wake badala kuleta fitna katika mitandao. ..

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว +1

      Swadaqta

    • @rahmasaleh1984
      @rahmasaleh1984 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa kama mtu ana makosa unamfuata lkn haya mambo ya kusema kwa mitandio si ktk uislam wakweli na inaonesha wazi huyo shekh anachuki na mashekh wenzake kwaajili video zake nyingi ni kuwakashifu mashekh wenzake na yy anajiona yuko perfect sasa huo ni uislam kweli,?

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 2 ปีที่แล้ว

      Wana tabia ya kujiona wao ni mitume haswaaaa mafuta na huyo mwenziwe humeidy

  • @muhammadnassibu7706
    @muhammadnassibu7706 3 ปีที่แล้ว +3

    Dr Islam kaponda jiwe gizani

    • @alakhy9448
      @alakhy9448 3 ปีที่แล้ว +2

      Inakuwaje huyu abdallah humeyd ajishuku,bila shaka wao ndo wenye tabia hizoo

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakubali kabisa

  • @Abdul-kadir-u5z
    @Abdul-kadir-u5z 9 หลายเดือนก่อน

    Hii raddi ni ya mtu wa mwisho anapigwa na wa mwanzo . Sikilizeni uzuri

  • @kassimmsuleyman1055
    @kassimmsuleyman1055 ปีที่แล้ว

    dr upo sahihi sisi wengine hatufat upepo tunapima dalili wallah baadh ya masheikh km utawasikiliza unaweza kuwaingiza moton wote washao tangulia mbele yahooأَسْتَغْفِرُ اللّٰه

  • @abumuadh511
    @abumuadh511 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wanafunzi ni wafitinishaji maana kukatakata video ni ujinga wao;na ukiuliza raddi yiko wapi hatokujibu;maneno ya Dr. Masha Allah yako sawa na ukiskia mwisho wa maneno ya Sheikh Dilele hayana tafauti.tena Dr. hajataja manhaj ametaja baadhi ya watu .wanafunzi tumche Allah

  • @mmn595
    @mmn595 2 ปีที่แล้ว +2

    muwe waadilifu ikiwa mtu amesom fatawa ya shekh ibn baaz kisha muchukuwe maneno ya dr islam ndio muyape kipaumbele

  • @omariczete448
    @omariczete448 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe humeid ni mpumbavu kosa liko wapi hapo

    • @husseinsuleiman614
      @husseinsuleiman614 2 ปีที่แล้ว

      sku ya qiyama akichukua mema yako kwa wewe kuharb heshim yake? uko tayar?

    • @saidmohammed2830
      @saidmohammed2830 2 ปีที่แล้ว

      Amekosea lkn usimtukane mpumbavu akhiy FIL islam

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 2 ปีที่แล้ว

      @@saidmohammed2830 humeidy na mafuta hawakosei kabisaaaaa.Wao ndio wanaona makosa ya wenzao

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 ปีที่แล้ว

    Mhhhh mnaparurana nyinyi kwa nyinyi sasa

  • @allykais8478
    @allykais8478 ปีที่แล้ว

    Mbna dr ajataja m2 hapo yy kaelezea tu

  • @mohamedasaid7910
    @mohamedasaid7910 2 ปีที่แล้ว +1

    Dai alipoanza raddi alisema "hawa mahizbi .Kwa hivo Dr Islam ni hizbi.
    Mumenoa ndugu zangu.Baada muda mutakimbiwa .Daawa yenu ya matusi,kejeli ,kujinaki haifuati Sunnah ya Mtume wetu Swallah Allah alehi wasalam.Hio itatosha kuweka Waislamu mbali na nyinyi.
    Kuna vijana watawaunga baadae itafifia.Labda murudi kutoa daawa kwa kufuata sunnah sawa sawa.

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 2 ปีที่แล้ว

      Mimi tayari nishaona haki na nishalikimbia hilo kundi

  • @Team-t6k
    @Team-t6k 3 ปีที่แล้ว +8

    Maneno haya hayaendani acha kukosa kazi yakukata ma video pasina kufikiriya kwanza byenye Dr alisema ana umedi apa na wapi ? Na bid'a zipi zenye Dr ana support? Kisha hakuna mtu yoyote anayefata wema waliotanguliya akawa mwenye kutukana watu kunako baisha haki japo atajita jina gani kisha Allah anangaliya matendo ya mwisho ya mja kikubwa nikuomba mwisho mwema njoo cha lazima kisha u fan unaharibu dini saaana tu tafuta haqqi shikamana nayo kisha batili iyache

    • @rahmaabdillahi2795
      @rahmaabdillahi2795 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo wanaingiza ubinadamu wao katika Daawa... Na chuki juu ya Neema aliowaruzuku baadhi yao juu ya baadhi