Markuba Majanaba atolewa Magereza na Fidovato & Madam Rita, Anyolewa Rasta.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 83

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 ปีที่แล้ว +8

    Proud to be a Chugamaican!
    A town forever!
    United States of Arusha forever! #USA
    Love you mama markuba! #OG sana

  • @wanateta1997
    @wanateta1997 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤Big up Mama❤❤❤
    Ume2kumbusha Kupunguza Hasira kwa kujali kwako ila pia Mitungi sio poa maana ndio sababu ya hayo majanga.

  • @samwesupa6906
    @samwesupa6906 ปีที่แล้ว +12

    Fido ana ubinadam sana

  • @gb-one6435
    @gb-one6435 ปีที่แล้ว +9

    Fido katisha sana 💪

  • @MohamedAbdiyer-yh6be
    @MohamedAbdiyer-yh6be ปีที่แล้ว +2

    Big up sn fido vato.hiyo ndio hip hop kaka..god bless you..👊

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +3

    Big up fido bro
    Auna baya jamn m/mungu akulinde sana

  • @changsinggaviria6910
    @changsinggaviria6910 ปีที่แล้ว +5

    May God Bless Aslam Topiwalla!!!

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 ปีที่แล้ว +10

    This is the big love n something you don't know about Arusha sisi sio wakorofi bali ni watu ambao hatuvumilii uonevu sasa tunapo react wanaona sisi wababe mliofasaidia nawapongeza sana kazi kubwa

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy ปีที่แล้ว

      Sas unahisi nisifia kujisifia ujinga,akili zako bn

    • @rajabushedafa6397
      @rajabushedafa6397 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 malkuba bhana

  • @Jonathan95311
    @Jonathan95311 ปีที่แล้ว +1

    Yaan unaweza cheka kama mazuri yaaan!! Pole sanaaa mkuu!!

  • @samjr2510
    @samjr2510 ปีที่แล้ว +2

    umetisha fido muhim kushikana mikono kwa kila jambo

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s ปีที่แล้ว +2

    Aseeeh markuba ubarikiwe❤

  • @athumaniferooz7790
    @athumaniferooz7790 ปีที่แล้ว +2

    Big up Fido bro...❤❤❤

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 ปีที่แล้ว +2

    Fido upo vizur sana mkuu

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 ปีที่แล้ว +1

    Nomaaa majanabaa

  • @ammsuya9400
    @ammsuya9400 ปีที่แล้ว +1

    Markuba anaongeaga kiungwana sanaa

  • @bragga8622
    @bragga8622 ปีที่แล้ว +1

    Respect sana Fido

  • @joycekephace5843
    @joycekephace5843 ปีที่แล้ว

    Ni kweli ni mchekeshaji toka tumesoma naye Kalole primary school

  • @EvaMerik-gc4bx
    @EvaMerik-gc4bx ปีที่แล้ว

    Fido brooo
    Kumbe haijaimba chuga kama wimbo TU kumbe chuga ipo moyoni pamoja na Wana chuga wenzako barikiwa sanaaaaaaaaaaaaa

  • @mot.tvmsamvu6770
    @mot.tvmsamvu6770 9 หลายเดือนก่อน

    Dah markuba.majanaba umechekesha

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 9 หลายเดือนก่อน

    Mama anafuraha juu tu wamekukata nywele nyau wewe😅😅😅😅

  • @DansonMtambi-fq2ff
    @DansonMtambi-fq2ff ปีที่แล้ว +1

    Big up sana fido

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 ปีที่แล้ว

    Pole bro, umekunywa kitu ya kuamsha mashetanii?

  • @defxtro
    @defxtro ปีที่แล้ว +2

    #MajanabaBackAgain 😅

  • @kherisalum6304
    @kherisalum6304 ปีที่แล้ว +1

    Let’s love lead us❤

  • @shamimageta6651
    @shamimageta6651 ปีที่แล้ว +1

    Dah life

  • @jumabidery5051
    @jumabidery5051 ปีที่แล้ว

    Hiyo siku ulikuwa hujala

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 ปีที่แล้ว

    Majanaba ni mpole sana hapendi ugomvi mtu alimchokoza na hakuweza kuvumilia ni kawaida ya watu wapole watu huwachokoza makusudi ili wafanye jambo ili waonekane wakorofi yamenitokea mimi ni mpole sana watu huwa wananichokoza lakini mimi wakinichokoza sifanyi lolote nawaacha jinsi walivyo

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaa malkuba huyu bhna daaa😂😂😂😂

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hio mmechanga 20 wote duhhh

  • @binaljabirmshihirzanzibar8369
    @binaljabirmshihirzanzibar8369 ปีที่แล้ว

    Nice mnyama mkali fido ✌🏻

  • @jimmysantana3987
    @jimmysantana3987 ปีที่แล้ว

    Fidooo salute kwakooooo chaliii anguuuu

  • @diegomontenego5158
    @diegomontenego5158 ปีที่แล้ว

    Marakuba hama kule unapokaa Asee mama yukosawaa sana. Afu cuba unazinguaa Asee brooo unajua mpkaa sema nini Acha Unyani bwanaa. Wewe fundi afu uzii mwingii wewe sio wakujitafuta Ulisha jopata sema nini wale makapurwa wayeme fanya kazii mkuu wewe tajiri sio mfanya usafi. Najua kazi yako kaka Vato katisha sana hapoo ubinadamu mbelee safi sana kaka mkubwaa . Ajili 😂😂😂

  • @defxtro
    @defxtro ปีที่แล้ว +1

    #MarkubaUraianiTena 💥💯

  • @hastatz
    @hastatz ปีที่แล้ว +1

    Kama niupendo mama Wawatu umemvunja taya leo yuko ndani unajua analisha vip watoto wake na hio kusema ulipigwa ni uongo hakuna alie kupiga wea ulikua unagombana na na mvuta bangi mwenzio kisa demu wako

    • @salomeemmanuel9059
      @salomeemmanuel9059 ปีที่แล้ว

      Wacha sasa siungeenda mahakamani tu ukatoe ushaidi sasa ila wabongo bn😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @hastatz
      @hastatz ปีที่แล้ว

      @@salomeemmanuel9059 nenda wew kama huna kazi

  • @ChrisMwambeje
    @ChrisMwambeje ปีที่แล้ว

    Pole sana bro

  • @MchinaBoy-z9l
    @MchinaBoy-z9l ปีที่แล้ว +1

    Fido nakubali

  • @AllyMohammedi
    @AllyMohammedi ปีที่แล้ว

    BIG UP BRO VATO

  • @SofiaJulius-j8j
    @SofiaJulius-j8j ปีที่แล้ว

    Big fido mpe hii abuu hapo. Namuona

  • @elishaafrael4553
    @elishaafrael4553 ปีที่แล้ว +2

    Mama mzuri sana hii sura markuba kapata wapi sasa

    • @LoxJuma
      @LoxJuma ปีที่แล้ว

      😂😂😂labda kwababa ake

    • @Kprutoi
      @Kprutoi ปีที่แล้ว

      😂

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 ปีที่แล้ว

      Hana surambaya ila ukizidisha maulevi mabaya Sura inakua km mnyama vile

    • @judiththobias5132
      @judiththobias5132 ปีที่แล้ว

      Baba ake

    • @IsraelKisaila
      @IsraelKisaila ปีที่แล้ว

      ,,,,😂😂😂😂jamani

  • @abdulfattahiddisaid15
    @abdulfattahiddisaid15 8 หลายเดือนก่อน

    Tanzania Kila mtu msanii 😡

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 ปีที่แล้ว +1

    This is real love

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣 malkuba bhna

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 ปีที่แล้ว +1

    Fido alivoskia OB kachekaaa, fiiiiiidooooooooooo niaje mwana

    • @Mo_ceo
      @Mo_ceo ปีที่แล้ว

      😂 OB NDO WAPI

  • @LoxJuma
    @LoxJuma ปีที่แล้ว

    Sasa marucuba mara anaishi kwenye vibanda vibovu vibovu kumbe home poa punguza uhuni bana

  • @SalumManondo
    @SalumManondo 6 หลายเดือนก่อน

    Fido.vato.naaminia

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 ปีที่แล้ว

    Fido Fanya naye ngoma majanaba

  • @idrisatv5540
    @idrisatv5540 ปีที่แล้ว

    Fido anachekea chini

  • @jseventz
    @jseventz ปีที่แล้ว

    markubwa polee

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 ปีที่แล้ว

    Dah nywele zilikosa nn Sasa..

  • @iambaizo
    @iambaizo ปีที่แล้ว

    Fido vato kitoto chako kizuri

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 ปีที่แล้ว

    Fido vatoo

  • @King-Buda
    @King-Buda ปีที่แล้ว

    Fido mbunge wa Chuga

  • @emmanueljohn5162
    @emmanueljohn5162 ปีที่แล้ว

    Mpk OB

  • @jacobmaganga3354
    @jacobmaganga3354 ปีที่แล้ว

    fido vato mwamba

  • @joshua.o.makundi3079
    @joshua.o.makundi3079 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 bora uarestiwe kuliko utusuliwe na raiaaa

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว

    Walijichanga wskatoa rushwa ise polisi wa bongo hatari

  • @AbdulhakimAbdala-qc5pj
    @AbdulhakimAbdala-qc5pj ปีที่แล้ว +1

    Polisi walifanya makosa kutokumjua markuba maana hapo sasa wameshamta miguu yake maana nywele alimuharibia sana

    • @bakariamour1024
      @bakariamour1024 ปีที่แล้ว

      Kwani yeye ninani ata police wamjue ,yeyote mwenye kufanya kosa lazima sheria ifuate

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 ปีที่แล้ว

      Obey the law always you will be safe

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว

    Wachana na huo mjina wa uchafu!

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 ปีที่แล้ว +1

    Fido yupo vizuri sana, basi tu amezaliwa nchi ya wajinga wengi

  • @sosbrayantbenjamin9701
    @sosbrayantbenjamin9701 ปีที่แล้ว

    mwamba mkwel

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂oh lalala

  • @Barcher4868
    @Barcher4868 ปีที่แล้ว

    Fido anambavu...