Ni rahisi sana kuelewa hapo wandugu, imetajwa ijumaa ikiongelewa kama siku ambayo maandalizi ya siku ya Sabato then inatajwa Jumapili kama siku ambayo wanawake walitoka kuelekea kaburini baada ya kupumzika katika siku ya Sabato ikiulizwa Sabato ni lini hata mtoto wa darasa la nne anajibu kuwa ni Jumamosi unless tuwe tunatafuta kubabaishana ila kama tupo kwenye kujifunza it's well understood kwamba Sabato ni Jumamosi... Niliacha kutazama mihadhara kwa muktadha wa kujifunza nilipomsikia prof Mazinge anasema Yesu hakwenda Hija kwa sababu alikuwa masikini na wanaoenda kule ni matajiri kuanzia hapo nikaanza kutazama ili nicheke nikiwa na stress 😂😂😂
Sabato ni luga ya kifariseu na portuguese, yani kuenye portuguese ni sabado mana yake ni jumamosi, someni portuguese mutaelewa Kuna sengunda feira yani juma tatu, terça feira yani juma mne, quarta feira juma tano . quinta feira ni alhamisi, sexta feira ijuma. . .. Sabado ni jumamos. Domingo ni juma pil
Wakiristo muelewe Dini y kiisilamu haina siku maalumu ya ibada, siku zote ni siku z ibada na wala hakuna mapumziko. Siku ya Ijumaa Allah ameiweka sala maalumu inayoitwa sala ya ijumaa tena kwa ummat Muhammad. Na Allah ndio aliyowaekea mayahudi siku ya sabato kwa sheria yao alivyowapa.
Kuna mchungaji wa mwanzo apo akaanza kuisifia Qur'an kwakua inakubaliana na sabato anasema kuwa mungu kaitaja sabato ndani ya Qur'an na kasema sheria zake lazima zifuatwe Sasa Qur'an ilipoitaja siku ya ijumaa anakataa anasema ijumaa imetungwa na watu. Wachungaji hamjielewi mshazoea katika kitabu kuyakubali nusu na mengine kuyakataa sasa kwann uikubali sabato ndani ya Qur'an na uikatae ijumaa ndani ya Qur'an? Au unafikili Qur'an ni kama biblia? Wakristo Mumepotea kweli
@@faudhiasaidi3669 sio Mimi ni qoran yenu ndo imewataka mufute sabato hakuna andiko lolote kwenye qoran imesema ijumaa ni siku ya ibada hakuna na kama lipo toa
@@benjaminsika1782 Nyie mumebaki viroja ambao sabato hamkuandikiwa nyinyi na mnaifuata wakati walioandikiwa sabato waliivunja wakabadilishwa wakawa manyani na mangurue Walioandikiwa sabato sio sisi إِنَّمَا جُعِلَ السَّبْتُ عَلَى الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ ۚ وَإِنَّ رَبَّكَ لَيَحْكُمُ بَيْنَهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فِيمَا كَانُوا فِيهِ يَخْتَلِفُونَ [ AN NAH'L - 124 ] Hakika siku ya Sabato (Jumaamosi) waliwekewa wale walio khitalifiana kwa ajili yake. Na hakika Mola wako Mlezi bila ya shaka atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitalifiana. Yakwetu tumeandikiwa ijumaa يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ لَّكُمْ إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ [ AL - JUMUA' - 9 ] Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua.
Mch,Yohana amejaa Neno,Roho wA Mungu anamsaidia,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mazinge hajui kujibu maswali yeye ni mbishitu hanaga point yoyote hadi huwaga nacheka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti roho wa Mungu
Mungu akubariki muinjilisti Eliud
Mazinge yupo sahihi
Pro Mazinge DD Safi
Mashaallah
Allah akusimamie mpenzi wetu kwajina la Allah mazinge wallah unajua unaweza
huyu jamaa mazinge atapeleka wengi kucmu, ndugu zangu tumieni mavikila.
Jazaakallah khayrii mashekh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mazinge acha siasa muogope Mungu
Mazinge hana point yoyote, niku make comedian tu
mazinge nakukubali mashallah
Mazinge mjinga kweli kweli
😂😂Wewe unamjua mazinge au
@@aliroro9344 Anauliza maswali ya kijinga kweli kweli na hata waislamu hawawezi gundua.
Alaaa…. Kumbe wakiristo wakusanyika kanisani kwa hasara 😢 Sikujua mimi
Mpiga picha hongera
Kubukeni wahisiram kusema muna mungu siyo ukweri chakwaza munatuhukum kimajini kwasambabu munavaa Pete zakuzim munaseme mungu arizariwa maka kumbe nikijinamiz chaserikari
Mazinge hoja kashindwa na hoja
Uyu mzee sio kama haelewi, hawaezi kukubali, na anapotosha wasio jielewa
Sabato Haina makosaaa
Mungu mkubwa Asante mola mmi bonface taysoni xhe nimelewa
Ni rahisi sana kuelewa hapo wandugu, imetajwa ijumaa ikiongelewa kama siku ambayo maandalizi ya siku ya Sabato then inatajwa Jumapili kama siku ambayo wanawake walitoka kuelekea kaburini baada ya kupumzika katika siku ya Sabato ikiulizwa Sabato ni lini hata mtoto wa darasa la nne anajibu kuwa ni Jumamosi unless tuwe tunatafuta kubabaishana ila kama tupo kwenye kujifunza it's well understood kwamba Sabato ni Jumamosi... Niliacha kutazama mihadhara kwa muktadha wa kujifunza nilipomsikia prof Mazinge anasema Yesu hakwenda Hija kwa sababu alikuwa masikini na wanaoenda kule ni matajiri kuanzia hapo nikaanza kutazama ili nicheke nikiwa na stress 😂😂😂
Mazinge umefilisika.
Anachekesha😂
😂😂Ww elewa madaa n sabato ni siku gani, sabato ipo lkn siku niipi 😂😂
What kind of professor is this? This Mazinge deserves to be a comedian.There isn't professors of this type in the world.
Absolutely 😂😂😂
Prossor wa wasiokuwa waisilamu .
Muone comedian Mazinge anavyojichekesha mwenyewe.Huna hats haya we mzee?.
Maneno ya mkosaji 🙄🙄🙄
Yesu anakuwaje mkristo mwenzao wakati ye ndiye Kristo mwenyewe?
Shekhe mazinge asiyekuelewa ana matatizo
Mbishi tu hamna kitu,. Mazinge mzee wakuchomekea ni msani 🤣🤣🤣 tangu lini sabato ikawa ijumaa huyo mzee wenu kapagawa
@@Mpakauseme kwa iyo na wewe unataka kutuelewesha kua jumamosi ni siku ya saba
Safi
Shaban chegama
Natafuta kaz kwenye kampun
Sabato ni luga ya kifariseu na portuguese, yani kuenye portuguese ni sabado mana yake ni jumamosi, someni portuguese mutaelewa
Kuna sengunda feira yani juma tatu,
terça feira yani juma mne,
quarta feira juma tano .
quinta feira ni alhamisi, sexta
feira ijuma.
. .. Sabado ni jumamos.
Domingo ni juma pil
Lohhhh 😮😮 swali la ustadh mbogo dogo sana lakini gumu sana.. yesu kuingia kanisani sabato? Hamna aya hio. Wakiristo waongo
Sinagogi lilikua la wayahudi sio waisilamu
@@michaelamiani6755 msikiti lakini sio kanisa 😀😀 sasa sema kina nani wanaingia msikitini?? 😂😂
@@bigmanfish6346 Hiyo ndio shida yenu mnatubeba wafala
@@bigmanfish6346
Kwa hiyo nyinyi ndio wayahudi wa siku hizi
Mazinge ni kichwa Cha panzi,hoja Iko wazi kubatizwa hataki,
Kondoo ulipotea panz ni chako
Katoka uko uko ukafirini
Alipoona haki kaja kwenye haki
Akiwemo ustz kesi kaja kwenye mwanga katoka kwenye gizza
Mazinge Allah azid kukupa ujuz uwalete wengi katika Haq hata huyu anaekuita kichwa Cha panzi
Sabato ndo mpango mzima
Wakiristo muelewe
Dini y kiisilamu haina siku maalumu ya ibada, siku zote ni siku z ibada na wala hakuna mapumziko.
Siku ya Ijumaa Allah ameiweka sala maalumu inayoitwa sala ya ijumaa tena kwa ummat Muhammad.
Na Allah ndio aliyowaekea mayahudi siku ya sabato kwa sheria yao alivyowapa.
Mna uhakika mazinge ni professor kweli???
Waislamu wana matatizo kweli
😂😂😂🤝
Mnajifanya hamuelewi
hebu tfsiri kwa kiswahiri jumamosi inaweza kuwa siku ya saba kweli,kwa kiswahili ni siku ya kwanza sio saba hapa ndo panaubishi,😊😊😊😊
Kumbukeni Isa utume wake na baada yake alitumwa mtume Mohammad kwa hiyo Isa twamuamini na mtume Mohammad alikuja na utume wake ndio tunaoufuata
Waislamu mtaeleweshwaje?
Isa naamini ni mwislamu na ktk utume wake alibashiria kuja kwa mtume Mohammad baada yake
Unaamini hivyo ww siyo masndiko matskatifu.
@@miltonjohn9779 hey am a Muslim
Hauwezi kutumia akili zako kwenye dini
Wakiristo wamelaaniwa ndo maan hawaelew
Mwi wa midaalo hii matokeo ni nini?
Mwisho wa Mahubiri unayosikia Kanisani kwenu ni Nini?
Mazinge acha kuongopea watu sasa wewe mwenyewe wajua ijumaa ikitoka inakija ipi
Sas elimu ya uprofs uliutoa wp wakati hujui biblia mimnaonakabisa hunajipya unabwabwaja tu
Mazinge ni Uswahili tu hoja za kidini hana kabisa nutaamaa niwe mkristo tu maana watu wanatoa hoja na siyo waswahili Swahili
Wew tupe hoja zako basi 😂😂😂😂
Ukweli haupingwi kwa maneno yetu,nitafuata biblia siyo watu
Hawa ni wafilist
Na watanzania je?
HUKUMU zina yy Muumba wetu... mbona mwahukumu kuwa watu ni makafiri?
Wakristo mtachomwa nyiee
Nani kawaambia waislamu waabudu siku ya ijumaa??
Kuna mchungaji wa mwanzo apo akaanza kuisifia Qur'an kwakua inakubaliana na sabato anasema kuwa mungu kaitaja sabato ndani ya Qur'an na kasema sheria zake lazima zifuatwe
Sasa Qur'an ilipoitaja siku ya ijumaa anakataa anasema ijumaa imetungwa na watu. Wachungaji hamjielewi mshazoea katika kitabu kuyakubali nusu na mengine kuyakataa sasa kwann uikubali sabato ndani ya Qur'an na uikatae ijumaa ndani ya Qur'an?
Au unafikili Qur'an ni kama biblia? Wakristo Mumepotea kweli
Sasa kwann usifate sabato kama Quran imekuamrisha ufate sabato
@@benjaminsika1782
Kwann unilazimishe nifuate sabato wakati nimeamrishwa niifuate ijumaa?
@@faudhiasaidi3669 sio Mimi ni qoran yenu ndo imewataka mufute sabato hakuna andiko lolote kwenye qoran imesema ijumaa ni siku ya ibada hakuna na kama lipo toa
@@benjaminsika1782
Nyie mumebaki viroja ambao sabato hamkuandikiwa nyinyi na mnaifuata wakati walioandikiwa sabato waliivunja wakabadilishwa wakawa manyani na mangurue
Walioandikiwa sabato sio sisi
إِنَّمَا جُعِلَ السَّبْتُ عَلَى الَّذِينَ اخْتَلَفُوا فِيهِ ۚ وَإِنَّ رَبَّكَ لَيَحْكُمُ بَيْنَهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فِيمَا كَانُوا فِيهِ يَخْتَلِفُونَ
[ AN NAH'L - 124 ]
Hakika siku ya Sabato (Jumaamosi) waliwekewa wale walio khitalifiana kwa ajili yake. Na hakika Mola wako Mlezi bila ya shaka atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitalifiana.
Yakwetu tumeandikiwa ijumaa
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ لَّكُمْ إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ
[ AL - JUMUA' - 9 ]
Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua.
Nilivyo muelewa ijumaa ilianza kabla ya muhamad aliye shushiwa hilo andiko. Sas ijumaa kabla ya muhamad how it come
Na wewe mazinge kumbe mbabaishaji tu