Advent Sound TV
Advent Sound TV
  • 117
  • 1 312 927

วีดีโอ

MAZINGE NA SHAFII WAUNGANA KUMKABILI NDACHA MPAKA KIELEWEKE
มุมมอง 1.1K5 หลายเดือนก่อน
Mdalo kati ya Wakristo na Waislamu uliofanyika Dar es salaam kuanzia tarehe 23 hadi 25 Agosti 2025
WASABATO NA WAISLAMU: KONGAMANO LA AMANI NA MAHUSIANO
มุมมอง 1535 หลายเดือนก่อน
WASABATO NA WAISLAMU: KONGAMANO LA AMANI NA MAHUSIANO
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024, KITABU CHA MARKO, SOMO LA 7
มุมมอง 1015 หลายเดือนก่อน
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024, KITABU CHA MARKO, SOMO LA 7
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024, KITABU CHA MARKO, SOMO LA 6--MAKOMBO KWA AJILI YA MBWA
มุมมอง 3195 หลายเดือนก่อน
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024, KITABU CHA MARKO, SOMO LA 6 MAKOMBO KWA AJILI YA MBWA
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024, KITABU CHA MARKO, SOMO LA 6--MAPOKEO V/S NENO LA MUNGU
มุมมอง 6335 หลายเดือนก่อน
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024, KITABU CHA MARKO, SOMO LA 6 MAPOKEO V/S NENO LA MUNGU
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024. KITABU CHA MARKO SOMO LA 5
มุมมอง 2515 หลายเดือนก่อน
MWONGOZO WA BIBLIA: LESONI ROBO YA 3 2024. KITABU CHA MARKO SOMO LA 5
HATIMAYE NDACHA KUSILIMU, AWEKA UKWELI WOTE HADHARANI
มุมมอง 31K5 หลายเดือนก่อน
HATIMAYE NDACHA KUSILIMU, AWEKA UKWELI WOTE HADHARANI
MDAHALO KONGO: NDACHA VS UPANGA, WANAWAKE WA KIISLAMU WAPIGA MAKOFI, MUHAMMAD NI MTUME WA WAARABU TU
มุมมอง 2946 หลายเดือนก่อน
MDAHALO KONGO: NDACHA VS UPANGA, WANAWAKE WA KIISLAMU WAPIGA MAKOFI, MUHAMMAD NI MTUME WA WAARABU TU
WASABATO NA WAISLAM WAJA PAMOJA KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU
มุมมอง 39810 หลายเดือนก่อน
WASABATO NA WAISLAM WAJA PAMOJA KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU
MCH. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. KUHESABIWA HAKI KWA IMANI
มุมมอง 40711 หลายเดือนก่อน
MCH. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. KUHESABIWA HAKI KWA IMANI
PR. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. NA WANIFANYIE PATAKATIFU
มุมมอง 31211 หลายเดือนก่อน
PR. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. NA WANIFANYIE PATAKATIFU
PR. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. "USILITAJE BURE" AMRI YA 3
มุมมอง 1K11 หลายเดือนก่อน
PR. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. "USILITAJE BURE" AMRI YA 3
PR. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. "MIMI NI BWANA" AMRI YA 1
มุมมอง 39411 หลายเดือนก่อน
PR. BOSCO TUNGARAZA: AMRI ZA MUNGU KATIKA MTAZAMO WA UWAKILI BUSWELU SDA. "MIMI NI BWANA" AMRI YA 1
MDAHALO, NDACHA VS DR SULE: QUR'AN SAHIHI ILICHOMWA IKABAKI YA WATU TU
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
MDAHALO, NDACHA VS DR SULE: QUR'AN SAHIHI ILICHOMWA IKABAKI YA WATU TU
MDAHALO MKUBWA, BIBLIA AU QUR'AN KIPI CHA KWELI?: CECIL SIMBAULANGA AWAPA SOMO WAISLAMU
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
MDAHALO MKUBWA, BIBLIA AU QUR'AN KIPI CHA KWELI?: CECIL SIMBAULANGA AWAPA SOMO WAISLAMU
MDAHALO TANGA: MASWALI YA MAZINGE NA BONGO YAJIBIWA KWA UFASAHA NA WAALIMU WA KIKRISRO
มุมมอง 625ปีที่แล้ว
MDAHALO TANGA: MASWALI YA MAZINGE NA BONGO YAJIBIWA KWA UFASAHA NA WAALIMU WA KIKRISRO
MAZINGE NA WAISLAMU WAELEWA SOMO, UISLAMU SIYO DINI YA MANABII: MWALIMU YOHANA OMARY AFAFANUA
มุมมอง 31Kปีที่แล้ว
MAZINGE NA WAISLAMU WAELEWA SOMO, UISLAMU SIYO DINI YA MANABII: MWALIMU YOHANA OMARY AFAFANUA
NDACHA JUU YA UTATU MTAKATIFU: MASWALI YA WASIKILIZAJI NA MAJIBU.
มุมมอง 865ปีที่แล้ว
NDACHA JUU YA UTATU MTAKATIFU: MASWALI YA WASIKILIZAJI NA MAJIBU.
NDACHA JUU YA ROHO MTAKATIFU: JE, ROHO MTAKATIFU NI NANI HASA?
มุมมอง 2.3Kปีที่แล้ว
NDACHA JUU YA ROHO MTAKATIFU: JE, ROHO MTAKATIFU NI NANI HASA?
NDACHA JUU YA UUNGU WA YESU: JE YESU NI MUNGU KWA ASILI AU KWA KURITHI?
มุมมอง 296ปีที่แล้ว
NDACHA JUU YA UUNGU WA YESU: JE YESU NI MUNGU KWA ASILI AU KWA KURITHI?
NDACHA JUU YA UTATU MTAKATIFU PART 01
มุมมอง 2.5Kปีที่แล้ว
NDACHA JUU YA UTATU MTAKATIFU PART 01
ISHMAELI AU ISAKA? : KIPINDI CHA MASWALI. MAZINGE NA WAISLAMU WAKOSA MAJIBU
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
ISHMAELI AU ISAKA? : KIPINDI CHA MASWALI. MAZINGE NA WAISLAMU WAKOSA MAJIBU
MPANGO WA MUNGU KWA WAISLAMU
มุมมอง 442ปีที่แล้ว
MPANGO WA MUNGU KWA WAISLAMU
SWALI GUMU KWA MAZINGE NA WAISLAMU: MUHAMMAD ALISALI NA VIATU, NYIE MMEPATA WAPI AMRI YA KUVIVUA?
มุมมอง 360Kปีที่แล้ว
SWALI GUMU KWA MAZINGE NA WAISLAMU: MUHAMMAD ALISALI NA VIATU, NYIE MMEPATA WAPI AMRI YA KUVIVUA?
KUMBE WAISLAMU WANATAKIWA KUPIGA KIWI VIATU NA KUSWALI NAVYO! MAZINGE ATOA UFAFANUZI
มุมมอง 3.5Kปีที่แล้ว
KUMBE WAISLAMU WANATAKIWA KUPIGA KIWI VIATU NA KUSWALI NAVYO! MAZINGE ATOA UFAFANUZI
ISHMAEL AU ISAKA? MAZINGE NA WAISLAMU WAWEKWA WAZI NA MWALIMU YOHANA OMARY.
มุมมอง 23Kปีที่แล้ว
ISHMAEL AU ISAKA? MAZINGE NA WAISLAMU WAWEKWA WAZI NA MWALIMU YOHANA OMARY.
JE YESU ALIKUWA DINI GANI? SWALI LA MAZINGE LAJIBIWA KWA UFASAHA NA MWL YOHANA OMARI
มุมมอง 640Kปีที่แล้ว
JE YESU ALIKUWA DINI GANI? SWALI LA MAZINGE LAJIBIWA KWA UFASAHA NA MWL YOHANA OMARI
JE YESU ALIINGIA KANISANI? : SWALI LA MAZINGE LAJIBIWA KWA UFASAHA NA WAALIMU WA KIKRISTO
มุมมอง 17Kปีที่แล้ว
JE YESU ALIINGIA KANISANI? : SWALI LA MAZINGE LAJIBIWA KWA UFASAHA NA WAALIMU WA KIKRISTO
MAZINGE AWAASA WAISLAM KUTUNZA SABATO PART 2: MASWALI NA MAJIBU
มุมมอง 60Kปีที่แล้ว
MAZINGE AWAASA WAISLAM KUTUNZA SABATO PART 2: MASWALI NA MAJIBU

ความคิดเห็น

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 4 วันที่ผ่านมา

    Sheikh mazinge mnamkata akifanunua😂 nashukuru kwa kuwa muislamu Alhamdulilah ❤

  • @ZusiNachita
    @ZusiNachita 13 วันที่ผ่านมา

    Tumswalie mtume sw

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 15 วันที่ผ่านมา

    Jina la Yesu lihimidiwe✝️🛐💕

  • @Badbwoyofficial01-s4w
    @Badbwoyofficial01-s4w 17 วันที่ผ่านมา

    Izo biblia niza capie tumikisheni original

  • @seifadrash579
    @seifadrash579 19 วันที่ผ่านมา

    Kaiguse uone moto wake hiko ni kitabu cha kweli ila bibilia ni uongo ndio maan hat ukikifny nn huadhibiwi

  • @MwanaishaShabani-d3s
    @MwanaishaShabani-d3s 20 วันที่ผ่านมา

    Duuuh nashukuru kwa kuzaliwa muislam

  • @NuruMash
    @NuruMash 20 วันที่ผ่านมา

    Nomaa juu ya nomaaa

  • @rosemathias4288
    @rosemathias4288 21 วันที่ผ่านมา

    Wew ndo mbishiii kofikraaa

  • @NzeimanaSanda
    @NzeimanaSanda 22 วันที่ผ่านมา

    Maada ni nzuri inatuelimisha❤

  • @JembeKaka
    @JembeKaka 24 วันที่ผ่านมา

    Akkua Na deni

  • @MaombiBulambo
    @MaombiBulambo 26 วันที่ผ่านมา

    Wa islam wana pepo wahuhongo 😢😢

  • @Anord-u3n
    @Anord-u3n 27 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Ayxha12Zanzibar-h9u
    @Ayxha12Zanzibar-h9u 28 วันที่ผ่านมา

    Waalimu wa kiislamu vichwa chini kwa aibu. Hakika bila uongo hakuna uislamu.

  • @BabaKom-s5d
    @BabaKom-s5d 28 วันที่ผ่านมา

    Yesu hawezi kuwa na dini maana neno dini kwa lugha ya kiarabu ni njia ya kumuelekea Mwenyezi Mungu sasa Yesu mwenyewe ni njia anawezaje kua na dini John 14:6

  • @DanToo-pt1hv
    @DanToo-pt1hv 28 วันที่ผ่านมา

    Ukiingia na viatu ama uingie bila, maombi yako yatajibiwa tu,, Maswali za upuzi

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 29 วันที่ผ่านมา

    Yan mchungaji hakika ambae hajaelwa ,,huo ni washetani

  • @EmmanuelMikael-in1ej
    @EmmanuelMikael-in1ej หลายเดือนก่อน

    Philipo Roho mtakatifu si nafsi roho mtakatifu akiwa nje ya mtu haitwi nafsi!! Hiyo DA 671 uliyoisoma imeanza na small capatil maana yake huyo sio roho mtakatifu

  • @AbdallahAlly-zz6kx
    @AbdallahAlly-zz6kx หลายเดือนก่อน

    Allah awape umri mlefu masheikh zetu

  • @johnwabwile4404
    @johnwabwile4404 หลายเดือนก่อน

    Mbogo ana majini 78

  • @johnwabwile4404
    @johnwabwile4404 หลายเดือนก่อน

    Allah ni masanamu yaliyokuwa 365 kule kaaba kisha Muhammad akaunganisha na kulifanya moja. Huyo ndo Allah

  • @johnwabwile4404
    @johnwabwile4404 หลายเดือนก่อน

    Waislamu walikuwa wanazuia tusiguze kurani kumbe imeficha uozo huu!

  • @johnwabwile4404
    @johnwabwile4404 หลายเดือนก่อน

    Mazinge na maswali rahisi!

  • @SwalhinaAli
    @SwalhinaAli หลายเดือนก่อน

    Mazinge kiboko yao Allah akuzidishie umri na afya njema

  • @SaidZahro-j6t
    @SaidZahro-j6t หลายเดือนก่อน

    wakiristo wanajua kua uislm ndio dini sahihi lkn wapend ubishi t ,lkn Allah kashaahidi ورأيت الناس يدخلون في دين الله افواجا mtakubali t nyiny uislm

  • @HaggaiSimiyu-g2f
    @HaggaiSimiyu-g2f หลายเดือนก่อน

    Yesu ndiye njia nakweli amen

  • @UthayminUthman
    @UthayminUthman หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @UthayminUthman
    @UthayminUthman หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf หลายเดือนก่อน

    Mniwakilishie hili swali langu liwe hoja maana had sasa linanipa maswali gani ni njia ya kweli.....nahitaji aya inayosrma yesu anashirikiana na majini katika biblia

  • @momadesumail-o2j
    @momadesumail-o2j หลายเดือนก่อน

    Asante prof mazinge nakupenda sana

  • @karimuabdala3234
    @karimuabdala3234 หลายเดือนก่อน

    Ulieweka Post umekata baadhi ya maneno ya mashekhe ulaaniwe hata kama neno limekutach usilikate watu wanataka uongofu

  • @josephgumbo2917
    @josephgumbo2917 หลายเดือนก่อน

    Ole wake awapotezae njia Wana wa Mungu moto wa jehanamu ni wake na wafua si wake

  • @MajidWakoli
    @MajidWakoli หลายเดือนก่อน

    Magaidi wa Al shabaabs ni wakrissto ama waislam?

  • @MajidWakoli
    @MajidWakoli หลายเดือนก่อน

    Thanks kwa mjadala komavu, hauna hasira ya waislamu

  • @isayaogola8733
    @isayaogola8733 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Mungu akubariki

  • @KenyaPower-u8l
    @KenyaPower-u8l หลายเดือนก่อน

    Mimi niliuliza wa sabato kwa bibilia imeandikwa ati yesu alirudisha punda za wenyewe

  • @AbrahamuMcharo-j2r
    @AbrahamuMcharo-j2r หลายเดือนก่อน

    Swami la mazinge Galina maana yeyote! Uislamu uliletwa na Mtume Muhammad miaka 600 na ushei,kama kweli ni hivyo,hui uislamu wa Yesu Nani aliuleta?

  • @MichaelMburu-t4o
    @MichaelMburu-t4o หลายเดือนก่อน

    Sote tumetenda mbaya tuombeni msamaha kwa mungu

  • @UstadhAyubTV
    @UstadhAyubTV หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mabruuk muhadhir muislamu

  • @ModestJohn-z9m
    @ModestJohn-z9m หลายเดือนก่อน

    Kwaza kabisa nimefuray San vionqoz wet wa din kuket pamoja munqu awabarik san

  • @kidawaadam2725
    @kidawaadam2725 หลายเดือนก่อน

    Yesu aripewa mamuraka hapa duniyani paka biguni. Yeye do jiya ya uzima

  • @kidawaadam2725
    @kidawaadam2725 หลายเดือนก่อน

    Ndini yakwer ni ukrsto. Kwaza waisiramu wanaroho baya murudiyeni yesu

  • @AgustinoCornel
    @AgustinoCornel หลายเดือนก่อน

    Ticha yohana mbamba nyingii

  • @AgustinoCornel
    @AgustinoCornel หลายเดือนก่อน

    Akuna kutoka njee ya mada ndo msingi tuzingatie ilooo akuna mbamba

  • @Khadija-k6o
    @Khadija-k6o หลายเดือนก่อน

    Allah akure umri zaidi sheik wetu na akujaalie pepo ya fridhausi na quran itabaki kuaizi kuran tu haiwezi kubadilishwa abadan

  • @EdwinPhiri-gj5qv
    @EdwinPhiri-gj5qv หลายเดือนก่อน

    Ivi ipo sk mmoja atamkubari mwingine kwenye mabishano yenu?

  • @DamasNakatapala
    @DamasNakatapala หลายเดือนก่อน

    Qu an 5:82 inasema wakristo wacha mungu anayesema wakristo makafiri uyo no mchongoma wa msikitini sio muisilam

  • @DamasNakatapala
    @DamasNakatapala หลายเดือนก่อน

    Kama mungu Hana mshilika kuraan inasema na tulimumba mwanadamu mungu alikua nanan?

  • @SamsonSamsonlopua
    @SamsonSamsonlopua หลายเดือนก่อน

    Sharia ya mfalme kila mtu asipo amini atakwenda jehenam Marko 9:42-47 mathayo 25:41 kibirit iko tayari Kwa wasio Amini watakwenda jehenam milele na milele mtakuwa kama Sodom nangomora

  • @SamsonSamsonlopua
    @SamsonSamsonlopua หลายเดือนก่อน

    Sheria ya mfalme kila mtu asipo amini atakwenda jehenam Marko 9:42-47 waislamu wasome neno la mungu vizuri

    • @SamsonSamsonlopua
      @SamsonSamsonlopua หลายเดือนก่อน

      Mathayo 25:41 kibirit iko tayari Kwa wasio Amini watakwenda jehenam mile namilele,waislamu mtakuwa kama Sodom nangomora

  • @MbarukuMohamedi-e3y
    @MbarukuMohamedi-e3y หลายเดือนก่อน

    Tusiabudu kwa mazoea tusomeni tujue diniipi niyahaki mbeleya mwenyezimungu