HUYU NI MALAANIFU KWANINI UNAMTETEA ? || Muhammad Bachu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 123

  • @k.kchakua1376
    @k.kchakua1376 13 วันที่ผ่านมา +6

    Jazaqallahu khaira sheikh wangu ..Allah akuzidishie Uhai na Afya njema Aamin ..Shukran Sana .

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 13 วันที่ผ่านมา +6

    Maashallah Allah, jazaakallahu khaira sheikh Muhammad bachu,,,
    ثبتنا الله وإياكم على الإيمان، ورزقنا القدرة على إعلان العدل في العالم أجمع، ورزقنا الإخلاص في أعمالنا، وأحسن خاتمتنا.

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 12 วันที่ผ่านมา

    Wallahi shekh Muhammad bachu wewe ni kiungo muhimu sana katika jamii unatuelimisha sana na kila leo unazidi kutupatia nafaqa na rutba ya nyoyo Kisha unawatia mangoto ya mioto hawa vikaragosi .
    أطال الله بقائك بالخير والبركة .

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 13 วันที่ผ่านมา +4

    Maashaallah sheikh Muhammad tunaendelea kustafid sana Allah akupe afya njema

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 3 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Kwa ufasaha kabisa tumepata faida
    Allah akupe kheri

  • @KIFUNDY6-qk7ef
    @KIFUNDY6-qk7ef 12 วันที่ผ่านมา

    Ninachompendea sheihk wangu M bachu ni kwamba ana full evidence mashaaallah hao hawana elmu kwa kweli maana wanaongea tu bila ushahidi

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 12 วันที่ผ่านมา

    Mashallah shekhe wetu allah akulipe kwa elimu, ila twaomba UJE kwa hawa waganga uwaweke sawa ,TWAKUPENDA KWAAJILI YA ALLAH ❤❤❤❤

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 13 วันที่ผ่านมา +6

    Tuko pamoja Mwalimu wangu

  • @MwanaidAmri-y6x
    @MwanaidAmri-y6x 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nakuelewa sanaa muhammad bachuuuu❤❤❤❤ ALLAH akuzdshie elmu kipenz cha ALLAH❤❤❤❤❤❤

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 13 วันที่ผ่านมา

      Mimi kadhalika huwa namuelesa sana

  • @Maliha-l9q
    @Maliha-l9q 13 วันที่ผ่านมา +1

    Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar bachu kwanza tunakupen snaaaa kwa Ajili ya Allah sw mm leo nnakuombea kwahii juhudi yako Allah Akulinde na riaa na Akutakase na ufanye matendo kwa ikhlass Allahu Akbar Allahu AKbaar Allahu Akbar.

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 13 วันที่ผ่านมา

      Amin rabbilg'aalamin

  • @Sayfumakame
    @Sayfumakame 12 วันที่ผ่านมา

    Akh i i i muhammad masha allah Namuomba allah akupe umriii mrefu wenyekheri ndani yake

  • @اسماعيل-ه4ه
    @اسماعيل-ه4ه 13 วันที่ผ่านมา +5

    mimi nakuelewa Sheikh wangu allah akufanya wepes

  • @NoorAli-vj4gn
    @NoorAli-vj4gn 13 วันที่ผ่านมา +12

    Alhamdulillah Leo nimejaaliwa kutangulia comment

  • @HasanSink-s2m
    @HasanSink-s2m 13 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah sheikh Allah akupe afya njema

  • @OMARIOMARI-j5j
    @OMARIOMARI-j5j 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah, TANDIKA HAWA MAJAHIL SHEKHE USIWAPUUZE

  • @AsimAli-d4i
    @AsimAli-d4i 13 วันที่ผ่านมา +1

    mashallah Mola azidi kutuongoza kwenye hakki

  • @AmeDude-x2b
    @AmeDude-x2b 13 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah shekh wng mwanzo nilikua sija kuelewa ila ilakadr siku zivyo enda mambo nimazr mwenyez mungu atujaalie uzid kutapa elimu na mwenyez mungu akujaalie kila lakher

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 13 วันที่ผ่านมา +2

    Shukran sheikh ❤❤❤❤

  • @AhmedMohamed-mw3ev
    @AhmedMohamed-mw3ev 13 วันที่ผ่านมา

    Allah akulinde kwa kila jambo baya mm nakufahamu sana shukran kwa elimu unayo tupa nishasema sana huyu jama ana asilimia kubwa siii muslim hoja zake hazina msingi hata kidogo shukran kwa kumuweka sawa ataelewa tuu na atakuja kwenye njia ya hakii insha Allah

  • @muhammadkhamis9396
    @muhammadkhamis9396 13 วันที่ผ่านมา

    Maashaallah shekhe me nakuombea dua tu Mungu akufanyie wepesi ktk mambo yako yote ya kheri.

  • @nassorally2441
    @nassorally2441 13 วันที่ผ่านมา

    Shukran akhy, Allah akulipe kheri kwa hii ilmu unayotugawia

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa 13 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Muhammad Bachu Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Manufaa Nawe Pia Azidi Kukutumia Katika Dini

  • @NahimanaAssumani
    @NahimanaAssumani 12 วันที่ผ่านมา

    Maashaa Allah

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nacheka Sana Et Kwenye Damu Yangu Kuna Kujenga Hoja Au Kuvunja Hoja Daaaah Sheikh Nafurahi Sana

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 13 วันที่ผ่านมา

      Anajiamini sana na ndivyo inavyotakiwa

  • @salumzahor5546
    @salumzahor5546 13 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah sheh muhamad Kwa elimu nzuri

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 13 วันที่ผ่านมา +1

    فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة ‏ "♥"🤲🏽❤

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 13 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwa kupeleka yeye shule.... masufi na ilmu ndio hio kwa wenye hawajui

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 13 วันที่ผ่านมา

      Hapa hapana sufi wa ibadi ispokuwa wewe ndio usufi (uleuna peperuka)

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 13 วันที่ผ่านมา

      We unaeabudu miungu mitatu ndo unaijua dini!.

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 13 วันที่ผ่านมา

      @IsmailSanga tunapwekeshea Allah mambo matatu, which means there are 3 things that we do for Allah alone lakini hatuabudu miungu mitatu as you lie na utalipia hayo mbele ya Allah

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 13 วันที่ผ่านมา

      @mohagurey2214 Sheik wako bachu alisema usipokua Na hayo ma tawheed matatu wewe bado si mwislaaam!,Niwapi MTUME alisema usipokua Na hayo matawheed matatu wewe si mwislaam!?.

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 13 วันที่ผ่านมา

      @IsmailSanga jifanya kichwa ngumu lakini utaelewa mbele ya Allah na lazima, hawa mashehe wenye wanawapotezemi mtajuta siku ya qiyama,.....sisi tunasema "kuna mambo matatu unafaa kufanyia Allah pekee yake '' na hio ndio kwa kiarabu yanaitwa tawheed na kwa kizungu"there are 3 things that a Muslim should do for Allah alone " and you do any of those three for other than Allah then utakuwa mushrik.....ni nn huelewi hapo? Ama Yusuf Diwani kakuambia uongo eti sisi tunagawa Allah sehemu tatu ambayo ni uongo

  • @mubariekabrahams2650
    @mubariekabrahams2650 13 วันที่ผ่านมา +1

    Usichoke kusomesha sheikh Mohammad Majihill wengi sana na wapenda ligi ligi. Na elimu ndio tatizo kubwa.

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 13 วันที่ผ่านมา

    Dah! Nimebaki nikivunjika mbavu...Alhamdulillah...japo hayachekeshi

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 12 วันที่ผ่านมา

    MAASHAA ALLAH

  • @kisiwaPanza
    @kisiwaPanza 13 วันที่ผ่านมา +4

    Assalamu Alaikum warahmatullah Wabarakatuh.. Al Akhy Nassor Mi Naona Hao Watu Wengine Wapo Kwenye Kukushughulisha TU Maana Sizanii Kama Hayo Unayo Wajibu Wao Wanayafanyia Kazi Wapo Kwenye Ubishani na Sio Kutoa Elimu .. na Hasa Huyu Ulie mjibu Kwenye post Hii..

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 13 วันที่ผ่านมา

      Nikweli mkuu nakubali maneno yako

  • @اسماعيل-ه4ه
    @اسماعيل-ه4ه 13 วันที่ผ่านมา +2

    tufudishe Sheikh watu tunapata faida sana mimi kama mimi niliandika maneno ya mtoto umara na nikatowa kalima madrasa

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah

  • @KitasaWaaction-gm9zr
    @KitasaWaaction-gm9zr 13 วันที่ผ่านมา

    Wanakuelewa sana Bachu ila hao ni wabishi tu

  • @اسماعيل-ه4ه
    @اسماعيل-ه4ه 13 วันที่ผ่านมา +1

    mwalimu bachu wajamaa awasomi vitabu

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 13 วันที่ผ่านมา

    Mashaalah sheikh bachuu

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx 13 วันที่ผ่านมา

    Kweli nyiny mashehe wa mitandao

  • @HarithAlyhamadi
    @HarithAlyhamadi 13 วันที่ผ่านมา +2

    Shekhe Muhammad mim nakukubali sana ila heb achana na mijadala ambayo hayana maana kwamfano km ilo la hamonaiz alikuwa uliyache t mim syoni km alikuwa Kuna haja lakuliinglya ilo

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 13 วันที่ผ่านมา

      Inahaja ya kujibu kwakua kuna watu wataiga bila kupata ufafanunuzi

    • @HarithAlyhamadi
      @HarithAlyhamadi 13 วันที่ผ่านมา

      @MgazaMhina a mim naona hakuna haja shekhe wang alikuwa amuwachiye t uyo hamonaiz na ujinga wake na huyo yus diwan na fatwa yake bac kunahaja gan kila kila sku mizoz t haiyishi tena mizozo mengine hata siyamaaana asa

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 13 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@HarithAlyhamadikwa iyo kila anaefanya ujinga aachwe? Sasa iyo kazi ya da'awa itakuwa na maana gani? Jamii ya kawaida ya kiislam unataka waige kutoka katika hao wajinga?

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@nassirali7499bachu we sema endele lilo sawa tuta pokea na lisilo sawa tutajuachi
      Kwa hili uko sawa nnakuunga mkono
      Binaadam hatuko sawa
      TUOMBEHEMA ZA ALLLAH

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 13 วันที่ผ่านมา

      Ipo haja yakuliongelea hilo kwa7bu kila mwanadam anatakiwa awe ktk njia ya sawasawa

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 13 วันที่ผ่านมา

    ❤Waalaykum salam warahmatullah
    wabarakatuh

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 13 วันที่ผ่านมา

    M/mungu akubar

  • @اسماعيل-ه4ه
    @اسماعيل-ه4ه 13 วันที่ผ่านมา +2

    yeye ndiye akukunywa chai tumepata faida sn

  • @HasanSink-s2m
    @HasanSink-s2m 13 วันที่ผ่านมา +1

    Endelea sheikh kutubainishia

  • @NajmaSalim-xy7jx
    @NajmaSalim-xy7jx 12 วันที่ผ่านมา

    Amelaniwa

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 13 วันที่ผ่านมา

    Thanks

  • @ShamisAbdalla-c6j
    @ShamisAbdalla-c6j 13 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤

  • @saidekilassaide5686
    @saidekilassaide5686 13 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 13 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah wajinga tunaopenda kujifunza tunaendelea kupata faida katika ikhtilafu😂hizi acha ziendelee tu zinatuamsha tunakumbea kwa Allah shekh Bachu Allah azidi kukuhifadh

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 12 วันที่ผ่านมา

    Mwalim hayo ndio maswali ya makafiri

  • @mimishaidu5812
    @mimishaidu5812 13 วันที่ผ่านมา

    Harmonize haya mambo ndo anayapenda na hatoacha kuyafanya kwa makusudi ili mumuongelee yaani harmonize anapenda kuongelewa..na ikiwa amejiunga na Illuminate basi hao ndio wanaomtuma kumtukana mungu na kumchanganya kwenye mambo ya batwil😢😢😢

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 13 วันที่ผ่านมา

    Shekh Muhammad bachu tafadhali nakuomba achananae huyo jamaa hafai kupewa attention kubwa kiasigani hichi anatafta kujulikana kupitiya ww tafadhali shekh achananae tunakuomba

  • @KassimSaary-q5r
    @KassimSaary-q5r 13 วันที่ผ่านมา

    🎉 Yani huyu jamaa ati Ni shekhe kweliiii ??? ama Ni pararira tu,

  • @AlhajiAhmadi-nz9ms
    @AlhajiAhmadi-nz9ms 13 วันที่ผ่านมา

    Munaharibu Dini Bachu simuache kujibizana

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe kichwa kibovu kwahiyo waachwe watu waharibu dini kwenye mitandao

    • @yussufsule4793
      @yussufsule4793 8 วันที่ผ่านมา

      Tunapata faida kubwa ktk hayo majibizano

  • @saidsalim2561
    @saidsalim2561 13 วันที่ผ่านมา

    Utamuu wa hii clip ni ختامه مسك dakika ya 32:15😂😂😂😂😂

  • @shuaibalula9003
    @shuaibalula9003 13 วันที่ผ่านมา

    Huyo Lidai anataka umuunge mkono

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 13 วันที่ผ่านมา

    we ndo utaenda peponi...ngedere kwel ww

  • @AlhajiAhmadi-nz9ms
    @AlhajiAhmadi-nz9ms 13 วันที่ผ่านมา

    Ila hayeni mnaleta ushindani wa kielim ,saa nyingine mnanufaisha makafiri

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 13 วันที่ผ่านมา

    Ungemueleza ili mtu afanye nini ili akufuru basi ingekuwa elimu kwetu

  • @اسماعيل-ه4ه
    @اسماعيل-ه4ه 13 วันที่ผ่านมา +1

    yule mjana katika dini ajuwii kitu chochote

  • @mbwanahussen2950
    @mbwanahussen2950 13 วันที่ผ่านมา +1

    Shekhe uyo jamaa ajitambui anakili za kitoto

  • @HilmiHilal-g8j
    @HilmiHilal-g8j 13 วันที่ผ่านมา

    Mi nimestaajabu sana kuona Rwambo amepata attention ya mmoja wa mashekhe wakubwa kama Bhachu! ... kwasisi tunaomjua huyu Rwambo toka utotoni tunamjua wazi ni mtu wa aina gani. In my opinion, hastahili hata kujibiwa kwasababu ni mtu anaetafuta umaarufu tu.
    Watu hubadilika, inawezekana ninavyomjua mimi sivyo alivyo kwa sasa ila naomba atuambie ana elimu gani katika dini kiasi cha kujitia kimbelembele tena kwa kuwakosoa mashekhe wakubwa.
    Ni kijana asiyekuwa na adabu na anatakiwa kuadabishwa, period.

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 13 วันที่ผ่านมา

    Mke hulaaniwa na malaika mpaka kucha kwa kuto itika wito wa Mume kitandani ila mke hatoki kwenye Uwislam kwa kosa hilo

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 13 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Bachu una hangaika na kidagaa, huyo ungewaachia watoto wa chekechea waangaike naye.

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 13 วันที่ผ่านมา

    A.alaikum
    Mimi nashangaa na hawa watu wanao mlaumu Sheikh M.Bachu but in reality M.Bachu hajawai ongea kwa maneno yake mwenyewe bali huongea kwa kutumia maneno ya wanawazuoni,sasa nashangaa mtu mzima mwenye akili zake tena msomi kama sheikh Y.Diwani ati anashindwa kutofautisha kati ya maneno ya M.bachu na ya Wanawazuoni.

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa 13 วันที่ผ่านมา

    Huyo Lida Hata Hadhi Ya Kuwa Mhadheen Msikitini Hana Achana Nae

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa 13 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Muhammad Bachu Huyo Tapeli Lida Achana Nae Mpe Udhuru Ni Jaaahil Hajitambui Achana Nae

  • @IsmailSanga
    @IsmailSanga 13 วันที่ผ่านมา

    Umesema hajatoka kwenye uislaam baada ya laana,Vipi unasema tena akifa haifai kumzika?.

    • @AliJuma-go4rc
      @AliJuma-go4rc 13 วันที่ผ่านมา

      Hajasema haifai kumzika kasema yeye haendi kumswalia

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 13 วันที่ผ่านมา

      @@AliJuma-go4rc Sasa hayo nimafundisho yanani? Mwislaam anapofariki wewe huziki!.

    • @yussufsule4793
      @yussufsule4793 8 วันที่ผ่านมา

      Hayo mafundisho kwa waislam wasifanye mambo mabaya hata mtume hakumsalia mtu aliekufa na deni tu na alikuwa muislam

  • @JumaRashidRamadhan
    @JumaRashidRamadhan 13 วันที่ผ่านมา

    Sheikh muhammad, huyo jamaa alouliza hayo masuali, hajui dining halafu ni mwandawazimu,yake maamuzi yako ya kumfunga kamba na kumpeleka kwa wandawazimu wenziwe.ndio inamfaa.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa akae kitako asome kwanza na aache ujinga wake wa kutaka kuizungumzia Dini haliyakua Elimu ya kuzungumza mambo ya Dini hana

  • @huseynmaingu6073
    @huseynmaingu6073 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu mbumbumbu tu...

  • @BradothAdm
    @BradothAdm 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu rwambo lida mjinga jahili murakkab

  • @JumaChabanempondinho-t8y
    @JumaChabanempondinho-t8y 13 วันที่ผ่านมา

    Kutuonesha vitabu unavyo tuolimisha iyo ni alia unajitukuza tukuone msomi jua ivi kwenye wasomi kuna wasomi zaidi tubadilike lia ni shirki

  • @athaum05
    @athaum05 13 วันที่ผ่านมา

    Miongoni mwa mafanikio ya wajinga ni kuuzungumzia ujinga wanaoufanya
    Kwao inakuwa ni kick
    Kwao ni mtaji

  • @NajmaSalim-xy7jx
    @NajmaSalim-xy7jx 12 วันที่ผ่านมา

    Kwani wewe wamtetea wa nani babu

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi 13 วันที่ผ่านมา

    Sheikh muhammad me naomba tu km ushaur wng hawa w2 wengine wapo kw ajl ya kukurejesha nyuma na ni mchezo maalum ili tu dini usiipeleke mbele, me naomba hawa wajinga ambao ktk mioyo yao ishaota kutu achana nao sisi tunahitaj mafunzo ya dini hawa wengine watajibiw na wtt ambao wapo wanaweza ila ww tupelekee dini mbele usikubal kurejeshw nyuma na wajinga km hawa...

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 13 วันที่ผ่านมา

    Maana kila uksikiliza unakuta ujinga mtupu anao ongelea, alianza na maswali kuhusu adhabu za kaburi,...lkn kila siku apekua mengine tu,
    Shekh Muhammad kama sio hivyo kuwapa watu faida basi ingependeza zaidi na zaidi wajinga kama hawa kuwapuuza

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 13 วันที่ผ่านมา

    Wacha ujinga kwani kila aliekufuru katoka ktk uislamu?
    Mwehu kweli wewe

    • @MaMa-gp1pw
      @MaMa-gp1pw 13 วันที่ผ่านมา

      Ndio.wacha ufala.kukufuru ndio nini sini kitoka kwenye uislamu

    • @mohdkombo3397
      @mohdkombo3397 13 วันที่ผ่านมา

      @MaMa-gp1pw kumbe mwehu kama huyo zuzu la kiwahabi?

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 13 วันที่ผ่านมา

    Suala kuulizwa vyengine unajibu vyengine.
    Mwehu wewe

    • @YussufMohd-m2r
      @YussufMohd-m2r 13 วันที่ผ่านมา

      Weee na ww Kam huy Alie uliza suali

    • @mohdkombo3397
      @mohdkombo3397 13 วันที่ผ่านมา

      @YussufMohd-m2r kheri ya mjinga kuliko wapumbavu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 13 วันที่ผ่านมา

    Hiloo jisufi laonekana rais la majahli 😂😂

    • @suleimanmkanga
      @suleimanmkanga 13 วันที่ผ่านมา

      Unawajua masufi weye

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 13 วันที่ผ่านมา

      @suleimanmkanga si wale waabudu makaburi na wabulutao kanzu nsiwajue vipi

    • @suleimanmkanga
      @suleimanmkanga 13 วันที่ผ่านมา

      Hebu fuatilia asli ya hili jina na watu wake. kisha unambie hawa unaowajua weye ndiyo.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 13 วันที่ผ่านมา

      Linawezakana nili muhabi ndo maana halielewi.

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@AbdulIssa-o7eHao niwale wanaoabudu utatu mtakatifu.