TUMIA HIZI NJIA KUUZA ZAIDI KWENYE BIASHARA YAKO MTANDAONI, (sehemu ya darasa la kila mwezi)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Kuuza ni kujiamini kujua hasa unataka nini na kwa nini, ni kuwa muwazi, hivi unajua mteja anaweza kuacha kununua kwakuwa tu umeonekana haujiamini?

ความคิดเห็น • 5

  • @jbdedon
    @jbdedon 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka mbongo hatakama ukimuwekea bei bado hatasema nipunguzie tu..

    • @LacksonTungaraza
      @LacksonTungaraza 5 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kumpunguzia kidogo lakini bado ubaki ndani ya faida. Pia unaweza usipunguze bei ila ukamuongezea Bonus, mfano Saa elfu 50 betri za saa anapewa bure

  • @SHOMBYINVESTMENT
    @SHOMBYINVESTMENT 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tukitaka madarasa kama hayo tunafanyaje @dukahuru

    • @DUKAHURU
      @DUKAHURU  5 หลายเดือนก่อน +1

      Unaweza jiunga Karibu sana

    • @Sharifa_Fashion_21
      @Sharifa_Fashion_21 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@DUKAHURUbei gan