Nilianza na mtaji wa elfu kumi, Sasa namiliki SuperMarket na njia ni hii hapa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @johnstartv5455
    @johnstartv5455 2 ปีที่แล้ว +6

    Then hiz aspirational story zikiwa na pich/video huwa zinahamasisha saana!! Real good Job!! Nimekutana na vijana wengi ambao wamefanikiwa kwa kuona au kusukiliza shuhuda za namna hii!!Spirit of Dr Legnard Mengi.

    • @pazetv5639
      @pazetv5639 ปีที่แล้ว

      Dada devotha hongera sana nimejifunza kupitia unacho fanya

    • @pazetv5639
      @pazetv5639 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana nlitamani nikuone ofsini kwako! !

  • @bettykazoya2990
    @bettykazoya2990 ปีที่แล้ว +4

    Dada hongera sana ,kwa mafanikio, nimependa sana, maelekezo yako, hata mimi nataka nijifunze kupitia wewe, ubarikiwe.

  • @veronicamshandete3421
    @veronicamshandete3421 ปีที่แล้ว +3

    Asante dada mwanzo wako unafanana na mimi najua kunasehem naenda NAMI mafanikio yangu yako mbele🙏🙏

  • @user-rt5hz5hq1w
    @user-rt5hz5hq1w 10 หลายเดือนก่อน +2

    Napika vitumbua naamka saa 8 usiku namshukuru Mungu naishi mjini nasomesha ila sasa nitapandaje kutoka hapo hata nikabland kazi yangu juu zaidi🙄

  • @johnstartv5455
    @johnstartv5455 2 ปีที่แล้ว +2

    Good inspirational!!

  • @bafanaathman1782
    @bafanaathman1782 ปีที่แล้ว +4

    Umalize chio na miaka 22 umiliki lodge na kufanikiwa miaka 25 mmmmmh ebu usitudanganye

    • @funnyboy369
      @funnyboy369 3 วันที่ผ่านมา

      ukimaliza Chio haiwezekan ila ukimaliza Chuo inawezekana muhimu ni kuwa na iman na kujiamin katika kitu unafanya

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarki asante sanas

  • @user-fm4xc4ck9r
    @user-fm4xc4ck9r 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana ❤❤❤❤😊😊

  • @AnethExavery-qj6wc
    @AnethExavery-qj6wc 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mama

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 9 หลายเดือนก่อน +1

    Maongo haya madada yamehongwa weeeeee! Ndo yanakuja kutuongopea😀😀😀😀😀😀

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 4 หลายเดือนก่อน

    Good inspiration

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 2 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana dada kwajuhud

  • @castulicosmas
    @castulicosmas ปีที่แล้ว

    Congratulation sister ..Nmejifunza kitu

  • @gloryntangola
    @gloryntangola 4 หลายเดือนก่อน

    Ukimsikiliza kwa umakini utajua anaongopa😂😂😂 hakuanza na elf 10

  • @mrbeasty5449
    @mrbeasty5449 ปีที่แล้ว +1

    Niko palee

  • @miskiaayallah1872
    @miskiaayallah1872 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @KellyPetro-cf9ut
    @KellyPetro-cf9ut 5 หลายเดือนก่อน

    Hogera

  • @paulzeno102
    @paulzeno102 3 ปีที่แล้ว +3

    Pumbavu kabisa wewe Fanya biashara kupraudi maisha yako kushindana na wanaume uwo ni ujinga kwani ukafanya biashara bila kushindana na wanaume

    • @AnethExavery-qj6wc
      @AnethExavery-qj6wc 10 หลายเดือนก่อน +1

      Acha kuwadharau wanawake ww tunaweza

  • @winnersstore9161
    @winnersstore9161 2 ปีที่แล้ว

    Uongo mtupu

  • @mercye.4277
    @mercye.4277 ปีที่แล้ว

    Naomba number za Debora