Christopher Mwahangila - Yesu Bado Ni Baba (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @evanselisha
    @evanselisha 2 หลายเดือนก่อน +10

    😢huyu chris si binadamu wa kweli...hua namuona kama ni malaika juu anaimba wimbo wa kukuza mioyo ya watu ...ndugu naomba mungu aendelee kutumikia kwa ajili yetu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya nipee likes za chris💪

  • @alosadubailifeofficialpage
    @alosadubailifeofficialpage ปีที่แล้ว +124

    Kama unategemea yesu weka like🙏

    • @AishajumaHssani
      @AishajumaHssani 8 หลายเดือนก่อน +3

      ❤❤❤❤❤

    • @LandKanongesh
      @LandKanongesh 7 หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @TittoMholwa
      @TittoMholwa 6 หลายเดือนก่อน +4

      Mwamba ameimba kwa hisia sana

    • @franckramazani2262
      @franckramazani2262 5 หลายเดือนก่อน

      😊 pp​@@Ministry-vty

    • @OlivierAsung-ks9jf
      @OlivierAsung-ks9jf 4 หลายเดือนก่อน

      Papa courage que DIeu de l' expérence soit loué ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lemayantv951
    @lemayantv951 3 ปีที่แล้ว +253

    Kama unapendeswa na nyimbo za uyu mtumishi wa Mungu nipe like zake

    • @angellahmokeira105
      @angellahmokeira105 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaan nyimbo zako
      Baba zimenitoa mbali
      Sana Acha m
      Mungu abaki kua mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @dianemadenge3637
      @dianemadenge3637 2 ปีที่แล้ว +1

      Christopher mwanangila

    • @alexjulius6354
      @alexjulius6354 ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa mtumishi

    • @eddamwasenga
      @eddamwasenga ปีที่แล้ว +2

      Nyimbo nzuri na Zina ujumbe mzuri Zina ufarij kuwa yupo anaekupigania katikat mapito yako

    • @nidekilasi2484
      @nidekilasi2484 ปีที่แล้ว +1

      Sana,tu! Nazipenda

  • @CaralBosibori-zz7yz
    @CaralBosibori-zz7yz 22 วันที่ผ่านมา +2

    Team strong tunao mtegemea Yesu baba yetu gonga like tutafika kwetu tukiwa salama

  • @bettybless6914
    @bettybless6914 9 หลายเดือนก่อน +68

    2024 nani mwengine anatengemea Yesu❤

  • @florahgodfrey7789
    @florahgodfrey7789 3 ปีที่แล้ว +78

    Nikiwa katk wakati wa vita sasa, nimeamka nimejaa hofu hata sijui cha kufanya nipate kushinda yote kwa amani. Baada ya kuusikia huu wimbo nimepata ujasiri mkubwa na kujua kuwa napaswa kumwamini na kumtegemea Mungu... Hata sasa nnakutegemea Yesu.

  • @regnaldobadia753
    @regnaldobadia753 3 ปีที่แล้ว +10

    Nakupenda Sana mtumishi unaimba kwa kutumia unabii wa roho mtakatifu ubarikiwe mnoooo

  • @luganomwakibinga2179
    @luganomwakibinga2179 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mtumishi wa mungu napenda sana nyimbo zako ubarikiwe

  • @lizadel-d3o
    @lizadel-d3o 5 หลายเดือนก่อน +12

    I heard this song when I was heart broken for a period of 7months till I healed😅
    God this was my strength when I was fighting my depression alone..
    When I was at work ,home I listened to this song it gave me so much strength in 2023..MM NATEGEMEA KUTOKA KWAKO MUNGU🙏🙏

  • @EvalineKessy
    @EvalineKessy 11 หลายเดือนก่อน +13

    The first time nimeijua huu wimbo nilikuwa kwny vita vikali sana hata nilikuwa sijui cha kufanya but nilisikia huu wimbo tu kwny gari la jirani yangu alinipa lifti nikausikiliza ndo ikawa muendelezo wangu wa kusimiliza kwny cm yangu nikasha gaaa nimefunguliwa kabisa nikakutana na miujiza yangu kiurahisi kabisa na vita vikaisha vyote. Mungu akubariki sana Baba

  • @jamesonungaofficial743
    @jamesonungaofficial743 3 ปีที่แล้ว +44

    Waw! This is wonderful Mungu asidi kukupea nguvu

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว +2

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

    • @scolasalim8244
      @scolasalim8244 2 ปีที่แล้ว

      Kķmk77

    • @ibeleaveinyoukallaghe6449
      @ibeleaveinyoukallaghe6449 2 ปีที่แล้ว +1

      Nafarijika na huu wimbo, Mungu akutie nguvu uendelee kutufariji

    • @carolsuzycarol7741
      @carolsuzycarol7741 2 ปีที่แล้ว +1

      I love your songs may our God continue to bless you and using you to bless and encourage many souls 🙏🙏🙏

  • @VelthyMoraa
    @VelthyMoraa 9 หลายเดือนก่อน +28

    Kwa wakati najipat katika magumu huu wimbo hunitia nguvu ,nauimba hadi siku iishe na mungu anatenda jambo jipya ,Amina .

  • @annointamani3285
    @annointamani3285 3 ปีที่แล้ว +13

    HALLELUJAH HONGERA KAKA ANGU,UTUKUFU APEWE BWANA YESU,
    KATI YA WATU WA KWANZA KWANZA KUBARIKIWA NA WIMBO HUU NI MIMI,
    NI WIMBO WENYE UPAKO NA NGUVU YA KUMUOKOA MTU MOJA KWA MOJA KIFUNGONI.

  • @nsengiyumvaceleatin8146
    @nsengiyumvaceleatin8146 ปีที่แล้ว +5

    Hakika nyimbo zako ndugu huamsha moyo kuumia kutokana na hari ya mazingila hasahasa ya kiroho.Wasikilizaji makini miyo huburudhika pia machozi ya upendo hudondoka.Endelea na usipo kata tamaa utapatana nafasi nzuri Kwa Muokozi unayoshuhudia na kumtapa yaani "Yesu Kristo" Mfalume tukufu " aliye kufa Kwa wenye Dhambi kubari.Nakupenda Rafiki

  • @annesamwel8930
    @annesamwel8930 ปีที่แล้ว +3

    Sima yesu nimpigie hawa nimpigie hawa, maana nakutegemea😢 thank you Christopher God bless you more

  • @samwelkasebele6153
    @samwelkasebele6153 3 ปีที่แล้ว +12

    Ubarikiwe sana kaka yangu wimbo huu unatia nguvu sana najifunza mengi sana kupitia unyenyekevu wako Mungu azidi kukuinua zaid mtumishi wa Mungu

  • @edwardkisusuofficial
    @edwardkisusuofficial 3 ปีที่แล้ว +8

    Amen my only brother Yesu ni Baba yangu

  • @susanmwangi3798
    @susanmwangi3798 3 ปีที่แล้ว +14

    Yesu wewe nakutegemea wewe Dio baba yangu ...... barikiwa sana mtumishi ...

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @sicilysasika5557
    @sicilysasika5557 9 หลายเดือนก่อน +10

    Sometimes having a father physically but cares nothing his 4girls and 1 son. I thought it was because we were girls but after our last born brother and nothing changed mmmmh... his brothers and sister(uncles and aunt) abusing us and quarelling us before him and he still join them to frustate us. I tuned this song and i cried dearly while listening to this. I realised i have a FATHER, DAD who sustains me,my mom, my siblings and him-dad. I thank Him for blessing us with a good, caring mum. Though we stay with both parents but everything in the house and school is provided by our mum. I thank God for giving mum a persevering heart. She's still with us despite the ill treatment she gets from dad.
    One day things will be okay. AMEN🙏

  • @DavidGKasaba
    @DavidGKasaba 3 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo umenitia moyo nizidi kusonge mbele hakika Nimegundua kuwa ninaye Baba yangu asiye Shindwa Nibaba yangu sina wasi wasi

  • @richardmwendwa984
    @richardmwendwa984 3 ปีที่แล้ว +13

    Umekuwa wa baraka kwangu mutumishi wa Mungu barikiwa sana

  • @penueldjuma2845
    @penueldjuma2845 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo unao nipaga moyo mda wowote ninapo uskilizaga 😢😢😢😢😢🎉🎉

  • @24habari
    @24habari 3 ปีที่แล้ว +18

    Barikiwa sana Mtumishi, nyimbo zako zimekuwa baraka kwa kila anayezisikiliza, zina huisha.

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @esthermapendo1433
    @esthermapendo1433 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri sana za Ku fariji Moyo iliyo vunjika

  • @bonkeoriogofounderanddirec4037
    @bonkeoriogofounderanddirec4037 ปีที่แล้ว +30

    Some of us we have no words to say, we have gone through tougher moments, hard and evil situations. But again if it was not this Jesus Christ our lives would not be the same again today. Thank you my Lord for paying the prise🙏🙏🙏😭😭😭. Thank you Brother Mwangila this magnificent ditty gives me a great hope

  • @shillahsanaipeikotikot7947
    @shillahsanaipeikotikot7947 3 ปีที่แล้ว +99

    I find myself praying for this song to reach millions of souls out there to the Glory of my father Jesus Christ.Lets win more soul to Christ kingdom through this song ..Highly anointed through the blood of Jesus Christ 🙏 Amen.

  • @paulodeuschugulu6707
    @paulodeuschugulu6707 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ni Mungu, farao, neno la Mungu, Yesu yuko hapa, nitetee, ni huruma, za Mungu, hakuna kama Mungu, uniinue, kwa Mungu yanawezekana....na nyimbo nyingine nyingi kutoka kwa mtumishi wa Mungu. Mungu wetu alie hai azidi kukuinua kwa jina LA Yesu AMEN

  • @sophias3334
    @sophias3334 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman niwangapi wimbo huu wauwachoshi maaana unanieka kwenye hatua nyengne jaman hua unanipa nguvu yakuomba roho mtakatifu Yuko ndan ya huu wimbooo🙌🙌🙌

  • @claudinematundu5368
    @claudinematundu5368 3 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzuri Sana mtumishi wa mungu ❤️💖🇨🇵🇨🇩🎤🎤🙏🙏

  • @stewartmwakasege
    @stewartmwakasege 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka MUNGU AKUBARIKI.. Video NZURI MNO... Creativity Ya Hali Ya Juuu

  • @ptheservant8974
    @ptheservant8974 3 ปีที่แล้ว +15

    Hallelujah wimbo wa kutia nguvu na kufufua tumaini tena sana barikiwa Mtumishi Mwahangla.
    Upendo mkubwa toka hapa Nairobi 🇰🇪

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

    • @DjoTshingetshi-dm5kh
      @DjoTshingetshi-dm5kh ปีที่แล้ว

      Vraiment courage

  • @perezokeyo4083
    @perezokeyo4083 3 ปีที่แล้ว +12

    Niko hapa kutoa shukurani.Nimekua nikiimba huu wimbo na wimbo wa 'Nitetee Mungu'kwa siku tatu nikiwa kwa maombi na kwa Kufunga , Jana nilipata majibu, Mungu alijidhihirisha, ameexpose walioniendea kwa mganga, nimewakemea Katika jina la Yesu.akanipea wimbo mpya, nauimba ,nimekua Free katika jina la Yesu.
    Barikiwa Bw.Christopher.....Mungu abariki huduma zako.Amina

    • @christophermwahangilaofficial
      @christophermwahangilaofficial  3 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe Mungu akubariki nakuku tunza

    • @agnesmatau9953
      @agnesmatau9953 2 ปีที่แล้ว

      Wonderful messages!!! Be blessed Mtumishi wa Mungu!!!!!!Bado wewe ni baba yangu!!🙏🙏

  • @joyboke7412
    @joyboke7412 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen,yesu nakutegemea wewe nipiganie hata katika kipindi hiki kigumu na univushe katika majaribu.tengeneza njia kwa ajili ya watoto wangu waweze kusuma hata Kama baba yao amekataa majukumu.yesu fanyika baba kwa watoto wangu

    • @sherlynemwendwa9535
      @sherlynemwendwa9535 2 ปีที่แล้ว

      He is always faithful he will do it for you be strong

  • @florenciabenedict293
    @florenciabenedict293 2 ปีที่แล้ว +4

    Sichoki kusikiliza huu wimbo maana umenitoa hatua moja kwenda nyingne nikisikiliza wimbo huu natiwa nguvu sana Mungu wa mbinguni ainua zaidi kipawa chako man of God nabarikiwa mno na jumbe zilizo katika nyimbo zako.....✍️💪

  • @eliachalamila2259
    @eliachalamila2259 3 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana mtumishi, huu wimbo ni mzuri. Mimi ni mdau wako mnoooo.
    Ila huu wimbo ndio the best kuliko zoooteeee...

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @PerischariMwakughu
    @PerischariMwakughu ปีที่แล้ว +2

    Bwana Yesu ni Baba yangu katika kila jambo na hali ngumu ninayopitia😢😢😢...Yesu ni tumaini langu...Mungu akubariki na akuinue zaidi mtumishi wa Mungu 🎉🎉🎉

  • @mratiscanaog1057
    @mratiscanaog1057 3 ปีที่แล้ว +16

    Nyimbo NZURI Sana na Ina Ujumbe it's me Director ati From England my broo Christopher u are the creativity of new Gospel

    • @lyontheblessed8200
      @lyontheblessed8200 3 ปีที่แล้ว

      Ati th-cam.com/video/-S0WAax26Tw/w-d-xo.html

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @GILDAMLINGI
    @GILDAMLINGI 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dah eeh Mwenyezi Mungu unanijuwa vyema eeh Mungunaomba ukajibu hitaji la moyo wangu

  • @elizabethmbogo7156
    @elizabethmbogo7156 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe tumaini langu yesu.... Ninakutegemea

  • @shangweremiofficial4124
    @shangweremiofficial4124 3 ปีที่แล้ว +1

    Waooo Wimbo Mzuri Sana Barikiwa Sana Kaka.tusonge Mbele kwani BARAKA BADO ZIPO.Tukimtegemea Mungu

  • @shedywamumo2653
    @shedywamumo2653 3 ปีที่แล้ว +8

    Nehema ya MUNGU ikutoshee mtumishi... Kumtegemea YESU hatutahaibika kamwe🙏. Keep the fire burning

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @jacintamusembi6087
    @jacintamusembi6087 9 หลายเดือนก่อน +2

    Been in a very hard situation I tell Jesus Ni ww nakutengemea

  • @deogratiusmgina2439
    @deogratiusmgina2439 3 ปีที่แล้ว +10

    Amina..Amina! Nyimbo zako siku zote ni nzuri na zinatia nguvu🙏

  • @magdalinejuma2028
    @magdalinejuma2028 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wangpi bado tunasikilix 2024

  • @raelkitari-cp5yr
    @raelkitari-cp5yr ปีที่แล้ว +15

    The song that comforted me the day that I finished laying my son to rest,it gave me hope to live again.

    • @elizabethmdoe5394
      @elizabethmdoe5394 ปีที่แล้ว +1

      The song that gave me hope in life while I was down 3:22

  • @dorcasayoo9253
    @dorcasayoo9253 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwa jela imeninguza Maana nishapitia jela alikuja na kuniokoa huyu mungu kweli alinishughulikia na akasimama na mimi,nilikuwa nimepoteza matumaini lakini kwa sababu ni Baba wa wanyonge alinitetea
    Kweli mungu hawezi kutuacha

  • @omigaiamasi9829
    @omigaiamasi9829 3 ปีที่แล้ว +5

    Huwa nafarijika Sana nikisikia nyimbo zako🙏🙏

  • @francisisalamba6810
    @francisisalamba6810 ปีที่แล้ว +2

    Huu ndio wimbo ambao nikama ni ushuhuda wangu huu mwaka

  • @kideifaith7133
    @kideifaith7133 3 ปีที่แล้ว +32

    Always your songs never disappoint.. I'm blessed

    • @lyontheblessed8200
      @lyontheblessed8200 3 ปีที่แล้ว

      Faith th-cam.com/video/-S0WAax26Tw/w-d-xo.html

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga 3 ปีที่แล้ว +2

    Ata hapa Kenya, Yesu bado ni baba🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @SifaK111
    @SifaK111 3 ปีที่แล้ว +6

    Fundi sana huyu mtu, nyimbo zako zina upako na mguso wa Roho wa Mungu, this is my favorite now in my playlist, not only about the way you sing but the message always so touching, Mungu azidi kukuinua viwango zaidi.🙏🙏

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 10 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huyu Kaka ni muimbaji,mwanamuziki,Mtumishi,msanii yaani Yuko full packaged kwaajili ya ufalme wa Mungu.👌🏿🙌🏿💪🏿👊🏿

  • @enockmwambepo
    @enockmwambepo 3 ปีที่แล้ว +2

    AMEEEN MTUMISHI WA MUNGU UJUMBE UZURI VIDEO NZURI KAZI NJEMA SANA BARIKIWA

  • @josephinenzioki8819
    @josephinenzioki8819 3 ปีที่แล้ว +4

    Yeess..nakutegemea💥

  • @dandola9323
    @dandola9323 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi safi baba nakusikiza kenya bado nibaba yangu

  • @luckyenock3717
    @luckyenock3717 5 หลายเดือนก่อน +4

    Asante papa tunakushukulu kbs

  • @heximichoro
    @heximichoro 2 ปีที่แล้ว +2

    Yohana 14:6
    Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
    Mathayo 21:33-40 Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye nyumba, naye alipanda shamba la mizabibu, akalizungusha ugo, akachimba shimo la shinikizo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri. Wakati wa matunda ulipokuwa karibu, akawatuma watumwa wake kwa wale wakulima, wapokee matunda yake. Wale wakulima wakawakamata watumwa wake, huyu wakampiga, na huyu wakamwua, na huyu wakampiga kwa mawe. Akawatuma tena watumwa wengine wengi kuliko wa kwanza wakawatenda vile vile. Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu. Lakini wale wakulima walipomwona yule mwana, wakasemezana wao kwa wao, Huyu ni mrithi; haya na tumwue, tuutwae urithi wake. Wakamkamata, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua. Basi atakapokuja yule bwana wa shamba la mizabibu, atawatendaje wale wakulima?
    Mathayo 21:37 Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu.
    Yohana 14:2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
    Luka 18:19
    Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu.

  • @adammnyenyelwa5996
    @adammnyenyelwa5996 3 ปีที่แล้ว +20

    "Yesu ninakutegemea, wewe ndiwe baba yangu"

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika kusema ukweli huu wimbo unainua saana Imani zetu Barikiwa saana Mtumishi wa Bwana Mungu aendelee kukutunza Kaka Yetu♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🍎🍎🍎

  • @ruthmambo2485
    @ruthmambo2485 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow ...Jesus is Lord....Kweli Baba ni Baba....Mungu akubariki saana kaka

  • @mcdamson_classic
    @mcdamson_classic 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri mnooooo MUNGU akubariki mnoo katika wimbo huu hakikaaa. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏💥💥💥💥

  • @christinmulongo8483
    @christinmulongo8483 3 ปีที่แล้ว +11

    God bless you so much pastor I am watching from Bahrain country mimi ni m kenya 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯🙏

    • @viomum3704
      @viomum3704 3 ปีที่แล้ว

      Thanks my brothe for good song god bless 🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu hainichoshi

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen ubarikiwe sana, Ndiyo iyo nikweli kabisa yesu ndiye tumaini letu
    👏🙌🤲🙏🤲🤲👏🙏🙏

  • @papamkaparealestcongolese6060
    @papamkaparealestcongolese6060 3 วันที่ผ่านมา

    Nimekua na jambo gumu linalo nisonga ila kila ninapo sikiliza mziki huu inanitia nguvu..Bado namtegemea yesu

  • @danielpaulbwagegeganguye8641
    @danielpaulbwagegeganguye8641 2 ปีที่แล้ว +20

    de song gave me new hope,,in difficults times, broken hearth/financial,relationship,,NEW HOPE IS JESUS,,WEWE YESU BADO NI BABA YANGU😭😭😭😭😭

  • @MajaliwaSandules
    @MajaliwaSandules 3 หลายเดือนก่อน

    Ndagha fijo mimi na familia yangu tunabarikiwa mnomno na nyimbo zako barikiwa mtumishi

  • @hillaryodhiambo1909
    @hillaryodhiambo1909 2 ปีที่แล้ว +7

    This song encouraged me when I lost my mom in 2021 ,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 man of God

  • @thedykyaruzi8628
    @thedykyaruzi8628 3 ปีที่แล้ว +2

    Yesu we ni Baba yang nitakutegemea siku zote za maisha yang, Ubarikiwe kaka, Nimebarikiwa🙏

  • @robiimatiko
    @robiimatiko 2 ปีที่แล้ว +16

    I love this song coz my sister was involved in a terrible accident from school bt the faithfulness of God she got injuries in the back and hand. When I listen to this song it gives me hope ❤️

  • @pastorndabilajembelayesu2063
    @pastorndabilajembelayesu2063 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana wimbo Mzur Sana Mtumishi

  • @beththetallest5729
    @beththetallest5729 3 ปีที่แล้ว +28

    This song is a blessing to me, when i listen to it i usually gain more strength and i feel am secured by Jesus.. Be blessed 🇰🇪🇰🇪

  • @erastongonde5121
    @erastongonde5121 3 ปีที่แล้ว +1

    Simama nipige hawa nipigie hawa ......yaani sijui nisemaje ukiusikiliza vizuri ktk ulimwengu wa roho wanapigwa kwelikweli mwanangu amepata uponyaji kupitia wimbo huu Mungu akubariki sana.

  • @haikamremi4865
    @haikamremi4865 3 ปีที่แล้ว +5

    Kaka Tunakuombea.Nabarikiwa Sana na Nyimbo Zako

  • @millygloriah5606
    @millygloriah5606 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow,,,nice song,be blessed mtumishi,,,watching from saudi arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 nikiwa mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ntinyariesther6651
    @ntinyariesther6651 2 ปีที่แล้ว +9

    What a coincidence thank you Jesus Christ Holy name today I receive my testimony card from the kakande ministry and before I open it I came across this powerful song ,,Jesus I will leave for you all the days of my life I will live to proclaim ur goodness wherever I go

  • @samwelmwandoboka7533
    @samwelmwandoboka7533 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wimbo uko vizuri saana ,MUNGU azidi kukutumia zaidi na zaidi

  • @dianaderck5560
    @dianaderck5560 3 ปีที่แล้ว +3

    Unanibariki sana Kaka chriss,,,,Nakuombea Mungu azidi kukubariki

  • @GraceDorcas-j1t
    @GraceDorcas-j1t 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu hampe maisha marefu sana hananibariki sana kupitia wimbo

  • @christineachieng7483
    @christineachieng7483 3 ปีที่แล้ว +9

    I can't count how many times I have listen to this songs today......it has made me remember that I need to put my prombles to God not human beings 🙏🙏😭

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @FatumajumaLeontine
    @FatumajumaLeontine 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani uyu wimbo maman yangu anauimba Ata akiwa kwenye usingizi anaitwa fatuma mutumishi mungu akubariki kwa uyu wimbo

  • @Cyrus001.
    @Cyrus001. 3 ปีที่แล้ว +10

    Hallelujah another soul lifting one, utukufu Kwa Mungu

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @LiveToSingMusic
    @LiveToSingMusic 3 ปีที่แล้ว +1

    Na atabaki kuwa baba, ubarikiwe mtumishi

  • @agneskalekye8409
    @agneskalekye8409 3 ปีที่แล้ว +9

    I am confidently trusting in you Jesus regardless of what I am going through right now...... Amen 🙏🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @FabriceBeyamuyumba
    @FabriceBeyamuyumba 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wakati mungu unipa nyimbo kwakipaji changu nikiandika wengine wanaipenda lakini, Nami naguswa na nyimbo kama hizi toka Congo RDC na Ku sapoti mungu akulinde uendelee na injili

  • @pendonnko3217
    @pendonnko3217 3 ปีที่แล้ว +19

    What a touching song😭 it has indeed revealed what im going through, but i trust in Jesus that he is my father and he gonna provide a way for me🙏

    • @lyontheblessed8200
      @lyontheblessed8200 3 ปีที่แล้ว

      Pendo th-cam.com/video/-S0WAax26Tw/w-d-xo.html

    • @kennedysasi8775
      @kennedysasi8775 3 ปีที่แล้ว

      Ur great man of God, keep the power of the gospel go on shalom shalom

    • @nyambelilonga555
      @nyambelilonga555 2 ปีที่แล้ว +2

      Amen 🙏🙏🙏

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @mutintamichelo5098
    @mutintamichelo5098 9 หลายเดือนก่อน +1

    Indeed yesu Nina kutegemea indeed nimwilimu yangu I love this song please God bless you servant of God you are doing the work of your father, am a zambian

  • @darriea3408
    @darriea3408 3 ปีที่แล้ว +25

    This song!!!! It’s a true and earnest prayer. Thank you Christopher, may God always be with you. ❤️❤️

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @joykapaya1970
    @joykapaya1970 ปีที่แล้ว +1

    Yesu wewe ndiye baba yangu🙇‍♀️

  • @prudencekhamala2719
    @prudencekhamala2719 2 ปีที่แล้ว +12

    Every time am listening to this song, I know my tomorrow is gonna be better, he is always by ma side, I lost my job, then I realized I have God 🙏🙏🙏❤️❤️

    • @LOJ123
      @LOJ123 2 ปีที่แล้ว

      Me too

  • @ednamasud2613
    @ednamasud2613 2 ปีที่แล้ว

    Daaah huu wimbo kila nikiuckiliza hua unanipea nguvu na kutia moyo, ujacr wa kusonga mbele, 🧡🧡🧡

  • @williammunga1062
    @williammunga1062 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akulinde,wimbo mzuri

  • @ujumbechoir8171
    @ujumbechoir8171 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen ubarkiwe sana Kwanyimbo nzuri tunapo izi magonjwa yatoka kupitiya wimbo

  • @eleanorahchao9407
    @eleanorahchao9407 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless you My dad ...Unanitia moyo sana Na Nyimbo Zako.. Always My favorite

  • @sophiazahoro3734
    @sophiazahoro3734 ปีที่แล้ว

    Wimbo unaotia moto Sana kuendelea kumtegemea Mungu barikiwa mtumishi wa Mungu.

  • @phennymarura5859
    @phennymarura5859 3 ปีที่แล้ว +20

    This song has been on repeat mode in my house today ...I love it .

    • @philisiamsinga8534
      @philisiamsinga8534 3 ปีที่แล้ว +2

      Me too,too powerful

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

    • @viviankembu7142
      @viviankembu7142 2 ปีที่แล้ว

      Gjbujiuhjukt.
      .y the that

    • @viviankembu7142
      @viviankembu7142 2 ปีที่แล้ว

      @@sifamwakaniemba443 ggffffxgrhgghbg guest hbvbbgghnnjmm

    • @viviankembu7142
      @viviankembu7142 2 ปีที่แล้ว

      Tap on a clip to paste it in the text box.Tap on a clip to paste it in the text box.Tap on a clip to paste it in the text box.hggfru? To in fgu

  • @dingimtoto352
    @dingimtoto352 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe saaana mtumishi Wa Mungu hii nyimbo Ninaipenda Saaaana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥

  • @theresamuleka2222
    @theresamuleka2222 2 ปีที่แล้ว +3

    Yesu nibaba yetu ndiyo ni kweli tuna mutegemea 🙏🙌

  • @gogwa1products186
    @gogwa1products186 3 ปีที่แล้ว

    Hujawah kukosea tokea nianze kufuatilia nyimbo zako!!! Mwenyez Mungu azid kukusimamia..

  • @MariahG959
    @MariahG959 3 ปีที่แล้ว +8

    Your songs always bless my soul....more Grace all the way from 🇰🇪

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 ปีที่แล้ว

      Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html
      👉th-cam.com/video/2f9o2JWq97Y/w-d-xo.html

  • @silviaamaral5430
    @silviaamaral5430 ปีที่แล้ว

    Salamu za ndugu... Naandika kutoka Angola, mimi ni Liroy Jorge, mimi ni mfuasi wako na ninazipenda sana nyimbo zako... Ningependa kujifunza kumsifu Mungu wetu kama unavyofanya katika nafasi ya kwanza.