RAIS WA TANZANIA ATAKIWA KUTUBU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Maono juu ya Rais wa Tanzania

ความคิดเห็น • 8

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 3 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya wa tz kwakutukana watumishi wa Mungu hamjambo wenzetu wazanzibar niwanyenyekevu sana hivi mama akisikia hii atamwita huyu nabii akamuombee nakumbuka mzee mwinyi wakati ni Rais wa tz nabii mmoja alitoka dodoma akaenda ikulu kwenda kuomba pamoja na mzee wabara kazi yenu kutukana

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo ni mbuzi na gitaa

  • @BernadethaMweni-nt4kd
    @BernadethaMweni-nt4kd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Utabiri myezi iliyopita kua Gwajima ndiyo Raisi ajaye iweje tena usema ni Mama Samiya kaaUkijua JEHOVA siyo kinyonga swali tuamini lipi?usituchanganye.

    • @Elijah-TheSeerTv
      @Elijah-TheSeerTv  2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu hiyo post ya Samia Ni nyuma Sana
      Mungu alisema atubu akagoma kufanya ivo.
      Ndipo yalipokuja hayo ya gwajima

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 4 หลายเดือนก่อน

    Huna ROHO wa Kristo wewe sio nabii ni mnajimu.

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana pole sana

  • @franksabas6339
    @franksabas6339 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbuka ulishatoa unabii juu ya Askofu Fulani - Leo unajisafisha na ulichosema kabla,