Elijah-TheSeer TV
Elijah-TheSeer TV
  • 113
  • 46 410
HII NAYO NI MAAJABU 😭😭😭😭
Baba mzazi hataki BINTI AFANIKIWE 😭😭😭
@Elijah-TheSeerTv
มุมมอง: 46

วีดีโอ

TANZANIA YAPEWA ANGALIZO
มุมมอง 5363 หลายเดือนก่อน
Jifunzeni kwa jirani, wamekopa Sana na Sasa hawakopesheki, wanawaangushia zigo wananchi. hawana vyanzo tena vya kukabiliana na madeni isipokuwa ni kuwalimbikizia matozo wananchi
HATI MILKI YA TANGANYIKA ANAYO NANI?
มุมมอง 693 หลายเดือนก่อน
Ni Nani mwenye hati miliki ya Tanganyika? je TANGANYIKA ipo?
ANGUKO LA VIONGOZI WA KIDINI
มุมมอง 3.5K5 หลายเดือนก่อน
ANGUKO la VIONGOZI wa kidini TAnZANIA laonekana. Toba Toba Toba
BISHOP GWAJIMA RAIS 2025
มุมมอง 27K6 หลายเดือนก่อน
Nimeona Tena zaidi ya mara Mbili Dk. Bishop Josephat Gwajima atakuwa Raisi wa Tz 2025. utatokea mpasuko mkubwa Sana CCM lakini MUNGU amemchagua Bishop Gwajima Kuwa Rais
IBAADA YA MATENDO YA MUUJIZA
มุมมอง 197 หลายเดือนก่อน
Shaloom Baba Mchungaji na Mwonaji ELIJAH anakukaribisha katika Ibaada ya Kinabii ya matendo ya Miujiza Jumapili hii KANISANI KISIMA CHA UZIMA
USIWAAMINI WAGANGA NI MATAPELI
มุมมอง 1008 หลายเดือนก่อน
Wewe unaesumbuka kwa ajili ya kupata watoto au una uvimbe tumboni usihangaike kuwaendea waganga wa kienyeji. Njoo KISIMA CHA UZIMA KWA Mwonaji. BWANA YESU KRISTO NI JIBU LAKO. 255746 002266
MAMLAKA YA MUNGU NDANI YA MTU
มุมมอง 239 หลายเดือนก่อน
karibu uuone ukuu wa Mungu ndani ya KISIMA CHA UZIMA @Elijah-TheSeerTv
RAIS WA TANZANIA ATAKIWA KUTUBU
มุมมอง 4.1K9 หลายเดือนก่อน
Maono juu ya Rais wa Tanzania
ALIZIKWA AKIWA HAI AKAVIKWA NA SANDA
มุมมอง 52ปีที่แล้ว
ALIZIKWA AKIWA HAI AKAVIKWA NA SANDA
MUUJIZA BAADA YA WA KUPATA MTOTO
มุมมอง 66ปีที่แล้ว
MUUJIZA BAADA YA WA KUPATA MTOTO
FAIDA 9 ZA MATUMIZI YA DAMU
มุมมอง 22ปีที่แล้ว
FAIDA 9 ZA MATUMIZI YA DAMU
BABA AMWANDIKA MWANAE KUWA KAFARA
มุมมอง 12ปีที่แล้ว
BABA AMWANDIKA MWANAE KUWA KAFARA
TUNAFUNDISHA AKINA MAMA KUOMBEA FAMILY
มุมมอง 74ปีที่แล้ว
TUNAFUNDISHA AKINA MAMA KUOMBEA FAMILY
MATUMIZI YA DAMU Part 1
มุมมอง 42ปีที่แล้ว
MATUMIZI YA DAMU Part 1
FREEMASON AKAMATWA NA VIFAA VYAKE
มุมมอง 40ปีที่แล้ว
FREEMASON AKAMATWA NA VIFAA VYAKE
FREEMASON AKAMATWA KANISANI Part 1
มุมมอง 42ปีที่แล้ว
FREEMASON AKAMATWA KANISANI Part 1
MAUTI IMEGEUZWA KWA ALIYEITUMA
มุมมอง 86ปีที่แล้ว
MAUTI IMEGEUZWA KWA ALIYEITUMA
BIBI ANG'OLEWA NDANI YA MJUKUU
มุมมอง 56ปีที่แล้ว
BIBI ANG'OLEWA NDANI YA MJUKUU
WAKALA WA FREEMASONS AKAMATWA
มุมมอง 77ปีที่แล้ว
WAKALA WA FREEMASONS AKAMATWA
MAMA WA KAMBO KAMSHIKA AKILI
มุมมอง 186ปีที่แล้ว
MAMA WA KAMBO KAMSHIKA AKILI
YESU KRISTO AMETENDA MUUJIZA
มุมมอง 78ปีที่แล้ว
YESU KRISTO AMETENDA MUUJIZA
KAZI YA WOKOVU WA KRISTO
มุมมอง 243ปีที่แล้ว
KAZI YA WOKOVU WA KRISTO
MIUJIZA YA YESU KRISTO
มุมมอง 81ปีที่แล้ว
MIUJIZA YA YESU KRISTO
JUMAPILI YA 6 YA HUDUMA
มุมมอง 37ปีที่แล้ว
JUMAPILI YA 6 YA HUDUMA
BWANA YESU KRISTO BADO ANAOKOA USIKATE TAMAA
มุมมอง 17ปีที่แล้ว
BWANA YESU KRISTO BADO ANAOKOA USIKATE TAMAA
AMEUA WENGI KWA AJALI KICHAWI
มุมมอง 51ปีที่แล้ว
AMEUA WENGI KWA AJALI KICHAWI
YESU KRISTO BADO ANAOKOA USIKATE TAMAA
มุมมอง 35ปีที่แล้ว
YESU KRISTO BADO ANAOKOA USIKATE TAMAA
USHUHUDA PART 1 @Elijah-TheSeerTv
มุมมอง 16ปีที่แล้ว
USHUHUDA PART 1 @Elijah-TheSeerTv
USHUHUDA Part 2 @Elijah-TheSeerTv
มุมมอง 22ปีที่แล้ว
USHUHUDA Part 2 @Elijah-TheSeerTv

ความคิดเห็น

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 7 วันที่ผ่านมา

    Kwanii amewatuma kumsemea? Kuandaa watu kisaikolojia? Mkumbuke huyo mtu ni mbunge ana jimbo, je amrlifanyia nini hasa jimbo lake la kawe? Barabara zilizopo ni mbovu achiliambali kujenga mpya...vipo? Hospital ya serikali ipo? Shule je? Wizi na ujambazi hasa mbezi beach? Ametenbekea wanajimbo wake? Mara ngapi? Anajua shida zao? Ahadi zake ametimiza? Siyo habari ya unabii pekee utatuaminisha, bali uchapakazi na uaminifu wake kwa wanajimbo wake kwanza ni kigezo muhimu sana. Trust haijengwi kwa unabii tu.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 7 วันที่ผ่านมา

    Je ameweza kutimiza ahadi zake kwa jumbo lake la kawe? Lazima watauliza. Kama hajaweza itakuwa ngumu kuaminika. Imagine Barabara za maeneo muhimu kama masaki ni mbovu zimejaa mashimo huwezi kuamini kuna mbunge mjanja kama gwajima. Hivyo vyote ni vipingamizi anapaswa kujiandaa navyo. Kama jimbo moja linamsumbua hata barabara za mitaa zimeshindikana itakuwaje kwa nchi nzima?

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 7 วันที่ผ่านมา

    Sipingani na unabii huu ila ningependa awe ameacha yale mambo yake ya ufufuo wa waliokufa maana ikulu haitaruhusiwa hayo. Pili gwajima ni mjanja ni jasiri haogopi, ana ushawishi sana akitaka jambo lake kwa dhati linakuwa.... hivyo angefaa cheo kikubwa. Ile nahisi hana utulivu vizuri na ni mropokaji balaa. Mara nyingine hasimamii maneno yake ....waulize wana kawe jimboni kwake watakuambia ahadi zake smbazo nyingi hazijatimizwa. Ni changamoto. Labda chama chake kijiandae kwa kumwezesha atimize ahadi zake kwa vijana wa jumbo la,kawe kwanza

  • @NeemaOri0
    @NeemaOri0 8 วันที่ผ่านมา

    Nathaniel iwe hivyo

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 8 วันที่ผ่านมา

    Aya yote kwa mungu ya wezekana mungu ndo hakimu wa kweli mimi niko kwenye maombi ya kufunga na kuomba mungu atupe raisi sahihi atakae toka kwa mungu mwenyezi mungu simama na Tanzania yetu utupe raisi atakae tuongoza vyema kwamungu yote yanawezekana mwenyezi mungu tunaomba uchanguzi uwe wa amani kwa mapenzi yako mungu tunakataaa umwagaji wa damu katika jina la yesu kirisito wa nadhareti uriye hai naimesha kuwa jina la yesu mwenyezi mungu ibariki Tanzania

  • @SilvesterKazimoto-yk7hp
    @SilvesterKazimoto-yk7hp 15 วันที่ผ่านมา

    Tunnaomba mungu kamaaishivyo naiwe hivyo hata daudi aliinuliwa na mungu kama nimapenzi ya mungu mungu autimize unabihuu

  • @mozesamizi931
    @mozesamizi931 20 วันที่ผ่านมา

    Mnasema gwajima ana hofu ya Mungu, swali, wenye hofu ya Mungu wanaiba kura?,au hatuelewani, maana kuna Mungu na miungu!

  • @NuruEria
    @NuruEria 21 วันที่ผ่านมา

    Ndugu mtumishi umejichanganya kwa unabii wako

  • @memoryeliass9558
    @memoryeliass9558 23 วันที่ผ่านมา

    Akigombea Gwajima mimi narud Tanzania aisee.

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 27 วันที่ผ่านมา

    Utukufu wa MUNGU hauna kikomo.Atende kama apendavyo.

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 28 วันที่ผ่านมา

    Moyowangu utafurahi sana hatakama sihishi Tanzania 🇹🇿 mana namuona Gwajima kama Mfalme Daudi

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms หลายเดือนก่อน

    Neno mara2 au mara 3 hunauhakika naunacho sema mtafute sana yesu acha ropo ropo

  • @LatifaCharles
    @LatifaCharles หลายเดือนก่อน

    Bora awe gwajima tuongozwe kwa maombi sio mwanamke tena 😏😏😏😏

  • @patricekapange
    @patricekapange หลายเดือนก่อน

    Yampate tu, maana ni muuaji huyo

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o หลายเดือนก่อน

    Tutafunga na kuomba ili kusudi la mungu litimie

  • @MgangaMalugu
    @MgangaMalugu หลายเดือนก่อน

    Jaman nikisikia jina la gwajima nafarijika sana lakini mapenzi ya MUNGU aliehai yatimie

  • @PaulShija-hq7ep
    @PaulShija-hq7ep หลายเดือนก่อน

    Gwajima ndo alitakiwa ila shetani alijibu kwa gwajima ili apoteze kile alicho kuwa amekusudiwa kuwa rais wa tanzania akampa ubunge ili kumpoteza katika kusudi sasa ili arudi anatakiwa kuachia bunge mara moja

  • @anthonykitara8121
    @anthonykitara8121 หลายเดือนก่อน

    Namuomba mungu ccm ishindwe tena mbali naipendekeza chadema ndo ingie madarakani nitafurahia sana ikiwa hivo

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 หลายเดือนก่อน

    Tunangoja unabii huo, asipokuwa rais unabii utakuwa umeanguka..Yeremia 28.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 หลายเดือนก่อน

    Hapo sasa inatangazwa vita ya dhahiri kabisa kati ya waislamu vs wakristo. Ngoja tusubiri.

  • @AnthonyKiwango
    @AnthonyKiwango หลายเดือนก่อน

    Rais yeyote wa Dunia hii analetwa na Mungu, hivyo bc akipita yeyotote Tutamuunga mkono

    • @MichaelMatiku-v7o
      @MichaelMatiku-v7o หลายเดือนก่อน

      Wengine wanaletwa na shetani kama uyu wa sasa

  • @franksingano9504
    @franksingano9504 หลายเดือนก่อน

    Na kama tutaamua tuweke serikali moja Zanzibar igeuzwe kuwa mkoa mmoja na kama hilo kitaleta utata kwenye hayo mabadiliko ya Katiba tuigawe hii nchi kwenye mfumo wa Majimbo,Kaunti au Kanda yani kuwe na Viongozi wa Kanda wenye asili ya kanda fulani kuliko kuchagua wakuu wa mikoa ili awe na uchungu na kanda yake halafu Rais ata akitoka upande wowote kutakua na afadhali iwapo kutakua na serikali moja ambayo katiba pia ipunguze mamlaka ya Rais na kumdhibiti kama ile katiba ya Kenya

  • @franksingano9504
    @franksingano9504 หลายเดือนก่อน

    Mimi natamani Kuwepo serikali ya Tanganyika ingawa kuna watu wanasema matumizi ya serikali yataongezeka kwa sababu serikali zitakua tatu na kila Rais atalipwa pamoja na watu wake na mahakama zitakua tatu majeshi matatu na Pesa za Raia zitatumika kuhudumia Viongozi tu na kama hilo halitawezekana bora Muungano usiwepo na kila watu wabaki free na nchi yao ila ushirikiano uwepo kama wa jumuiya ya Africa Mashariki tunavoshirikiana maana nayo itakua sehemu ya Africa Mashariki

  • @AbubakaryOmary-m6l
    @AbubakaryOmary-m6l หลายเดือนก่อน

    Unabii unasemaje kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 หลายเดือนก่อน

    Yan huyu hatumtak kabisa mb aje kijan makond

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 2 หลายเดือนก่อน

    MASWALA YA KIROHO NI NGUMU KUFANYA SIRI, KWA SABABU UKIKAA BILA KUSEMA WAKATI MUNGU AMEKUAMURU USEME, NI HATARI . SASA JE? NI VEMA TUMUOGOPE NA KUMTII NANI MWANADAMU AU MUNGU ? JIBU NI KWAMBA MUNGU PEKE YAKE NDIYE ANASTAHILI KUTIIWA. WATU WOTE TUMTII MUNGU

  • @nurumwita9034
    @nurumwita9034 2 หลายเดือนก่อน

    Huuu unabii kuna mtumishi wa Mungu ni wa kijijini ata smartphone hana aliambiwa na Mungu 2025 Rais hatakuwa samia ila hakuambiwa raisi atakuwa nani aliambia Samia hataendelea

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 หลายเดือนก่อน

    Naaamini

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 หลายเดือนก่อน

    Kusudi la JEHOVAH MUNGU Litimie

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana paulo akasema hata akili zangu nazitumia mama samia alisogezwa na magufuli.shujaa wa africa na magu.Mungu.kampenda.zaidi mama samia.asipotawala 2025 basi magu.hukumfanya awe makamu.wa raisi Tanzania gwajima miaka ijayo.2025.mama.samia.ataongoza.akili za kibinadamu zitumike ikiwa shujaa wa africa alimteua.ataongoza Wantanzania tupunguze maneno mabaya yatatuhaibu.tabia.zetu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana paulo akasema hata akili zangu nazitumia mama samia alisogezwa na magufuli.shujaa wa africa na magu.Mungu.kampenda.zaidi mama samia.asipotawala 2025 basi magu.hukumfanya awe makamu.wa raisi Tanzania gwajima miaka ijayo.2025.mama.samia.ataongoza.akili za kibinadamu zitumike ikiwa shujaa wa africa alimteua.ataongoza Wantanzania tupunguze maneno mabaya yatatuhaibu.tabia.zetu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu hana.haraka.gwajima.atakuwa.rais.Tanzania ila haieleweki tuendelee kumuomba.Mungu.wakina.yehu.waliambiwa.watakuwa.wakasahaulika.baadae ikawa usiingie kimwili utaiharibu.Tanzania.ulimwengu.wa loho unaonyesha.gwajima.ni.raisi lakini muda haujaonekana.wito.wa Mungu.hauna.majuto Askofu gwajima aendelee kuomba na Tanzania kwa ujumla

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 หลายเดือนก่อน

    Ukute ni miaka.ijayo.maana Mungu.hawahi.wala.hachelewi.msije mkaanza.kuleta.lazima.apite tuende.taratibu watanzania mama samia alisogezwa na magufuli mama samia atamsogeza.gwajima msilazimishe.acha.Mungu.afanye.mambo.yake mm namuona.gwajima.2030.lakini.2025.ni.samia Mungu.mwache.atende

  • @thomasmwakatobe8207
    @thomasmwakatobe8207 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh sijui ila Mimi namwona tena Mama Samia tena ndugu

    • @DorcasPaul-t7m
      @DorcasPaul-t7m หลายเดือนก่อน

      Toka pepooo

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles หลายเดือนก่อน

      Shindwa pepo toka 😏😏😏😏😏

  • @robertwottson9100
    @robertwottson9100 2 หลายเดือนก่อน

    Ni shauri kwamba ni vzr jambo kama hili kuwa Siri na si mitandaoni. Mama yetu Samia akimaliza kipindi chake ndo jambo kama hili lingefaa kusikika ila Kwa sasa nikumchanganisha na mwenekiti wa chama(ccm). Mm nijuavyo baada ya mama Gwajima ataongoza kupitia ccm. Na bora bishop Gwajima asieleweke kuwa amewatuma wanaotoa taarifa hizo. Hata mm najua bish.Gwajima ni Rais ajaye baada ya mama.

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi mnawaona watanzania ni matahira wamchague gwajima?

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 3 หลายเดือนก่อน

    Naiwe ivo kwa maana gwajima ana hofu ya mungu tutashukulu sana mungu tenda muujiza

  • @blessingcharles-lc1rr
    @blessingcharles-lc1rr 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi ukko sahihi lakin utabiri Kama huu uliwakutolewa na shekhe yahya baada ya mwanamke upinzani utatawala Sa mimi najiuiliza haya mambo ya kiroho ni ajabu

  • @EvethaMpakasi
    @EvethaMpakasi 3 หลายเดือนก่อน

    Tuombe tuombevtuombe watanzania kusudi la Bwana lisimame,lisimame

  • @EvethaMpakasi
    @EvethaMpakasi 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @DavidLagat-h1p
    @DavidLagat-h1p 3 หลายเดือนก่อน

    Let it be in Jesus mighty name. U deserve the sit. You are full of wisdom.

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 3 หลายเดือนก่อน

    JAMANI ACHENI UHUNI MBONA SASA MNAMUHARIBIA GWAJIMA

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu saia awasgize wa DPW watulipie maana amewang, ang, ania wawekezaji wa has also hats siku ile anawTekana viongozi wetu wa dini kwa dharau akiwafananisha na chura akipongeza DPW ambao hata michanga yao haukufika hata trioni huyu mama hashauriwi na watu wa busara . Bakuli limetumaliza anadhanani wazungu ni waume zake.

  • @rastheunique
    @rastheunique 3 หลายเดือนก่อน

    Eeeh Mwenye Enzi Mungu Turehemu sisi waja wako😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 3 หลายเดือนก่อน

    Bado tunatembelea ile neema ya Magufuli siku si nyingi tunaelekea alikoanzia magufuli.

  • @vumiliambogela8413
    @vumiliambogela8413 3 หลายเดือนก่อน

    Naiwe hivo kwajina LA Yesu

  • @vumiliambogela8413
    @vumiliambogela8413 3 หลายเดือนก่อน

    ❤💟❤💟💕🖐🏻🖐🏻🖐🏻🙌🏻🙋🏻🙈😀😀😀😀

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 หลายเดือนก่อน

    Siku ya kuapishwa rais utauweka uso wako wapi?

  • @maryworkman635
    @maryworkman635 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi hapa naona ni kumuombeya Gwajima, na kama ni ukweli MUNGU, atatumiya mtumishi wake wa kweli. Wewe umesema hutaki kumtisha Mama Samia na mbona umeyasema hote hapo, jumani tuzipimeni hizi Roho tujuwe ni kweli za MUNGU au? Na tuanzeni kuwaombeya sana Wachungaji shetani anawatumia sana sahi anajuwa hana muda uko mbioni sana, na Wana wa YESU tuamkeni piya tupendane na tuombeyane, YESU atatushindiya yote Amena!

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 3 หลายเดือนก่อน

    Amina sana mtumishi wa MUNGU, Elijah