ni ubaguzi tu wa wa afrika. watanzania wanasemaka kama uyu djama si mtanzania ila ni mu congomani wa Drc Nandjo mana ahuwezi muona ata Siku Modja Ku tuzo
Tout les artistes tanzaniens a l’exception de personne , je dit bien à l’exception de personne ils on tous peur de cet mec Bella en term de bien chanter, voceaux ect… y comprie Diamonds est King kiba malgré Bella est Alkiba ils on une chemistry entre eux
Mmmmmh beautiful beautiful vocals right there.some artists make me feel that I can equally sing,but that's a story for another day.for now let's enjoy the ballad.
Sarafina kakutana na sauti ya kumtoa nyoka pangoni gonga twende pamoja na sara
Jaman swal langu 1 kwann nyimbo nzur znakosa viewrs😭
kweli bro , watu wanafki sana
Promotion ndogo
Mi nahisi ukiona views wengi huwa wanaboost
Wengi Wana PENDA MTU sio nyimbo...🥴😥
Tanzania kuna tabia ya kufatilia msanii mwenye kiki
Nigerians here? 🇳🇬
hivi tanzania tuna ubaguzi kiasi hicho kwanii huyu jamaa kwenye tuzo haonekani wala media hazimjali kabisaa duuuh nakukubali sana broo CBO 💥💥💥💯💯💯
ni ubaguzi tu wa wa afrika. watanzania wanasemaka kama uyu djama si mtanzania ila ni mu congomani wa Drc Nandjo mana ahuwezi muona ata Siku Modja Ku tuzo
Saraphina reminds me of Vanessa Mdee... You take over girl💖💖❤️🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Alitengenezwa kuchukuwa nafasi ya Vanessa. Mpaka sasa sijui kama ameweza kufiti
Ameweza
This is the most underrated song on TH-cam
It's 2024❤❤🔥🔥🔥
I see Vanessa mdee in this lady 😍such a lovely song 👌🎶
She replaced her
@@idareyoutodream6030 pple are irreplaceable.....she is doing it her way👌
🥰🥰
ameimba vizuli sana 3:24 😂🎉😮😮😊❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤
Bella🔥🔥🔥🔥🔥
Bella
Christian bella and saraphina keep it up.Hii ngoma nilianza kuiskiza tu na day ya kwanza hadi waleo naipenda
Salute mwanamboka Vrement tokoss
Mim jaman hata nikiwa napita njian nikisikia tyuu wimbo wako wowote nasimama niusikilize hadi mwish huna kazi mbovu
Tjr Mwana mboka ya Biso ya Zaire and D R Congo Christian Bella Yo de ma kambo kk Na 2022 Untile 2050
C'est du lourd Chris toza Kaka sima na yo depuis Kolwezi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Saraphina on this again its a big banger am telling you guys you killed it. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Christian Bella good job bro
❤️❤️
CBO mwana mboka toujours likolo yaya wagwan ✊
CBO the greatest of all time 🔥🔥........sema huyu Saraphina huu moto alio washa sijui atazima nani😂😂.....The melanin Queen 🔥
Kabisa huo moto n hatar kina nandy wajue t wanacompetitor sahz this gal anajua jmn💞💞
I had to share this melody with my fiancee 💓.... It's such a vibe.....
I had too
#cbo + #saraphina💪🔥. Another new song 👇👇
th-cam.com/video/Jp2P5xhqWFc/w-d-xo.html
Christian bella&saraphina 😘😘😘😘😘 fireeeeeeeeeee
Christian Bella King of Melody 💥💥
Napenda 💞 much love from Kenya 🇰🇪 nimeicheza Mara Mia
Arusha lokeshen ziwa dulut mauten meru
Ya Mbuta mwana mboko, hii song moto bro 🔥🔥🔥
This is the support that every youngstar needs....the judge now features his student
We remember dem days in Bss
Sarafina aky nimependa sauti yako
Mwana mboka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✊
😻😻😻😻😻
Saraphina kama Vanessa mdee🎧sauti tam tam
Nimbantakugoye wankorera kwiyofoto ukankorera subscribe
@christianbella & @saraphina 🔥🔥🇹🇿🙌 alafu sara na hicho kisauti chako kinafanya watu wanapitiwa na kausingizi🥱🤣
😁🤣
Good idea bella
The rate at which Saraphina is about to take over🔥🔥🔥💕
King of best melody meets queen of best sounds 🔥🔥🔥
Belle chanson pour les amoureux 💥🕊️
Si on parle des meilleurs artistes tanzaniens en terme de bien chanter et une belle voix, Bella fait partie de 5 meilleurs
5 meilleurs du monde la sava 🙌🙌
Tout à d'accord avec vous! Christian Bella a une voix unique
Tout les artistes tanzaniens a l’exception de personne , je dit bien à l’exception de personne ils on tous peur de cet mec Bella en term de bien chanter, voceaux ect… y comprie Diamonds est King kiba malgré Bella est Alkiba ils on une chemistry entre eux
Watanzania wanakunyimaga tunzo eti wewe sio mzaliwa wa tanzania, wamefulisha kipaji chako 😌
Namkubali sana, maana kazi yake haina dosari.
Saraphina voice 😍 👌
Mfalme wa Melody Christian Bella Asante sana kwa wote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
namsikia Vanessa jmn,tumempta Vanessa mpya, welcome Sarafina,🤗🌷🌹🌹🌹❤️💞💗
Mwana mboka
Good music ❤❤❤❤❤ one love one day put us in your music video we love you
Vanessa left us!saraphina please take over girl🔥✨💓🧡💯💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Mzigoooo poa sana huuuuu
Pa1 sana
Wondering why this song is not an hit …more love from a kenyan in diaspora 🇨🇦
batika yo ndeko oyebi vraiment oleki bango nioso na Tanzanie
Kwenye video ujawahi niangusha Kaka upo makini Sana yani
Mmmmmh beautiful beautiful vocals right there.some artists make me feel that I can equally sing,but that's a story for another day.for now let's enjoy the ballad.
saraphina aisee amefanya mbaka nasisimka kwa sauti tamu hongera sana bella kuwa na wazo lakumshilikisha phina mmetisha sanaaaaa
yaani Mungu huwa na time ya kila mtu. Sikumjua Phina before "Upo Nyonyo" Now naangalia nyimbo zake zote. Ipo Siku yangu pia. Good Track.
Kitoko makasi
If Vocals was a person, Bella was the person.
The story line is relatable to y'all.
🔥🔥🔥Kali🔥🔥🔥
👑
Beautiful melody...Mine is coming soon...
This is what I call good music with good creativity
huyo wa Aziza .. lazma Aziza mwenyewe asikie Io lalamiko
Thank you Bella 🔥🔥🔥
Mwana mboka 🎉🎊
Atari Sana huu wimbo umebeba hisia ya kipekee Sana 😭😭😭😭😭😭
*Let's all appreciate God for keeping us in this century to experience good music and good vibes*
love you Bella and saraphina
😍
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ni fire sanaaaa tupo juuuuuuuuuu
Bila kusaau president wa ba refugee,pamoja na igwe wa Syracuse New York.
Belaaaaa
Fogo amo vossos song apartir de moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
I can't get enough of this song aki bella wewe, represent us well #Congolese nalikolo nous sommes ensemble bro ✅😍
Kali sana📌
Vipenziii vyangu ndanii ya mzikii mtamu
Meu Deus....... Christian Bella in good
Saraphina anasauti ya pekeee yake love sana
Sarafina on top 🔥🔥🔥
Kazi Kali Sana mkuu
Kuna sauti bhanaa hapaa
Woooooooow fantastic music
Mrithi wa vanessa uyu jmn waa ckwa sauti iyo mamaa 💕
Masauti ndio kwao kwa huyu jamaa
Mungu Atakuzaidia 👏🙏💓
Christian Bella knows who is the best for collaboration,This is good chemistry
Nyimbo nzuri sana why haina wafuasi ndio tujue zingine wananunua jamani Bella Bella Bella we kiboko ya uimbaji
Collaboration 🔥🔥🔥✍️🚨 Sound, Melody, visual 🔥🙌🙌👏
Bella king of the best melodie jitu la masauti ya dhahabu much respect bro.keep going👏👏👏
Bella anajuwa kaka
merc boss chritian🔥🔥
Kaka Mungu Atakusaidia Pambana
Nmechelewa kuipata hii bonge la chemistry haichoshi kusikiliza nakpenden wote
Kama kuna wa imbaji tanzania wewe uko Kati ya 3 bora ila sijuwi una kwama wapi but respect I love your song 🎵
Kali sana.
Ndeko oza makasi fort💪💪💪💪
Ahsante
Nice song kazi nzuli balla
My favourite artists,all the way from +254
King 👑 of the best melody ft melanin queen 👑 = Kingdom
My brother Bella umetisha Sana
CBO King of melodies, more love🇰🇪
Unyadeeee sana humu ndani umefanya 🙌🙌🙌🙌
ila haka kadada kana sauti tamu nyie #Certified hit 🔥 🇹🇿
Belaaaaaa...
Nakuelewa saaanaaa
Sarafina pia upo vizuri sana
Saraphinaa is 🔥🔥
🎉🎉🎉 nimefika nyuma sn😂😂😂❤❤
Wimbo wangu pendwa
Fecilitation Papa king of the Melody kutoka Arusha Tanzania (Timon Safaris ltd)