Jamani nime mc haya magoma jamani bellla tusaidien kupiga live bend waenda club tuna teswa na mapianoo yani unarudi kichwa kina umaaaaa tuokoone na miziki ya ovyoooo inatutesaaa
Niseme ukweli ulio wazi kiukweli we Kiumbe unajua sana Mziki ingawaje kuna watu wanakupotosha unatoa MIZIKI ambayo haieleweki hata tena Haipo hataa kwenye Aina ya Mziki unaoimba ww ijapokuwa wewe ni msanii
Ndeko na ngai Bella, style nayo ezalaka danger 💃 tu est la difference de la Music east Africa exepter le Congo, par ce que là il ya des monstres de la music
Bonge la Ngoma. Kazi nzuri
Vizuri Sana ndeko
Bonge la ngoma aisee
kama umeikubali ngoma gonga like twende sawa
Iyi nyimbo ilienda shule
Sana tu bonge la nyimbo
hili ni bonge la hit
Wimbo bora sana huu...Even video...big up-Baraka Sunga .
Christian Belle mbona unawaficha hawa vijana ? Ebu uwaacha watoke zaidi maana tuna penda saana mziki wao😊😊😊😊
Umuziki Mwiza☑️
bravos courage bg boss chrisian bella nandimi makasi 🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Malaika mnajua sana
Brooo nashikiya butamu🎉🎉🎉🎉
aiseeeeeeee safi sana
Ndoiiii sasa tuko biee
Waoo
Fanyen promotion ya hii ngoma
Tuko wapi mashabiki wa rhumba na Dansi jamani Wana Afrika Mashariki..huyu ndo msanii wa hii generation #Obama mwenyewe ❤️👏👏👏👏✔️
Jamani nime mc haya magoma jamani bellla tusaidien kupiga live bend waenda club tuna teswa na mapianoo yani unarudi kichwa kina umaaaaa tuokoone na miziki ya ovyoooo inatutesaaa
Mavoo
From on my bed, nawapenda sana
Daaah nyimbo aiishi utamu jamani👏👏👏❤❤❤❤❤❤❤
Moto sana
Rumba n'a Rumba les Sang de congolais coulé toujours dans te veines ❣️❣️🔥🔥🇨🇩🇨🇩
Belaa elengiii yasoloo
Kazi kubwa hii
Haka ka wimbo ka kiutu uzma aiseee🎉
Hamjawahi kukosea
Modern rhumba ❤❤❤iko sawa
Huyu ndio bella de bell
Umerudiiii umerudiiii fire CBO
Tuliosikia miondoko ya Fally ipupa tujuwane hapa kwa likes, kwa hapa ulikopi sana ila unajuwa.
❤❤god❤❤
hit....safi sana
Jamaa anajua kuimba
Umetuboa mwisho tulitaka tuacheze twa kard 3
I love Christian Bella kwa moyo wangu wote,
This is the real music and this is the definition of music, congratulation to christian bella 💪
Nimeirudia kama mara kumi bdo haiish ham aloo we,
Bella ndo Msanii Pekee mwenye Nyimbo na Video zenye Maadili Mazuri Tanzania.
Hauna Matusi kama wengine Big.Up Sana Brother
Kali sana
CBO,mwa libanga po na nga svp.
Mziki wa maadili upo hapa
Umeona eeee😊😊
nakubali
Awa vijana wa masauti ni masauti kweli 🔥
Kabisa kiongozi 😊😊😊
Huyo jamaa alieimba wa 3 kaua sanaaaa … daaaah jamaa kafunika wte . Huyo Adam chinja
Umeona eeee😊😊😊😊
Huu ndio mziki wa heshma unaweza sikiza hata na jamii... Good job
Safi sana
Bonga la ngoma
Namuona Abdul issa wa bss...💥
Full control
Mziki wa adabu ..hiki kikundi kilinivutia kuanzia siku niliskiza wimbo wao inaitwa AMERUDI
Unaitwaje wimbohuo
Muziki ya wakubwa
Mwendo uleule aujawai kuferi bela kama bela unabaya
🎉🎉🎉bella Anajua
Hapa ndio utajua tofauti ya muziki wa kipaji na muziki wa kulazimisha kwa kutumia kiki
Jamaa anatisha sana,
J star kaimba vizur sema na nafsi yako
imbaaaa imbaaaaaa
Bonge la music
Niseme ukweli ulio wazi kiukweli we Kiumbe unajua sana Mziki ingawaje kuna watu wanakupotosha unatoa MIZIKI ambayo haieleweki hata tena Haipo hataa kwenye Aina ya Mziki unaoimba ww ijapokuwa wewe ni msanii
Umeona eeee😊😊
Original Rumba is back.
From Sénégal 🇸🇳
Fundi sana huyu mwamba
Iyi song inanivuruga sana❤
Congo mboka elengi ,, chris bella
Malaika music 🎵🎵.chuo Cha masuti.nomere 1 in tz
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tu exporte la rumba force a to grand
Huu ndo mziki tunaoupenda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nmefrahi kumuona kijan wa BSS
Fire
Ule mziki wetu tulio u miss
Bella..kijana umemfua asee issa...wale wengne wako wapi??
malaika band hainaga wasanii maalumu , UKO WAPI na AMARUDI wasanii wale ni tofauti kabisa na ninaowaona Humu kwenye KANIVUGA hii imekaaje kitaalamu
Muziki wangu pendwa
Big up sana so amazing
Bella we missed🔥🤌
Nandimi yango bana mboka🇨🇩
Congo en influence rumba congolaise
Mziki wa kwenye Range,V8 na Benz 🥃🍻💵💸💶
J'ai aimé le côté congolais, mélodie plus
Christian Bella Obama #CBO 🔥🔥🔥
Malaika nyie jamaaaa mnatisha sana
Mziki wa wakubwa ❤❤❤❤
uyu Cristiano Bella no msani mkali sana. Uyu sito mbumbu
Kuna nyimbo zinagusa hisia zangu na huu ni mmoja wao aisee! Asante sana Bella❤
Wata toa moja then Wanakaa kimya for 6 years
Sibio sauti ya kupaaa❤❤❤
Le Christian bella❤❤
sasa hizi ndizo zinazomtambulisha christian bella.
Wamerudi tena baada ya nyimbo ya Amerudi.👍👍👍🤼
Mmetukatili mpiga gitaa mwishoni bhana daaah muziki bado unadai kuendelea mmeukatisha imeniumaaa
Ndeko na ngai Bella, style nayo ezalaka danger 💃 tu est la difference de la Music east Africa exepter le Congo, par ce que là il ya des monstres de la music
Bro ndio sauti nzuri bongo tumebakiza
CBO c'est Congo 🇨🇩 qui gagne toujours rumba ya swahili
👉8 KIBOUGE💪💪💪 KITOKO MAKASI
Merci mingi bana mboka bozopesa biso mwa goût yakitoko
Bella Ata wewe bro upewe maua yako kwenye rumba tunakukubali kinoma 🎉🍎🥀🌹💐
💯
merci vraiment❤
Daaah nyimbo aiishi utamu jamani👏👏👏❤❤❤
Tunaomba kolabo na fally
La Rumba congolaise, cours des grands
Kazi njema kaka
Coul
Uyuuu bajste nampa🎉🎉🎉🎉🎉🎉yaka nimwalimu wa basss
Hubarikiwe Christian Bella❤
1:08🕺 Interlude.
Hatari Sana Aiseeee Noma Sana Nakubali Aiseeee 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️