KUFUTA VIFUNIKO VYA KICHAWI || 11 DEC 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 15

  • @Robert-v8f5e
    @Robert-v8f5e หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mtumishi wa Bwana,kwa jina la YESU naondoa kila kifuniko cha roho kilichonifunika cha dhambi yoyote niwe naijua au siijui kikaondoke kwa jina la YESU

  • @Robert-v8f5e
    @Robert-v8f5e หลายเดือนก่อน

    Kwa jina la YESU KRISTO vifuniko vyote vimeniachia kwa mamlaka ya YESU KRISTO Amina

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 หลายเดือนก่อน

    Mungu ondoa kila kifuniko chochote kilichogunkwa juu y maisha yngu n familia yangu Ee Mungu nitoe😢

  • @sarahkishaluli6087
    @sarahkishaluli6087 หลายเดือนก่อน

    Amina sitafunikwa mimi na familia yangu yooote, ktk jina la Bwana Yesu kristo

  • @EDISATARIYE
    @EDISATARIYE หลายเดือนก่อน

    Amen amen! MUNGU Akuinue na kukubariki sana

  • @TukaeSanga-z8q
    @TukaeSanga-z8q หลายเดือนก่อน

    Amen. Vifuniko vimeniachia Kwa jina la Yesu

  • @Joyceisaka
    @Joyceisaka หลายเดือนก่อน

    Hakikaa kifuniko cha wachawi kwishaaaa Asante Yesu kwa maombu haya napokeaa uzimaa

  • @Upendo6045
    @Upendo6045 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana mtumishi
    MUNGU akulinde

  • @Philipkaweme
    @Philipkaweme หลายเดือนก่อน

    Yesu nibwana
    Ubarikiwe mutumishi

  • @RehemaRehema-g6r
    @RehemaRehema-g6r หลายเดือนก่อน

    Amen amen ..... Hakika vifuniko vinaondoka

  • @MarthaMwangi-o8o
    @MarthaMwangi-o8o หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AnnaZabron-d5p
    @AnnaZabron-d5p หลายเดือนก่อน

    Amen sanaaaa

  • @sarahkishaluli6087
    @sarahkishaluli6087 หลายเดือนก่อน

    Amina!

  • @YESUNIBWANA84
    @YESUNIBWANA84 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeena