Mungu alishasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndiyo maana watu wengine hata uwafungie kengere maskioni kuhusu hao chuma ulete wa injili hawakuelewi, Mungu tusaidie.
UBARIKIWEEE UBARIKIWEEE SANA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI baba Mungu akutunze akuepushee na mabaya maana unayasema ni kwelii na hapa shetani ameguswa kupaya anapapalika huko aliko ombi langu kwa Mungu akuepushee na mitego yote Nakuombeaa uzima tuendele kujifunzaa
Mwenye sikio na asikie Roho asema na kanisa. Ubarikiweee sana baba .niliwahi kutumia mafuta ila sikupona kuanzia hapo sitaki kabisa Asante Yesu kwa mtumishii wako uliye nipatia naona mazuri mengi
Mungu akubariki sana kwa ujasiri wa kuhubiri kweli hii.Nyakati hizi mbaya Yesu anahitaji watu ambao, watasimama hadharani na kukemea uovu. 2 Timotheo 4: (2 Timothy) 2. lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho. --------------- Preach the word! Be ready in season and out of season. Convince, rebuke, exhort, with all longsuffering and teaching. KAZI UIFANYAYO MCHUNGAJI NI YA UPENDO, MAANA UNAPENDA WATU WASIANGAMIE , Mungu anasema kila mtu ampendaye hunkered na kumrudi. Ufunuo 3: (Revelation) 19. Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu. --------------- As many as I love, I rebuke and chasten. Therefore be zealous and repent. Ubarikiwe sana
Piga kelele usiache yeye aliye wa Mungu atukusikia na asiye wa Mungu hata umfungie vinanda alivyokuwanavyo shetani kabla hajaasi mtu huyo hawezi kukuelewa maana wengine wanatimiza unabii.ubarikiwe sana.
Juzi nimeona Ezekiel wa Kenya ana msumari wa upako ! Jamani msumari bora hata jiwe 😂😂😂😂😂msumari common people of God wake up please Jesus is coming soon guys
Mungu alishasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ndiyo maana watu wengine hata uwafungie kengere maskioni kuhusu hao chuma ulete wa injili hawakuelewi, Mungu tusaidie.
Amen
UBARIKIWEEE UBARIKIWEEE SANA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI baba Mungu akutunze akuepushee na mabaya maana unayasema ni kwelii na hapa shetani ameguswa kupaya anapapalika huko aliko ombi langu kwa Mungu akuepushee na mitego yote
Nakuombeaa uzima tuendele kujifunzaa
Amen
Mwenye sikio na asikie Roho asema na kanisa. Ubarikiweee sana baba .niliwahi kutumia mafuta ila sikupona kuanzia hapo sitaki kabisa Asante Yesu kwa mtumishii wako uliye nipatia naona mazuri mengi
Amen. hata miminimewahi kuuzi wa mfagio etinikafagie wabayawangu
Pole
Big up Mtumishi wa MUNGU ❤❤❤❤❤❤❤
Amen Amen ni huzuni sanaa hapo mahali umesema wahubiri wawe na huruma ni kweli na ni huruma sana
Amen Amen asante kwa Mungu wetu kwaneema hii amekupo ya kukemea kweri tu sifa zote kwake YESU CHRITO
@@PerisWanjiru-z8n Amen Amen
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.
Tuko pamoja sana mtumishi,nimebarikiwa
MUNGU yupo pamoja nawe mtumishi wa YESU KRISTO usiogope usiludinyuma songambele.
Twajua unavitavikali MUNGU Yupo nawewe ameeen
Amen amen
Amina
Mungu akubariki sana kwa ujasiri wa kuhubiri kweli hii.Nyakati hizi mbaya Yesu anahitaji watu ambao, watasimama hadharani na kukemea uovu.
2 Timotheo 4:
(2 Timothy)
2. lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
---------------
Preach the word! Be ready in season and out of season. Convince, rebuke, exhort, with all longsuffering and teaching.
KAZI UIFANYAYO MCHUNGAJI NI YA UPENDO, MAANA UNAPENDA WATU WASIANGAMIE ,
Mungu anasema kila mtu ampendaye hunkered na kumrudi.
Ufunuo 3:
(Revelation)
19. Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.
---------------
As many as I love, I rebuke and chasten. Therefore be zealous and repent.
Ubarikiwe sana
@petershija1723 Amen Amen asante
Mungu akutie nguvu kwa kwel baba 😭😭🙏🙌❤️
Amen
Piga kelele usiache yeye aliye wa Mungu atukusikia na asiye wa Mungu hata umfungie vinanda alivyokuwanavyo shetani kabla hajaasi mtu huyo hawezi kukuelewa maana wengine wanatimiza unabii.ubarikiwe sana.
Amina
Ameni kabsa kakaangu
Mungu akupe kufanya kusudi lake tufundishe kweli tupo tayari kusikia..na Mungu atatubadilisha
Amina
Amen Mungu turehemu tuko hatarini
Amen amen
Amina Mchungaji wangu, MUNGU aturehemu
Amina
Amen
Amen sana
Amen
Amen ameen
Ameeen
Mimi huyu niliwahi tumia maji na kitambaa, Mungu nisamehe na unirehemu, ahsante mtumishi kwa neno la kutuokoa hili tuone mbingu.
Hakika mtumishi unaifundisha kweli ya MUNGU
Amina
Songa mbele fanya kazi ya Mungu,hakuna kurudi nyuma
Amen amen
👍
Pastor nimekupata ubarikiwe sana.
Aminaaa Baba
Aminaaaa
Danieli 12
3 Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.
Ukweli utakao kwa Bwana unachoma mioyo..Watu wamjue Mungu na sio mtu au watu
Hadi mawe wanauza jaman
Amen
Lazima tuambiwe ukweli..ukweli unauma lakin hamna namna lazima tuponeeee
Juzi nimeona Ezekiel wa Kenya ana msumari wa upako ! Jamani msumari bora hata jiwe 😂😂😂😂😂msumari common people of God wake up please Jesus is coming soon guys
@@nazamsangi9939 wakugonga mbao
BWANA MUNGU WA ISRAEL azidi kukubaliki na kukutumia kwa viwango vya juu umeongea vitu vizito mno na hii ndiyo injili ya kweli waliyo hubili mitume
mimi wachungaji nimewachoka hivyo nitaacha kutoa sadaka harafu nitakua nasali nyumbani
SAWA SALI TU NYUMBAN ILIMRADI TUU UISHINDE DHAMBI
Amen
Amen
Amen