I visited Lushoto in the early 70s. My parents lived there. Have visited all the places mentioned and some more. There are folklore tales connected with the Viewpoint and Irente Farms.
Polution free zone, hewa safi,,(pure oxygen) ina anzia huku kisha inateremka, sio Dar kuna nuka ushuzi kila unapo pita utasema uko jirani na choo mitaro inavyo cheua.
Maashaallah!!!$weet home sweet
Lushoto ni nyumbani. Napenda sana Lushoto
Hiyo balidiyake sasa asubuhi
Safi sana. Huku ndiko kuchochea utalii wa ndani. Hata mimi napenda sana uoto wa asili
Unajuwa Sana kusimulia kaka MUNGU akusimamie
woooow i really enjoy this video big up friends
Vzur sana kaka nakupenda sana
Napenda lushot
Penda sana nyumbani Lushoto
norway of africa nice place to visit and to enjoy.
Mashalaah spesho....such a beautiful work 🤗🤗🤗nimekupenda bure faith hapa
big job spesho... voice.. kabwanga im with u..
Beautiful place well done
Lushoto ni nyumbani karibuni sana
I visited Lushoto in the early 70s. My parents lived there.
Have visited all the places mentioned and some more. There are folklore tales connected with the Viewpoint and Irente Farms.
My home land
Pazuri sana
Waoooh hm jaman
Mm napenda kukuita NURDIN,, all the way from Handeni big up bro. Nakubali
Wow.sweet home sweet
Mashaallah hongereni sana
Nimiependa,sana
Dah nyumban huko
Siihaba!!!
miss sana home kwetu
yeah hakika safari ilikuwa ni nzury.
Jaman muwe mnatoa namba mtuunge na cc , iwish .mngeniinform niende
Nch ya ahad 💕
Kaya
Sweet naration
Ftre
Sweet home 💕
Jamani hom kwetu mepamss je 💕💕💕💕💕
Nataka kwenda kutembea huko utanipeleka nita simamiya kila kitu mm
Good
Nyumban huko nimepamisi sana
Mashallah home pazuri
HOME LAND!!
Nyumbani apo piga keleeee
Nyumbn lah
Nice
Polution free zone, hewa safi,,(pure oxygen) ina anzia huku kisha inateremka, sio Dar kuna nuka ushuzi kila unapo pita utasema uko jirani na choo mitaro inavyo cheua.
Kalibuni lushoto
Home sweet home
Love 💕💕💕💕💕💕💕💕 lushoto najivunia kuwa msambaa
Msambaa mwenzangu 😍usambaani laha
mm sio msambaa ila nakupenda xn lushoto yn raha xna wallah
@@adamally6 kalibu sana lushoto
Hhhh kisasa kwetu hapo
👏👏👏👏👏👏👏
Kaya nkaya nndai mweemea akweawa
TANZANIA najivuniya TANZANIA Afrika
Tanzania
Serikali yetu imelala,Biashara ya magogo inaruhusiwa vipi sehemu ambayo serikali inajipambanua kutunza mazingira?
Namba ya simu jaman nasis tuje uko
Yan nimepatamani
@@lovehawa4758 vp
Natamani kufika uko