Madam Fatma anafahamu mambo mengi mazuri ktk kupata utawala bora! Kwa vile alivyo mweledi halafu 'impartial' anafaa sana ktk uandikaji wa katiba ya nchi; JK alifanya makosa kuuweka mustakabali wa katiba mpya mikononi mwa WASAKA MADARAKA! Of course JK huwa si mtu mnyoofu kihivyo, yeye ndiye mwasisi wa hii tabia isiyotakiwa ya kuyumba yumba (kutokuwa na msimamo) kutegemea maslahi binafsi yalipo! Hatari hiyo sasa ndiyo imepiga hodi nchini mwetu sijui tutaiondoaje ili tusalimike
Very interesting
Mazungumzo ya Muhimu Sana haya. Kila mmoja atafakari na kuchukua hatua. ili nchi hii ipone, lazima ipate Katiba Mpya Sasa, siyo Kesho
Awamu ya 2 mmeongea vizuri klk interview ile ya kwanza
🤫
Nani atakubali kupoteza anasa na ............🤔rasimu ya Warioba walistuka !
Hio munayoisema na katiba ya 62 au84
Daah
UDINI UMETAWALA MAANA SHANGAZI NA ZITTO HAWAMSEMI SAMIA KAMA WALIVYOKUWA WANAMSEMA JPM.
NA KITIMA NA TEC WANALIA 😢😢😢😢
We kweli shoga hebu fatilia mtu anaengoza kumsema wazi samia ni fatma
IQ INATAKIWA ILI UWE KIONGOZI BORA