Aunt Salama Jabir naomba umlete tena Giggy Money, wanaounga mkono nipe like japo 20 tu. Giggy ni Hustler mbaya. Na kwenye interview zake huchoki kumsikiliza.
This is the real meaning meaning of interview, Gigy yuko so real anafunguka mahojiano yanahitaji hivi, Halafu kuna vingi sana vyakujifanza hapa usikijaji kitabu kwa muonekano wa nje!!!
Giggy.. I love you..huyu dada anaongea ukweli, na wengi tumepitia issues katika familia lakini tunawajudge watu wengine as if hatujawai kuwa katila situation kama hii au karibia na hii❣❣❣
Thrilling interview....kweli don’t judge the book by its cover. Nimejifunza vingi kwenye hii interview and many others...macho yetu yanazidi kufunguka na uelewa unapanuka by listening different hustles your interviewees went through, the passion, determination, self drive of all your guest is amazing....hence they’ve achieved what they achieved.Thank you Salama and your team, I am your loyal fan...I haven’t missed a single episode so far, keep up the good work.
Hongera bw giggy mm nakushauri unaweza kusoma tena madhali akili IPO zipo zile shule za jioni na ukatoboa zaid nakuaminia huku unatafuta hela huku kitabu mbona wako huku kazi huku kitabu love u giggy
Story nzuri..Interview nzuri..Interview ya mtaa..Interview ya maisha..reflection of real bongo life,By the way hongera aunt Salama kwa listening ability yako. Big Up!
Gigy, take heart dadangu. You are a mother and don’t lose it. People lose precious women in the name of death. She is still alive,Mshukuru Muumba. Unachohitajika kufanya, rudi nyuma umtake msamaha Mamako ilia pate maisha bora. Kuna uwezekano huruma yako ikawa mfano mzuri kwa mwanayo. Wewe ni kioo ya cha jamii, umewavutia wengi. Jaribu kuwa tofauti na namna ya jamii ilivyo,rudi kwa mama. Ita wazee na make chini ili mradi, upate radhi zake. M’bembeleze Gigy. I love my Mum and I do everything not to make her angry,you and your siblings can do that. Take heart.
Salama hongera kwa interview una kipaji hichi na hali ya kukubalika kiasi ambacho mtu akihojiwa na wewe anakuwa free kuzungumza chochote.hongera sana. Gigy money asante kwa kuwa real kuna mengi sana nimejigunza katika interview zako as a parent.. as a woman na kimaisha kwa ujumla nashukuru sana. Hii inasaidia watu kukufikiria nje ya box
Nimekua mpenzi wa kusikiliza interview kwa kwel na najifunza sana.Nipo tayari mb zang nitumie youtube for interview.Naombeni likes kwenu wenzang ambao tumeanza kufuatilia intavyuu za youtube mwaka huu tokea uanze.
Salama is a genius.....bravo! Very proffessional ,very articulate ...her interviewing skills..stellar!!First time watching and i enjoyed all of it.Luv from Kenya...New subbie!!
Nilichojifunza Tabia Yoyote Ya MTu Ambayo Inaonekana Mbaya Mbele Ya Jamii Inakuwa Na Historia Nyuma Yake, So WaTu Wenye Tabia Za Ajabu Tujaribu Kuishi Nao Kwa Akili Nasio KuwaTenga, Tunapowatenga Inasababisha Kuendelea Kuwa Na Tabia Mbaya Zaidi
Hi beautiful ladies I feel what GIGY is going through I passed a lot when I was doing everything to please my mum but they end I was there the one who end up messaging my life no matter what you are going do to please your mother just remember mothers I'll always be the same nothing will do to make them happy in this life no matter what l still love you sweet mom ❤️❤️❤️❤️ Allah akujalie umri katka hii Dunia aamiin
You go gurl 👏🏽👏🏽! watu wanakuona chizi but you’re quite the character plus you’re really smart gigy; circumstances tu .. ila keep your head up🌹 you got this
Lisa lisa gigi unamjua vizuri na maisha yake unayajua vizr kwa tabia za lisa lisa ni ngum wewe kufanya ukitakacho pia lisa anapenda sana ela xo wewe lea mwanao utakavo shukulu tu kakuzaa nakupenda gigi ake
Dah gig ni 🔥🔥🔥 interview yako huwa inahuzuni kidogo na kichoko sana yaani nimependa ulivyovua kope 😂😂😂😂 hivi na nyie mmesikia inauma bro 😂😂😂sa sijajua alikua anaambiwa 📷 man au salama 😂🏃
Nadhani huyu bibie Gigy money amegusa angle nying sana kila mtu amejifunza hapa kwa namna yake Mungu atufungue macho wazazi wa kizazi kijacho ni kwel tumepata tabu sana kipindi cha nyuma kwa wazazi
GIGY UMENIFUNDISHA JAMBO KUBWA SANA ....NA NIMEBADILI MTIZAMO WANGU JUU YAKE....MBALI NA YOTE NIMEENJOY SANA.SHOW LOVE HATA KWA LIKE 20 TU ZITATOSHA.
Aunt Salama Jabir naomba umlete tena Giggy Money, wanaounga mkono nipe like japo 20 tu. Giggy ni Hustler mbaya. Na kwenye interview zake huchoki kumsikiliza.
Gigy seems hard ila she has such a soft heart....♥️
# iamlisley kabisa
upo mpk huku mamy
This is the real meaning meaning of interview, Gigy yuko so real anafunguka mahojiano yanahitaji hivi, Halafu kuna vingi sana vyakujifanza hapa usikijaji kitabu kwa muonekano wa nje!!!
Hahahahahahahahahaha gigi nyoko sana umevua kope nimecheka kwasaut wallah huyu kiumbe mungu kamtia kipaji chake
Jaman salama Niite na mm Kwanza natamani hivyo vitamin diko diko njaaaa Ila mpaka kipind kiishe
Giggy.. I love you..huyu dada anaongea ukweli, na wengi tumepitia issues katika familia lakini tunawajudge watu wengine as if hatujawai kuwa katila situation kama hii au karibia na hii❣❣❣
Msamehe mama na muombe msamaha muinjoy pamoja Allah atakubariki zaid
Thrilling interview....kweli don’t judge the book by its cover. Nimejifunza vingi kwenye hii interview and many others...macho yetu yanazidi kufunguka na uelewa unapanuka by listening different hustles your interviewees went through, the passion, determination, self drive of all your guest is amazing....hence they’ve achieved what they achieved.Thank you Salama and your team, I am your loyal fan...I haven’t missed a single episode so far, keep up the good work.
Noel, kwa niaba ya wenzangu, tunashkuru sana.
I agree with u boy
Hongera bw giggy mm nakushauri unaweza kusoma tena madhali akili IPO zipo zile shule za jioni na ukatoboa zaid nakuaminia huku unatafuta hela huku kitabu mbona wako huku kazi huku kitabu love u giggy
I just love her. She seem so sincere and has a tender heart. May God use her and open many Doors in her life.
I love her for who she is
Real and full of wisdom
Pole sana gigi kwamagumu unayo pitia penda wewe sana ila nawe ujifunze tiari una mtoto jirekebishe tunakupendaa sana 😘😘
Story nzuri..Interview nzuri..Interview ya mtaa..Interview ya maisha..reflection of real bongo life,By the way hongera aunt Salama kwa listening ability yako. Big Up!
Nimeumia sana historia ya Gigy haina tofauti na historia ya maisha yangu, wewe ni jasiri gigy penda Sana
Gigy, take heart dadangu. You are a mother and don’t lose it. People lose precious women in the name of death. She is still alive,Mshukuru Muumba. Unachohitajika kufanya, rudi nyuma umtake msamaha Mamako ilia pate maisha bora. Kuna uwezekano huruma yako ikawa mfano mzuri kwa mwanayo. Wewe ni kioo ya cha jamii, umewavutia wengi. Jaribu kuwa tofauti na namna ya jamii ilivyo,rudi kwa mama. Ita wazee na make chini ili mradi, upate radhi zake. M’bembeleze Gigy. I love my Mum and I do everything not to make her angry,you and your siblings can do that. Take heart.
Alimanzu
So true💯
Sijawah kukosa kucheka kwenye interview za gigy umepewa kipawa Cha pekee we lov u gigy🥰🥰
unanikumbusha vitu vingi sana gigi nakuelewa mno just the same path muingize mungu katika maisha yako atakupa amani ya ajabu
Nimekupenda tu Giggy...maisha yana mengi sana...ukweli wako mzuri sana... Wachache wenye kuweza kusema ukweli kama ulousema....so big up mamii
Nampenda sana Gigy,, anaongea in deep sio muongo muongo km wadada wengine!
Nilikuwaa sikusomi ss nimekuerewa nimekupenda baada ya kuujua ukwer
Kicheko cha salama gigi alivyovya kope 😂...... Gigi ni muwazi hafichi kitu, nakupenda bure ❤️❤️
Nampenda Sana gigy huwa Yuko open Sana hadanganyi na ana Moyo mzuri na kapambana na mengi tena akiwa na umri mdogo
I salute you Gigy. Umeweza mummy.
Salama hongera kwa interview una kipaji hichi na hali ya kukubalika kiasi ambacho mtu akihojiwa na wewe anakuwa free kuzungumza chochote.hongera sana.
Gigy money asante kwa kuwa real kuna mengi sana nimejigunza katika interview zako as a parent.. as a woman na kimaisha kwa ujumla nashukuru sana. Hii inasaidia watu kukufikiria nje ya box
Nimekua mpenzi wa kusikiliza interview kwa kwel na najifunza sana.Nipo tayari mb zang nitumie youtube for interview.Naombeni likes kwenu wenzang ambao tumeanza kufuatilia intavyuu za youtube mwaka huu tokea uanze.
Ester Danford Nimelike comments yako Alafu unletee mrejesho Kuna Nini kwenye like
Amejibu maswali yotee tena vizuri wasanii wengine waige mfano 👏🏽👏🏽👏🏽 Gigy fire ila hapo alipo toa kope ameniua kwa kucheka 😂😂😂
Salama you are so creativr i like you. Huyu demu nampendaga tuu ila sijui why, ila leo kaniliza
Nakupend hadi nakupenda tena Gigy ❤ni moja ya wanawake wanaojikubar🤏
Love you more Gigy Mamy Duu nazidi kujifunza meng Allah Akupe Maisha Malefu Mamy
Yaan nawakubal wote... Nakupenda salama since day one, pia gigy kaza aiseee nakukubali de way ulivoooo
Gigy money, nakupenda we mdada wallah. Nafurah yan jinsi ulivyo
Pole sanaaa yani ayo maisha tuu yanapita cha muhimu we komaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 gigy nimekunyoshea miguu daaaah cope zina chosha 😍😍😍😍😍😍😍
Gigy hata masaa 4 anakula mb zangu tu yuko open
Napenda sana interview za Gigy
@@paulinaprotas6014 sana very open hana mambo ya no comment
Hahahaa.i like it .napenda ulivyotuwa nyusiiii
Yaani umenifanya mpka nimelia but nimekupenda ni muwazi
JAMANI ALIYEMUONA GIGY KAVUA KOPE KAWEKA CHINI GONGA LIKE ZAKE ZA KUTOSHA
That our gigy proud to have a celebrate like you love you my gigy....
I love you gigy coz ww ni muazi you have a good heart and it seems you take care of your baby na unajielewa sana I love you💖💖💖
Gigy is alway open. Huyu dada nampenda sana.
Nimeenjoy sana hii interview
Nampenda sana Gigi , she is real kwa kweli
Nimecheka sana alivyotoa nyusi😀😀😀
Yuster Zacharia ety nyusi😂😂😂
Salama is a genius.....bravo! Very proffessional ,very articulate ...her interviewing skills..stellar!!First time watching and i enjoyed all of it.Luv from Kenya...New subbie!!
namkubali uyu chizi kinouma sana . sijawah kumuelewa ila nimemuelewa sas amaisha hayana afya ,Afya ya maisha tunaitengeneza . salama meza iyoo
Nampenda sana Gigy interview zake
dada salama mm namuomba mandojo au domokaya ila natamn sana sana aje man dojo
Yani nimecheka sana alivotoa kope eti I can't take it😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😃😃😃😃ana vituko
Salama you are very nice love you 😘
Nimeenjoy sana interview ya Gig ase she's to real. Mwenyezi Mungu Akubariki ktk hilo uje kuwa Mama mzuri baadae
Haha haha leo salama umeenjoy cope zimevuliwa🤣🤣🤣🤣🤣
Interview kali sana nimekupenda Gigy
Salama umepatikana hataree, nampenda Gigy
Gigy ukija tena nataka kukuona.ulkuja afu nkakusubir mpka saa 9usku hukuja. Ikabid niondke.niltaman nkuone.luv u#show oman🤩
Msitiri mzazi wako,nenda nae pole Pole,mama ni mama.
kweli dont judge a book by its cover watu wanapitia magumu sana maishani
We need another interview with her, she is so interesting!
Me too
Hongera gig mahela unazungumza ukweli tuu,ktk maisha ukisema ukweli watu hawapendezwi Ila songa mbele watembee na mikono
Nilichojifunza Tabia Yoyote Ya MTu Ambayo Inaonekana Mbaya Mbele Ya Jamii Inakuwa Na Historia Nyuma Yake, So WaTu Wenye Tabia Za Ajabu Tujaribu Kuishi Nao Kwa Akili Nasio KuwaTenga, Tunapowatenga Inasababisha Kuendelea Kuwa Na Tabia Mbaya Zaidi
Gigy nakupenda sana ijapokuwa uko nausazi wako ila unaakili.mama Mungu atazidi kukushika mukono
love you kipnz changu gigy napenda sana kukutizama
For the first time salama amekuwa emotions tangu nijue miaka 19 sasa katika kazi hii
I love her jamn arudii tenaa
lov u gigy😍.....nimejifunza mengi 4rm yu😍
Namuelewa and I feel her pain. We mostly judge bila kujua nini kiko nyuma ya maisha ya watu.
salama ukipata muda plz ludia tena interview na gigy, yaan naona muda kama ni mdogo nimep-enda hii interview
❤all love from Kenya.Gigi usijali ❤ I hope you and your Mom find peace.
Hi beautiful ladies I feel what GIGY is going through I passed a lot when I was doing everything to please my mum but they end I was there the one who end up messaging my life no matter what you are going do to please your mother just remember mothers I'll always be the same nothing will do to make them happy in this life no matter what l still love you sweet mom ❤️❤️❤️❤️ Allah akujalie umri katka hii Dunia aamiin
...😂😂ichi kichwa i really appreciate her she's very confident about herself she's really...
GIGY 😄😄😄... mbona yako kali sana "plate ya salama" eti
Hongera sana Gigy kwa kujitambua, big up sana kwako 👍😍😘
saumu hivi uko wapi??ughaibuni kama mimi
Gigy Mungu akusaidie ufike mbali ufly kama Ndege nakupenda sanaaa
aww dear, this brought tears to my eye, Mungu awatunze 💕💕💕💕💕
You go gurl 👏🏽👏🏽!
watu wanakuona chizi but you’re quite the character plus you’re really smart gigy; circumstances tu .. ila keep your head up🌹 you got this
Hata mama yangu ni ivyo ila nampenda tu sasa ivi tumepeana MUDA nijipange kwanza maana mh matukio yake baraah😭😭😭 sis tuko wa 5 baba tofauti
Duh pole Sana ndo maisha
Pole
Pole jamn
Pole sana
Duuuuh
Yaan pole sana gigi money kwel dont jugde book by cover much respect😍😍😍
My swthrt Gigy love you so much. Nakukubali kinoma natamani ata nikuone live one day
Salama mashallah you are a very nice person
thanks GIGI, thanks Salama for the show
Gigy nakupenda saana ❤❤❤🎉🎉🎉my friend
Nakukubali sana Gigy, Pole sana na Mitihani.
I love gigy money am her best follower since Instagram 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lisa lisa gigi unamjua vizuri na maisha yake unayajua vizr kwa tabia za lisa lisa ni ngum wewe kufanya ukitakacho pia lisa anapenda sana ela xo wewe lea mwanao utakavo shukulu tu kakuzaa nakupenda gigi ake
Kichaa wetu jaman nampenda bure 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahhha kwamba unampigaje balozi🤣🤣🤣🤣🤣
I like u Gigy,Mungu azidi kukutimizia hitaji la moyo wako mdogo wangu ❤❤❤uko really sanaaaaaaa
Salama mashallah 😘
Dah gig ni 🔥🔥🔥 interview yako huwa inahuzuni kidogo na kichoko sana yaani nimependa ulivyovua kope 😂😂😂😂 hivi na nyie mmesikia inauma bro 😂😂😂sa sijajua alikua anaambiwa 📷 man au salama 😂🏃
😆😆😆😂😂 gig sio poa
😆😆😆😆 Nmepata hyo
Sitosahau interview ya salama na mwana FA nilijifunza sana
Naenda kuiangalia sasa
@@mamoridan4675 hata mm🤣🤣
Nikitoka hii naiangalia 😋
Hahahahaha gigiiii umenicheka wallah khaa kutoa kope hapo kwa hapo weuweeeeeeeee hahahahaha
Leo nimeinjoy sana salama😅
Great gigy unamafunzo mazuri
Salute giy money❤
God blees you
Gigy amechangamka hadi raha
I have enjoyed this interview than any other interviews
Nadhani huyu bibie Gigy money amegusa angle nying sana kila mtu amejifunza hapa kwa namna yake Mungu atufungue macho wazazi wa kizazi kijacho ni kwel tumepata tabu sana kipindi cha nyuma kwa wazazi
😂😂😂😂 Gigi Nakupenda
Interviews za huyu dada jamani😂 Mara cope chini miwani juu
Nampend Sana huyu Dada aisee gigy😘😘😘😘😘
Story yako imeniuma coz hata mimi nimepitia hayo hayo love
Tunamuhitaji giggy tena another episode please 🙏
Nampenda gigy coz yupo real
Kweli kbs ulikua haulieweki Bora ulivyozaliwa my dear nakupenda sana
Nakupenda sana Gigi umenifanya hadi nimelia na mmi pole sana kwauliyo yapitiwa
Uwazi wako unakuweka huru love
🤣🤣🤣🤣 et akiongea hapa tutakimbia gigi bana😂😂😂