SWALI LA KULALA BUNGENI / MZEE WASIRA ACHARUKWA /NILLIKUNYWA DAWA YA MAFUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @adamlikati3364
    @adamlikati3364 ปีที่แล้ว +1

    Once a man twice a child " aliwahi sema Bob marley

  • @stellapara1555
    @stellapara1555 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mzee wasira,sikuwahi kupata nafasi ya kukusikiliza,uko na Busara sana

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 ปีที่แล้ว +1

    Sleeping beauty

  • @edisonkashaija4067
    @edisonkashaija4067 3 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana 🙏

  • @anitasita7153
    @anitasita7153 3 ปีที่แล้ว +1

    ACHAA KULALAAAAA WEWEEEEEE JIUZULU UMEZEEKA

  • @raymondndeanka2608
    @raymondndeanka2608 3 ปีที่แล้ว +3

    MAJIBU YANAYOELEWEKA

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +3

    Gangana....

  • @fikirinyanda6805
    @fikirinyanda6805 3 ปีที่แล้ว +4

    Hapo yenyewe ungejichanganya angesinzia

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 ปีที่แล้ว +1

    Wameshazeeka hao inabidi wastaafu wawaachie vijana waendeleze

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 3 ปีที่แล้ว +3

    Nipe tano ni miongoni mwa vipindi ninavyovipenda

  • @edisonkashaija4067
    @edisonkashaija4067 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah khalidi gangana umembana huyo mzee wa kikurya kisawa sawa ila anang'aka sana 😆😆😆

  • @hamadali5062
    @hamadali5062 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania inawezee wenye hekima Sana

  • @stellapara1555
    @stellapara1555 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee unamjibu mwandishi majibu yaliyoshiba

  • @DevyMtanza-fc2nn
    @DevyMtanza-fc2nn ปีที่แล้ว

    Lizee kulala bungeni kisukali kibamsumbua

  • @amosjk8630
    @amosjk8630 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kazi 😂

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee aliaminika kwa sababu ni mtu mwenye akili nyepesi na uelewa mkubwa wa mambo.

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwasababu hamna kazi😅🤣

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction1622 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee 🤣🤣

  • @johnmwicha850
    @johnmwicha850 3 ปีที่แล้ว +1

    JM Chacha: CCM mna Hasina kubwa ya wazee wenye busara kuliko vyama vingine vya upinzani/ushindani, nashauri mkaanzisha utaratibu wa kuunda kikundi kidogo cha wazee kama Waira wasiozidi 10 mkawatumia kila mara kushauri CCM Na serikali yake. Hawa wazee waliowengi bado mawazo Yao ni mali kuliko ya vijana waliokuwa wengi. Tuestumie.Rais Kikwete alifaidika mno Na busara za wasira. Na zaidi hawa wazee wengi wao si mafisadi na wanaipenda nchi yetu Tanzania kutoka moyoni. Tuwatumie.

    • @uhurunyereremusa8592
      @uhurunyereremusa8592 3 ปีที่แล้ว +1

      wasira pamoja na uongozi wa nuda mrefu hakuna mwananchi alichofaidika nacho ndio maana waajili wame Bunda wakamfukuza kazi. kikundi cha wazee hatukiitaji kwani kama walishindwa kufanya mambo hayo ya maana walipokuwa madarakani wataweza fanya wakiwa nje??waache wapumzike tuokoe fedha zetu za kodi

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 3 ปีที่แล้ว +1

    Siasa ni hoja ushindani ni neno zuri siyo pinzani

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wasira msamehe tu huyo. Anaulizauliza tuu, lakini hajui anauliza nini?. Bora liende.

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli wajinga ndio waliwao