MSIKILIZE PROF. MUHONGO ASHUSHA NONDO BUNGENI ISHU YA UHABA WA UMEME, ATOA MBINU MPYA, SPIKA AKUBALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo ndo nondo za Msomi Prof. Muhongo zwnye kuchambua hali halisi na siyo uchawa. Anaongelea Vision 2025, malengo endelevu 2030 kwa takwimu.
    Hawa ndiyo watu tunaowahitaji katika Tanzania tunayoitaka, no uchawa hapa anacheza na takwimu tulizijiwekea dhidi ya tulizokamilisha! Ubarikiwe Prof.

    • @brownsebastianmwibi5647
      @brownsebastianmwibi5647 5 หลายเดือนก่อน

      Sema huyo prof. alipewa wizara kipindi fulani akaishia kuiba pesa ambazo zingeenda kwenye hizo vision anazoongelea. Kwa hiyo kiongea ni kwingine na kutimiza ni kwingine, akae kwa kutulia, amwache Dotto Biteko apige kazi maana ana uwezo mkubwa pia.

  • @joycebenjamin6017
    @joycebenjamin6017 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan huyu prof,ndiye angefaa kwenye wizara ya nishati lkn kwa vile ni maelekezo kutoka kwa......basi lkn hili jembe👍🏻👏🏽

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani hajawahi kuwa waziri wa Nishati?😂😂😂. Bongo upigaji ndo unatutesa, Ila watu wenye uwezo wapo Wengi. Shida UPIGAJI😢😢

    • @tumahamza8972
      @tumahamza8972 5 หลายเดือนก่อน +1

      Alikuwa huko akashindwa. Sijui ilikuwaje?!! Beto pia ni mtendaji mzuri. Alietoka ndio kivuruge.😢

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 5 หลายเดือนก่อน

      Alitepeta huyo ni wakumskiliza biteko akafanyie kazi ye sio mtendaji anatakiwa kuwa mashauru wa Naibu waziri mkuu kuhusu nishati

    • @tonnykinabo5422
      @tonnykinabo5422 5 หลายเดือนก่อน

      Prof. msanii tu huyu. Anatoa literature za vitabu tu. Alikuwa hapo akatuingiza mkenge kwenye madini hatutaki kumsikia.

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shida ni hilo bunge wabunge wengi uwelewa wao ni mdogo sana sana hakuna kitu wanaelewa hapo

  • @baharanimasoud
    @baharanimasoud 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaaa liko vizuri sana

  • @phillipomwampeta9863
    @phillipomwampeta9863 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo prf unaongea, yanabaki hapohapo Bungen utekelezaj zero ktk selikali,,,..

  • @jonathandulle
    @jonathandulle 5 หลายเดือนก่อน +1

    Waziri mstaafu wa NISHATI NA MADINI

  • @africainteligence
    @africainteligence 5 หลายเดือนก่อน +1

    Big up to 🇰🇪 🎉

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 5 หลายเดือนก่อน +2

    Homeboy...mara hatoki fala...

    • @MadilishaSimon-sb9kk
      @MadilishaSimon-sb9kk 5 หลายเดือนก่อน

      Yeye akiwa waziri kipindi kile alilisaidia nini taifa

    • @brownsebastianmwibi5647
      @brownsebastianmwibi5647 5 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni fala tu. Au umesahau issue ya Tegeta Escrow na Richmomd?

  • @joevang4685
    @joevang4685 5 หลายเดือนก่อน

    mama mpe uwaziri wa nishati huyu mtu akusaidie

  • @joevang4685
    @joevang4685 5 หลายเดือนก่อน

    sijui tunafeli wapi, mana maupepo yapo kila sehem, jua kila sehem. wameganda na maji tuuu

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 5 หลายเดือนก่อน +1

    Siyo kwa serikali ya ccm

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 5 หลายเดือนก่อน

    Vyanzo tunavyo vingi sana apo viimalishwe tu, cio tuanze vingine wakati kuna uwezekano tuliuvyonavyo n bora zaid

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa serekali ya kilaza samia , hayo yote ni ndoto ya mchana

  • @rahmakimario4640
    @rahmakimario4640 5 หลายเดือนก่อน

    hatuhitaji umeme kwa chochote ni kujizesha tuu

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 หลายเดือนก่อน

    Ulishawahi kuwa waziri.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa maneno huwa uko sawa Prf.
    Uhitaji wetu ni utendaji na utekelezaji....... Maneno natupu hayavunji mfupa......kwa maneno haya umeisaidiaje nchi

    • @ChiduMangalili
      @ChiduMangalili 5 หลายเดือนก่อน

      Ila Prof.Kenya juzi juzi walikuwa na mgawo mkubwa wa umeme.
      Tatizo ni nini hapa?

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 5 หลายเดือนก่อน

    Acheni hizo bei ya umeme ipugue Sasa ,

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo ni msomi,anaweza kujieleza wizara umuone ,atafanya kama.mtu wa form four.amesahau alipewa wizara akavurunda.Hapo yupo mawindoni,anajikomba kwa dr.aibu ya ya kufa mtu

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 4 หลายเดือนก่อน

      Shida ni kwamba ww shule huna huwezi kumuelewa na kiufupi huyu alikua anafanya kwenye serikali ya South afrika kama mubobezi wa miamba alifuata na kikwete kumuomba aludi nyumbani atusaidie

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 unaweza sema hakuwa kwenye escrow na Richmond

  • @LusubiloMwazyunga-rx3fz
    @LusubiloMwazyunga-rx3fz 5 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 5 หลายเดือนก่อน

    Atuerewi

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu.ni mtaalamu wa.umeme.Mama mkumbuke huyu anaweza kutusaidia. Wasaidizi wake walikuwa na chuki

    • @NursamiaKiligaliga
      @NursamiaKiligaliga 5 หลายเดือนก่อน

      Vyanzo vipo vingi bro wanaangalia pakupiga t, tuna ges tuna mwalimu nyerere bwawa tuna mtera, we awa wanatuona Watanzania mapoyoyo t.