Mchungaji almighty God bless you Mchungaji hua nasikia kubarikiwa sana pindi tu unapoongea niko nchin kenya lakini Mungu aliyemtete Ayubu leo ninaomba kama ni hii uzima akurejeshee tena zaidi mara dufu. Kama Ayubu alivorejeshewa nguvu naendelea kutamka a great visitation from our living God
All the Glory to God!! Nimebarikiwa sana. Naomba mwandishi utumie herufi kubwa unapoandika God inayomaanisha Mungu wa Mbinguni. Kazi yenu ni njema sana
Amen..sitochokaa kukuombea pastor wangu Ron Swai..kila j2 napoendeleaa kukuona ukiwa na afya njema zaidi.nabarikiwa zaidi.YESU wa mbinguni unaemtumikia bado analokusudi na wew! Sisi kma kondoo wa malisho yako,tuko nyuma yako BABA 🙌. Asante Sana piya kwa Mama mch.Aneth.amekuwa pamoja na na pastor kwa karibu zaidi.kipind chote kigumu.barikiwa .najivunia kuwa mtoto wa Ron Swai.mch.mwenye UPENDo ❤️ wa ajabu saana.tena sana.apend kuona kuondoo wake,wanapotea njiani.barikiwen Revival kwa maombi yote kwa mch.wetu.Ron swai.asante YESU wangu kwa yoteeee
Hongera Sana Sana REV. RON SWAI. KUSIKIA UNAENDELEA VIZURI. TUNAKUOMBEA, TUNAKUOMBEA, Tunakupenda, Tunakupenda Sana Sana na YESU ATAKUTETEA NA UIMARIKE. WEWE NI HAZINA WA TAG
Mungu ni mwema aliyemrejeshea Mtumishi wake REV. RON SWAI uzima na afya njema, jina la Bwana Yesu libarikiwe. Ushauri kwa mafundi wa NYTV rekebisheni hayo maandishi ya herufi ndogo yameliandika neno la kanisa kwa herufi ndogo, kwasababu jina la kanisa likiandikwa kwa ufupi ile herufi ya mwisho inamtaja Mungu basi msiiandike kwa herufi ndogo, andikeni kwa herufi kubwa G.(ikisomeka God).
Amina jina la Bwana libalikiwe, utukufu na heshima ziludi kwake.
Pole sana mchungaji. Mungu azidi kukutia nguvu.Jina la Bwana libarikiwe.
Mch Ron Mungu ni mwaminifu nimefurahi sana kukuona
Mchungaji almighty God bless you Mchungaji hua nasikia kubarikiwa sana pindi tu unapoongea niko nchin kenya lakini Mungu aliyemtete Ayubu leo ninaomba kama ni hii uzima akurejeshee tena zaidi mara dufu. Kama Ayubu alivorejeshewa nguvu naendelea kutamka a great visitation from our living God
Ubarikiwe sana baba wa imani wa t a g lazaro
Asante mungu kutusikia ubarikiwe baba etu swai
All the Glory to God!! Nimebarikiwa sana. Naomba mwandishi utumie herufi kubwa unapoandika God inayomaanisha Mungu wa Mbinguni. Kazi yenu ni njema sana
Utukufu kwa MUNGU baba amen.
Jamani pastor wng since Dct Mungu aendelee kukupigania
Mungu akulinde sanaaa mchungaji
Mtendewe mema mlindwe na mungu by pastor mwambalaga mbeya
Jina la BWANA libarikiwe!
Mungu akubariki Mtumishi wa Bwana
Utukufu kwa Mungu,Mungu aendelee kukutunza Baba Yetu nimefurahi kukuona
Hakika wamtegemeao Bwana ni kama mlima sayun kamwe hautetereki ..hakika Mungu wetu ni mwaminifu
Kwa kweli Mungu apewe utukufu kwa yote aliyotenda juu ya aliyekuwa mhazina wetu mkuu tunakuombea
Amen..sitochokaa kukuombea pastor wangu Ron Swai..kila j2 napoendeleaa kukuona ukiwa na afya njema zaidi.nabarikiwa zaidi.YESU wa mbinguni unaemtumikia bado analokusudi na wew! Sisi kma kondoo wa malisho yako,tuko nyuma yako BABA 🙌. Asante Sana piya kwa Mama mch.Aneth.amekuwa pamoja na na pastor kwa karibu zaidi.kipind chote kigumu.barikiwa .najivunia kuwa mtoto wa Ron Swai.mch.mwenye UPENDo ❤️ wa ajabu saana.tena sana.apend kuona kuondoo wake,wanapotea njiani.barikiwen Revival kwa maombi yote kwa mch.wetu.Ron swai.asante YESU wangu kwa yoteeee
Mungu atukuzwe kwa uponyaji wa mtumishi wake. Aendelee kumlinda na atumike shambani kwake
Lusifa umeanguka Lusifa umeaibika ushindwe milele yote, Oooh haleluya jina la Bwana wetu YESU KRISTO lihimidiwe
Hongera Sana Sana REV. RON SWAI.
KUSIKIA UNAENDELEA VIZURI.
TUNAKUOMBEA,
TUNAKUOMBEA,
Tunakupenda,
Tunakupenda Sana Sana na YESU ATAKUTETEA NA UIMARIKE.
WEWE NI HAZINA WA TAG
Amen amen mtumishi wa Bwana. shetani ameshindwa.
Kaza mwendo baba na mama.
Thanks we God
Amen baba.
Mungu ni mwema kwako swai amen
Sifa na Utukufu ni kwa Mungu. Hakika Mungu azidi kukutunzaa zaid mchngaji. Tunakupenda pia
Mungu mwema sana ,hakika yeye ni.Jehovah Rapha
Mung ni Mwema my father my lovely Pastor .Mungu akupe total recovery
We love you pastor Ron Swai
Amen utukufu kwa Mungu
Mungu ni mkuu sana asante kwa matendo makuu uliyotutendea.kumponya mtumishi wako.
Thank you for good message
Ameni pastor Mungu ni mwema Ansante YESU kwa kumlinda pastor wetu
Mungu azidi kukutunza mtumishi
Amen
Ohh Mungu akutie nguvu Mtumishai wa Mungu, we are praying for you Pastor, and you will totaly recover in Jesus name ameeeeen
Ee yesu naomba unirehemu
Mungu akuponye Baba yetu
Mungu azidi kuimarisha afya yako
Mungu wa mbinguni azidi kukulinda tunakuombea na tunakupenda familia ya Kaizilege kutoka Dar
Yesu ni mkuu kwako Baba God is so faithful
Mungu Mwema Atukuzwe Yehova
Amen Mungu atukuzwe sana
Mungu azidiii kukupa Nguvu utalishe kondoo zako
Utukufu kwa Mungu
Mungu wetu ni Mkuu sana
Pole sana Mch.
Mungu ni mwema
Naimuru Afya yako lkaimarike tangu sasa kwa jina la Yesu Kristo,
Grory to God
Amen nmebarikiwa sana sana me siyo muumini wa tag lakn nmebarikiwa
Amina Mungu nawe akubariki sana
YESU bado yuko enzini. Ndivyo ulivyonitia moyo skuzote nami nasema kwako vivyo hivyo
Mungu ni mwema aliyemrejeshea Mtumishi wake REV. RON SWAI uzima na afya njema, jina la Bwana Yesu libarikiwe.
Ushauri kwa mafundi wa NYTV rekebisheni hayo maandishi ya herufi ndogo yameliandika neno la kanisa kwa herufi ndogo, kwasababu jina la kanisa likiandikwa kwa ufupi ile herufi ya mwisho inamtaja Mungu basi msiiandike kwa herufi ndogo, andikeni kwa herufi kubwa G.(ikisomeka God).
Asante tumeupokea ushauri
To God be the glory
Duuu! Jamani
Amen Mungu ni mwema sana
Glory be to God! May the Lord continue to keep you man of God, we love you mwaaaaah!
Glory to Jesus ✝️
Oh,Jina la Bwana libarikiwe Sana kwa kukuponya Mhasibu wetu mkuu na Mwalimu wangu! Unaongea!
We love u too daddy
Kijijini Sasa 😭😭😭😭😭
Glory to Jusus
🙏🙏🙏
Mungu akutunze tunakupenda
Utukufu kwa MUNGU baba.
NyTV nipeni contact zenu nataka niwe nawatumia matukio ta kanisa geita kusini,by Rev,kabasa mwangalizi sec.mbogwe.
namba yetu ni 0712 455 252
Naombeni mrushe mahubiri ya mchungaji Benjamin I Bukuku kabisa LA amani Soweto
Tumekusikia mtazamaji wetu ikitokea akatualika tutafanya hivyo.ubarikiwe sana
Nimejifunza kitu kikubwa Sana
Mugu na atukuzwe sana kwa muujiza wake huu
You love u my Dady god is good
Utukufu kwa Mungu