WACHUGAJI NA WAUMINI WAMTAKA ASKOFU AJIUZULU "KWA KUINGIA KANISA NA BIBLIA YA FREEMASON"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @mburujamburuja548
    @mburujamburuja548 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu atusaidie. Kama ni kweli, watumishi hawa ni hasara kwa kanisa.

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

      mmmmmmmh sasa km mtumishi anawez kusimam mbele ya madhabahu bdo ni mtu masonic mbn ni hatar sana hii dunia ajmn

  • @happylightlyimo252
    @happylightlyimo252 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidie

  • @michaelmachango3730
    @michaelmachango3730 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio wanafiki wanaoleta vurugu kwenye makanisa yetu!
    Kama ni suala la ubadhilifu kuna taratibu zinatakiwa kufuatwa!

  • @wannaproducts
    @wannaproducts 2 ปีที่แล้ว +1

    Walutheri kwa migogoro wako vizuri

    • @vallerinejesse2299
      @vallerinejesse2299 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli Wana migogoro mingi kuliko makanisa mengi. Nahisi hawana mbinu za kukabiliana nayo. Pia wameachia litrujia yao kuchanganyika na ya kipentecoste sasa ni shida kidogo, kuna makanisa mengine ya kiluteri ukiingia utadhani ni la kipentecoste, ni vizuri wakarudi kwenye litrujia yao!!! Sio kujichanganya!

  • @elizabethandrew4544
    @elizabethandrew4544 2 ปีที่แล้ว +1

    🤲daaa aisee

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +3

    Shetani ana nguvu Sana mpaka viongozi wa dini mnapotezwa na kujiunga na freemason

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +1

      ni wengi sana hao, litakuwa agizo la huko masonic et waanze kuingiza bibble zao makanisan co huyu tu mtaona mengi jmn

  • @benjaminbatano698
    @benjaminbatano698 2 ปีที่แล้ว

    Mungu alisaidie kanisa lake

  • @harounalubbaid8585
    @harounalubbaid8585 2 ปีที่แล้ว +1

    HAYYAA ALAL FALAAAH HAYYA ALAL FALAAAH NJOENI KATIKA SWALA.

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 2 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ni siku za mwisho mengi yatatokea na tutayaona.

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว

    Mlianza kumpinga KRISTO katika ubatizo
    BWANA YESU ngoja awaache mjiongoze mwenyewe......

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 2 ปีที่แล้ว +2

    Wachungaji wakifanya makosa na kuwajibishwa na asikofu wanatumia wazee wa kanisa kuanzisha mgogoro.Kama ni ubadhilifu kuna namna ya kuahughulikia na ai kumvua uaaikofu kwani hamna mamlaka hiyo.Mwenye mamlaka ni askofu mkuu wa kkkt Tanzania tu.

  • @jacksonmkunga9283
    @jacksonmkunga9283 2 ปีที่แล้ว

    Daaa Ila nyie wachungaji wanafiki Mungu anawaona

  • @jacksonmkunga9283
    @jacksonmkunga9283 2 ปีที่แล้ว

    Iyo migogoro nyee wachungaji ndo mnaikuza kwa maslahi yenu binafsi ivi mnafikili mtakaa milele kwenye izo sharika ,,Kama wewe unaesoma iyo taharifa wa kumnyoshea kidole mtu kwamba ni mkosefu subilini muone Mungu atakavyo wafanya

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 2 ปีที่แล้ว

    Mtaelewa tu.

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 2 ปีที่แล้ว

    Aise!!

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

    na huyu ni askofu daaaaaah mungu weeeeee, nipe tu karma ya neno lako miaka yangu iliobaki nikutumikie

  • @saidmzee2554
    @saidmzee2554 2 ปีที่แล้ว

    Ukiristo ni freemanso

  • @violethtingo7703
    @violethtingo7703 2 ปีที่แล้ว

    Khaaa🥺🥺

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭

  • @doricusraphael762
    @doricusraphael762 2 ปีที่แล้ว

    Huto askofu mwenyewe Yuko wapi mbona hawamuonyeshi jaman

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo biblia hata mimi naihitaji nipeni.

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว +5

      kamtfte huyo mchungaji atakupa alokuwa akitaka watumishi waisome, sasa hapa unamwomba nan

  • @ambokileosward8850
    @ambokileosward8850 2 ปีที่แล้ว

    KKKT imepoteza mwelekeo

    • @vallerinejesse2299
      @vallerinejesse2299 2 ปีที่แล้ว

      Nachoona mimi KKKT imeacha baadhi ya watumishi kuchanganya litrujia ya kanisa lao na mambo ya kipentecoste. Sasa mara nyingine unaingia kanisa la KKKT wanavyohudumu kama wapentecoste. Kupiga makelele kanisani na kutoana mapepo na miujiza.warudie LITRUJIA ya kanisa lao hawakua hivyo mwanzo!! Na Anglican ndio nao wanakoendea huko! Ktk haya huwezi kukosa migogoro. Waumini hawaji kanisani kusali kumshukuru MUNGU kutubu na kuomba rehema na kumpelekea maombi yao, wao wanakuja kutolewa pepo, kupokea miujiza, na utajiri

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 2 ปีที่แล้ว

    hatakuwa huyu pekeee ni wenngi mno hawa wako na kofia za kidin kumbe mashetan wakubwa

  • @meshackmlaki2066
    @meshackmlaki2066 2 ปีที่แล้ว

    Auwawe mbwa huyu

    • @vallerinejesse2299
      @vallerinejesse2299 2 ปีที่แล้ว

      Hujui ni ROHO ya namna gani uliyonayo., Omba Toba na rehema. Hivi mkristu mbatizwa anamuogopa freemason?? Ningewashauri maandiko yanasema nduguyo akipotea mrejeshe kwa upendo!! Sio mfukuze!! YESU KRISTU angetufukuza kwa dhambi zetu nani angebaki?? Kumbukeni hao mnaowaogopa freemason hawana nguvu kama YESU KRISTU yeye ndie mwenye nguvu zote superpower. Ukiwa nae Bwana wa vita nani atakusogelea.??? Ni aibu mkristu kumfukuza mtu na sio Kurudisha kumfanya atubu na arejee.

  • @rehemafungo5042
    @rehemafungo5042 2 ปีที่แล้ว

    Walutheri wenzanguuu😭😭😭

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 2 ปีที่แล้ว

    Kwani hatakiwi kusoma Theolojia ya Freemanson ili awahubirie vizuri zaidi ??

  • @PetetIgnas
    @PetetIgnas 2 ปีที่แล้ว +2

    Iyo Biblia ya freemason ntaipata wapi na mm niisome

    • @abuyunusmohamed6961
      @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

      Utaipata kwenye gazeti la Daily news

    • @PetetIgnas
      @PetetIgnas 2 ปีที่แล้ว

      @@abuyunusmohamed6961 kwenye gazeti tena

    • @mariakigomba7479
      @mariakigomba7479 2 ปีที่แล้ว

      Najivunia KuwA mkristo mkatoriki mm

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 ปีที่แล้ว

    😂

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว

    Du. Satanic Bible ishaenea namna hyo . Da tunakoelekea. Bila hao wachungaj wenye elimu na maarifa kugundua hilo sisi waumini tungekamua2 masonic Bible maana sisi waumini tunafata kila kitu maana tunaitwa. KONDOO ZA BWANA 🐑🐏🐏🐑🐑🐑