Woow nmefurah kukona rafk angu merci..nilitamn nkuone atimae Jana umejileta mwnyew church nakpnda madam merci wngu.next mkuje tena . blessed Nytv..pmja n pastor wang n mama pastor Rony swai.nawapenda Sana.
E MUNGU WA MBINGUNI MUNGU UPONYAE MPONYE MTUMISHI WAKO EMUNGU MWENYE KUINUWA MUINUWE NIWAKATI UMEFIKA AINUKE SASA KWENYE KITI HIKI KIMUACHILIE KUPITIA DAM YA YESU NA NGUVU ZAKE KWA JINA LA YESU
Utatembea SAAAANA mchungaji RON SWAI. HAKIKA MI NILIWAHI KUKUONA MIAKA 3 ILIYOPITA KWENYE MSIBA WETU MASAMA MODIO UKITEMBEA KWA SHIDA NA CRUTCHES LEO UNATEMBEA. HONGERA BABA SWAI.
Ee yesu naomba unibariki na kazi za mikono yangu na ukae nami rohoni
Nakuombea sana muhazina wetu wa TAIFA Yesu akuponye ktk jina la Yesu nakuombea sana
Pole Sana,,, utukufu apewe Bwana
Amen Amen Mtumishi wa Mungu kwa Neno lenye Uzima Barikiwa mnoo.
Bwana Yesu nakushukuru Sana kwa uponyaji wa Ron Swai Bwana endelea kumfungua kwa damu ya Yesu
Mungu Mwema Atukuzwe sana Haleluuuya aaa Glory to God
Yeye ni mungu wa kuabudiwa milele na milele ni mkuu huyu bwana mungu mwenyez wa ajabu
Nakupenda Sana baba yangu Ron swai YESU aendelee kukuponya YESU aendelee kukuinua baba 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Woow nmefurah kukona rafk angu merci..nilitamn nkuone atimae Jana umejileta mwnyew church nakpnda madam merci wngu.next mkuje tena . blessed Nytv..pmja n pastor wang n mama pastor Rony swai.nawapenda Sana.
Mungu yupo kazini ,ajitwalie utukifu Kwa mtumishi wake
Hakuna lisilowezekana kwake yeye aaminiye. Huyu Yesu Yeye anabaki wa kuabudiwa milele yote. Baba Ron Swai uzidi sana kuponywa nakuimarika afya yako
Nimefurahi sana kukuona umepona Mchungaji wangu. Mungu akubariki mno. Nakupenda mwa
Mungu aendelee kukuponya
Jmn anaumwa nn muhazini
Mchungaji Ron.Mungu aendelee kukutia nguvu tu tu .Mchungaji Mbata nafurahi kukuona.Mrs.Habiyaremye.
E MUNGU WA MBINGUNI MUNGU UPONYAE MPONYE MTUMISHI WAKO EMUNGU MWENYE KUINUWA MUINUWE NIWAKATI UMEFIKA AINUKE SASA KWENYE KITI HIKI KIMUACHILIE KUPITIA DAM YA YESU NA NGUVU ZAKE KWA JINA LA YESU
Mungu azidi kukutia nguvu baba
Utukufu kwa Yehova kwa uponyaji
Yani jamani huyu baba anastahili kupendwa nakupenda sana sana baba
Utatembea SAAAANA mchungaji RON SWAI. HAKIKA MI NILIWAHI KUKUONA MIAKA 3 ILIYOPITA KWENYE MSIBA WETU MASAMA MODIO UKITEMBEA KWA SHIDA NA CRUTCHES LEO UNATEMBEA. HONGERA BABA SWAI.
ASANTE YESU KWA KUMPONYA BISHOP WETU HATA SASA WEWE NI EBENEZA
Walokole salini kwa nidhamu mmoja baada ya mwingine hizo vurugu zinamkaribisha ibilisi
Mchungaji Mboto sasa tukija kisesa hatuta kupata? au tutakukuta hapo knjaro
Yupo KRT sasaa
Mchungaji Ron.Mungu aendelee kukutia nguvu tu tu .Mchungaji Mbata nafurahi kukuona.Mrs.Habiyaremye.