Pamoja na hali zetu za kimaisha, changamoto N.k bado tunaswa kuipenda nchi yetu hata kufa kwa ajili ya vizazi vyetu, naipenda tanzania yangu nchi yangu.❤
Ubongo wako mzito Sana kuelewa ulimwengu unaendaje kwa sasa mnasikia kila siku marekani anafanya mazoezi ya pamoja na NATO kwahiyo marekani kauza kipande cha ardhi kuwapa hao Wana umoja wake
Marekani huwa anashirikiana na Nchi nyingi kwenye mazoezi ya kijeshi je hawajiwezi? Kama jambo huna Elimu nalo kaa kimya la sivyo kila mtu atajua jinsi ubongo wako unavyo fanya Kazi
Nimefurahi sana kuona jeshi letu na mama anajivunia sana kuwa jeshi kubwa.Ninaipenda sana tanzania yangu.Mungu ibariki tanzania.
Yani chawa bhan kila kitu mama mama
Aamiin
😂😂@@nabosedward4836
Raha n kuwa na Jeshi dogs lenye weredi
Bila morale hakuna jeshi!!! Safi sana jeshi letu jwtz. Mwenyezi Mungu awabariki kwa kazi kubwa mnayofanya.
Tanzania 🇹🇿 for life , safi sana makomando wetu 💪💪
Pamoja sana weng tuna ndoto za kuw hapo mulip pigen kaz na cc tunakuja kwa. Uwez wa Mungu
Pamoja na hali zetu za kimaisha, changamoto N.k bado tunaswa kuipenda nchi yetu hata kufa kwa ajili ya vizazi vyetu, naipenda tanzania yangu nchi yangu.❤
Tanzania Moja Tanzania yetu
Mim naipenda sana jeshi ningepata ata mtu ambae ananiunganisha na jeshi ningeenda mda wowote
Salute nimefurahi kuona jwtz wakiwa na full mood
Pia ninakukubari sana waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi.Safi sana.Mungu ibariki tanzania.
Haataar ya mama yake hapa nimekubar wanaume wamekamilika 👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
Nakubali military,mungu awalinde,haswaa ninyi ndo wanajesh waukwel👍👍👍👍👍
Nakupenda TANZANIA 🇹🇿🇹🇿,MUNGU IBARIKI NCHI YANGU
Tanzania 🇹🇿 for life ❤❤ jwtz on 🔥
❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍😍😍😍
Munguibariki Tanzania pamoja Na afrika❤❤❤
Mungu ibariki tanzania mungu mbariki dt samia suluhu hassan
Sisi wengine ni wazalendo tupotu mitaani tupewe nafasi nasisi tutatumikia ncchi yetu na kulinda amani ya Tanzania bure kabisa❤❤❤
Hakika Uzalendo ni Utimgongo wa Amani. Umoja wetu ndiyo silaha yetu. One Tanzania! One people!
Mungu akubariki
Asante jeshi langu❤️❤️🙏👍
Naipenda sana nchi yangu ya 🇹🇿
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 nipo napambana huku mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️
Mpk raha mungu mlinde mwanangu kwenye hili jeshi
Tanzania ndio Nchi ya Wazee wetu naipenda Nchi yangu na WatZ wenzangu
tupo Pamoja
Asanteni mmetubariki Mungu awabariki, lakini madini yetu yasiibiwe na raslimali ya inchi yetu mkiwa mpo.
Mungu awabariki sana makamanda wangu
Njoo congo
Hay twenzetu congo sasa tukakiwashe
Naipenda mpaka naliaa! Taanzaniaaa❤
Nakubaliiiiii general
Njoo congo jeshi ni bure huku
❤ amani, nguvu Moja ,upendo daima , nchi yetu...
Naipenda Tanzania ❤❤
JENERAR MKUNDA
Naipenda nchi yangu nzuri
Masha Allah ❤
Nchina ndio nchi rafiki wa kweli na Tanzania .... ❤
I love you so much TANZANIA👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
God this is my turn
Naipenda mpaka nalia Tanzania
Uzalendo ni kitu cha kwanza kabisa waTZ.Tuipende nchi yetu na Mole atusimamie
mungu awape maisha marefu sf🙏
Best infantry in Africa TPDF
Nakubali..morali ipo juu
Mungu ibariki Tanzania
Longlive Tanzania longlive madam samia
Safi sana Tanzania Amani itawale
Mpaka raha🇹🇿
Tanzania nchi pendwa ❤❤❤❤
🎉❤❤❤
Vipi tuombe mechi ya kilafki na m23
Safi kabisa .Ongezeni silaha za kisasa kabusa
Feel luck to be born in peacefull country like Tanzania ni fursa kubwa
❤❤❤ Tanzania tupo juu
Kazi nzuri wapambanaji
Tuna omba kenya vita ya kila fiki jamani afu tuone😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Suali langu moja tu Je! Vile wanajeshi walivyojengwa imani na mapenzi juu ya nchi ya tz vipi kuhusu wananchi nao wanaipenda na niwazelendo vivo hivo?
Good
Naipenda inchi yangu
Hawa wanajeshi weupe wawap
Tanzania nchi yangu ndugu zangu tukipta nafas tukumbkane
Vibe ka lote .🎉
Tanzania ❤❤for life jwtz fire👍
Bravo TPDF
Hao wachina wasenge wanajua akisimama kibabu kimoja tu kinaua wote pamoja na drone yao😂😂😂
Nidham safi
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Tanzania nguvu moja
Naapa, naahidi TANZANIA nitakulinda mpaka kufa
Kweli Hawa ni makomando
Kwani bila jeshi la china sisi hatuwezi? Huu ni ujanja Fulani siyo kuna kipande mmewauzia kweli!!!!!!😮😮😮😮😮
Ujuaji wa ujinga usikupotezee muda sana, ni ushauri tu
Ubongo wako mzito Sana kuelewa ulimwengu unaendaje kwa sasa mnasikia kila siku marekani anafanya mazoezi ya pamoja na NATO kwahiyo marekani kauza kipande cha ardhi kuwapa hao Wana umoja wake
Acha ku comment ujinga
Marekani huwa anashirikiana na Nchi nyingi kwenye mazoezi ya kijeshi je hawajiwezi? Kama jambo huna Elimu nalo kaa kimya la sivyo kila mtu atajua jinsi ubongo wako unavyo fanya Kazi
Babu sio kila kitu mtandaoni unacomment tu!! Wewe hata mkuki unajua kutengeneza??
Commando commando commando
tanzania namba 1
jeshi letu lina vibe sna ila jeshi la china linanidhamu sana
Tuna jeshi nzur na lenye utii na nizamu.
sniper yuko na rifle 97 mgongoni
Ibikanga nyoni (domo tu)
Hiyo ni kaul mbiu ya kila nchi
Hawa wachina vipi
Jamani kama mizuka yenyewe ndio hiyo si nasisi basi ambao atuna vigezo mtupe cousre ya ukakamavu tujifunze tu nasisi,kwani lazima tufike form six?
Ndugu yangu jeshini kizuri ni nyimbo tu hivi vingine ukaze moyo 😂😂
Jaman awo wachina wanatuted kiwandan balaa yan siwapend atakuwaon awana ujamaa awoooh
Wanasutesa San wajinga awoh
Kama umeona drone ina SMG gonga like
Nimeona smg man....
Jeshi morali...
Suluhu wazungu wanataka kumupa sumu
Safi sana hata Mimi nalipenda sana jeshi letu la Tanzania
Huo mdege uko nyuma heh3hehe
mama wetu piga kazi mama
Jichanganyeee hapo sasa
Kuishia darasa la saba shida sana
Ukiwaangalia wanajeshi wa china vizuri na hawa vitumbo wetu utaona kuna tofauti kubwa sana baina ya wanajeshi wetu na wachina
Hivyo Vijamaaah Vinatamani Vingekuwa vibongo Hapo Vimetoa Macho Kama Haviamini Wanachokiona 😂😂😂😅
Hawa sasa ndio wahuni sio wale wapuuzi wa mitaani wanaocheza sengeli uchi
Kaa mbali na hizi sura
Love sana Mh Rais wangu mumy nakupenda sana kaz iendelee
Hakuna jeshi lenye morali Africa kama JWTZ
Makomandooooo
Hadi wavietinam kumbe wapo😂
Uyo jamaa qa tbc apo anajiona kama anatoa habari kati kati ya vita vikali😂😂😂
Mh kuvaa granda sio shida ni vitani kuwa shapushuta ndo ushindi
Kila la kher familia kubwa mpo vzr TPDF sojar
🇹🇿🇨🇳🔥🔥💪
❤DRC mpaka Leo haina Amani na mpo pale miaka nenda Rudi. I believe diplomatic relations.
Jeshi langu naliamini ndo maana sina na wasiwasi hata kidogo