Seriously mnashindwa kujenga hoja za msingi mnaangaika na mada ambazo hazina faida kwa upana kwenye jamii Kuna ishu nyingi tena sensitive kuhusu jeshi watu hawaelewi inabidi jukwaa kama hili litumike vizuri
Me kwa kwel dodoma nikifikaga asubuh saa 1 asubuh nasimam lift kweny gari lao basi na mchana hivo hivo yule dreva wa polis dodoma tok nkuhungu ilove you dafy
Aaaaaagh muongo 😂😂😂 panda uone hao wanapenda kucheza nasisi af wanacheza kwa lazma mtu umechoka kucheza wao ndo wanataka uendelee,ukitaka msos wanakupa kuzid uwezo wako, hapo anaongea kwa upeeeeeeendo ,ukingia kweny mfumo wanakugawai wastani unaozid idadi
Sifa kubwaa ya mwanajeshi anatakiwa kuwa na hekima na busara ila kuna hao wanajeshi kuruta,jkt wengi wazinguaji wanajionaga sijuii aje iv kama wamemaliza dunia jeuri uonevu wakija mtaani naona hao muwe mnawapeleka vitani mstari wa mbele wakirudi ndo walete iyo jeuri kitaaa
Mueshimiwa soja iv na mgambo nyie huwa ndo mnawapa mafunzo alf wakirudi wakasumbue mama zao masokoni ebu muwafundishe na heshima jinsi ya kuishi na raia cz akuna mtu anajisikia kama mgambo

hiyo ni uongo bana😆😆😆

Mtego huo jaribu uone😂😂😂😂😂
Kwanza unatakiwa ue na ujasiri wa kuomba io lift!
Ahh kweli wauni noma kumbe uwa mnaomba lift 😂😂😂 ahhh watu wajasiri
Kwani Raisi si mwananchi unaweza kuomba lifti na ukapewa tu nduguyanga
Siyo kila anaepewa lift ni mwema na ana nia njema.., na pia askari anaishi kwa amri , ukiambiwa chukua watu utachukua,
Gari la Rais. Unaweza ukaomba lifti?
Mueshimiwa soja iv na mgambo nyie huwa ndo mnawapa mafunzo alf wakirudi wakasumbue mama zao masokoni ebu muwafundishe na heshima jinsi ya kuishi na raia cz akuna mtu anajisikia kama mgambo
😂😂😂😂mbona jkt wanafundishwa lakini hawasumbui mpaka uwachokoze