NYUMBANI KWA HAYATI LOWASSA, NG'OMBE 30 NA MBUZI 20 ZACHINJWA, MWAKA MMOJA WA KUMKUMBUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 50

  • @RidhiwaniMrisho
    @RidhiwaniMrisho 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +17

    Hizi taarifa muwemnatoa mapema kabla ya tukio ona sasa mambo yametupita😂😂🎉

    • @WashingtonKomess-y8r
      @WashingtonKomess-y8r 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Haaaa haaaa 😂😂😂😂😂😂🙏

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hiii wewe😂😂😂😂

  • @diksonswairoman5689
    @diksonswairoman5689 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Wamasai like apaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +22

    Hayo yote ni kujilisha upepo hayasaidii chochote, Kikubwa tumtafute Mungu madam anapatikana

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Umebahatika kuona kasoro yao❓..
      Mimi nimegundua ao ukiwa na mapepo unaombewa na unapona .na
      WANAIJUA DINI ZAIDI YAKO ..

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wana dini gana dini ya kuendekeza tumbo Ili waichague ccm ndoo dini​@@jostamzxkaole3113

    • @highlightboy255
      @highlightboy255 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      KWAHIYO TUSILE😂

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mila zao zinaongoza shughuli hiyo. Ni kawaida. Hata kule kwa Mandela yanafanyika.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@highlightboy255 kula tu or ngir ng'o

  • @leejems142
    @leejems142 51 นาทีที่ผ่านมา +1

    Kwa nin hamkutoa taarif mapem na sis tukaj

  • @Bongomoviedrama7
    @Bongomoviedrama7 22 นาทีที่ผ่านมา

    Sawa

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jambo jema sana

  • @JosephatMgina-d8m
    @JosephatMgina-d8m 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Duuuu imekaushwa kiufundi sana

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jamani mbona mna tutamanisha😂😂😂

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamasai ni watu walonyooka san mmbo yao, sio sana kuwa na kona kona

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mimi nadhani ngeweza kufika hapo ningezimia kwa Ninavyopenda nyama.

  • @Shalom803
    @Shalom803 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Rest Well E. Ngoyai Lowasa. Dearly missed😢

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyama hizoooo

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duu ninavyopenda nyama mngechinja zingine kwaajiri yangu

  • @Happizo
    @Happizo 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo ya wafu hayooo
    lazima huo uchinjaji uondoke na baadhi ya watu...waliojilia nyama
    Mtu akishakufa amekufa...kushiriki hizo sherehe za kumbukumbu za wafu ni kama kukubaliana na roho za kifo😢..

  • @SAMORAMOLLEL-cs4pk
    @SAMORAMOLLEL-cs4pk 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni uwongo ng'ombe 8 unasema 30,huyu jamaa ni mhuni sana.mbuzi wawili.

    • @KimitiNdaskoi
      @KimitiNdaskoi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Unateseka ukiwa wapi? Mimi sijaenda ila nilipata tenda wa hao mbuzi 20

  • @musakatwale1959
    @musakatwale1959 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    VIPI KUMBUKIZI YA JPM?????

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SIS HUKU KWETU SHINYANGA MBONA HATUJAPATA HIZO NYAMA AU HAYATUHUSU😢😢😢😢

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu walishakula ndo unatoa taarifa mm niko kigoma nitafika washamaliza.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@selemanimasatu2421 wekula sokwe huko Hala lete M pok

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Km una matatizo ya meno usije hapa ..utapata dhambi bure.👀

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sikupenda kabisa mbona habari kama hizi zisitolewe 3 kabra

  • @adonis9664
    @adonis9664 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wamasai hatunaga shughuli ndogo.
    Kikubwa tutafute hela na tuishi vizuri na jamii zetu

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nawapendaaaaaaa

  • @ImaniBalankwaya
    @ImaniBalankwaya 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    walichinjwa co zilichinjwa

    • @JacksonTulito
      @JacksonTulito 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata na wewe hauko sahihi sasa, co ndiyo nini?

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅😅 Acha tuu ​@@JacksonTulito

  • @Asha-s9u8p
    @Asha-s9u8p 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    R I P Mzee wetu, namkumbuka 2015 ulivyotutingisha wana CCM kwenye kampeni zako

  • @isayahlesurwa307
    @isayahlesurwa307 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo ni kuaribu fedha garma hii yote ni ya nini.

    • @glorybiramata1808
      @glorybiramata1808 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sema sina ela....huenda hata ni watu wamejitolea kutokana na upendo wao kwa aliekua kiongozi wao..😊

  • @AtwifMabrouk
    @AtwifMabrouk 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa NG'OMBE 30 Kwa Watu 10,000
    Kila NG'OMBE MMOJA ataliwa na Watu 3330😂😂😂

    • @allishot9897
      @allishot9897 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Inaonekana hesabu kwako ni shida, ng'ombe 30 chukulia kila ng'ombe kwa hesabu ya chini ana kg 300 , chukua 300 ×30 unapata kg 9000 , Sasa hizo kg 9000 chukulia kila mtu atakula nusu kg , 9000×2=18,000 . Kwahiyo kwa makadirio ya chini watu 18,000 watakula nyama na kushiba, Hapo sijaweka mbuzi Wala kuku... Ni nyama nyingi hawawezi iomaliza . Rudi shule kasome hesabu nyumbu wewe

    • @petrolconrad4250
      @petrolconrad4250 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Km hujui hesabu uwe unasoma comments tu...na mbali na jibu ulilopewa na mjumbe ambaye amechambua vzr jua kuwa hapakuchinjwa ng'ombe tu kulikuwa na mbuzi na kuku na hivyo vyote viko in terms of kilograms sijui km unaenda buchani unanunua ng'ombe mzima au unanunua nyama kwa kilo. Shwain sana

    • @petrolconrad4250
      @petrolconrad4250 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@allishot9897safi sana. Kuna watu ni washamba sana yeye anapoenda buchani sijui ananunua ng'ombe mzima au nyama in terms of kilograms

    • @glorybiramata1808
      @glorybiramata1808 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂 kwakwel bora uwe mpenzi mtazamaji na msomaji

  • @Jehhus_06
    @Jehhus_06 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hana haja y kampeni jina la mshua linambeba

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Jehhus_06 kwahiyo unaona nisawa kumpa mtu kura kwajili ya nyama?