HIKI NDICHO KITU KINACHOMBOA SHILOLE KWA MUME WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Experience Africa
    100.5 Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

ความคิดเห็น • 574

  • @nestorykiguhe9188
    @nestorykiguhe9188 6 ปีที่แล้ว +56

    inaonyesha uchebe ni msiri sana mm namuunga sana mkono kwakuwa kuweka wazi maisha yandowa. aipendeziii

  • @stephenmwaijengo2268
    @stephenmwaijengo2268 6 ปีที่แล้ว +35

    nimemkubali sana uyu dogo anamaneno ya hekima ,busana na mafunzo ndani yake .

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว +21

    hakika uchebe anahekima sana ana adabu sana hakika mungu akulinde ila mimi ninauhakika mke huna

  • @emanuelndumukwa3073
    @emanuelndumukwa3073 6 ปีที่แล้ว +15

    Ushauri tu kwa shilole...kuna jinsi yakumrekebisha mume wako mkiwa mbele za watu na hasa kwenye media..Respect him !!Wish you well...ndoa ni safari ndefu...ila mkimshirikisha Mungu mtafanikiwa!!

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu shishi nahakika baada ya interview alipigwa na mumewe...

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 6 ปีที่แล้ว +36

    Shilole jifunze ukimwa na heshima kwa mume wako ....Ukianza kumwongelea sai kwa midia hapo kwel pana upendo....Learn to keep your life private

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 ปีที่แล้ว +3

    Akiongea uchebe nasikia machoz yananilenga lenga anajibu kwa hekima sana

  • @mawndiswalhi9192
    @mawndiswalhi9192 6 ปีที่แล้ว +41

    Kakangu wewe Uchebe ulibeba Mtihani ..Allah akunusuru kwa sababu waonekana Uko na Taqwa

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 6 ปีที่แล้ว +14

    Makungwi kweli? Shilole ongea na mumeo usitegemee media ikuendeshee nyumba yako acha kuwapa walimwengu faida.

  • @habibhabiba.saleh.5590
    @habibhabiba.saleh.5590 4 ปีที่แล้ว

    Uchebe.mungu.akuzidishiye-moyo.wakustiri-haibu-zamkewe-apo duniyani-nawewe-atakustiri-ahera

  • @wlkme6644
    @wlkme6644 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe.shilole.hajierewi.mamboyandani.unayareta.apo😏😏😏😏😏😏

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 6 ปีที่แล้ว +5

    Duh!! Shilole hapo umetuanguza jameni wanawake...mambo ya kwako acha iwe siri ,Mume wako ako sawa kabisa mambo ya family sio ya social media. Shilole jua sio watu wote watafurahia mafanikio yenu.

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 6 ปีที่แล้ว +13

    Asante uchebe uko sawa ninja ..mkeo asikuletee zakimedia mana anaonekana Brain yake haijakomaa bado anaropoka tu mambo ya ndoa

  • @joshuasimon4902
    @joshuasimon4902 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka wewe mungu akubariki hauna roho mbaya eey inaonekana ..wanakuponda hawa wasaniii nao wanapendaga kujitoa ofvyovyo. Ndo tatzo

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni kyusa huyo balaaa wabishi sisi

  • @lawisonindindanyi1041
    @lawisonindindanyi1041 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka unahekima sanaaaa but huna mke

  • @zubeydaothmani3601
    @zubeydaothmani3601 6 ปีที่แล้ว +35

    ushebe unamajibu mazuri wallah kweli we kidume,,hataki ustaa kwenye ndoa

    • @khamisifeisal9374
      @khamisifeisal9374 6 ปีที่แล้ว

      saumu mm pia kidume

    • @khamisifeisal9374
      @khamisifeisal9374 6 ปีที่แล้ว

      zubeda mm pia kidume

    • @habibumussa7712
      @habibumussa7712 4 ปีที่แล้ว +1

      zubeyda othmani uyu akili ana kabsa uwezi kuweka mambo yako katka Media inakua upu mtupu mambo ya ndoa nyumbani au kama ndoa ilifungwa msikitini basi inatakiwa izungumziwe msikitini uyu dogo yuko sawa kabsa mungu akupe akima

    • @barakapaulo9783
      @barakapaulo9783 4 ปีที่แล้ว

      Mashaallah nimependa majbu ya uchebe

    • @melisemasebo7909
      @melisemasebo7909 4 ปีที่แล้ว

      Shilole umeniboa

  • @noahkapindo9304
    @noahkapindo9304 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume lazima uwe jeuri ndo mapenz yananoga

  • @happyalicko5207
    @happyalicko5207 6 ปีที่แล้ว +11

    uyu shilole awez kuishi na mume kabisa kazoea uhuru

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 ปีที่แล้ว

      Put it straight.amezoea uhuni,thats it.that cant be marriage material at all ,period

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 ปีที่แล้ว +1

    Haya wapendwa kwa maisha ya ujerumani. Schoraship. mikasa subcribe kwenye chaneli yangu . Bonyeza picha itakuleta kwenye chaneli yangu asanteni

  • @mohammedamir8719
    @mohammedamir8719 6 ปีที่แล้ว +3

    Kimaoni yangu jeuri ni sifa ya mwanaume na Ashraf bigup sana umewajibu ipasavyo na unamrekebisha mkeo mahali popote.Alafu ndugu zangu nauliza kuna kungwi wa kiume mbona huyo mwengine anambiwa ndie kamfunza zuena ama

  • @bakarimakame8346
    @bakarimakame8346 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka uchebe upo sahihi sana sio kila jambo linalousiana na ndoa kuliweka hadharani hata dini imekataza kweli kaka umefunza kawa hilo tu nimekupa heshima sana kweli unajielewa hao wanaowauliza maswali hayo labda hawapo kwenye ndoa nakama wapo kwenye ndoa labda hawajafunzwa heshima ya ndoa kwenye dini zao usiwe kimaisha ya kidunia zaidi chunga heshma Ya ndoa yako ni hayo tu bro

  • @jokrjokr1338
    @jokrjokr1338 6 ปีที่แล้ว +23

    One thing i love Uchebe is humbled n religious he runs his married in God's way

  • @franceally8390
    @franceally8390 6 ปีที่แล้ว +27

    safi Sana uchebe huo ndo uwanaumee, shishi umepata mme tulia

  • @samwelycypriano1504
    @samwelycypriano1504 4 ปีที่แล้ว +1

    Njo kwa YESU upate tumain jipya la moyo

  • @aiqasamo2085
    @aiqasamo2085 4 ปีที่แล้ว +1

    Et mumewangu anaubukoba flan mmmh😏😏😏😏😏hujafundwa shishi ulipaswa kumsitir mumeo Kama anavokusiti wewe big up uchebe

  • @TheKashmill
    @TheKashmill 6 ปีที่แล้ว +20

    MWANZO WA INTERVIEW NILIKUA SIJAMUELEWA UCHEBE ILA BAADAE NIKAMUELEWA BA INSHALLAH MUNGU AWEKE SALAMA MUISHI MIAKA YOTE KWENYE NDOA YENU

  • @passalbert8896
    @passalbert8896 6 ปีที่แล้ว +5

    kweli kaka hongera sana na wazazi wako nawapa hongera kwa jinsi walivyo kulea shishi mi mshabiki wako Dada ilahapo umekosea ulimi umetereza

  • @nurdinimndeme2912
    @nurdinimndeme2912 6 ปีที่แล้ว +1

    Shilole MUNGU anakupenda sana . Amekupa mtu sahihi KWA AJILI YA MAISHA sasa na hata Baada ya kufa SO USIMUACHE UCHEBE YUKO KWA AJILI YAKO KIUKWELI na si fashion kama za watu wengine kwenye ndoa zisizomaaana ZINAZOVUNJIKA na KUJAA USALITI

  • @ashasaid3828
    @ashasaid3828 6 ปีที่แล้ว +16

    Nmempenda uchebe yupo kama mumewangu

  • @eliaelias8226
    @eliaelias8226 6 ปีที่แล้ว +5

    Shekhe uchebe nakubari xana bro. mung hajafany koxa kukukutanixha na xhixhi humembadilixha xana tabia mung hawabarik kweny ndoa yenu

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 6 ปีที่แล้ว +29

    Yani hata watangazaj wanaume kama mashoga vile unalazimisha mtu aongee siri za ndoa yake kwenye media

    • @jaliahassani5250
      @jaliahassani5250 4 ปีที่แล้ว

      Umenikosha yani sio powa uchebe mwanaume wauwakika ustaa wako hausian na ndoa shirore ushakuwa mlee Mtoto wawatu bado Mdogo usimperekeshe nakupenda sana shirore hira unaniboa sana

  • @veronicanywage8717
    @veronicanywage8717 4 ปีที่แล้ว +1

    Ur Gud in ur marriage

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 5 หลายเดือนก่อน

    Ila mie naona UCHEBE aliku MUme mzuri kwa shilole cos ananidhamu hapendi kuongelea ndoa yake kwa media. Yile wa sasa Romi 3D mie naona bado

  • @mohdrahbi6953
    @mohdrahbi6953 6 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mtu wa dini lakini ajitahidi awe na subra tu na jeuri apunguze asiwe hard saana ajiribu awe soft kidogo pls amtizame vizuri dada yetu ni mtoto mzuri sana ashraf jita hidi sana mdogo wangu umepata mke mtu mzuri sana ongera ashraf

  • @maryamswaleh1333
    @maryamswaleh1333 4 ปีที่แล้ว

    Kila mtoto ukhty yuwaja na rizki,yake,kwa hiyo sio kujipanga,Allah ndie apangae,

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 4 ปีที่แล้ว

    Uchebe punguza ujeuri unaonyesha kweli una dini lakini hata Dharau zipo Mungu Awasimamie ktk ndoa yenu

  • @julianazakaria3764
    @julianazakaria3764 4 ปีที่แล้ว

    Uchebe uko vizuri Sana unaustarabu Kama mume wangu shilole Mimi shabiki yako lakin hapana umeropoka Sana

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 4 ปีที่แล้ว

    Kulipa ndo hasa kunakotakiwa. ANGALIA hata wazungu wengi wanaume wanavaa
    kulia. Na hao ndo waanzilishi wa hizo Pete.

  • @salomeelias7092
    @salomeelias7092 6 ปีที่แล้ว +7

    Hahahaaaaaaaa,,,,,Shishi hapo kazi,,,,,unayo,,,,,kweli nimenot uhaya uko hapo

  • @glorycheyo1081
    @glorycheyo1081 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli shilole alimtengeneza uchebe yani hakuwa taipu ya shishi

  • @jacksonpeter109
    @jacksonpeter109 4 ปีที่แล้ว

    Ukiona wanandoa wanagombana usiegemee upande mmoja. Uchebe ni very wise.

  • @hushbtz3310
    @hushbtz3310 5 ปีที่แล้ว

    Rostam wa mjibu shilole Gusa link th-cam.com/video/OFzHbWhzckY/w-d-xo.html

  • @jaliahassani5250
    @jaliahassani5250 4 ปีที่แล้ว

    Shirore umekuwa mpore gafra uchebe dini Dada ujipange

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 ปีที่แล้ว +1

    hhhahahahahha uwiii shishi na mumewo nimewapenda jamani dah mana uchebe hataki masihara lol eti bora unyamaze hahahhaha lol

  • @josephshija9876
    @josephshija9876 4 ปีที่แล้ว

    Achananae,huyosiomwanamke wakukuheshimu,mbonabadokijana?

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 ปีที่แล้ว +3

    hahahahaha jeuri mpango mzima😉😁😁 mabrook wanandoaa...nauchebe katka wanaume unautumua umee wako na unasmama na dini Allah awazidishiee inshallah

  • @filimonmboya5805
    @filimonmboya5805 4 ปีที่แล้ว

    Uchebe hakika MUNGU kakujalia hekima kubwa sana Hongara sana kaka

  • @makalanimau4649
    @makalanimau4649 6 ปีที่แล้ว +22

    shilole hapa sikufagilii ujamuheshim mumeo kama dhalau hivi

  • @ramadhaniabdulkadry288
    @ramadhaniabdulkadry288 4 ปีที่แล้ว

    DAH UYU DOGO MSTAARABU XANA. ILA MKE NDIO KAKOSA KAMA VIP AJIWEZESHE AKISHA KAZA AOWE MKE AMBAYE ATAMPA UTULIVU. KWA HAPO HANA UTULIVU NI MEDIA KILA CKU.ATAFEL. MKE AJITAMBUI POLE XANA DOGO ILA TUMIA AKILI XANA NA DINI MBELE YAKO

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni Malafyale wanaume wa Kinyakyusa kwa kupiga ndio zao hawataki dharau kabisaa

  • @faihamohammed7074
    @faihamohammed7074 6 ปีที่แล้ว +4

    mbn kama shilole ashamchoka mumewe...

  • @itslayla1506
    @itslayla1506 4 ปีที่แล้ว

    huyo mwanaume kwakweli anabusara kwahiyo hali kwakweli

  • @neemajohn3819
    @neemajohn3819 6 ปีที่แล้ว +25

    Uchebe yuko sahihi mambo gani ya ndoa kwenye media khaaaa

    • @idizuberi9572
      @idizuberi9572 4 ปีที่แล้ว

      Uchebe yukosawa sana

    • @jaliahassani5250
      @jaliahassani5250 4 ปีที่แล้ว

      Uchebe njoo humuowe mwanangu nakupenda sana unamaadiri mazuri mwanaume wapo sema wanawake tunazichezea

  • @sharomsiliwa4739
    @sharomsiliwa4739 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Uchebe ndoa sio matangazo. Waulize kwanza hao wanaokuhoji wameoa..????

  • @francekabelege2998
    @francekabelege2998 4 ปีที่แล้ว

    Yani nashindwa kuongea kuhusu uchebe nizaidi ya mwanaume yani ila mke wake ni tatizo kwangu mm ningepata kesi kwenye interview hii dharau zimezidi kwakwel ila sizan Kama kunamwanaume mwingn anaweza turia Kama uchebe yani jamaa yupo clear xan

  • @zuhurajumbeswalehemwinyi9448
    @zuhurajumbeswalehemwinyi9448 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji Pete kwenye Dini ya kiislam hakuna na ndio maana wanavalishana mara nyingi baada ya ndoa, Pete kwa Christian wanavaa kushoto

  • @OmarMohamed-bp9ix
    @OmarMohamed-bp9ix 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye Uislamu hakuna pete ya ndoa,,,pete unavaa kama pambo tu au unamnunulia mkeo kama zawadi lakini hakuna ulazima kuvaa pete ya ndoa kwa Waislamu

  • @abdullahamadmwinyi8233
    @abdullahamadmwinyi8233 6 ปีที่แล้ว +4

    nimekubal jibu lako uchebe siri za ndani ni zako na mke wako endelea kua ivo ivo

  • @janeetsa2617
    @janeetsa2617 6 ปีที่แล้ว +5

    Waaah shilole punguza mdomo dada

  • @FatmaAli-ge9jf
    @FatmaAli-ge9jf 4 ปีที่แล้ว

    Yani mume anasaut ndogo lkn mke anasaut yajuu, hlf nikweli kwan lazma vitu vya ndan yandoa muvizungumze ktk interview, hlf shilole kwakua nistaa apo upo studio yani sifaa unaropokwa tu juu yamumeo, kumbuka kua huyo nimume lazma awe juu nawe uwe chini, ustaa wako usikufanye ukaleta dharau juu yamumeo, naukiwa hivo utahesabu waume kwa mdomo wako.

  • @aminasanga7096
    @aminasanga7096 6 ปีที่แล้ว +18

    uko vizuri sana kaka hy ndo heshima ya ndoa

  • @idizuberi9572
    @idizuberi9572 4 ปีที่แล้ว

    Shish umepatamume tulia ukisikia uwanaume ndiohuo

  • @pillyolsen6346
    @pillyolsen6346 6 ปีที่แล้ว +3

    ila shilole nakushauri fanya mazoezi unene umezidi marazi ni mengi punguza mwili ndugu yangu.

  • @mamuhamad2959
    @mamuhamad2959 4 ปีที่แล้ว

    Mumewangu yupo kama hivyo ila mwisho ni hatari

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 4 ปีที่แล้ว

    Usinge enda media shilole mueshim.mumeo unaongea sana kuliko mumeo

  • @maurusmchilo2029
    @maurusmchilo2029 4 ปีที่แล้ว

    Wapige mngumi hao. Mambo ya ndoa kwann yawekwe kwenye socia midia

  • @zaharamtata7080
    @zaharamtata7080 5 ปีที่แล้ว

    ASAHAPO UMEFTA NINI KAMA HUPENDI KUZUNGUMZIA NDOA YAKO UNGEKAATA KUJA HAPO

  • @nasibuhalifaathumani3981
    @nasibuhalifaathumani3981 4 ปีที่แล้ว

    Hakika shilole unae mme bali mwenyez mung akutangulie na ungundue kwamba uchebe ni nani kwako,na sio kuwek mambo y ndani y ndoa hazr
    an

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 ปีที่แล้ว +4

    Shishi unahongea saaana kuliko bwana yako heeeee sio powa ivo mwanaume nimtu mzima kweli

  • @chidyshllng2254
    @chidyshllng2254 4 ปีที่แล้ว

    Bro uchebe mm nakukubali sana kwa majibu yko wasikuteke akili yko na ukaweza kutangaza habar ya ndoa yko ila pia kwa jinc tabia yko hauendan na shilole tafuta anaendana na sifa yko au tabia yko au ulifata nn kwa huyu mwana mke

  • @dadiali4261
    @dadiali4261 4 ปีที่แล้ว

    Yani uyo uchebe noma anajiskiya sana tizama kwanza gisi anaongeya

  • @mkalimwanza7726
    @mkalimwanza7726 4 ปีที่แล้ว

    Wahaya wanazarau sana hyo mwanaume anazarau kwanza hyo mwanaume ana zarau

  • @mussashabani2924
    @mussashabani2924 4 ปีที่แล้ว

    Kweli huwezi kutangazi mambo yako ya ndani katika midia

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 5 หลายเดือนก่อน

    Shilole mropokaji sana,sijui kakua sasa hivi!

  • @monicafredrick5440
    @monicafredrick5440 4 ปีที่แล้ว

    Uchebe nimeipenda hiyo siri ya ndani na ibaki ndani haina maana kuwafaidisha wasio kuwa na maana kwako

  • @hafsamohd5322
    @hafsamohd5322 4 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo wazanzibar ndo majeuri?

  • @divinebernard2624
    @divinebernard2624 4 ปีที่แล้ว

    Mbone shilole anamaneno mengi kuzidi mumeo

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 ปีที่แล้ว

    Shilole ni Mtihani, pole Uchebe. Mambo ya Ndoa hayazungumzwi kwenye Midia. Uchebe yuko sawa.

  • @patrickshija9012
    @patrickshija9012 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kusoma ni muhimu sana kweli siri za nyumbani mpaka kwa runinga

  • @vanlago7580
    @vanlago7580 4 ปีที่แล้ว

    Zuwena wanaume wa bukoba ni wajeuri lakini wanajua kutunza familia wanajali sana wanajua kujali hawapendi dharau japo wao wanadharau ila nawapenda sana wahaya wanajua kujali sana mpende mumeo sana

  • @davidkapinga2443
    @davidkapinga2443 4 ปีที่แล้ว

    Ila mwanamke apigwi kupigana kizaman mbona unabusala kwann

  • @hawanassibu4837
    @hawanassibu4837 4 ปีที่แล้ว

    Khakika hii nindoa yakweli

  • @isayamasele7590
    @isayamasele7590 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ndiye anaejua wewe mi nazaa Mungu anajua yeye jins ya kuwalea acha kukufulu wew

  • @joharihuseni2834
    @joharihuseni2834 6 ปีที่แล้ว +1

    uchebe hongera sana kaka hayo ndo maisha ya ndoa siyo kuyasimlia watu siri za ndani asikundanganya zuwena wasanii kawaida yao kutangaza mambo yao kuna mengine ya kusema lkn sio mambo ya ndoa yako.

  • @ibrahimtekelo7140
    @ibrahimtekelo7140 6 ปีที่แล้ว +6

    Umeongea fact uchebe Ashiraf

  • @williamludovick5143
    @williamludovick5143 4 ปีที่แล้ว

    Maisha ya mitandao haywez kudum nmewaona weng wakubwa,kuoa msanii au kuolewa na msanii n sawa na kununua nyumba yenye kesi mahakaman ,

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 4 ปีที่แล้ว

    Shilole angalia ndoa yako uchebe ana busara sana Kuna watu wapo kama papa na nyangumi wakiona meli yenu inaelea wanatamani ianguke shikilia sana huyo ni mume mzuri wengi wanamtamani kuwa nae

  • @ukurasawangu
    @ukurasawangu 6 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana kwa majibu yako mapenzi ni ya wawili hata kama umeoa super star .......

  • @benjaminiduda1983
    @benjaminiduda1983 4 ปีที่แล้ว

    Ndiyo maana umechezea kichapo

  • @aminabalamamnyawasatnzania876
    @aminabalamamnyawasatnzania876 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanamke anaongea Sana mpaka sipendi😕

  • @irenesisamo2184
    @irenesisamo2184 6 ปีที่แล้ว +1

    Siku nyingine huyo uchebe msimuhoji kweli jeuri sijapenda anavyojibu siujibu hapana na ndio maelezo mengiii ka yupo polisi

  • @happinessjohn6303
    @happinessjohn6303 6 ปีที่แล้ว +4

    kweli kuna "uhaya" nimeona

  • @jerrymashiri5850
    @jerrymashiri5850 4 ปีที่แล้ว

    Shiloli alikuwa danga co haoni nomaa kuongelea mahusiano media ila ivo ni kuboa saana!

  • @hurumajiseph8050
    @hurumajiseph8050 6 ปีที่แล้ว +17

    mmmh.shishi mambo ya ndoa chumbani ukiona asikii mwite mtu mzima awaeleweshe hamna kungwe hap mwanaume ni mwanaume

    • @mwanaharabu82
      @mwanaharabu82 6 ปีที่แล้ว

      Huruma Jiseph yaan kweli

    • @aminauwimana1242
      @aminauwimana1242 6 ปีที่แล้ว

      Mashallah sio vizuri kuwapa watu sifa zandi mwenu ongera kaka unchebe

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 ปีที่แล้ว

    Uchebe yupo sawa kbs hayo mambo yandani bn

  • @wandomligite7889
    @wandomligite7889 5 ปีที่แล้ว +1

    Somo wake yukwapi akamfunde tena shilole kuwa muwazi haimaanishi kuyaweka hadharani maisha yenu ya ndoa mwanamke kifua, uchebe nimekuelewa kaka usungo huo umekukolea

  • @azizamdanga866
    @azizamdanga866 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda uchebe come for me hahahahahahahaha natania dad shishiii

  • @esperansahkafuka9891
    @esperansahkafuka9891 6 ปีที่แล้ว +2

    huyo ndio mume anayemfaa shilole

  • @sashababy1321
    @sashababy1321 6 ปีที่แล้ว +12

    Mmmmh shishi unatatizo astaghafiru Allah