USI-PANIC VITA INAPOINUKA UPANDE WAKO // SIKILIZA HEKIMA HIZI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • +255 758 708 804 {Whatssap Group}
    Pastor Innocent Mashauri
    Kutoka 14:13
    Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 41

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nakushukuru MUNGU KWA KILA NIYAONAYO na NISIYOYAONA! KWELI WEWE NI JEMEDARI SITAKUACHA KAMWE. ZIDI KUNIKUMBATIA NA KUNZINGIRA BADO NINAWINDWA NA IUSINIICHOKE BABA MPAKA MWIISHO WA DAHALI,nakuomba unikomboe.

  • @SaumuChengo
    @SaumuChengo 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu was mbinguni akuzidishie neema kwa ajili ya kaz yke ndani mwako, nainuliwa na mafundisho yko mchungaji

  • @NannyNanny-fo9yh
    @NannyNanny-fo9yh 19 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏,tunayashinda yote kwa yeye anayetutia nguvu, Amen 🙏

  • @JoviethGeorge
    @JoviethGeorge 4 วันที่ผ่านมา

    Natamni Yesu akaa ndani yangu mtumishi😢

  • @rhabrhab1797
    @rhabrhab1797 19 วันที่ผ่านมา

    Amen mungu nisaidie niweze kukujuazaidi iliniweze kua mushindi katika Maputo ninayo pitia

  • @FeliciteNiybitanga
    @FeliciteNiybitanga 20 วันที่ผ่านมา

    Ubalikiwe sana MUCHUNGAJI WA MUNGU

  • @RamadhaniLuhizo-lw5ge
    @RamadhaniLuhizo-lw5ge 20 วันที่ผ่านมา

    Amen napokea kwa jina la yesu kristo

  • @DerckBoniphace
    @DerckBoniphace 20 วันที่ผ่านมา

    Ameni,nimekua mfatiliaj mzuri wa vipi hivi vya siri za bibilia kweli naona mabadiliko juu ya maisha yangu

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 20 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 asante roho mtakatifu kwa kuachilia mafundisho mazuri.ubarikiwe zaidi mtumishi

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 20 วันที่ผ่านมา

    Ameen, Mungu niondolee uoga .

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu yuko hapa heri mtu yule asie namashaka na madhabau hii

  • @DerckBoniphace
    @DerckBoniphace 20 วันที่ผ่านมา

    Napitia wakati mugum sana mtumishi wa mungu naitaji zaidi ili nikwepane na magumu ya nchi

  • @aliciaprojestus2336
    @aliciaprojestus2336 20 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika Mtumishi MUNGU anakutumia sana,ninazidi kukua kiroho kila iitwapo leo nikiwa na hasira,huzuni, msongo wa mawazo au nikiwa njia panda naweka mafundisho yako nakutana na jibu langu hapa.

  • @Christine-y2v
    @Christine-y2v 15 วันที่ผ่านมา

    Ameni

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 20 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @ZaifathAhmadnapokea
    @ZaifathAhmadnapokea 20 วันที่ผ่านมา

    Baba mungu wambingu nachi, nakushururuneema yakuijua madhabau hi ya Siri ya biblia naamini ulinikutanisha na madhabau sahii ameeen

  • @Barakajrnkwabi
    @Barakajrnkwabi 20 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Zurinenkai
    @Zurinenkai 20 วันที่ผ่านมา

    Niko katika halingumu nahitajimaombi yako mtumishi

  • @saradavirginia-kd7tn
    @saradavirginia-kd7tn 20 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ amen

  • @SerahNyambura-un5rm
    @SerahNyambura-un5rm 19 วันที่ผ่านมา

    Asanti mtumishi nilikuwa nimepanic bt sahi nimejua siri ubarikiwe sana

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 20 วันที่ผ่านมา

    Ahsante kwa mafundisho mazuri sana

  • @jonasimwanzi
    @jonasimwanzi 20 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🇹🇿

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk 20 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏🙏

  • @EdigaMatela
    @EdigaMatela 18 วันที่ผ่านมา

    AMEEEN MTUMISHI WA MUNGU nabarkiwa sana.

  • @JayMo-o3h
    @JayMo-o3h 19 วันที่ผ่านมา

  • @EdigaMatela
    @EdigaMatela 18 วันที่ผ่านมา

    😊

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 20 วันที่ผ่านมา

    Emeeeem

  • @user-rf3zz1lb6l
    @user-rf3zz1lb6l 20 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Yesu kwa haya mafundisho tumeinuliwa sana sana. Amina Amen

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo 20 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu nakushukuru kwakuwa unanipigania vita ambazo nazijuwa na nisizozijuwa,nivalishe siraha zako Mungu wangu nipate kushinda kesho yangu iwe yakutowa shukrani kwako Mungu wangu.🎉

  • @MaryKimario-l6z
    @MaryKimario-l6z 20 วันที่ผ่านมา

    asante sana mtumishi

    • @JudithMlelwa
      @JudithMlelwa 20 วันที่ผ่านมา

      Asante Kwa neno limenifungua

  • @DerckBoniphace
    @DerckBoniphace 20 วันที่ผ่านมา

    Ameni,nimekua mfatiliaj mzuri wa vipi hivi vya siri za bibilia kweli naona mabadiliko juu ya maisha yangu

  • @ElinaLungu-t4g
    @ElinaLungu-t4g 20 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 20 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @winfridamawa5432
    @winfridamawa5432 20 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @user-hy5hw9bd7t
    @user-hy5hw9bd7t 20 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 20 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 20 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏

  • @agnessmwasumbi4965
    @agnessmwasumbi4965 19 วันที่ผ่านมา

    Amina