Kwenye Maskio yangu kuna matundu mawili, moja huunganisha sikio moja na jingine, na lingine linaanzia katikati ya Maskio linaishia Kwenye ubongo Yaani akilini. nikisikia jambo lolote, ni Lazima liniingie maskioni. likiwa baya linaingilia sikio la kwanza linatokea sikio la pili, kisha hutoka nje. ila likiwa zuri linaingilia Kwenye sikio la kwanza kisha hupitia Lile tundu la kati hupanda na kuingia Kwenye ubongo Yaani akilini. kwakusema hivyoo, mahubiri ya pastor mbaga yananiingia moja kwa moja Kwenye ubongo. be blessed pastor mbaga, may God who arts in heaven grant you more years.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,nabarikiwa saana na Mafundisho yako,LAITI KAMA WANGELIJUA WENYEJI WA MJI WA KIBAIGWA YA KWAMBA NI NANI ALIYEKUJA KWAO WASINGELI ACHA KUHUDHURIA MKUTANO/MAFUNDISHO YAKO BABA NISEME NINI BASI MUNGU AWAREHEMU WATU WAKE NASEMA KUTOKA MOYONI MWANGU MUNGU AWAREHEMU WATU WAKE ILI WAPONE,AMEEN.
Mungu akubariki kwa kujitoa kwako maana tunaokolewa nimebarisha maisha yangu kwa kufuatilia mahubiri tv Nipo musumbiji lakini unatufikia vizuri Bwana yesu apewe sifa.
.. Hallelujah hallelujah.. Jina la bwana libarikiwe.. Mungu akutie nguvu usichoke kufanya ibada kama hizi.. Hata sisi tulio mbali (nje ya nchi) tunabarikiwa... Uende mbali zaidi... JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Huwa nafatilia sana ujumbe wa mungu kupitia wewe mtu wa mungu, niko canada montreal natamani ukuje kuhubiri injili pia hapa pasta watu kama sisi na wengine tunahaja na hayo maneno ya mungu ingawaje tunayafatilia kupitia runinga. Mungu azidi kukutumia .
Horace Shauri Mambo ya walawi : Mlango 27 32 Tena zaka yote ya ng?ombe, au ya kondoo, kila apitaye chini ya fimbo; sehemu ya kumi watakuwa ni watakatifu kwa BWANA. Hiyo ni siri kweli?
@@MahubiriPrMmbaga mchungaji nahitaji maombi ninajitahidi kuacha dhambi lakin inafika wakati narudia tena naomba sana mpk kuna wakati nafikir mlango wa rehema kwangu umefungwa nifanye nin nami niache dhambi yoyote ile peke angu nimeshindwa siwez nahitaji msaada
Amen Amen Amen Amen Glory be to our Almighty father mungu azidi kukupa nguvu tunajifunza mengi
Barikiwa sana Pastor kwa huduma yako ,Mungu azidi kukutumia
Kwenye Maskio yangu kuna matundu mawili, moja huunganisha sikio moja na jingine, na lingine linaanzia katikati ya Maskio linaishia Kwenye ubongo Yaani akilini.
nikisikia jambo lolote, ni Lazima liniingie maskioni. likiwa baya linaingilia sikio la kwanza linatokea sikio la pili, kisha hutoka nje. ila likiwa zuri linaingilia Kwenye sikio la kwanza kisha hupitia Lile tundu la kati hupanda na kuingia Kwenye ubongo Yaani akilini.
kwakusema hivyoo, mahubiri ya pastor mbaga yananiingia moja kwa moja Kwenye ubongo.
be blessed pastor mbaga, may God who arts in heaven grant you more years.
Amen pastor maubiri yako yamepatilisha maisha yangu. Mungu saidi kukubariki I'm a Kenyan bt watching from saudi
Nabarikiwa na Huduma yako pastor ,God blessed u.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,nabarikiwa saana na Mafundisho yako,LAITI KAMA WANGELIJUA WENYEJI WA MJI WA KIBAIGWA YA KWAMBA NI NANI ALIYEKUJA KWAO WASINGELI ACHA KUHUDHURIA MKUTANO/MAFUNDISHO YAKO BABA NISEME NINI BASI MUNGU AWAREHEMU WATU WAKE NASEMA KUTOKA MOYONI MWANGU MUNGU AWAREHEMU WATU WAKE ILI WAPONE,AMEEN.
Mungu akubariki kwa kujitoa kwako maana tunaokolewa nimebarisha maisha yangu kwa kufuatilia mahubiri tv
Nipo musumbiji lakini unatufikia vizuri Bwana yesu apewe sifa.
Nabarikiwa sana Mungu akubariki Mchungaji.
.. Hallelujah hallelujah.. Jina la bwana libarikiwe..
Mungu akutie nguvu usichoke kufanya ibada kama hizi.. Hata sisi tulio mbali (nje ya nchi) tunabarikiwa... Uende mbali zaidi... JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Amina
Amina. barikiwa Pastor.
asante mchungaji umenitoa mbali umenipa ujasiri umenifanya nimfanye Mungu kuwa kilakitu maishani mwangu,hakika ninabarikiwa mchungaji ubarikiwe
Nabarikiwa sana mchungaji mungu aendelee kukutia nguvu
God bless you watching from saudia am a kenyan.
Amina na Amina, Mungu akubariki
Barikiwa mtumishi wanibariki saaaana na mahubiri yako,navile wanichambulia Bible,natoka kenya,lakini niko saudi arebia,ubarikiwe.
Hakika Mungu akubariki Pastor, maana ndoa na mahusiano yanavunjwa kwa namna hiyo.
amen..pr.ubarikiwe san,na Mungu akuinue kwa utukufu wa jina lake
ANNA REUBEN Amina
Huwa nafatilia sana ujumbe wa mungu kupitia wewe mtu wa mungu, niko canada montreal natamani ukuje kuhubiri injili pia hapa pasta watu kama sisi na wengine tunahaja na hayo maneno ya mungu ingawaje tunayafatilia kupitia runinga. Mungu azidi kukutumia .
Amina pastor nashukuru kwa somo zuri
Asante sana mtumushi.nimepokea mafundisho mazuri
Mchungaji Tafadhali naomba msaada wa maombi Mimi Niko Dare salaam. ikiwezekana. naomba. Mamba yako tuwasiliane Nina jaribu kubwa. nahitaji. Msaada. wa. Maombi kwa bidii ubalikiwe
Amen. I have been blessed by your teachings. God bless you Pastor abundantly.
Angel Nyamisa real truth this pastor is the of my life
Mungu azidi kukuinua nabarikiwa sana
Nshukuru sana tena sana kwa mafasilio ya kutoa zaka MUNGU wetu azidi kukutia ufunuo ya mbinguni sikukwasiku tunahamusana kujuwa yalio mapenzi ya baba.
Mungu tabasamu kupitia mwili huu ulionipa naitoa iwe dhabihu kuanzia sasa by mrs patrice
MUNGU AKUBARIKI SANA PR
Deep Revelations here!
Amen nimejifunza kitu
Mtumishi mungu wako azidi Kuku tumia sana kupita kiasi Na akufunulie mambo shetani anatumia kuangamiza watu wake am from Kenya may god blace you
Mungu akutie nguvu na maisha malefu ili ufanye kazi yake
Barikiwa mchungaji.
Uko sawa
Amina Amina Amina
Barikiwa sana pr naweza kupata mafundisho haya ktk DVD?
I love you
Amina
Barikiwa pr mbaga.
asante mchungaji niombee afya yangu sio nzuri pia mwanangu daniel
God bless you Pst.
Amen powerful msg Lord bless you
amina.
Pastor,kanisani kwetu zaka watu wanatoa kila mmoja aonavyo,hii imekaaje maana sitoi %10 kama maagizo yasemavyo,nifanyaje
Haleruya
nahitaji pia account yako ya facebook ,na whatsapp ukipendezwa.
Sikujua habari hili, ntatoa zaka sasa.
Naomba maombi
Amena
Barikw mchungaji
Amen
Je anaye tukana mama mkwe wake matusi ya nguoni ana usalama gani ?
ujumbe wenye mguso wa kipekee
Barikiwa pr, naomba uniunganishe kwenye group la maombi la whatsapp, pia nahitaji kitabu cha maombi yanayojibiwa naishi nyarugusu Geita. asante.
MUNGU atusaidie sana %amina
Naomba unisaidi Pr. Kama zaka na sadaka nisili yako inakuwaje leo baasha zinaandikwa majina na ukitoa fungu lakumi unapewa na lisiti ?
Horace Shauri Mambo ya walawi : Mlango 27
32 Tena zaka yote ya ng?ombe, au ya kondoo, kila apitaye chini ya fimbo; sehemu ya kumi watakuwa ni watakatifu kwa BWANA.
Hiyo ni siri kweli?
@@MahubiriPrMmbaga mchungaji nahitaji maombi ninajitahidi kuacha dhambi lakin inafika wakati narudia tena naomba sana mpk kuna wakati nafikir mlango wa rehema kwangu umefungwa nifanye nin nami niache dhambi yoyote ile peke angu nimeshindwa siwez nahitaji msaada
Amen
Amina
Barikiwa Mchungaji kwa Kalama uliyo pewa na Mungu.
Amina