Mbagala kama China watu wengi sana | Many people Live here in Dar es Salaam | Vlog

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มี.ค. 2023
  • Habari hapa ni Mbagala Rangi 3 Wilaya ya Temeke nilipata fursa ya kutembelea eneo la Soko, Stand ya Mabus ya kwenda Lindi na Mtwara pia eneo la Uwanja wa Zakhem eleo maarufu la kufanyia Matamasha mbalibali yakiwemo ya Muziki na Mikutano Mikubwa ya Kisiasa.
    Hii Video ni Part 1 unaweza kutazama Part 2 kwa kubonyeza hapa kwenye Link 👉👉 • Soko la Mbagala na Mra... pia naomba usisahau kuniunga mkono kwa kubonyeza neno Subscribe 🙏
    Kama ni mala yako ya kwanza kutazama Mtindo wa Video zangu za Vlog nakukaribisha sana katika Channel yangu.
    Naomba uniunge Mkono kwa Kubonyeza neno Subscribe 🙏
    .
    .
    .
    .
    Hellow, my name is Swahili the Traveller 'm from Tanzania, East Africa. I love travelling in different places mostly new places to meet new people and learn the overall lifestyle of different people and show the reality of every stuff.
    Please Subscribe my Backup Channel 👇👇
    TH-cam
    / @swahilithetravels
    INSTAGRAM
    invitescon...
    Twitter
    Swahilitravel25?t...
    TIKTOK
    www.tiktok.com/@swahilithetra...
    WhatsApp
    whatsapp.com/biz/
    Support Me 🙏👇👇
    World remit or AirtelMoney +255 692 499 666 | WhatsApp
    #traveling #vlog #travels #adventure #africa

ความคิดเห็น • 48

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +6

    Kutoka Pakistan mimi ni mtanzania mwenzenu nimefurahi sana leo kuiona nchi yangu ikivutia sana like zenu WATANZANIA wenzangu

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว

      Oooh!! Asante sana Dada Rehema kwa kutazama Video hii karibu kuniunga mkono kwa kubonyeza neno Subscribe na Like kila nikiweka Videos zingine ❤💪🇹🇿

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +1

      @@SwahiliTheTraveller kuwa na amani Tupolev pamoja bega kwa shingo mkono kwa vidole

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa support yenu ndugu zangu pia nina ndoto ya kuja Pakistan kutembea hapo Mungu akinijaalia Afya siku moja nitakuja

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +1

      @@SwahiliTheTraveller tunakukaribisha karibu sana

  • @robbynasenya
    @robbynasenya 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri rafki yangu...hongera sana..kazi iendelee....

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  11 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana rafiki yangu barikiwa sana 🙏

  • @afrahoman2844
    @afrahoman2844 ปีที่แล้ว +1

    Usikose kizuiyan dah k umebadilika sana hom ❤️❤️❤️📌🔨

  • @user-vp6ol3kq6g
    @user-vp6ol3kq6g 26 วันที่ผ่านมา +1

    Nipo Zambia nikija dar nitazulula kote huko mbagala niliwai ishi kibonde maji

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  26 วันที่ผ่านมา

      Karibu tena Mjini kumenoga 🇹🇿💗🙏

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri dogo👊unatumia lugha ambayo wateja wako wengi wanaielewa. Pita pita na uswazi kwenye uhalisia wa maisha yetu. Diaspora wengi wameshasahau baadhi ya maeneo, so wakicheki video zako na maelezo wanaenjoy sana.

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana brother Moses ushauri wako nimeuchukua barikiwa sana.

    • @mosesgasana7109
      @mosesgasana7109 ปีที่แล้ว +1

      @@SwahiliTheTraveller🙏kwa kuwa video zako contents zake ni za mandhari, maeneo, na mazingira, ziwe na dk nyingi. Piga kazi, pambana, haina kufeli💪

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว

      Amen amen 💪🔥

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว +1

      ni kweli afanye hivyo aende mpka kinondoni vichochoroni aisee inakuwa poa sana

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว +1

      Nitafanya hivo fanya kuwasha Notification on pia niunge mkono kwa ku Subscribe Channel yangu pia like Video kila nikiweka 🙏🇹🇿💪❤

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 ปีที่แล้ว +1

    Long time ago,nimesahau kabisa!hii ni mbagala!!

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +1

    Duh sio nchezo mpka tujekulivua shati sio leo

  • @kuvetamzazi8689
    @kuvetamzazi8689 ปีที่แล้ว +1

    Japo mimi ni mfuatiliaji wa video za aina hii, lkn hii video yako imenikosha sana. Umenifanya nipakumbuke nyumban. Lakini nashauri usafi ufanyike ili kuliweka jiji letu katika mazingira mazuri na ya kupendeza muda wote.
    Home sweet home. Nacomment kutokea Norway

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว

      Ooh asante sana 🙏 kuveta kwa kuwa mtazamaji wa Channel yangu karibu sana tena Bongo.

  • @rashidyramadhani6413
    @rashidyramadhani6413 ปีที่แล้ว +1

    Mbagala iwe na manispaa yake kudadeki

  • @imranbeautytips786
    @imranbeautytips786 ปีที่แล้ว +1

    2 big like my friend 🌹🌹👌👌👌👍👍👍 very nice🌹🌹👌👌👍

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana kijana nenda na gongolamboto hadi chanika

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka
    Umenikuna sana kwa
    Hii content ya Mbagala 🙏🙏🙏
    Mbagala is my home town
    So I missed it for almost two years now
    So you gave me an update of
    The town development that
    I left under construction
    I can see the BRT road is almost completed
    The Main UDART Bus Stand is already completed out there
    Waoowww that's great achievement.
    At Zakheim I can see new Mbagala/ Kigamboni transport available waoow 😘😘😘😘
    I missed Mbagala a lot family 😌😌😌😘😘😘🥰🥰

  • @Myplusbee
    @Myplusbee ปีที่แล้ว +1

    Chifu, nadhani Stendi ya Mabasi ya Mikoani imehamia Kijichi! Kama kuna mabasi hapo Mbagala basi yapo Kimagumashi tu. So, sio mbaya ukituletea kinachoendelea pale Kijichi kwa sababu kama ilivyo kawaida yetu Wabongo, mwanzoni raia walikuwa wanapinga kwenda Kijichi

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว

      Ooh sawa nitalifanyia kazi pia maana hili wenyeji hawakunambia kama stand imehama labda niliowauliza kabla ya kuanza kurekodi walinipotosha japo bado naona Mabus bado yapo pale ndani na ofisi zao za kukata tiketi bado zipo.

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 ปีที่แล้ว

      ALAA KUMBE

  • @MichaelMwakibolwa
    @MichaelMwakibolwa ปีที่แล้ว +1

    Absolutely! 🇹🇿🇹🇿💯❣️

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

    Mbagala home kbs hapo R/ tatu, Zakhem 😂😂😂

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว

      Nimekugusa sehemu muhimu 😂 asante sana kwa kutazama Video❤ pia namba usisahau ku Subscribe na kuweka Like kuna part 2 inakuja. 🔥🔥

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

      ​@@SwahiliTheTraveller 😂😂😂kbs yaani

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +1

    Km najiona vile hapo stendi ya rangi 3

  • @ronaldeastgate8988
    @ronaldeastgate8988 ปีที่แล้ว

    But swahili the traveller should speak in english becaurse the name traveller is in English

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  ปีที่แล้ว

      I'm not good at that language but I'm learning to speak it. also thank you very much for visiting my channel 🙏