KUMBE HII NDIO SABABU YA SHILOLE KUPIGWA NA UCHEBE/AMEZIDI/WANAUME WENGI/ANAJUTA KUNIACHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 447

  • @NickTrickaddictedboy18
    @NickTrickaddictedboy18 4 ปีที่แล้ว +13

    nimempenda sana dada mtangazaji unajua kufocus, unajiamini, unajua kumfanya mtu aingie kwenye kile kitu unakitaka. all in all nimekupenda na kila la kheri katika carrier yako. gongeni like basi kama mme nifeel

  • @gladyskamau1455
    @gladyskamau1455 4 ปีที่แล้ว +71

    Uchebe like zangu kama zote,mwanaume nikujielewa....💯✅✅

  • @maryamsalim4626
    @maryamsalim4626 4 ปีที่แล้ว +32

    Huyu kaka anaonekana nimstaarabu sanaa mengne nimapungufu yakibinaadamu tu.

    • @kk7470
      @kk7470 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa. Uchebe ni gentleman.

  • @ifrahali8707
    @ifrahali8707 4 ปีที่แล้ว +32

    Manshallah ..8yrs in Islam and you doing soooo well my brother uchebe.na busara ndio sifa yako.keep it up

  • @husnashaibu6312
    @husnashaibu6312 4 ปีที่แล้ว +14

    Mashallah Mashallah
    Uchebe unahofu ya Mungu mwenyezimung aendelee kukusimamia

  • @nadrikhamis1399
    @nadrikhamis1399 4 ปีที่แล้ว +15

    Ktk Interview hiii nzuri sana kwa wote wawili nimependa sana big up

  • @rukiajuma2836
    @rukiajuma2836 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko vzr ashraf katika kujibu maswali,nimekupenda!

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ambariki kazi za mikono yako kila ukihijiwa unakuwa kazini hongera sana Uchebe

  • @mpamilamihayo7266
    @mpamilamihayo7266 4 ปีที่แล้ว +20

    الرِّجَالُ قَوَّامُونَ عَلَى النِّسَاءِ بِمَا فَضَّلَ اللَّهُ بَعْضَهُمْ عَلَىٰ بَعْضٍ وَبِمَا أَنفَقُوا مِنْ أَمْوَالِهِمْ ۚ فَالصَّالِحَاتُ قَانِتَاتٌ حَافِظَاتٌ لِّلْغَيْبِ بِمَا حَفِظَ اللَّهُ ۚ وَاللَّاتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ وَاضْرِبُوهُنَّ ۖ فَإِنْ أَطَعْنَكُمْ فَلَا تَبْغُوا عَلَيْهِنَّ سَبِيلًا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيًّا كَبِيرًا
    [ AN-NISAAI - 34 ]
    Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.

  • @dizzo-dv6nu
    @dizzo-dv6nu 4 ปีที่แล้ว +33

    Masha Allah uchebe nakupenda kwa Ajili Ya Allah

  • @zamoyonimohamedimam1695
    @zamoyonimohamedimam1695 4 ปีที่แล้ว +23

    Nakupendaga sana uchebe,walai umstaarabu weye Allah akupe Kheri InshaAllah

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 ปีที่แล้ว

      Ameen yarabill alamin

  • @hawasshibbyalfalasi8551
    @hawasshibbyalfalasi8551 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah ukijana Ana hikma sana Allah amfanyie wepesi kwa huu mtihani inshaallah 🤲🤲😢🇰🇪🇰🇪

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 4 ปีที่แล้ว +53

    Mwanaume mwenyewe hekma nii yule anoweza kuficha siri za mke wake naamin hpa kuna sri inafichwa sna. Ila dda zetu bongo movie wanakawaida wakiharibu tu wanakimbilia mitaandao ili kuidanganya jamii basi ila nyuma ya pazia kuna makubwa wanayafanya mbayo sie hatuyajui tusijaji upande mmoja tu hpa kuna jambo kwa vile msanii anaonekana ana haki ziad ya watu wengine ndo maana hili limechukuliwa kubwa hivi

    • @mwanaidhassan9977
      @mwanaidhassan9977 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli mamy mastaa n shidaaa

    • @ndikumanasadi3407
      @ndikumanasadi3407 4 ปีที่แล้ว

      Ume ongea kweli

    • @hopechidera
      @hopechidera 4 ปีที่แล้ว +4

      #Fatma nenda kwa Alikiba kunywa mofaya mwambie nakuja kulipa baadae,unaongea point👌🏽

    • @dottnatt7110
      @dottnatt7110 4 ปีที่แล้ว

      Fatma..Allah akuhifadh

    • @mizemize8894
      @mizemize8894 4 ปีที่แล้ว

      True talk

  • @adijaadija8339
    @adijaadija8339 4 ปีที่แล้ว +18

    Mwanaume mstarabu sana allah akulinde

  • @nusuratihamisi6524
    @nusuratihamisi6524 4 ปีที่แล้ว +6

    Kiukweli mm nimeumia sana ndoa ya uchebe na shilole kuvunjika dah basi ntafurah iwapo nikisikia wamerudiana inshaallah mungu jalia🙏🙏🙏

    • @mariamjumaswalehe635
      @mariamjumaswalehe635 4 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa ndoa bora tunayoisikilza sijiu ndani ya nyumba kumejificha nn

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kitendo alicho fanya shishi Bora kila 1 ajue lake maana kile kitendo cha kuvujisha kitu cha miaka ni huwaji mkubwa .Mitandao ali ilichafuka vibaya uyu kijana angeweza kufa au kufungwa

    • @philipinamganga9746
      @philipinamganga9746 4 ปีที่แล้ว

      Wewe na Mimi dhamira imefanana but ni changamoto ya ndoa yatakwisha

  • @jasmnjasmn732
    @jasmnjasmn732 4 ปีที่แล้ว +32

    Allah akulinde na shali na akujalie mke mwema

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 ปีที่แล้ว

      Ameen yarabill alamin insha'Allah Khair

    • @mariamothman7404
      @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว

      lkn sema shari sio shali nini maana ya shali

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 ปีที่แล้ว

      @@mariamothman7404 🤣🤣🤣

  • @adamhakizimana8712
    @adamhakizimana8712 4 ปีที่แล้ว +15

    Hongera kwa kujuwa kuongea uchebe 👊

  • @aswilaiddinv
    @aswilaiddinv 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaalahh unajielewa sannn Kaka angu🙏🙏

  • @wepoorman8944
    @wepoorman8944 4 ปีที่แล้ว +26

    Hold on, u mestion God coz of mazingra
    Not coz u have him in spirit .
    God is spirit u must be of spirit like him.
    Ask God to open ur heart spirit an soul to contanct u so he may dwell in ur heart in Jesus mighty name Amen

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 4 ปีที่แล้ว

      Yaana uchebe jamani masha allah

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 4 ปีที่แล้ว

    Kama wamkubali uchebe anajibu swali kulinganan na vile inafaa weka like tukisonga

  • @mariamumapunda4614
    @mariamumapunda4614 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda kakaake kwa ajili ya Allah maana unajibu kwa adabu Sanaa yaan upayuki nmejifunza mengi kupitia ww brother jitahd kuwa hvyo hvyo usipayuke mja wa Allah apaayuki

  • @saidmanda4984
    @saidmanda4984 4 ปีที่แล้ว +1

    MSHAMBAA TUUU..ADUI MAENDELEOO...ANAA NJAA YA PESA

  • @ecefahcompany6973
    @ecefahcompany6973 4 ปีที่แล้ว +2

    Dini wallah mimi Nakupenda sana 😘😘😘😘

  • @nduguviongozi6584
    @nduguviongozi6584 4 ปีที่แล้ว +5

    Ma Sha Allah Miaka 8 ndani ya Uislam na bado unakuwa kwenye interview kwa dakika 21 ukiwa unazungumza kwa dhikir. Allah akuhifadhi na Mwenyezi Mungu akikuondoa mahala ana kusudi lake.

  • @ms_caramel2688
    @ms_caramel2688 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kaka mashaAllah mwenyezmung atujalie waume wema zaid na akuongoze uchebe zaid mashaAllah for you

  • @abuujo3785
    @abuujo3785 4 ปีที่แล้ว +11

    Allah keep u moving brother wise

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Aallah kwa kuingia katika Dini ya Haki ya Uislamu.
    Allah Subhaanahu Wata'ala Akujalie Kumpata Mke Mwema mwenye kufuata Maadili ya Dini ya Kiislamu kwa mujiib wa Qur'an na Sunnah.

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah tabarak Allah.namkubali sana huyu kaka
    Allah akufanyie wepesi.akujalie mke wa ubavu wako InshaAllah.Yani mstarabu hadi raha.duuuh....sie wengine tunatamani mumewangu nyenye atakuongoza kwa dini.wallah.Allah akufanyie wepesi InshaAllah yarabby

  • @maryanadhan3739
    @maryanadhan3739 4 ปีที่แล้ว

    Big up x n brother 😍😍💖

  • @johansenrauben6166
    @johansenrauben6166 4 ปีที่แล้ว

    Mdogo wangu hongera sana endelea kumu omba mungu tu aendelee kukupa wepesi
    Huyo mwana mke hana hadhi ya kua na wewe kwani wewe ni dunia nyingine tofauti na huyo Dada
    Huyo anaweza ndoa za mitandao na publist sio ndoa zetu za kiafrica
    Kuwa mama wa muji kuna heshima yake sana na sikila mwana mkee anaweza kuvaa viatu hivyo hongera sana mdogo wangu

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว +17

    Pamoja na yote,mtaaraab sana uchebe no one perfect .

  • @yusraivan4031
    @yusraivan4031 4 ปีที่แล้ว

    Mngu akutangulie Kak ang nakupenda san

  • @kaluluu2011
    @kaluluu2011 4 ปีที่แล้ว +4

    mtangazaji hana kiwango cha kuhoji analazimishia shari kuliko point .ila uchebe yuko sahihi xana kwa upande wa hekma

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 4 ปีที่แล้ว +3

    Uchebe big up huwezi kuomba msamaha mitandaoni Allah atakufanyia wepesi

  • @joycemwanaloga4607
    @joycemwanaloga4607 4 ปีที่แล้ว +3

    Uchebe una hekima na busara Sana kijana,,Mwenyezi Mungu akuongoze.

  • @sabrinahlutha3743
    @sabrinahlutha3743 4 ปีที่แล้ว +5

    Kuna kitu nimejifunza apa asante kaka angu mungu akuweke maana mimi napenda pombe na natamani kufanya ibada umenipa mwongozo uchebe

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 ปีที่แล้ว +2

    D nasor mpenz ulikuwa umeadimika kweli dada ang why mamy nilikuwa nimekumiss 😘💕💕✌🏻

  • @sultansoud9490
    @sultansoud9490 4 ปีที่แล้ว +18

    Ni kweli shishi kawaida yake anasem angesema kwa nn kapijwa mujiongeze jamn

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana Uchebe kwa mitihani

  • @naomihassani9702
    @naomihassani9702 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu ni aina ya mwanaume ninaemtafuta maana wamebakia wachache sana duniani🙏

  • @beatricechristian9257
    @beatricechristian9257 4 ปีที่แล้ว +30

    Hata kama uchebe anamangufu hila anajua kuongea kisatarabu🔥🔥🔥

  • @bosskiko2031
    @bosskiko2031 4 ปีที่แล้ว +4

    Big Up Sana we dada ..unaijua kazi yako vizuri

  • @sayuniseth8501
    @sayuniseth8501 4 ปีที่แล้ว +7

    Asanteee kwa somoo maana katupa mawaidhaaa

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 ปีที่แล้ว +3

    In sha Allah Allah Atufanyie Wepesi sote. Nimejifunza kitu hapo kwenye Swala.

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 ปีที่แล้ว +2

    Maaasha,Allah mwenyezimungu akuongoze.

  • @afrahfauz5794
    @afrahfauz5794 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana shilole bt big up uchebe mungu akuongoze kwny heri na akuepushe kwny shari

    • @salmamboeto5030
      @salmamboeto5030 4 ปีที่แล้ว

      Huwa napenda Sana kupitia interview za uchebe na nilikuwa nafatilia Sana tokea Enzi ya ndoa yenu,napenda ulivyo mstaarab pia hofu ya mungu pongezi kwa wazazi walikulea katika maadili mema,

  • @ashaomina1136
    @ashaomina1136 4 ปีที่แล้ว +2

    Uchebe nakupenda tu sana,,ur a great person,,MashaAllah.

  • @francekabelege2998
    @francekabelege2998 4 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaaa yuko p xna Kama alipiga mke jua mke alivuka mipaka uchebe big up broo

  • @salmaalbarwani2618
    @salmaalbarwani2618 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe imani zaidi katika kubadili DINI

  • @abdallahhussein7539
    @abdallahhussein7539 4 ปีที่แล้ว

    Upo safi sana sheilk

  • @fariyaosmanali9220
    @fariyaosmanali9220 4 ปีที่แล้ว +10

    8 years in lslam Mashallah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love from🇰🇪

    • @mulumederwasifa4801
      @mulumederwasifa4801 4 ปีที่แล้ว +1

      Weye nimwanaume unaye jielewa kabisa Mungu akubariki sana naakutiye nguvu ule mzee akufahi

  • @halimams2127
    @halimams2127 4 ปีที่แล้ว +2

    uchebe mungu akubariki pia akuzidishie uwe miongon mwa watoto wa mungu

  • @aminaomar6166
    @aminaomar6166 4 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah Allah akutangulie ,sadakta mabebo yako

  • @boniphacemaxio1405
    @boniphacemaxio1405 4 ปีที่แล้ว +6

    Big up xn brother

  • @salmaalbarwani2618
    @salmaalbarwani2618 4 ปีที่แล้ว +31

    Tafuta mke km wewe anayo khofu ya Allah upumzike

    • @lovvy854
      @lovvy854 4 ปีที่แล้ว

      Ningumu kupata mwanamke mwenye khofu ya Allah ila wapo wachache Sana maana wengiwao Dunia imewazingua mnoo🤣🤣

  • @najmaibrahim1536
    @najmaibrahim1536 4 ปีที่แล้ว +9

    Ma Sha Allah....Allah akizidishie dini n Iman Uchebe

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah TabaraqAllah Allah azidi kukuongoza all will be well Uchebe, your time is loading utakuja furahi mbeleni

  • @janetkemush3784
    @janetkemush3784 4 ปีที่แล้ว +5

    Akh nampenda sana uchebe....

  • @rashadahussein5813
    @rashadahussein5813 4 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah,kwa kusilimu.mwenyezi mungu akulinde🇰🇪

    • @jonathangmakupa8550
      @jonathangmakupa8550 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwel uyo bwege si tunatoka ye anaingia

    • @najmaibrahim1536
      @najmaibrahim1536 4 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @abdallahrashidi4560
      @abdallahrashidi4560 4 ปีที่แล้ว

      @@jonathangmakupa8550 unaenda wp shekh

    • @ashuuuaisha9122
      @ashuuuaisha9122 4 ปีที่แล้ว

      @@abdallahrashidi4560 muuulize vizuri 😂😂

    • @abdallahrashidi4560
      @abdallahrashidi4560 4 ปีที่แล้ว

      @@ashuuuaisha9122 haijui dini ya haki huyo ndio mana kasema hivo tumuombe dua tu Allah atamuongoa insha'Allah.

  • @halimaomari7589
    @halimaomari7589 4 ปีที่แล้ว

    Uchebe unajielezea vizuri hadi raha na pia nafurahi sana unapo mtanguliza Allah katika maongezi yako

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah allah akujalie kila ra kher uchebe

  • @asianyiemnaziguatoasiaa8679
    @asianyiemnaziguatoasiaa8679 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali Sana broo

  • @sofiaramadan7224
    @sofiaramadan7224 4 ปีที่แล้ว

    mashaallah mola akuifadhi in shaa Allah

  • @FatmaAli-oy7yu
    @FatmaAli-oy7yu 4 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah, tabarakaAllah kwakusilimu

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 4 ปีที่แล้ว

      Nakupenda bure haswaa ulivoslimu

  • @teresiavitus8178
    @teresiavitus8178 4 ปีที่แล้ว +14

    Watu kama uchebe wapo wengi kwa watu wanajifanya wastarabu lakn njoo ndani utoamini

    • @ameenasur656
      @ameenasur656 4 ปีที่แล้ว +1

      Kbs nilikua na mme km huyo wwwwww ndan kulikua kunawaka moto mwanamke 1 akajileta mm nikajitoa ndan ya miez 6 akaja kuniomba msahama huyo mwanamke mm nika mjibu sn ubayanae nae akasepa mtu usimuone mpole km👆👆👆wanazisa sn

    • @pilihamis9657
      @pilihamis9657 4 ปีที่แล้ว

      💯

    • @mariamjumaswalehe635
      @mariamjumaswalehe635 4 ปีที่แล้ว

      Yaani ni shida

    • @kaluluu2011
      @kaluluu2011 4 ปีที่แล้ว

      hamna kitu umeongea hapo ni pumba tu.ustaarabu unaanzia ndani ndio unatoka nje .

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +1

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 ปีที่แล้ว +1

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akusimamie sana ili yule Bibi mropokaji hovyo ajue mungu sio athumani

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mgumu kweli kunyooosha maelezo huenda hapendi undani wake wengine wajue, ni mgumu pia kuomba radhi, ila anampenda bado mkewe, anammic pia mkewe Shilole ila ni Mgumu kukubali makosa, Wanaume wa hivi wanataka wewe ndio uombe msamaha, ...Ndio Tabia Mungu amemuumba hivyo wasameheane tu jamani watarekebishana tabia taratibu

    • @sofiasofia7557
      @sofiasofia7557 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyo anakifua NA ni wanaume anayejielewa shishi malaya hawezi kuishi NA huyu kapigwa kwa mdomo wake mchafu hata kama ungekuwa wewe

    • @mrs2918
      @mrs2918 4 ปีที่แล้ว

      @@sofiasofia7557 nafikiri kinachomponza shishi ni uropo na tusi lake kubwa mbwa wewe au K wewe

    • @jurmainezaidi739
      @jurmainezaidi739 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu jamaa hajawahi kuweka wazi mahusiano yake

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 4 ปีที่แล้ว

      Wee nuru mjinga saa amuombe radhi kwakipi alofanya ushebe ikiwa shiloloe hana adabu ,ndomana kapigwa nauchebe nia yake alimuowa ambadilishe mkewee lakini mke ndo anakili zakili nauhuni tu

    • @sofiasofia7557
      @sofiasofia7557 4 ปีที่แล้ว

      @@jurmainezaidi739 ndiyo inavyotakiwa tuwe binadam siyo dunia nzima inafaham matatizo yako

  • @salimmawiya6473
    @salimmawiya6473 4 ปีที่แล้ว +1

    Uchebe nimekuelewa sana

  • @pastorydaudi1388
    @pastorydaudi1388 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada nampongeza Sana ameuliza maswali mazuri Sana kwamba unawashauri Nini vijana wanaopiga wanawake

  • @yundefeith2552
    @yundefeith2552 4 ปีที่แล้ว +1

    We Kala mm nakupendaga Sana ongea yako tu afu unahofu ya mungu

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว +1

    Wasema umetoka salama kwenye mtego wa panya😁😁😁

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 4 ปีที่แล้ว +1

    Nlichoona uchebe ajajibu swali ata moja ila ametuhubiria tuu .. Hahahahahah

  • @AhmedSalah-ri3es
    @AhmedSalah-ri3es 4 ปีที่แล้ว +7

    MashAllah kumbe uchebe ulikua mkristo umeslimu daahh we jamaa mwamba umeshika dini kisawa nakukubali sema pale kwa shishi cpo bro yule ni wa wootee achana nae tafta kadogo tu kazuri ukaweke ndani

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndio muandishi anaejua kuuliza maswali hataji mtu wala hagombanishi mtu anauliza yeye kama yeye hamuhusishi mtu hongera

  • @edinaisaya6229
    @edinaisaya6229 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mtangazaji ni mfupi mashallah

  • @catherine44catherineraymon9
    @catherine44catherineraymon9 4 ปีที่แล้ว +2

    Akili nyingi 😋

  • @estherdavic8521
    @estherdavic8521 4 ปีที่แล้ว

    Maskini kumbe ulikua ktk mahusiano ambayo hata mwenyewe hukujua yanahusiana na nn ulipojua unacheeeza 😂😂

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 4 ปีที่แล้ว +4

    Interview zote za uchembe huwa zinapassword kwa wenye akili ndo wanapata kumuelewa uchembe

  • @imranjr7247
    @imranjr7247 4 ปีที่แล้ว +21

    Uchebe anajua kujieleza

  • @wilbartwilliam
    @wilbartwilliam 4 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @alhajiabbas3807
    @alhajiabbas3807 4 ปีที่แล้ว

    Daaaah,,, mwnangu wew ni technical killer kabisa katk kujibu maswali,,, nakubal San broo

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anajibu ki Gentleman, ila mtangazaji una maswali ya kiduanziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @brytondady8912
    @brytondady8912 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyz mungu nyigiii ila sasa kichapo sasa

  • @wepoorman8944
    @wepoorman8944 4 ปีที่แล้ว +2

    Marriage issue should be solved by family not media.
    This family plz will scatter .
    Blood of Jesus have mercy an restore them in ur mercy in Jesus might name Amen.

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa anapenda neno fantashiru

  • @rukiamwakinyo5324
    @rukiamwakinyo5324 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman nipen namba za uchebe awe ananifundisha mazoez na kupigana huyu mwanaume ni bora sana nipen namba zake alafu anatabasam zur sana😃

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 4 ปีที่แล้ว

      InshaAllah utazipata tu bora usiwe mke wa mtu. Zinaa ni Haram na malipo yake ni makubwa sn haswa ukiwa mke wa mtu. Haram!

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 4 ปีที่แล้ว

      Mungu umlipa mja wake hapa hapa duniani. Allah kareem☝️

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 ปีที่แล้ว +4

    🤣nimecheka eti km shilole atakavyokwenda kuulizwa n mng jichon umefanya nn🤣🤣🤣🤣kashindwa kujib uchebe

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 4 ปีที่แล้ว

    mashallah kwa kuslimu uchebe

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 4 ปีที่แล้ว +1

    Vyakula sipendelei sana vyakula😂😂😂🤪

  • @feymtenu5266
    @feymtenu5266 4 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwel nimekupenda bure Kaka uchebe eeeeeh m/mungu anijaalie mume Kama huyu Kaka jomon

  • @aishahassan9812
    @aishahassan9812 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 ปีที่แล้ว

    Mtete mkeo mbele za watu na mkanye mkeo mkiwa wawili chumbani,, ukifanya hivyo atakuheshimu. Na mchebe imefanya hivyo Mungu atakupa mwenye kher nawe.

  • @rukkynassor2279
    @rukkynassor2279 4 ปีที่แล้ว

    Amshika shika kweli .duh .lakini mtangazaji uko vizuri

  • @salwasuleiman8943
    @salwasuleiman8943 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah azidi kukuongoza

  • @2poandrew298
    @2poandrew298 4 ปีที่แล้ว

    huyu dada anayemuhoji huyu amejua kunifurahisha, hahaha

  • @lemameasi1723
    @lemameasi1723 4 ปีที่แล้ว

    TATIZO NI SHILOLE

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 ปีที่แล้ว +36

    Yaan penye intaview ya Uchebe sipitagi kijinga, namkubali sana huyu kijana. Majibu yenye imani

    • @helenkambi3918
      @helenkambi3918 4 ปีที่แล้ว +3

      Barakallah hana ujeuri hata kama alimpiga mke wake lakini majibu yake niya ustarabu

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 4 ปีที่แล้ว

      Hafanani kabisaa na huko kupiga yani sipati picha alivompiga shishi

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 4 ปีที่แล้ว +1

    Dinny umbea umekuzidi, unabana mpaka penalty.