Kariakoo Mtaa wa Congo kuna balaa | I think you should not come to this place alone | Vlog

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2023
  • Habari asante kwa kutazama Video ninazoziweka kila wakati hapa, nilipata nafasi ya kuja eneo la Mtaa wa Congo Kariakoo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam na kutembelea eneo hili maarufu lenye Wamachinga wengi zaidi kunauzwa bidhaa za Nguo na Viatu vyote vikiwa ni vipya ukija pekeako utatamani ungekuja na mwenzio ili mfaidi wote vitu vizuri na kwa gharama nafuu zaidi, Karibu kutembelea Kariakoo.
    Kama hujatazama Video ya Gongo la Mboto unaweza kubonyeza hapa kwenye Link 👉👉 • Gongo la Mboto Dar es ... pia naomba usisahau kuniunga mkono kwa kubonyeza neno Subscribe 🙏
    Kama ni mala yako ya kwanza kutazama Mtindo wa Video zangu za Vlog nakukaribisha sana katika Channel yangu.
    Naomba uniunge Mkono kwa Kubonyeza neno Subscribe 🙏
    .
    .
    .
    .
    Hellow, my name is Swahili the Traveller 'm from Tanzania, East Africa. I love travelling in different places mostly new places to meet new people and learn the overall lifestyle of different people and show the reality of every stuff.
    Please Subscribe my Backup Channel 👇👇
    TH-cam
    / @swahilithetravels
    INSTAGRAM
    invitescon...
    Twitter
    Swahilitravel25?t...
    TIKTOK
    www.tiktok.com/@swahilithetra...
    WhatsApp
    whatsapp.com/biz/
    Support Me 🙏👇👇
    World remit or AirtelMoney +255 692 499 666 | WhatsApp
    #traveling #vlog #travels #adventure #africa

ความคิดเห็น • 8

  • @maicofidelix3549
    @maicofidelix3549 22 วันที่ผ่านมา

    Good

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿🇹🇿✌。

  • @robbynasenya
    @robbynasenya 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri, ..

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  11 หลายเดือนก่อน

      Asante sana rafiki yangu japo hujaweka Video mpya 🥺💗

    • @robbynasenya
      @robbynasenya 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@SwahiliTheTraveller ni kweli kabisa, nimekuwa bze kidogo,,,ila ntaweka very soon...ww endelea kupiga tu kazi utupe mambo motomoto, tupo nyuma yako......siku njema!

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  11 หลายเดือนก่อน

      Ooh sawa ukija town pia usisahau kunitafuta 😊

    • @robbynasenya
      @robbynasenya 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@SwahiliTheTraveller ucjali,,,,ila kwa sasa nimesafiri kidogo ndugu yangu....

    • @SwahiliTheTraveller
      @SwahiliTheTraveller  11 หลายเดือนก่อน

      Ooh sawa