NABII TITO ASHUHUDIA KILICHOMLETA BCIC-HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MUNGU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ค. 2019

ความคิดเห็น • 383

  • @masterjay3426
    @masterjay3426 5 ปีที่แล้ว +31

    Aliyemwona nabii Tito uso na mikono haviendani rangi, agonge like

    • @mariamjuma1068
      @mariamjuma1068 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @masterjay3426
      @masterjay3426 5 ปีที่แล้ว

      @@mariamjuma1068 nawe umeona ee

    • @albertludago7374
      @albertludago7374 4 ปีที่แล้ว +1

      Anatafut kiki huyu

    • @masterjay3426
      @masterjay3426 4 ปีที่แล้ว

      @@albertludago7374 hahaha

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 5 ปีที่แล้ว +6

    Namfahamu Tito Machibya na tumeongea naye uso kwa uso Dodoma. Nimemshangaa sana Mungu. Yesu ambebe Tito

  • @janelaflin5130
    @janelaflin5130 5 ปีที่แล้ว +2

    Titto ubarikiwe sana,Mungu akusafishe uwe mtumishi wa Mungu kweli kweli

  • @judithnaboth7620
    @judithnaboth7620 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu amtumie kwa viwango vya juu ubarikiwe sana Tito kwa kuokaka

  • @carlosmgimwatv3486
    @carlosmgimwatv3486 5 ปีที่แล้ว +22

    Hongera Sana Tito Kwakumpokea YESU Kristo

    • @halimamayunga1911
      @halimamayunga1911 5 ปีที่แล้ว +1

      Carlos Mgimwa jmn tito anatia huruma Mungu akubariki uwe mwema Amina

  • @ombenisomi2210
    @ombenisomi2210 5 ปีที่แล้ว +3

    Amen. Ni habari njema sana hii. Kwa alipokua amefikia nadhani alikua na machaguo mawili au kuokoka au kupotea.
    Mungu asingekubali jina lake kuchafuliwa zaidi na zaidi na kupotosha watu wake namna ile tena. Amechagua fungu jema.

  • @angelherman5464
    @angelherman5464 5 ปีที่แล้ว +1

    jaman kamke kazur jaman sijui ulimpata wapi tito huyu jaman eeeh mungu tuongoze wengine Ambao bado hatujaolewa Mungu utuoneshe wanaume Wenye kumjua mungu kani haki ya kwako!!!😮😮😮😮

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 5 ปีที่แล้ว +29

    Huyu ndio Yesu! Anasamehee na kututengeneza upya

    • @mshambawamjini2671
      @mshambawamjini2671 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawezi kabisa soma yohana 12- 49 hadi mwisho kabisa soma kiucha mungu acha ubishani jifunze

    • @mussaothmani6273
      @mussaothmani6273 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo hawa jamaa hawaisomi bibilia ndo maana kila kukicha wanamtegemea kiumbe .

  • @mohammedmkomi9087
    @mohammedmkomi9087 5 ปีที่แล้ว +3

    DAAH WAKRISTO SIJUI HAMJIJUI KAMA MUNAANGAMIZWA .WACHUNGAJI .WANAVITAMBI KUMAMAKE #SADAKA HIZO HAMKENI BHANA

    • @sulleyjones6321
      @sulleyjones6321 5 ปีที่แล้ว

      Huko n kuvuka mipaka kila mtu ana imani yake acha zengwe angalia upande wako

    • @lucylaswai4298
      @lucylaswai4298 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahah

    • @yusuphmwakashuka711
      @yusuphmwakashuka711 5 ปีที่แล้ว

      Wewe unamwamini Tito mbona bado anajiita nabii

  • @bahatiemmanuel3963
    @bahatiemmanuel3963 5 ปีที่แล้ว +12

    Amen nampenda YESU wangu

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 5 ปีที่แล้ว +3

    Kutoka Kanisa la mpapaso mpaka hapo ulipofikia Dah,panachezea Mnazareti.Hakika Yesu ni mwema

  • @geofreykilasi7354
    @geofreykilasi7354 5 ปีที่แล้ว +11

    Ubarikiwe sana baba Askofu ......kondoo amerudi hallelujah

    • @gracyjerome6971
      @gracyjerome6971 5 ปีที่แล้ว

      kweli mungu ni mwema san

    • @mshambawamjini2671
      @mshambawamjini2671 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaha kondoo amerudi hahahaha nawakati ana pakuliwa tu kama dawa kama kawa hahaha mecap mbele kwa mbele

  • @mangalamlala3516
    @mangalamlala3516 5 ปีที่แล้ว +2

    Bless up! Glory to our lord Jesus Christ.

  • @mussashingwa1784
    @mussashingwa1784 5 ปีที่แล้ว +4

    ahsante mungu kwaajili ya Tito kutambua kuwa alikuwa nabii wa uongo. maana neno la mungu linasema walio wangu nawajua

  • @mchricharderickmtoni438
    @mchricharderickmtoni438 5 ปีที่แล้ว +6

    Jina la BWANA YESU KRISTO libarikiwe sana....

    • @danielmwasi4956
      @danielmwasi4956 5 ปีที่แล้ว

      Walio okoka mbona wamevaa hirizi bado?

  • @josephsimiyu5211
    @josephsimiyu5211 5 ปีที่แล้ว +2

    Tito umefanya uamuzi wa busara pamoja na mkeo nyote Mungu awasaidie mema katika jina la Yesu Kristo amina

    • @abelsiyame7863
      @abelsiyame7863 2 ปีที่แล้ว

      Kiukwer mungu awasaidie awape maisha malefu

  • @hersenmichaeli1566
    @hersenmichaeli1566 5 ปีที่แล้ว

    ujumbe kwa tito jambo lililofanyiko kwako linaitwa .neema yaan wengine wanaisikia ĺakini wewe umeiona .
    jambo la kufaham kwa sasa
    wewe ni mwanafunzi. tulia jïfunze chin ya baba yako wa kiroho na njia za roho mtakatifu utaziona vizuri na atakuaminisha kwa watu.na jamii yote......Akili za Mungu Hazïchunguzik.Amen Amen

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂inalilah wainalilah rajium msiba huu

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 4 ปีที่แล้ว +3

    Mi huwa nashangaa watu wanaomchukulia Tito serious 😀😀, hata Askofu hapa kapigwa changa la macho😂😂😂

    • @abelsiyame7863
      @abelsiyame7863 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣apana bwana kaamuwa kuokoka

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw หลายเดือนก่อน

      Hahahahahaha hongera kwa kugundua mapema ujanja wa tito 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @yunushamis4839
    @yunushamis4839 4 ปีที่แล้ว +1

    Angalia mijitu inapiga makofi achen judanganywa nyie watu hvi mnaakili gani jaman hv mnamjua roho mtakatifu nyie wote nimachiz haswaaa

  • @aminiraper6264
    @aminiraper6264 5 ปีที่แล้ว +6

    Sema huyu jamaa anamke wa pekee kweli tena mweny uvumilivu wa hali ya juu, sababu kuishi na mtu kama Tito ya hitaji moyo

    • @stahimilmassawe8540
      @stahimilmassawe8540 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwel huyu mwanamke ni watofaut

    • @leahhassan4254
      @leahhassan4254 4 ปีที่แล้ว

      Ana moyo wa mnyama😂😂😂

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Ukijazwa ujinga na mumeo utaukimbiaje? Mumeo Taahira utamkimbia?

  • @godliverleonard1388
    @godliverleonard1388 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen Yesu anaweza yote

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 ปีที่แล้ว +4

    OK...tunashukuru kwa ukiri!!
    Asante kwani upon tayari kufundishwa

  • @calechambu2389
    @calechambu2389 5 ปีที่แล้ว +10

    Huyu Tito bado anandanganya wokovu bado

  • @dativadaud4300
    @dativadaud4300 3 ปีที่แล้ว

    Askofu Gwajima alikusalisha toba,ukavua na cheni,leo umemkimbia tena!watumishi mna kazi.

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw หลายเดือนก่อน

      Tito anamatatizo ya akili muacheni kama alivyo. MUNGU mwenyewe atajitwalia utukufu wake kwa wakati wake dhidi ya huyu kiumbe wa ajabu kweli

  • @wistonepaschal6760
    @wistonepaschal6760 4 ปีที่แล้ว

    Oh, Haleluya, BWANA YESU amtie NGUVU HUYO TITO,

  • @happynessswai2874
    @happynessswai2874 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amsaidie asirudi nyuma,

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 4 ปีที่แล้ว

    Mungu nakusihi umhurumie Tito, muokoe nakusihi baba mungu wangu. Mponye akawe ushuhuda kwa watu wanao mchukulia kama kituko. Ameen 🙏

    • @myself4128
      @myself4128 3 ปีที่แล้ว

      Muombee Mungu hana akaunt youtube

  • @jacksonsilvery5963
    @jacksonsilvery5963 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema!nina imani hawa ni wa Mungu.Mungu uwaone hawa watu.

  • @michaelmoro4801
    @michaelmoro4801 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana kwa kumwamini Yesu katika maisha yako Kwa Yesu woye yanawezekana

    • @upendorobert7298
      @upendorobert7298 5 ปีที่แล้ว

      Michael Moro mbona hapo afadhali, siku za nyuma ndo ulikua mkorogo haswa

  • @ianamran3039
    @ianamran3039 5 ปีที่แล้ว

    great testimony

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 5 ปีที่แล้ว +6

    hongereni sana kwa kumpa Yesu maisha. Yote ya nyuma Yesu ameyafuta.

  • @emmymringo6621
    @emmymringo6621 5 ปีที่แล้ว +3

    jina la Yesu libarikiwe.

  • @erickmutungi8792
    @erickmutungi8792 5 ปีที่แล้ว +16

    BWANA YESU KRISTO NI MUNGU ANAYETISHA SANAAAA.....PIA NI WA HURUMA SANA NA ANATUWAZIA MEMA.....MUNGU AMTIE NGUVU!

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 ปีที่แล้ว +1

    Titooooooooooooooooooo paza sauti Bwana amesikia kuhangaika kwako.

  • @abemampya2871
    @abemampya2871 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani someni ili muokoke na mutokane na wacheni haya maigizo njooni katika njia iyonyooka.
    Mungu awajalie muwetayari kuja katika njia sahihi.

  • @trilionea_online_TV
    @trilionea_online_TV 5 ปีที่แล้ว +3

    Aisee, kumbe kweli kuna manabii wa uongo

  • @josephlaizer6706
    @josephlaizer6706 5 ปีที่แล้ว +2

    Yesu Ni Mwema

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu Kwa kuokoa Tito

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 5 ปีที่แล้ว +1

    Ajuaye ni Mungu na ndiye mmilki wa kila nafsi!

  • @uwezosimoni4657
    @uwezosimoni4657 5 ปีที่แล้ว +3

    Tito ubarikiwe kumpokea yesu Kristo

    • @nurdinhemed6
      @nurdinhemed6 5 ปีที่แล้ว

      Vipi kuhusu marinda yake

  • @behonest9964
    @behonest9964 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaa ALLAAH tuhurumie na utusamehe na uwongo na ujinga tunao ufanya kwenye ardhi yako na ukiamua kutukanya uwe unatuonea huruma kwa sababu kuna wengineo hawajaku kosea.

  • @nikitarewis2598
    @nikitarewis2598 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani naona chamuhimu mumuombeye tito awe vizuli kihakili

  • @moureenmeneja7997
    @moureenmeneja7997 5 ปีที่แล้ว +12

    Kweli hii ni habari mpasuko🤣🤣🤣🤣🤣tito weee

  • @mukanyataki5120
    @mukanyataki5120 5 ปีที่แล้ว +8

    Jamani, Mungu mkubwa....
    Tito kajitambua ? Asante Mungu kuokowa hii nafsi baba 😀😀😀😂😂

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 5 ปีที่แล้ว

    Haleluya asante Mungu kumbadilisha huyu baba

  • @geofreybundara2136
    @geofreybundara2136 5 ปีที่แล้ว +4

    hakika Yesu anasamehe kwelikwel, Mungu akubariki bishop Gamanywa, utukufu kwa Mung, Najifunza kuwa haijarish unadhambi nyingi kiasi ukimwamin Yesu anakusamehe!

  • @forcedlabour3489
    @forcedlabour3489 5 ปีที่แล้ว +35

    Kama unaamini tito anawainjoy na hata luga yake anayotumia ni ileile ya kipindi kile like

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 5 ปีที่แล้ว

      Forced Labour Wewe acha uchochezi , mwenzako ananena kwa Lugha ,

    • @cavoo4get649
      @cavoo4get649 5 ปีที่แล้ว +3

      Forced Labour huyo nitapeli tu, yaani leo nimemuona anashawishi watu wanywe pombe!!!

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 5 ปีที่แล้ว

      msumbufu tu huyo, bado hayupo vizuri akili yake

    • @kagoggoalfred2730
      @kagoggoalfred2730 5 ปีที่แล้ว

      Forced Labour masela wapo kazini chezea pesa wajinga ndio waliwao

    • @hassanally2847
      @hassanally2847 5 ปีที่แล้ว

      Forced Labour mzee wa mpapaso huyooooo

  • @antoinekatembo5316
    @antoinekatembo5316 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mkubwa kweli!!! Mwenyezi Mungu aendelea kukuokoa ndugu Tito na familia yako!

  • @shamsatambwe9417
    @shamsatambwe9417 4 ปีที่แล้ว

    Haleluya haleluya haleluya haleluya

  • @SamwelJoseph-yk3cw
    @SamwelJoseph-yk3cw หลายเดือนก่อน

    Hahahahahaha mie simuamuni hata chembe maana akili yake ni ya ajabu kweli

  • @fibimshongo4758
    @fibimshongo4758 5 ปีที่แล้ว

    Tito mungu awabariki

  • @esterbegina1022
    @esterbegina1022 5 ปีที่แล้ว +4

    Uyu dada nae hajielewi utakuwa naupungufu wa vinjuz viwili ktk ubongo

  • @miltonjohn1402
    @miltonjohn1402 2 ปีที่แล้ว

    Huyo tito ni msanii kwani hata huo ushuhuda ameongopa, siyo kweli. Kwani kama ungekuwa kweli angeacha kutembea mitaani na kuhubiri upuuzi.

  • @husseinhassani4435
    @husseinhassani4435 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wasamehe wanawake maaana huyu dada kumkatikia huyu nabii tito na kuzaa nae nibonge la kazi

  • @johnisrael1968
    @johnisrael1968 5 ปีที่แล้ว +5

    Yesu Kristo hakuja kwa ajili ya wenye haki

  • @alexmahenge3817
    @alexmahenge3817 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana kwa Shuda nzr sana. Pia NIMEFURAHI KUMUINA ASKOFU BABA YANGU. YESU KWETU NI KIMBILIO NA NGUVU

    • @mussaothmani6273
      @mussaothmani6273 4 ปีที่แล้ว

      Kimbilio lako ni Mungu na c yesu maana yesu ni kiumbe kama wewe.

  • @leticiawilliam2323
    @leticiawilliam2323 3 ปีที่แล้ว

    mungu akubaliki sana askofu

  • @segolinetingo2916
    @segolinetingo2916 3 ปีที่แล้ว

    My sweetie home.napakumbuka

  • @fortunatahulilo8411
    @fortunatahulilo8411 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Titto bado ni kichaa tu

  • @christophernzige3913
    @christophernzige3913 5 ปีที่แล้ว

    Hatimaye amekutana Yesu,

  • @angelalphonce2962
    @angelalphonce2962 5 ปีที่แล้ว +10

    Tito anazuga Sasa hivi Yuko mtaani na mekap Kama kawaida

    • @hildazablon3411
      @hildazablon3411 5 ปีที่แล้ว

      Angel Alphonce 🤣🤣🤣🤣 hawajamjua bado.. alikuwa anawaenjoy tu hapo anawang’ong’a kisogo🤣🤣

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @klaragreen7999
      @klaragreen7999 4 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆😆😆

    • @demetriushenry3585
      @demetriushenry3585 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha

    • @demetriushenry3585
      @demetriushenry3585 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa nliwah muona Dodoma km amebadilika bas makubwa

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 5 ปีที่แล้ว

    Aminaaa

  • @robindida9670
    @robindida9670 5 ปีที่แล้ว

    Nampenda yesu,ooooh yesu mwenye huruma na msamaha nani kama wewe

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu sialipimwa akili na akaonekana ni kweli sio mzima leo mme mpa mwaliko kanisani kweli dunia inamambo

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli hata kama walisema hana akili timamu, Mungu anaponya na anaweka mambo sawa ukimwamini na kumkimbilia

    • @HassanHassan-sr3fq
      @HassanHassan-sr3fq 5 ปีที่แล้ว

      Wote waongo hao huyo mwalim na huyo anaetaka kufundishwa(Tito) ila Tito alitaka zaid kiki apate cheo maisha yaendelee

  • @patrickmtega7351
    @patrickmtega7351 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mwagopeni Mungu

  • @reyrealbully4mumy334
    @reyrealbully4mumy334 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amponye

  • @massawejacob
    @massawejacob 4 ปีที่แล้ว

    Jama ! Jama ! Sasa kule kwa askof Gwajima ! Leo yupo huku Bwana YESU akuponye

  • @nehemiantungu5224
    @nehemiantungu5224 5 ปีที่แล้ว +1

    Yesu anatenda huwezi amino
    Kibinadamu

  • @lizzymayengoh
    @lizzymayengoh 5 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @burudaninamatukio5389
    @burudaninamatukio5389 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nilijua ni chizi kumbe Ana akili timamu mungu amjalie asirudi kwenye dini yake alioianzisha ya shetani

  • @mkobainnocent2368
    @mkobainnocent2368 5 ปีที่แล้ว +3

    UJIO MPYA WA TITO, HUO MSALABA SASA,,

  • @priscasiame9179
    @priscasiame9179 5 ปีที่แล้ว +1

    Unaemshangilia chiz na yeye ni chiz.njoon mumuone na bii tito kaludi upya mtaan asaivi abatangaza kufilwa kwake

  • @dianafyondi3265
    @dianafyondi3265 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmh kazi kweli

  • @fatumamsangi4842
    @fatumamsangi4842 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mponye Tito anateseka kwa jina la yesu
    L

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @renathajohanes1988
    @renathajohanes1988 5 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu akuongoze daima

  • @jojoshavu668
    @jojoshavu668 5 ปีที่แล้ว +7

    Duh wakristo tunaangamia...kuamin kila mtu

  • @angeluslijuja3408
    @angeluslijuja3408 5 ปีที่แล้ว +2

    Askofu gamanya alinishudia mwaka 2003 pale sabasaba nanikapokea uponyaji sitamsahau mtumishi huyu

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 5 ปีที่แล้ว +1

    ebu mpeni kitengo huyo jamaa naona kama anayaweza hv

  • @joakimbrivasitati8911
    @joakimbrivasitati8911 5 ปีที่แล้ว +5

    I can't stop laughing

  • @angelinamkingi8164
    @angelinamkingi8164 5 ปีที่แล้ว

    Waliowake Mungu anawajua.

  • @issabinmaryam7450
    @issabinmaryam7450 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa gwajima alitoka hajaponywa kumbe..af si wanasemaga ana matatzo ya akili wana usalama..

    • @zerotohero8212
      @zerotohero8212 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣 namshukur mungu kwa neema ya uislamu🙏🙏

  • @rehemarehama2698
    @rehemarehama2698 2 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍🙏🏼🙏🏼👍👍

  • @mashaelieazer6120
    @mashaelieazer6120 5 ปีที่แล้ว +1

    Haki watu wa mungu wanadanganywa bureee

  • @mwitaadam8040
    @mwitaadam8040 5 ปีที่แล้ว

    Yesu mtenda miujiza utukuzweeeee

  • @nikitarewis2598
    @nikitarewis2598 5 ปีที่แล้ว

    Mungu amusaidiye kama nikweli ana matatizo yahakili amuponye

  • @lamecklameck8921
    @lamecklameck8921 5 ปีที่แล้ว +1

    balkiwa sana

  • @corneliasanga49
    @corneliasanga49 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli ulikua nabii wa uongo.. Ukue katika imani sasa

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa,,,,,,,,kweli dunia haihishiwi kiki!!!!!!!!!

  • @imash04tv20
    @imash04tv20 2 ปีที่แล้ว

    wakristo bwana yani kudanganya ni sekunde tu na waumini wake walivyowajinga hata wakisikia jambo gani utasikia eimmeen😂🤣😂😂🤣eti alikua na joka likatoka ndio mmeamini hapo dude lilikua chizi hili na mpak leo akili zake bado sasa nyinyi wale wapumbavu ndio mnawaona wapumbavu na huyu mchungaji wenu mpuuzi sijui anaonaje kuelekeza uongo kwa watu nashindwa hata kucheka wallahi

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 5 ปีที่แล้ว

    Kashachukua ela uyu nabii tito

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 5 ปีที่แล้ว +1

    YESU JUUUUUUUUUUUUU💥💥💥💥💥💥

  • @dirayaduniageneralviews312
    @dirayaduniageneralviews312 5 ปีที่แล้ว +1

    Kudadadeki moto una watu wengi sana karuka mikojo kakanyaga kinyesi duh!

  • @mugwegwe
    @mugwegwe 4 ปีที่แล้ว

    Aise huyu mke wa Nabii Tito mbona anazungumza Kiswahili kibaya . Huyu mwanamke nimtanzania kweli?

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 4 ปีที่แล้ว

    Wanawake jamani Tunamijiyoyo yetu WALAHI..Mungu tusaidie sn

    • @amosiluka8233
      @amosiluka8233 4 ปีที่แล้ว

      Klara Green hahaha na kweli aisee

  • @bintiiomary9500
    @bintiiomary9500 5 ปีที่แล้ว +1

    Sio kuwa ujui ulikuwa unajua kila kitu

  • @disaisalum8843
    @disaisalum8843 5 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini2671 4 ปีที่แล้ว

    Hii imani imekua biashara kila mahali nabii titto yupo keaho mtamuona msikitini hahahaha

  • @besilisaulaya9261
    @besilisaulaya9261 4 ปีที่แล้ว

    Siyo kweli kwani roho mtakatifu hawez kuwashukia wote kwa pamoja yesu humtoa kila mtu kivyake siyo mke na mume