Fix You: Huyu ndiye mama yake Abigail Chams, amedumu miaka 25 kwenye ndoa, anakupa siri za NDOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 232

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mama Gaby you're so talented and gifted woman ♀️ you talk realities
    I'm among of your subscriber from today & on!

  • @jokarotv
    @jokarotv ปีที่แล้ว +7

    Kwa mke nilokuwa namhitaji nashindwaga kujielezea vzr ,,leo nimempata wa kuongea kwa niaba angu, this mama is so intelligent,,,,kila mdada asikilize hii jmn atapona yy na maisha ake.So longer as MWANAMKE NDO ANAIJENGA FAMILIA.

  • @brigittecelestine4116
    @brigittecelestine4116 ปีที่แล้ว +15

    Kuhusu ndoa nikumkabidhi tu Mungu. Kila mtu namapito yake

  • @janethmodestus1402
    @janethmodestus1402 ปีที่แล้ว +5

    maneno yako yamenitia moyo sana kama kijana ,mama umeongea maneno mazuri sana ,Mungu atubariki vijana

  • @NS-ru1yf
    @NS-ru1yf ปีที่แล้ว +3

    Wow, aisee Wacha nkatulie IG yake aisee ni mwanamke na nusu, salute,God bless her & her family

  • @noreenshenkunde6944
    @noreenshenkunde6944 ปีที่แล้ว +9

    I love the way she defend her babe ❤ 👌👌 mapenzi ya mama kwa mtoto 🔥🔥🔥

  • @selinaleskarkitashu2971
    @selinaleskarkitashu2971 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amekuamini , amekupa watoto, usiwaachie wapoteeee. Protect them with prayers. Ahsante sana mama.

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 ปีที่แล้ว +17

    I just love her ! She is soo real! Beautiful mama Abby ❤

  • @user-wr4zu4un4s
    @user-wr4zu4un4s 5 หลายเดือนก่อน

    Mama CHAMS barikiwa sana uishi miaka mingi isiyokuwa na maumivu

  • @hijabigirl5672
    @hijabigirl5672 ปีที่แล้ว +5

    Please mlete tena . This episode is so inspirational and really beneficial.

  • @maryutukufu1850
    @maryutukufu1850 ปีที่แล้ว +5

    Waah nimempenda sana huyu mama. Yaani kila binti na kijana anayetarajia kuingia kwenye ndoa na pia wanandoa waisikilize hii video. ❤

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 ปีที่แล้ว +11

    I love that mama’s confidence 🥰🥰🥰🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @leonardodeogratiasdeograti697
    @leonardodeogratiasdeograti697 ปีที่แล้ว +49

    Leo nimekua wakwanza naomba like zangu💪❤🇲🇿

    • @mwanatz5980
      @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

      Hongera

    • @thomsanga7956
      @thomsanga7956 ปีที่แล้ว

      Inakusaidiaje bint hizi likes unazoomba 🤯🤯🤯

    • @puritykananu9920
      @puritykananu9920 ปีที่แล้ว

      ​@@thomsanga7956 Asante Kwa hilo ajibu

    • @sarahsalum9963
      @sarahsalum9963 ปีที่แล้ว

      Zinawasaidiaga nn

  • @jlyimu1990
    @jlyimu1990 ปีที่แล้ว +8

    I love her maana anaongea mambo nayopenda tatizo wanaume wetu hawana exposure haelewi yaan had unauliza baby chakula kipoje ndo eeh kitamu baby umepikaje😅😅..daaah had aulize

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +4

    Mashaalah she's very beautiful km binti zake.
    Very nice interview.
    Kitchen party huwa sherehe ya adhimisho after mafundisho uliyo pewa private but Kuna mangingii ndiyo wanaopotosha.

  • @emmamganga2949
    @emmamganga2949 ปีที่แล้ว +13

    Kiukweli katika session za fix you nilzoziinjoy hii ni mojawapo.Nimejifunza Mengi sana.Mungu ambariki mama Abby na akubariki Kamureen kwa kutuletea watu wenye madini kama hawa.Tunamuhitaji tena siku nyingine.

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha ปีที่แล้ว +1

      🙏🙏

    • @geofreykowero3637
      @geofreykowero3637 ปีที่แล้ว

      Kwakweli ni episode nzuri sana

    • @mamandekirwa5751
      @mamandekirwa5751 ปีที่แล้ว

      Hellow Irine hiyo mama hatumwezi tuletee wa mtaani mwezetu huyo ni WA kishua sana MAISHA yake sisi hatuyawezi

  • @winniealbert5530
    @winniealbert5530 ปีที่แล้ว +5

    Wow 👏, well said 👍💕😘.
    Stay SAFE and BLESSED always you and your lovely family 🙏🏼💕

  • @felicitaclara2208
    @felicitaclara2208 ปีที่แล้ว +8

    Wifi wewe ni Mke Mwema! I can testify. Mungu Akubariki ❤

  • @user-hc9wo4iu7c
    @user-hc9wo4iu7c ปีที่แล้ว +6

    Thank you Mama Abigail. Nice interview.
    God bless you.

  • @graceshauri2613
    @graceshauri2613 ปีที่แล้ว +1

    I 💕... Kwakweli hili ni somo kwa kila anayetaka ajengeke

  • @Youthgrowth961
    @Youthgrowth961 ปีที่แล้ว +8

    One of the best interview I have ever watched, Thanks @SNS

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 ปีที่แล้ว +5

    I love her , thank you Irene

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mama kafanana na Abby love mama Beautiful mama nachukua ushauri wako

  • @chidybebe452
    @chidybebe452 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama ajengewe sanamu posta

  • @anicyaedward6257
    @anicyaedward6257 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye simu na card tuko pamoja aswaaa....watu ngumu kuelewq ila mkijijengea kuwa honestly to each other...lazm you understand to each other ....ni vzr finance zenu mjuane

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 ปีที่แล้ว +1

    Ameelezea vizuri sana maana ya kuwa na mume ambae ni partner 😻

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +3

    Asante kamugisha

  • @joycejohn493
    @joycejohn493 ปีที่แล้ว +4

    Wow
    Wow
    Wow
    Thanks Much 🙏🙏🥳❤️

  • @devotaminga9352
    @devotaminga9352 ปีที่แล้ว +5

    Daaaaah!! Mama Abigail ni zaidi ya mama nimempenda bureeeeee📖🙏

  • @reginakirway3626
    @reginakirway3626 ปีที่แล้ว +14

    Wala jamani hawa viumbe hata upike na Malaika wa zamu bado tuu atakuchoka kikubwa aseme tuu alipata neema ya kumpata mtu aliyeelewana naye

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว

      Pointi

    • @mourinebey_kenya7027
      @mourinebey_kenya7027 ปีที่แล้ว +4

      Point kabisaaaa, ashukuru tu Mungu mana wakwenda ni wakwenda tu hata umpikiye gold 😂😂😂

    • @jescatebuye2287
      @jescatebuye2287 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa yeye amshukuru Mungu tu.

    • @GraciousNgoma-ds9pt
      @GraciousNgoma-ds9pt ปีที่แล้ว

      Basi watanga na wapemba wasingeachika

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว

      @@GraciousNgoma-ds9pt kabisa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni

  • @siasia5469
    @siasia5469 ปีที่แล้ว +2

    Nimejifunza mengi mungu awabariki

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 ปีที่แล้ว +2

    Mama Abby nimekupenda sana 🇺🇸

  • @claratemba44
    @claratemba44 ปีที่แล้ว +1

    Mama Abi nakupenda sana

  • @seiphomary834
    @seiphomary834 ปีที่แล้ว +1

    Hayo ndio maisha ya dini sasa ni fact tu 👊👊👊👊👊

  • @user-us6ze8bz3u
    @user-us6ze8bz3u 9 หลายเดือนก่อน

    Mama amejihifadhi vzr...tafadhali naomba pia muelekeze mtto wako ajihifadhi vzr....asipotee katika mziki..namoenda Abby sana..na mm ni shabiki wake mkubwa..wala sijasema kwa ubaya..mtto wa kike kujistiri ndio heshima kwake na kwa wazazi wake pia

  • @neemambotola1139
    @neemambotola1139 ปีที่แล้ว

    That is me kabisa jamani me hua nalia sana ,,muda mpka naumia kwa nini..kwann .. hata kosa lake,,ila hua naumia mimi huwezi amin nikiomba napata amani mpya najiona mimi ndo mkosaji kwamba why nimekasirika..why sikuangalia sababu

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 ปีที่แล้ว +1

    Mi nimempenda bure ❤😍

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +8

    Mbona kama kaja juu baada ya kuambiwa Abby kaachiwa duniani😂😂😂next tym msituletee wamama wenye watoto wanaojulikana coz they take things personal

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว +1

      Finally somebody saw something........ for those who know her personally we just here to enjoy the show🤣🤣🤣

    • @ashurakiswamba7085
      @ashurakiswamba7085 ปีที่แล้ว +1

      Lazima mtuuu atetee chakeee

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว

      @@neemayatosha1618 😆😆😆

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 ปีที่แล้ว +3

      Sio kweli wakati mwingine mama anaweza akawa vizuri na shetani anajua so anapiga watoto wasifanye vizuri kumdiscourage Huduma yake.ninamfahamu mama mmoja alikuwa mtumishi but bint yake alizalia nyumbani watoto wawili mpaka kanisani alikuwa alihubiri watu wanasema si ahubiri kwake Mungu mwema last time mtoto wake amepata mume wake na amefunga harusi.

    • @ashurakiswamba7085
      @ashurakiswamba7085 ปีที่แล้ว +1

      @@gracekenan4665 ndio unatakiwa usimalize maneno na haswa kwenye media chombo kinachoangaliwa au kinachosomwa na Dunia mzima maana km unasema shetani yupo anaweza kufanyajambo 8la binadam Hilo hawalijui kitachofata watakuambia hamna lolote sifa zimeishia wapi

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 ปีที่แล้ว +1

    Nimempenda sana hakuna hata neno ataongea bila kuweka NENO Maombi🙏🏾,Maombi ndio silaha yetu 🙏🏾.Ubarikiwe Mama🙏🏾

  • @chapter2719
    @chapter2719 ปีที่แล้ว +7

    Anzisheni kipindi cha kutufundisha kupanga meza na kupika kama anavosema huyu Mama

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 ปีที่แล้ว +4

    Real talk, with wise woman❤

  • @ludovicakimaro6464
    @ludovicakimaro6464 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mama!

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 ปีที่แล้ว +2

    Hao niwanaume wa zamani siaasasa wengine tunajitahidi kujenga ndoa zetu lakini wanaume wametushinda wallah minana myaka 23 nimeoleaa nikiwa namyaka kuminanane lakini nikijitahidi kujenga nashindwa kila nikijaribu kuvumilia lakini naona Kama vile naelekea kua single mother bila kupenda nimeomba nimechoka 😢😢😢

    • @glorycharles615
      @glorycharles615 ปีที่แล้ว

      Ndoa hazifanani kwasababu watu hawafanani pia ,

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 ปีที่แล้ว +5

    Mimi napenda ugali, ugali mtam bana japo hauna ladha 😉,kuhusu mama cham kuweka butter ktk ugali sishangai mimi mwenyewe hupenda kuweka olive oil ktk ugali na butter hupenda kuweka ktk viazi (mviringo)kila mtu ni jinsi anavyopenda kupika ❤

    • @twentyacresfarms3464
      @twentyacresfarms3464 ปีที่แล้ว

      Umenijumbusha nikiwa somalia natumia olive kwenye chapati hata mboga tu naweka na kula

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว

      Ni kwel kila mtu na staili yake ya upishi

    • @fatmakhalef3450
      @fatmakhalef3450 ปีที่แล้ว

      Siagi HATA Mimi naweka mwisho kabla yakuzima jiko

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi kizuri Mashallah, napata mafunzo hapa

  • @claratemba44
    @claratemba44 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @brysonmeena1086
    @brysonmeena1086 ปีที่แล้ว

    Kudos kwa mama Abby ❤❤❤

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 ปีที่แล้ว

    Kwakweli kama mkiishi hivi toka mwanzo na Mungu mkaweka ndye wa kwanza kwenye mipango yenu.

  • @DindaNaftal-bp3pm
    @DindaNaftal-bp3pm ปีที่แล้ว

    I'm blessed and nimejifunza mengi.

  • @blessedg871
    @blessedg871 ปีที่แล้ว

    Huyu mama yupo mbali na kweli ambayo ni neno la Mungu.

  • @asharamadhani8668
    @asharamadhani8668 ปีที่แล้ว +1

    Naomba umuombee, binti yako asiwe anavaa nguo ya kuonesha chupi. Niliona white 🩲 live bila chenga. Maombi mama tafadhali.

  • @tigalo2284
    @tigalo2284 ปีที่แล้ว

    Thinks have changed ..ebu mtuache sie ..tunajuana wewenyewe hayo mambo ..very difficult to apply

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว +2

    Be bless all

  • @jessicajoel6410
    @jessicajoel6410 ปีที่แล้ว

    this woman oooh 💖

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 ปีที่แล้ว

    Akuna muziki WA mungu na muziki WA shetani . Muziki ni mmbaya kama Una haribu culture AO tamadumi kama matusi violence ujambazi maneno

  • @user-wr4zu4un4s
    @user-wr4zu4un4s 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Kumbe ndoo maana Abby anaweza kujieleza hivyo una akili

  • @deboraezekiel784
    @deboraezekiel784 ปีที่แล้ว +1

    Mama unajua sana hapo kwenye dina set pressure cooker.

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 ปีที่แล้ว +4

    Akigeuka upande,amefanana na christina shusho

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mamama mungu anakuonaa😅duuh! Unajua kujiteteaa 😅Mimi nimemuelewa Sana mtangazaji yaani kakuuliza swali Ila duuh! Unajiteteaa mara ooh! Bikraa mara ooh! Hivii 😅😅khaa

  • @joycekasimbazi-pt3tq
    @joycekasimbazi-pt3tq ปีที่แล้ว +1

    Mimi pia nawapongeza wote mama na mtangazaji

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 ปีที่แล้ว +4

    Kungwi wa kitajirii🤣🤣

  • @roseminallymulljiy
    @roseminallymulljiy ปีที่แล้ว +1

    smart woman

  • @r_nbraidstz8183
    @r_nbraidstz8183 ปีที่แล้ว +4

    Jamani hii mada nimeip enda na nime share nawatu weng hasa wanandoa kunavyakujifunza

    • @deboraezekiel784
      @deboraezekiel784 ปีที่แล้ว

      Ulimuona anavojilegeza yani watu mnaropoka

  • @neemarwamugira1168
    @neemarwamugira1168 ปีที่แล้ว

    I have enjoyed the talk...mama ur 👍

  • @daudiisumail7854
    @daudiisumail7854 ปีที่แล้ว +1

    nimfurahia sana kipindi

  • @user-vv3bn6yc7g
    @user-vv3bn6yc7g 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani nimeamini kuna watu kazi hawazijui sio uongo, huku nilikopanga kuna nyumba ingine hapa aiseeee hata mtoto hakunyi chupi ake dada wa kazi anatendaaaa ni kula analala

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kuhusu vyombo nasemaga lazima nivitumie

  • @mariamnuru9939
    @mariamnuru9939 ปีที่แล้ว +1

    Uyo Alievaa white bwege kweli

  • @claratemba44
    @claratemba44 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi hat mimi sina wageni

  • @adyaalawy8764
    @adyaalawy8764 ปีที่แล้ว +3

    Its all about extras, small stuffs with big impact

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 ปีที่แล้ว

    Is true ndoa za siku hizi Ni material

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 ปีที่แล้ว

    Abby yuko vizuri sana

  • @carolinemusimbi9232
    @carolinemusimbi9232 ปีที่แล้ว +1

    Kafanana na mtoto wake

  • @rhobywerema6996
    @rhobywerema6996 ปีที่แล้ว +5

    Mama yangu ana miaka 36 kwenye ndoa na hamjui

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 ปีที่แล้ว +4

      Mi mwenyewe nna miaka 26 ya ndoa na nnakula bata nimetuliaaa maisha yanasonga na kila siku km ndo kwanza tumeowana jana alhamdulillah Allah aniepushie kila baya tuzikane..

    • @happymvula
      @happymvula ปีที่แล้ว

      @@shamsahaji6202 Hongeraaa

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      ​@@shamsahaji6202 hongera allah awadumishe umeolewa ukiwa na miaka mingap

  • @happierkomba9536
    @happierkomba9536 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤😊

  • @francinenahimana7289
    @francinenahimana7289 ปีที่แล้ว

    jamani na mungu pia siujanja mimi pia naishi kweny ndowa myaka 25

  • @mourinebey_kenya7027
    @mourinebey_kenya7027 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mama nimependa vitu vingi aliyvo viongea Bt hapo kwa kuwa mwanae ni BIKIRA ndo sijamuelewa Kwani huwa anamtia vidole kila siku akichunguza 😂😂😂😂😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว

      😆😆😆🏄🏽‍♀️🏄🏽‍♀️

    • @christinesulle5051
      @christinesulle5051 ปีที่แล้ว +1

      Jamani ni ukiwa rafiki wa mtoto wako anakuwa muwazi

  • @safihassan6170
    @safihassan6170 ปีที่แล้ว +1

    Nice one

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว +4

    Nikimkumbuka Abby Chams nakumbuka alivyokuwa anaelezea hatua za kupika ugali.
    "you then add a pinch of salt." 🤣🤣🤣🤣🤣
    Anyways, I love her music though!!!

  • @phinapatrick4993
    @phinapatrick4993 ปีที่แล้ว +1

    Uchumi tunatofautia jmn anafanya hayo mabadiliko kwa kuwa yupo vizuri

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 ปีที่แล้ว

    Nime fanya kilakitu hua ananijibu hata mammangu kanizaa kwauchhngu 😢😢😢😢😢

  • @eidkhan6024
    @eidkhan6024 ปีที่แล้ว +2

    Mamangu ana 40

  • @maitharobert6833
    @maitharobert6833 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ugali wangu sitaki uekwe chochote isipokuwa maji tu na unga, period

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 ปีที่แล้ว

    Mama Abby nimekukubali sana

  • @mrs2918
    @mrs2918 ปีที่แล้ว +3

    tuleteeni wauswazi wenzetu huyu atasababisha mengine yasio staili ila mafunzo yake yako byeee

    • @gracekenan4665
      @gracekenan4665 ปีที่แล้ว

      Wapo wakishua ambao wanafurahia ayo mafundisho na wenyewe wataboreka na hao waswahili...simjui mimi nimempenda

    • @mrs2918
      @mrs2918 ปีที่แล้ว

      @@gracekenan4665 ndio maana nikasema mafunzo yake yako byeee (mazuri)

  • @haskao77
    @haskao77 ปีที่แล้ว

    Vyombo vya wageni ni ujinga mkubwa. Vitu vyote vizuri tunatumia kila siku.

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 ปีที่แล้ว

    Kuna wengine wanakusimanga hadi unatamani kujinyonga na makasj…. Unabaki kulia kilio cha samaki

  • @zenamsilim8260
    @zenamsilim8260 ปีที่แล้ว

    Hahah, Umenifunda umenifunda .

  • @angellugendo3373
    @angellugendo3373 ปีที่แล้ว +1

    Ugali na blueband afu awezi kupika ugali ananivuruga mama

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 ปีที่แล้ว

    Mijanadume mengine hattttttaaaa uyafanyeje uyahendo vp uyaweke karibu vp itakusaliti to .. na hasa ukizaa ndio balaa Hawa baadhi ya wanaume siwasomi wala cna imani nao loh!

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว +2

    If ,"Sikiliza maneno yangu niachie matendo yangu was a person" 😅........za kuambiwa changanyeni na zenu jamani. Alafu ogopeni sana watu wanaomtaja taja Mungu.
    Mungu nifundishe kunyamaza.............

    • @annethsongwe6063
      @annethsongwe6063 ปีที่แล้ว

      Mmmh walimwengu

    • @happymilangasi5904
      @happymilangasi5904 ปีที่แล้ว +2

      Lol seems you know her personally . Mitandaoni bwana watu wote huwaga wema😀😀😀 haya wacha tusikilize maneno

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Ilo kweli

    • @neematemba2677
      @neematemba2677 ปีที่แล้ว

      Much know 😂😂

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว

      @happy milangasi She is such a manipulative and conniving person. Aliposema alimuamsha mwanae akamkalisha mezani hapo ndo kajielezea in a nut shell,the lady can lie aisee! Acha ninyamaze, but one thing for sure all will come into light one day........

  • @vanessaenock1337
    @vanessaenock1337 ปีที่แล้ว

    Mama nimekuelewa vizuri ila sasa😅😅iyo roho ya uvumilivu sina

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +4

    Mi pia sipendi ugali coz nikila usiku unaniletea ndoto mbaya. Ila pia nimeula sana utotoni jamani adi kitumbo kilikuwa kimevimbia juu kwa juu, nilikuwa shapeless! Kitumbo kule tako kulee😂😂😂

    • @violethtingo7703
      @violethtingo7703 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣 ety kitumbo kule

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂

    • @vailethmwashibanda2514
      @vailethmwashibanda2514 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว +1

      Watoto uwa wanavitambi sijui kwann 😆😆😆

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว

      @@nancyg8664 wanakula bila vipimo🤣🤣pia mahindi na mchele vinavimbisha matumbo hata ukubwani

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 ปีที่แล้ว

    Koffi olomide alituambiya watu wanasema eti muziki ya kidunia 😂😂😂 AO muziki ya shetani😂😂😂 muziki ni muziki . Tafauti NI maneno tuu watu wagospel NI ubaguzi wakuaribu muziki

  • @joyceharris2093
    @joyceharris2093 ปีที่แล้ว +4

    Wakati Abby anaulizwa anasema ajui hata kufua anatumia washing machine wakamuuliza ajui hata kufagia nyumba ajui kusonga ugali vitu anavyoongea ni tofauti na mwanaye alivyokuwa anasema ana confidence ila vitu vingine asemi ukweli. Unaelimsha watu wakati kwa wanao umeshindwa.😂

    • @teresiaisdory5117
      @teresiaisdory5117 ปีที่แล้ว +1

      Story tu hizi

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว +1

      Mi naona akikaa na kutulia uwa anajutia kwa mtoto wake kua hvo ila bas tu

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว +4

      Wacha atuelimishe bwana tuchukue kizur, kibaya tuache😅

    • @GraciousNgoma-ds9pt
      @GraciousNgoma-ds9pt ปีที่แล้ว +1

      @@nancyg8664 kabisa anajutia ila hapo anajifanya kufaliji ulimwengu
      Alishaona kuna nyimbo ya dini imefungiwa wapi
      Ila basata wanalia kila siku na muziki wa dunia hauna maadili
      Basi angemwanzishia nyimbo za dunia kama ni nzuri tangu utotoni
      Afu uyu mama hakuwa na hera ,kazipata ukubwani sasa zinamsumbua akili
      Huo uchii na viuono anvyokata mwanae ndiyo yanamfurahisha Mungu au ni machukizo
      Siku za mwisho watu watakuwa na macho hawaoni ,wanamaskio hawsikiii

    • @GraciousNgoma-ds9pt
      @GraciousNgoma-ds9pt ปีที่แล้ว

      Kiroho kinamuuma basi ndo maan kawa mkali

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji nakupenda lkn hii style ya nguo kushusha bega sijuindo unaonesha nini jihifadhi basi ..au kuwacha kifua wazi haipendezi kwa mtu mwenye kujiheshimu km ww kuweka maungo wazi.nakushauri kutoka moyoni ww kioo cha jamii .style nyengine waachie wasiojielewa.❤

  • @seneequamoyo6160
    @seneequamoyo6160 ปีที่แล้ว +3

    Lovely story ❤

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥👌

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 ปีที่แล้ว +2

    Baba alimuombea Abby na mavazi ya jana? Bila kumkanya lolote?😮