ABBY CHAMS ,AMPA MAKAVU GIGY MONEY ESHIMU MZAZI MWENZIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #bongo24 #harmonize #abby

ความคิดเห็น • 78

  • @skeeteranderson375
    @skeeteranderson375 ปีที่แล้ว +9

    Wanafikiri huyu mm ni mpumbavu she's very smart and discipline habwatuki mambo ya wa2

  • @alkamilalwafi3187
    @alkamilalwafi3187 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah shemsa ww mzuri sana sauti nzuri😊😊😊

  • @Lola-oj4dx
    @Lola-oj4dx ปีที่แล้ว +16

    Kichwa cha habari ni tofauti na Mtoto wa watu walichosema. Acheni ujinga

    • @speciosermusika2009
      @speciosermusika2009 ปีที่แล้ว +3

      Tena wamuache kabisa wana tafuta viewers kwa nguvu juu ya matumbo yao.

    • @maymbeyu5458
      @maymbeyu5458 ปีที่แล้ว

      Kisha washenzi sanaaa

    • @rehemashikeli961
      @rehemashikeli961 ปีที่แล้ว

      @@maymbeyu5458 Kimombo ndo imewapiga chenga......washenzi kabisaa

    • @rehemashikeli961
      @rehemashikeli961 ปีที่แล้ว

      @@maymbeyu5458 Yani wanaeza kukuzushia bonge moja la shuzi

  • @yusrakaonekayusra7634
    @yusrakaonekayusra7634 ปีที่แล้ว +23

    Gigy hana maadili bhana ,alafu akichukuliwa hatua anatafuta huruma ya wananch

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli ulicho sema . Ndio mana silipendi na midomo mikubwa gigy somzima 😅😅😅

    • @anahfrank3076
      @anahfrank3076 ปีที่แล้ว +5

      Kweli wanawake hatupendani sasa mtu kafuatwa nyumbani kwake kufanyiwa fujo

    • @hawasaid7151
      @hawasaid7151 ปีที่แล้ว +6

      ​@@anahfrank3076 Swala sio hatupendan ila kiuhalisia Gigy amezid kwel ana mdomo mchafu analopoka tu yeye sio wa kwanza kuwa Single mother wapo weng na wanalea wtt wao wenyewe mfano mzur mm binafsi nmekuwa bila uwepo wa babaangu lkn leo hii nmekuw na nna maisha yangu, kila mtu ana makosa yake lkn Anatakiwa akiyakoroga anywe mwenyewe sio atafute huruma ya kwa wananch

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 ปีที่แล้ว

      @@anahfrank3076 kwaiyo enge kutukania mama yako kuma yake ungefurai ?
      Akuna mtu hampendi gigy

    • @mayrose9772
      @mayrose9772 ปีที่แล้ว +2

      @@anahfrank3076 alienda kukamatwa fujo alixitaka mwenyewe

  • @haryvannymanasse7062
    @haryvannymanasse7062 ปีที่แล้ว +1

    mimi napenda nyimbo za abigail kweli inapendeza sana

  • @citynews5611
    @citynews5611 ปีที่แล้ว +8

    Hapo sasa ndugu waandishi wa habari ,tunaomba kingereza kiwe kwa uchache😅😅

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah pendeza mwenyewe ❤

  • @LeylaMgeni
    @LeylaMgeni ปีที่แล้ว

    Jamn I love this girl wow she is very talented and brave 👏 I wish I can meet her ❤

  • @suzzywaziri6882
    @suzzywaziri6882 ปีที่แล้ว +3

    Mtu hajasema chochote lakini mmmh bongos hapana🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @tiffahdevivah
      @tiffahdevivah ปีที่แล้ว

      Et jamn media zingine zifungwe tu hajaongea chochote kuhus gigy

    • @miracleemmanuel-qb4vf
      @miracleemmanuel-qb4vf ปีที่แล้ว +1

      Wabongo watengwe kwel🤗🤗

  • @aminamgendi5121
    @aminamgendi5121 ปีที่แล้ว +6

    Dada hao waandishi ukiongea kingereza kingi hawatoambulia chochote🤣🤣🤣

  • @user-gn3wd1us4b
    @user-gn3wd1us4b ปีที่แล้ว

    Napenda sauti ya chamz❤

  • @orgamsilu6249
    @orgamsilu6249 ปีที่แล้ว +2

    Hv abby chams hajuag kuongea taratibuuu hahahahaha

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว

      Iyo inaitwa rapid speech. Sio awa wanachomea maneno mawili alafu wanasikilizia

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 ปีที่แล้ว +1

    abby ni vanessa mdogo 😋😋😋

  • @user-gl8gr8qm5g
    @user-gl8gr8qm5g 6 หลายเดือนก่อน

    Binti kinge anakijua hata wakenya hawaoni ndani!!

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi wote wapigwe mawe ndio wachonganishi kichwa cha habari tofauti na yaliyomo

  • @agnesshonga7570
    @agnesshonga7570 ปีที่แล้ว +3

    Kafanana Christina Shusho

    • @Luscious6826
      @Luscious6826 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว +1

      Ndio kwel hata mama ake😅

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 ปีที่แล้ว +1

    Unaakili sana Binti yangu,swali la Gigi wewe sio mtu sahihi kueleza

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 ปีที่แล้ว +1

    Abby yupo vzr

  • @elizabethpatrick8774
    @elizabethpatrick8774 ปีที่แล้ว +1

    Kuna waandishi hapo hawaelewi kama Mimi apa wamekodoa macho tu 😄ngeli inatemwa uwiiii

    • @bongo24.
      @bongo24.  ปีที่แล้ว +1

      Yaani we acha tu 🙈🙈🙈

  • @jacklinejoseph439
    @jacklinejoseph439 ปีที่แล้ว +2

    Zaaa utelekezwe na baba mtoto anakula bata na mwanamke mwingine ndo utaelewq

  • @marykimbusu
    @marykimbusu ปีที่แล้ว

    Ivi abby hawez kuongea polepole

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 ปีที่แล้ว +2

    Ana akili sio kubwatuka kwenye mitandao mambo ya ndani ni kujidhalilisha tu.

  • @bulaloalindamtobesyaofficial
    @bulaloalindamtobesyaofficial ปีที่แล้ว

  • @user-gd8cx2ig9p
    @user-gd8cx2ig9p ปีที่แล้ว

    Mbona mama yako hajitambui, mwelimishe mama yako tafadhali, kumwita mtoto wa mwenzio takataka alikesea sana, tena anaweza kujitengenezea laana kwenye kizazi chake, hakuna mzazi anaebeba mimba ya takataka.

  • @zena6203
    @zena6203 ปีที่แล้ว

    Ongea polepolee eehhh

  • @deborahmaturu5698
    @deborahmaturu5698 ปีที่แล้ว

    Abigail hajawahi jibu swali Moja , anajibu mbwembwe balaaa

  • @JoramBarnaba-nk4pn
    @JoramBarnaba-nk4pn ปีที่แล้ว +3

    Kila mtu an alivoumbwa bhna wee kama unaekifua cha kukaa na mambo ni wewe wengine tusipoongea tunakufa so muacheni gigy

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว +2

    Tanzania jaman mtu akipngea kingeleza anajishauwa hivi mnajua nchi za watu kingeleza kinajulikana kam lugha yetu ya pili ukiachana na izo za mama na Baba wala azitambuliki ni muhimu pia kam una ndoto zakutoka Tanzania au kusafiri kingeleza ni muhimu

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว

      Wakumbushe wenyewe kingeleza ni kusikia uku kwetu shy vjj kiswahil unajisikia nilikuwa nawashangaa wasukuma wakiona unawasemsha kiswahil nikujingamba wanataka kisukuma bc kumbe ni tabia yetu wa tz

  • @FaizaSaid
    @FaizaSaid ปีที่แล้ว +4

    Alafu Abby kama mkenya ivi😂😂

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 ปีที่แล้ว

    Kwan huyu orgnarty yake ni wapi🤔

  • @user-oc5wy5ut5g
    @user-oc5wy5ut5g ปีที่แล้ว

    Huyu kwani si anatokea chambani pemba

  • @lulually5209
    @lulually5209 ปีที่แล้ว +2

    Halafu ongea kiswahili vzr wewe sio mzungu

    • @storytime1204
      @storytime1204 ปีที่แล้ว +3

      Amekulia nje ya nchi Tena Bora sahivi ana kiweza icho kiswahili

    • @hadijabungile2529
      @hadijabungile2529 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว +1

      @@storytime1204 ndio bora sahiv ila si unajua wabongo hatuna dogo

    • @ashurahaji4794
      @ashurahaji4794 ปีที่แล้ว

      Anajitahidi sana kuongea kishwahili alikuwa hawezi

  • @mikaelndimila4013
    @mikaelndimila4013 ปีที่แล้ว

    Mbona sasa mama yako ana tukana mtandaoni

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 ปีที่แล้ว +2

    Kwan huyu Abby Chams sio MTZ, mbona kama Anajishaua sanaa. Alafu hata simjui 😊

    • @emanuelmisqu4442
      @emanuelmisqu4442 ปีที่แล้ว +1

      Mchaga akijipta ndo ivi

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 ปีที่แล้ว +3

      Ajasomea tz nadhan ila hajishaui labda kama humjui kama ulivosema

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +4

      Anajishaua au kwa kuwa anaongea fluently English ( American English) she is intelligent girl 👧

    • @ashurahaji4794
      @ashurahaji4794 ปีที่แล้ว

      Hajakaa tz na hajasoma tz

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว

    Minapenda vile unaongea

  • @lulually5209
    @lulually5209 ปีที่แล้ว

    Ana kikomwe km rubby au ndugu yake hapo kakificha na wigi

  • @lulually5209
    @lulually5209 ปีที่แล้ว

    Shikamoo mekup hapo bila ya mekup mmm 🙄

    • @irenekenedygudu.8375
      @irenekenedygudu.8375 ปีที่แล้ว +5

      Abigail ni mzuri bila hata makeup acha wivu bhana😂

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 ปีที่แล้ว

    𝑵𝒊𝒄𝒆 𝒂𝒄𝒄𝒆𝒏𝒕❤❤

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 ปีที่แล้ว

    Kwan huyu orgnarty yake ni wapi🤔