MAKARAMA YA SAYYED OMAR BESMET

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 เม.ย. 2018
  • Share By
    Sleyum ALGHEITHY

ความคิดเห็น • 41

  • @user-ml8bg7su2b
    @user-ml8bg7su2b 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallwa Mashallwa Allah atujalie tuwe wachamungu tuwe na hushuu ktk ibada zetu.

  • @silimazdu1100
    @silimazdu1100 4 ปีที่แล้ว +1

    sheikh tunashukuru kwa historia za maulamaa kwa historia unazozitoa sikuwa kuzisikia popote unafanya kazi kubwa allah akulipe inshallah

  • @cesarustadh795
    @cesarustadh795 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu Abu ibra anaekejeli simulizi na mas'ala ya makarama ya assayyid umar bin sumeit na kudai eti ni upuzi,niko nae sambamba,kwenye reply mkiingia mtaona mazungumzo yetu,hapo mtamuelewa kumbe apinga kitu asokijua.

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 2 ปีที่แล้ว

    Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️✨

  • @cesarustadh795
    @cesarustadh795 5 ปีที่แล้ว +2

    اللهم اغفر وارحم لشيخ شيوخنا الحبيب العالم العلامة السيد عمر بن الحبيب العالم العلامة السيد أحمد بن أبي بكر بن سميط واسكنه في الجنة آمين

  • @dhiabmohammed4238
    @dhiabmohammed4238 5 ปีที่แล้ว +2

    Karama za mawalii

  • @iibrahimchende4957
    @iibrahimchende4957 2 ปีที่แล้ว

    Allah akbar

  • @azizihassan1613
    @azizihassan1613 11 หลายเดือนก่อน

    WALLAHU A'ALAMU BIMA YAQUL

  • @dhiabmohammed4238
    @dhiabmohammed4238 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @ochumido3223
    @ochumido3223 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @saidomar1408
    @saidomar1408 2 ปีที่แล้ว

    حفظه الله شيخ سعيد بن عمر بن بسمة

    • @MohamedAli-lj2zl
      @MohamedAli-lj2zl หลายเดือนก่อน

      سيد عمر بن سميط ***

  • @froma3732
    @froma3732 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh ni vizuri kuwaeleza mashekh wetu lkn haya mambo ya makarama sio wote wanoamini kuna watu bado majahil inatokea kuwatuka wazee wetu haya mambo yanataka elimu yaani kama kumambia mkwezi kuwa watu wanakwenda mwezini anajuwa yeye ndio mtu wa mwisho anofika juuu nafiki imeeleweka

  • @kenyayetoyeto
    @kenyayetoyeto 3 ปีที่แล้ว

    Abdul gadir Adnan ndugu yangu wacha kuwakwashifu watu na kutumia urongo hio yako ya kusema sheikh taimiya ni shetani na watu wamekula kenyesi chake umetowa wapi unayo kitu ya kuthibithisha maneno yako ujuwe siku moja utahesabiwa kwa kila neno tafauti zenu musifike mahala kuwatukana wengine

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 3 ปีที่แล้ว

    Mziki wa nini jaman siuongee pasi nasaut yahuo mziki

  • @dhiabmohammed4238
    @dhiabmohammed4238 5 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @alibinali1335
    @alibinali1335 2 ปีที่แล้ว +1

    Acheni upotoshaji.....

  • @kenyayetoyeto
    @kenyayetoyeto 3 ปีที่แล้ว

    Abu Ibra kama huna akili wala hutokuwa nayo pima maneno yako kabla hujafungua mdomo wako.

  • @omarmjombo1351
    @omarmjombo1351 4 ปีที่แล้ว +2

    alafu hii dini yetu pilau hili kila mtu aje na viung vyake kuviunga mashia na nyie masouf shirka moja Nyote mumenyimwa hidaya na Allah namuomba akuongowen

    • @abdulgadiradnan5028
      @abdulgadiradnan5028 3 ปีที่แล้ว

      Nyinyi mbwa wa waengereza na vibaraka wao.

    • @omarmjombo1351
      @omarmjombo1351 3 ปีที่แล้ว

      matus hayajeng tafuta hoja ya kukanush madai yang na wala haitabadilik wew weka katka akil yako t ati hapa pana mtume pembn Abubakar na Omar ati wanaruka na kuimba zikr hata akilin haingii seuze ktka dini inayotegemea kila kitu dalili mnfel hii din kila ibada ina dalili tafta dalil ya ibada yoyot y masouf kma utakut n uchaw t.

  • @omarjailan4598
    @omarjailan4598 6 ปีที่แล้ว

    shekh unapatikana wapi

  • @thukha5052
    @thukha5052 4 ปีที่แล้ว

    shekh wangu endelea kutuwaiz me na subscribe sana chanal yako

  • @cesarustadh795
    @cesarustadh795 5 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka sasa maskini Abu ibra ameshindwa kujibu na kufahamu maana ya neno makarama aloyaita eti ni upuzi huku akidai eti maswahaba hawakuwa na makarama,kauli zake hizi za ajabu ajabu za onesha wazi akejeli na kupinga asilolijua na kama ni uongo mfwateni kwenye reply mtamuona hana la kujibu wala hajitambui,kinacho udhi zaidi na ndio imenisababisha kumjibu kwa njia hii ni kukejeli jambo hasilolijua khaswa kwa mwanachuoni ya pili ni kujidai kuwa ni mfwataji wa quran na hadithi na wanavyuoni maarufu duniani na vyuo vikuu vya kiisilamu.nimemuuliza ni aya hipi au hadithi hipi au mwanachuoni yupi katika hao anayesema maarufu ulimwenguni hata mmoja amtaje au chuo cha kiisilamu ambapo kunapingwa kuwepo na karama ?hakuweza kujibu.

    • @fundibombazanzbar5717
      @fundibombazanzbar5717 5 ปีที่แล้ว

      Nimetoka kutzama mawaidha ya abdrog ila comment yako ndo ilinifanya nimfatlie sheikh Ahmed bin sumet ila nahuku nimekukuta mungu akzdshie

    • @kababayeemc6714
      @kababayeemc6714 4 ปีที่แล้ว

      Achana nae mpuuzi tu huyo atakua ni kafiri coz makafiri nao cku hizi wanasoma quran cesar Ustadh Allah akubarik

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 3 ปีที่แล้ว

      Seyyid Omar bin Khattab RA alikuwa na karama na hadith sahih zipo. Mara nyingi mtu ambaye hajui huwa mbishi badala aulize afahamishwe au afanye uchunguzi

  • @cesarustadh795
    @cesarustadh795 5 ปีที่แล้ว +1

    فعار ثم عار لحسود أبي إبر(ABU IBRA) من حيث أنه يجحد الكرامات و في نفس الوقت لا يدري ما ذا تعني هذه العبارة!؟ومن العجب أن ينكر الشخص ما لا معرفة له ما هو بحقيقته! ثم يدعى أنه من أهل العلم وليس له علاقة بالعلم والمعرفة،ويظهر هذا في مراسلاته معي وسيشهد ذلك المشاهدون أجوبتنا له،مع شتمه وقلة فهمه في معلومات الدينية.فنسأل الله أن يهديه ويرزقه فهما حتى يعلم ما يعجزه فهمه.

  • @omarmjombo1351
    @omarmjombo1351 4 ปีที่แล้ว +2

    mwatuambia uongo mtume alichanganywa na pazia lilokaa mbele yake wakat anaswal kwakua lina michoro ijekua kikaragos huyo mziki saut ya bilis haimshtui nawap pole walio swalishwa na huyo mchaw

    • @naswidiaabdulkarim5005
      @naswidiaabdulkarim5005 3 ปีที่แล้ว

      Subhaana llan allah akusamehe

    • @alibinali1335
      @alibinali1335 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtihan sana hawa watu... Kwanza hakuna anaewajua mawalii wa Allah ni mambo ya ghaibu.... Wanawapa vyeo walimu wao mpaka wanakufuru

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 ปีที่แล้ว

      Shika adabu yako we ndo kikaragos uliopotweza ukapotea

  • @saidalumuli4938
    @saidalumuli4938 6 ปีที่แล้ว +2

    Shia siyo muislamu wewe unaetoa historia hii soma dini kwanza acha habari za kubahatusha.

    • @abuibra
      @abuibra 5 ปีที่แล้ว +1

      Said A Lumuli :KWELI SHIA SIO WAISLAMU WANAFIQ .NAHUYU MJINGA ANATOA HISTORY ZA KIJINGA KUSINGIZIA WATU AMBAO WAMESHAFARIKI.

    • @iddimasika1173
      @iddimasika1173 ปีที่แล้ว

      Ndugu yng omar mjombo naomba utambue km mitume wao walikuwa hawana makarama bali wao walipewa miujiza kw hio makarama hupewa mawaliii wa Allah na masharifu wake

  • @mashimashi8283
    @mashimashi8283 4 ปีที่แล้ว

    Mimi nakubaliana na wewe kama pesa ya komoro ina picha yake kwa nn tusiamiani alikuja tanga kufungua marikazi kubwa ya tamta

  • @cesarustadh795
    @cesarustadh795 5 ปีที่แล้ว

    ما لك ABU IBRA؟ يطلب منك أن تأتي بأجوبة عما سألت تذكر الجامعات!هذه الجامعات لا تهمنا الآن ولا تتعلق بالموضوع الذي نحن فيه.فعار ثم عار عليك يا أبي إبراهيم ABU IBRA! ما لك و جزيرة لامو و بلد منبع الرو (ممبروي)؟اترك الغمط والحسد!إن كنت من المتخرجين في أزهر الشريف أو جامعة الملك محمد بن سعود الإسلامية فأت و لو بالربع من معلوماتك من هذه الجامعات التي ذكرت لنا.