Dakika 12 za Fatma Karume Kuhusu Miaka 30 ya Mfumo wa Demokrasia na Vyama Vingi Tanzania.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Wakili Fatma Karume amezungumza katika Kongamano la kujadili Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma iliyofanyika tarehe 31. 07.2022 Dsm
    #FatmaKarume
    #demokrasi #democracy

ความคิดเห็น • 15

  • @francodesus9519
    @francodesus9519 2 ปีที่แล้ว +1

    Good speech and well articulated from my learned senior Fatma

  • @paul1985ization
    @paul1985ization 2 ปีที่แล้ว

    Aiseee!. Ubarikiwe sana shangazi

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว

    Hayo unayopngea ni formality. Lakini practically siyo kwli kabisa. Kwenye nchi yoyote Ile serikali Mara nyingi ndo iko juuu.

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 ปีที่แล้ว

    Good clipped English, overfed, pampered hen.

  • @stevengmalangalila-rc1wg
    @stevengmalangalila-rc1wg ปีที่แล้ว

    Unaakili lakini huzitumii vizuri mama watu Wana shida lakini mzunazungumzia mambo ya ajabu wakati wote tumechoka sana hospitari zinatutesa dawa hakuna sisi ni maskini ulaya kuna wajaribu sana

  • @emmanuelnjebele2226
    @emmanuelnjebele2226 2 ปีที่แล้ว

    Haki hamna

  • @fredlugome7952
    @fredlugome7952 6 หลายเดือนก่อน

    Tunguleee😂😂

  • @power.truckxd9957
    @power.truckxd9957 ปีที่แล้ว

    We fatma hata utoe point gani tunakuona fala tu unatetea mashoga

  • @mussashamis3301
    @mussashamis3301 2 ปีที่แล้ว

    Shangaz mugu akuweke ututetee watanzania

  • @stevengmalangalila-rc1wg
    @stevengmalangalila-rc1wg ปีที่แล้ว

    Mkisha soma ulaya mnadhani afrika ni ulaya mnatukosea sana sisi ni waafrika nimepoteza bando langu sijapata kitu hapa mama😂😂😂😂😂😂

  • @davidkangulu862
    @davidkangulu862 ปีที่แล้ว

    Magufuli alikuwa anatupeleka jehanamu

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm ปีที่แล้ว

      Bahati nzuri katangulie yeye kuzimu. Mungu wetu ni mwema sana. Tunakushukuru sana Bwana Mungu kwa kutuondoshea lile jinamizi.

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 ปีที่แล้ว

    Hotuba Murua kabisa.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว

    No longer trust her whatever she say but on my capacity of understand her on gay difend in Africa land in sosayat l am disappoint although she is the loyer on difend guy l disagree with her