Hahahhahaaaaaaaaaaaaaaa hakika anko Jay unajua kuchekesha watu sikisikilizaga tu simulizi zako uwa nacheka tu na ninakuwa na furaha kutoka moyon simulizi zako ziko moto na ni nzuri sana nikipata pesa nitakutafuta ili nikuone tu live sijawahi kucoment zaid ya kusikilizaga tu jaman jaman naombeni like zenu kwani ninawapenda watu wote mnaosikiliza simulizi za anko jay
Wow my lovely Lissa mwala your back again I appreciate your job be blessed my dear 🙏🙏💋💋💞💞,,wacha nimsikilize maisha ya shamba boy km ameyatindiganya maana hao mashamba boy jmn wana mengi tuu ila kwa mengine wanahusishwa
Daaaah Lissa Mwala hujawah kukosea kiukweli story zako zote ziko p aiseee 😘🥰 bt anko j nae ni msimuliaji wetu pendwa kabisa hujawah kukosea unavionjo xaan anko j na pia tunainjoy na sauti yako ✌️🥰🙏
Ameleta ingine wakati ile hajakamilisha ya Dr Mayra. Mbona kero kwa wasikilizaji wake, Jamani huyu Lissa Mwalla ni mtunzi bora sana namkubali sana, halafu vipande vyake virefu twafurahi sana, tatizo ameanza maringo hatoi kwa wakati,Dr Maila part two hajaileta huku YouTobe.kabla sijaifungua nasoma comment,. kama itabaki kiporo cha kuitafuta kule kwingine, naacha kuifungua, maana ni uharibifu wa BANDO
Jamn tunaomba doctor Mayra sehem ya pili mbona mnakuwa hamna huruma inamaana gani sasa kutupa hadithi nusu alafu nyingne hamjatumalizia tujifunze nin sasa hapo jamn tuoneeni huruma
Nimeipenda sanaa shamba boy story, ni funzo jwa wengi❤
ila shamba boy we hapanaa🙌🙌jamanii😂😂😂😂😂😂😂dunia imekufunza shenzii😂😂😂
Fantastic 💯💥❤️🔥👍
❤❤❤ from Canada story nzuri
Bp
Hahahhahaaaaaaaaaaaaaaa hakika anko Jay unajua kuchekesha watu sikisikilizaga tu simulizi zako uwa nacheka tu na ninakuwa na furaha kutoka moyon simulizi zako ziko moto na ni nzuri sana nikipata pesa nitakutafuta ili nikuone tu live sijawahi kucoment zaid ya kusikilizaga tu jaman jaman naombeni like zenu kwani ninawapenda watu wote mnaosikiliza simulizi za anko jay
Hongera ngosha kwa mafanikio asante anko j kwa simulizi nzuri ya mafunzo
Story nzuri mafunzo jamani wow 🙂♥️♥️♥️
Heko anko jay kwa kazi safi ya kutuletea burudani tele na yenye mafunzo tele hongera pia LISSA MWALA nakufulia kofia kwa kazi yeko safi
Ila usaliti mbaya sana
ASANTE SANA Anko Jey kwa simulizi zuri sana piya nimejifunza uvumilivu kwa dada Vanessa 🙏 🥰🥰😍🥰🥰😍😍
Simurizi nitamu Sana
Anko J …… tuleteeni Dr Mayra musituchezee roho yakheeee
Nice story...Good work unco.
Mmmh,mchii huo Carina eeeeh
Anko jey tunakupenda sana kwa ajili ya ALLAH mungu azidi kuwalinda muendelee kutufundisha Zaid
Nmeipenda saut jaman❤
Nyie simulizi nzuri saaaana
👍shkran anko jay kwa 🔥🔥🔥mkaliiii tunakusikiliza
Wow my lovely Lissa mwala your back again I appreciate your job be blessed my dear 🙏🙏💋💋💞💞,,wacha nimsikilize maisha ya shamba boy km ameyatindiganya maana hao mashamba boy jmn wana mengi tuu ila kwa mengine wanahusishwa
Hiii simuliz sio poa
Asnt anko jay
Mmmmmmh? Alikuw na mapep nn?
Nzuri
Good hapo utamu kolea lisa jay full burudani
Napenda Sana cmuliz zako ankj Allah akuweke
Hakiaka
Sema me natamank ningekua nawaona hawa watu kwenye hii story nione wanafananaje😊
Umeakoroga ilamwisho umekuwa mzuli dhaa adi laha ❤
ANKO JAY wetu ❤️❤️❤️❤️mung akupe kila la kher
Wa kwanzaa jamani so excited ❤
Kweli usilolijua ni km usiku wa giza Nene na majuto siku zote ni mjukuu na ktk maisha ya hapa dunian usikate tamaa na msaada wetu pekee ni mungu
Ila anko jay huwa wanichekesha sanaa eti akuuu mbavu huwa cna
😂😂😂😂😂😂
Asnt lissa mwalla!! ila tunakudai dr mayraa ngoja niskilze badae nitacoment anko j tulikummiss!!!
Ila shamba boy nae alikua anapenda mizigo🤣🤣dah hatari bt we need dr mayra part 2 jmn lissa
Lissa tena woow tulikumiss asante sana smix,anko j pamoja na Lissa mwala
oy unasifia sawa tendo mpk napga nyeto
🤣🤣🤣
Hatimae kibao kipya cha shamba boy ,,haya wacha nitege sikio niskilize kwanza alafu nitarudi kucomment baadae ..one love mwandishi lissa mwala
Hako kajama sikataenda kuanza kulala nao.
Kana tamaa za kimwili sana😮
Napenda ukisema loooo nainjoisana
maisha malefu kwako anko jay like hapo kama unapenda
Asante anko j mwisho nimzuri sana
VIP. Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes
Vanessa ni mwanamke speshor. Wapo wachache mno hawa watu. ❤
Aa..jamani ankojay unataka kutuvunja mbavu unachelesha sana, ila tunajufunza Mambo mengi sana.. thank you 💕
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kweli nimecheka kwa sauti
Mmh poa
Sijachelewa sana wapi likes zasisi wakupitia comments be4 tuanze kuskiza
Wow nice ❤
Jamani doctor mayla tunasubilia hadi tunachoka sasa❤❤❤❤
Asante anko jay
Simuliz kumbe ni ya lisa
Daaaah Lissa Mwala hujawah kukosea kiukweli story zako zote ziko p aiseee 😘🥰 bt anko j nae ni msimuliaji wetu pendwa kabisa hujawah kukosea unavionjo xaan anko j na pia tunainjoy na sauti yako ✌️🥰🙏
Story ZA Lisa na uncle Jay ni romantic sana
Nzuri Sana
Simuliz Kali kweli🤔🤔🤔
Anko jay kiporo chetu cha dr mayra
Uuuu janet agafanyaj?
😂😂😂😂😂😂 ndo nakupanda ure tu ❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nauku nipo jAman❤❤❤
Tunataka doctor Mayra part 2
asantesana simulizi nzuli yenye mafunzo
Ahise uyu jama ni noma kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤
Hongereni simulizi nzuri na yamavunzo sana
Jamani ancle jay ....una burudani haswaa
Nice one
Hadithi tamu mno asante simulizi Mix
Dr mayla vp jamani sehem ya pili
Story tamu mpaka hapo pa wazungu ku adapt mtu wa zaidi ya miaka 18. Hapo kichaka
Shamba boy ukweli kaka
Wa pili leo mie
Nimejifunza maisha hubadilika
Huyu jamaa mzinziiii vibaya sna
Saidia huyo mtu Jackson 😂😂😂
Tunasubiri doctor mayra mbona imechelewa sana anko Jay
Nice story
Kaka nakukubali sani
Usijaribu kumsaliti mkeo au mumeo.😢
jamn wanaume wanaume muogopeni mola weni
Asanteni Sana ako Jay nawezangu Kwa simulizi tamu
Woooo 👏👏👏👏👏😍😍😍
Huy Dayana ndo kitot cha elf mbili😂😂😂
Shamba boy Anaboa 😏😏😏 hata Dani vitumbua ana Afadhari
Kama marehem tena 😂😂😂😂😂😂 weee utatuuwa n kicheko haki 😂😂😂😂
Hadi nimelia jamani dadaaaaa
Doctor malya 2 jamanj missi sana
Wa kwanza leo
yan hii ingemkuta mwenda felix sipat picha☝️
Aki nmependa story zako 😊🎉😊
anko jay we mkaliiii
Jaman lissa tunaomba doctor mayra muendelezo😢😢😢😢
Kweli jmn tunavo itafuta kuona kama mmeweka
.
Ameleta ingine wakati ile hajakamilisha ya Dr Mayra. Mbona kero kwa wasikilizaji wake, Jamani huyu Lissa Mwalla ni mtunzi bora sana namkubali sana, halafu vipande vyake virefu twafurahi sana, tatizo ameanza maringo hatoi kwa wakati,Dr Maila part two hajaileta huku YouTobe.kabla sijaifungua nasoma comment,. kama itabaki kiporo cha kuitafuta kule kwingine, naacha kuifungua, maana ni uharibifu wa BANDO
Nilikua Nasubili kwaham sana mana nashindwa kusikiliza sim liz zingine naona kama hawajuikusimulia
Wewe kama mini😊
Haaaaa weee kijana hatari 😂😂😂😂😂😂😂
Malehemu jamani❤❤
Asante kwamafunzo yenusimlizi mx
Story safi😂 sana
story ni tamu mbaya
Uchi mbovu na amesha unyanduwa😂😂 kweli kaka huyu anakera
Maisha ya hiv hapana wanaume
Huu ndo udhaifu wa wanaumee hata km atapata mwanamkee mzur lkn haridhiki
Chezea mdigo weye
😂😂😂 nimechka kimwii cha marehem
Wana ume hawa 😢😢 duh
Jamn tunaomba doctor Mayra sehem ya pili mbona mnakuwa hamna huruma inamaana gani sasa kutupa hadithi nusu alafu nyingne hamjatumalizia tujifunze nin sasa hapo jamn tuoneeni huruma
Naipenda san iyo kbs