"Sikuja kuuza sura nilipendwa na mke wangu inatosha"- Rais Magufuli
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli leo Jumanne ya October 3 2017 alikuwa katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere (JNICC) na kuhutubia katika uzinduzi wa mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa.
"Nafuu nizikwe kaburini lakini ukweli niuseme" Ohhhhhhh Baba.... Rest in eternal peace our Hero, Legend, Fighter. 🙏
True ❤️😭😭😭
Walishindwa kumshambulia akiwa hai,Sasa wanamshambulua akiwa kaburini, Jamani ,hawa Ni machizi,,
@@rahmarajab3688 eti jamani..huo ni umama
Duh rest in peace ctakuxahau milele na nakupnda na ntakupenda daima
Huyu baba aiseee acha tu mungu ampumzishe alikuwa ni mkweli na muwazi alijitoa uhai wake kwa ajili yetu R.I.P kamanda wetu
Jamani raisi wetu nimeipenda hii "unaishika shika hyo hela ni yakoo"R.I.P dadyoo but tujuane tulokuja baada ya msiba ,,Mungu wangu mpe pepo raisi wetu amiin
RIP mwamba hakika ulkuw mzalendo wa kweli
Aliye muona JPM Akiongea kwa uhakika, ukweli na uwazi na bila kumuogopa mtu gonga like twende pamoja 😁😁😁😁😁
Kweli
R.i.p
p tutamkumbuka kwamaneno yake
😂😂😂😂
duhh mungu wewe ndio unajua wakutuchagulia mwengine aje kufanana na jpm
Umeongea kwa uchungu mzito Sana, umechukulia tz kama familia yako, Mungu akulinde na akupe maisha marefu
Mungu wetu tuhurumie R.I.P BABA YANGU.
😭😭😭😭
RIP
Hapo kwenye maisha marefu😭😭😭😭😭😭😭
@@emmysam1510 😭😭😭
Alifanya kazi bila kupumzika!! Alijitoa kwa ajili ya watanzania..
Ambae hakuliona hilo ana matatizo..
RIP JPM..SHUJAA WA TANZANIA..
MZALENDO NAMBA MOJA.😍😍😍😭
Kwel kabisaa
I cant stop crying kweli baba umekufa kweli!!!
Mke wangu ananipendas. Kali sani my man. I loved you Sir from Kenya. I cannot stop shedding tears for loosing my guy. RIP Sir.
😭😭😭😭
Mafisadi,marafiki wa mafisadi,na wanatumia vijana wetu kuivuruga nchi yetu kwa kupewa ahadi na mabeberu kuwapatia maisha ya starehe na walikwama,wanafiki,wakati vijana wakitekeleza maagizo yao wao hukimbilua kwa mabwana zao,na vijana wanajikuta wakivunja sheria bila kuelewa wanamfanyia kazi Nani, Kamanda alisema,,,"Vita ya uchumi Ni ngumu Sana"Mabeberu wanawatumia Wananchi wachache wenye uchu,wa utajiri kuiuza nchi yetu,kutokana na misingi iliowekwa na wazee wetu,hawataweza,watabaki kuwatukana viongozi, chuki,Mara leo Ubelgiji,Ujernan,Na Nchi mabwana zao walipo,
Mungu atusimamie,D g Amira zao zishindwe,Nchi yetu ibaki salama
Maurice Omolo I wish our prezzo angekua givi aki still shading tears too
Leo hii wa2 wanamzushia kuwa alikuwa mwizi dah! R.IP jembe
Dah MAGUFULI Tutakukumbuka Daima. Wazi walioiba TANZANIA 🇹🇿 NA AFRICA miaka nyingi wasingeli kupenda Kweli. Lakini Watanzania na Africa Nzima Tutakupenda siku zote katika Roho zetu Utabaki Daima❤️😭
Rais wetu magufuli msema ukweli mtetezi wa tanzania shujaa wa Afrika asieogopa mtu
Jasiri aliyejitoa kwa ajili yetu 🤔😭🤔🤔🤔😭😭😭🤔😭😭😭
Gona mpheho Tate.
Magufuli msukuma uliyesukuma maendeleo ya RAIA wako. Umemaliza kazi mjomba
jaman tumepoteza bonge la mzalendo bb yetu jaman upumzike bb kwa aman sitokusahau mpaka mwisho wa maisha yangu mm
"Heri nizikwe kaburini lakini ukweli niuseme". Very deep. The best President that ever lived!! Poleni sana watanzania love from 🇰🇪
😭😭😭😭😭😭duuuuuuh yaan nimeumia sana kusikia ivo
Deep 💯💔
Tunashukuru Huyu bwana Mungu atampa pepo kwa aliyotufanyia watanzania
"si nafuu nizikwe kaburuni Lakini watanzania wajue ukweli", "sikuja kuuza sura nilishapendwa na mke wangu inatosha", 💔💔💔💔💔😭😭😭rest in perfect peace great man we love you so much from Kenya.
Na mzungu moja akesemaaa...,..people with ideas do survive in power;they don't get a chance and if they do...they don't stay for long...many are eliminated... It's so easy speaking the truth than justfying lies... RIP son of Africa...
Very true
This is the man sent from the heavens. from PARADIZE. God is our strength...You left us but your spirit will live in us forever and ever. AMEN!
I can't stop watching every bit of the most wonderful , God fearing man , whose time ended at the time TZ needed them most . Rest in peace and am kenyan but I feel the pain we go under incompetent leaders . We come poor becoz our own steal from us . U r the legend Magafuli , u will live in many hearts
Our leaders are the one entertain this shit ila kwa JPM alikataa unafki huo AMJALIE ALLAH kwa alicho taka kwa wananchi wake
True...African we lack leaders who will fight for us and say enough is enough
Really
Kweli uliyatoa maisha yako sadaka kwasababu yetu watanzania na waafrika hakika tutakukumbuka daima Rais wetu mpendwa
This speech is historic...It will come to bear itself fully years to come...just like Thomas Sankara speeches
He's dead Jamaniiiii 😢
I'm here too! Because I remembered his Speech! Too sad. He's no Longer with us 😪
Ooh yaaas this is the time! Thomas Sankara of our time
JPM was a rare African gene. He was a replica of Gen. Thomas Sankara. Tanzania and Africa in general will miss his political philosophy which was pro social justice. RIP the Bulldozer
His excellence Dr John p Magufuli,,,, utaishi ndani ya mioyo Yetu siku zote, Tunamuomba Mwenyezi MUNGU aipokee Roho yako.May your soul rest in eternal power Sir.
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Langu ni moja tuu tunakukumbuka daima milele. you will be always my choice (jpm your the best preside never seen before. Dear God bless JPM.
mambo do hayo tuyasubili kwa rais wetu
Hakuna Rais mjinga kama Magufuli. Unaruhusu watu wanywe pombe ya gongo basi ruhusu watu wale mirungi na wavute Bangi. CCM hawapendi kabisa watoto wa masikini wabadilike. Rais wa nchi unaruhusu ujinga.
RIP Magufuli
@@charleskazimoto6968👎👎👎👎👎🤬🤬🤬🤬🥶🥶🥶👎👎👎😬😬😬😬😬😬😬😬😬
this speech is iconic.... Tanzanians are very very lucky to have this true leader
Oh my God!! I miss you even so much more!!! CRY AFRICAAAAA!!😭😭😭😭The way Magufuli describes old Tanzania portraits the entire continent of Africa and how its getting exploited!! Magufuli will remain my.hero of all time!! Fighting corruption is not an easy task because you are also risking your life and he chose to do it for the well being of his people..Tanzanians, please don't let him down!! Baba wa Africa Magufuli, R.I.P always!!🙏🏽❤🙏🏽❤
worry out, jpm planted a sead in the hearts of tanzanians and shown how a president should be and act, one day africa especially tanzania will get some one who is now preparing to be the future jpm, he will do great and the great of all century. Trust me.😥😥r.i.p jpm
@@taifawilfred5863 t
@@taifawilfred5863 D
Dah Leo haupo Duniani mungu akubariki sana
watanzania tumpigie magoti Mwenyezi Mungu atupe Magufuli Mwingine. RIP Magu a true son of Tanzania
A great and iconic son of Africa - such a breath of fresh air. Praying for his family and the great people of Tanzania. What a loss!!!
We are in inexplicable pain 💔
A wise man,A real leader,a brave,a truth man,man of God, R.I.P,
Mungu akupe kauri thabiti rais wetu tutakumbuka daima 😭😭😭💔💔
Tutakkumbuka bava
R I P John pombe maguli ulisema tutakuja kukumbuka ni kweli tumeshaanza kumiss hotuba zako za kila siku na purukushani za hapa na pale hakika bado tulikua tunakuitaji sana lakin ndo bas mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Amen.
Watanzania, tusijisahaulishe haya aliyoyaweka wazi Magufuli. Ni Magufuli tu anaweza sema haya hadharani. Najua kuna baadhi yetu tunabeza jitihada za kiongozi huyu. He really deserves to lead forever. God bless you Mr Magufuli. I love you beyond
In Magufuli we have a presdent... we need to fully support him!
Shime vijana tumsupport raisi wetu anapiga kazi hakuna km Magufuli
Ama hakika mtu awez kuiongoza nchi effectivelly kama uja soma sayance,,,,,,,,,,,,,mugu ni hatari amdanganyi mtu
UBARIKIWE SANA RAHISI WETU JPM MUNGU AKULINDE WEWE NAFAMILIYAKO
Watamzania Tunakupenda Asiye kupenda nimwizi huyo
Sad kuona amefariki tukiwa twamuhitaji.
nimekuelewa sana rais wetu jpm allah azid kukupa afya njema pia maisha malefu
Lord I pray that you give me the courage and wisdom of Magufuli
Real patriot ...He loved Tanzania...let tanzania get another good patriotic leader like him...🇰🇪
He was speaking the truth all the time .....he was not fearfull where can we get another prominent leader , chrismatic and generous leader love you forever you made it though you are not with us but your words will always stay in our hearts Amen
Rais mchapa kazi toka Chato! A jewel indeed! Mlinda rasilmali ya Tz! Hoyeeee!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Njo Whatsapp 0789449229
Ulijitoa kwaajili yetu baba 😭😭😭😭😭😥😥😥😥😥rest in peace jemedari wetu,hakika umekufa kishujaa baba yetu ulipenda Tanzania kama nchi yako.
Nafurahia sana jinsi mungu anavyo jibu maombi yangu mana kitambo enzi za uwaziri namuomba mungu uje kua raisi.my dream came true.
Bashir Ndyanabo be careful what you wish for
so...?
hongera
Bashir Ndyanabo. nikweli kaka nilivutiwa sana enzi za uwaziri wake na alipochkuatu fom. nikamwomba mungu atuangazie mtu huyo namshkuru mungu kwa kusikiliza kilio cha watanzania sasa magufuli anatenda miujiza anafanya Tales yaliyoshindikana ashukuriwe mungu ampe Rais wetu kipenzi maisha marefu
Ubarikiwe mzee
Kwel kabisa rais wetu tunaiman unauchungu na tz na umejitoa mhanga tunaomba mungu akulinde kabisaaa
DAAH NANI ANANGALIA BAADA YA KIFO CHAKE 🙄 ACOMMENT TWENDE TUSEME R.I.P😭🙄🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nikohapa nalia tu sinalakufanya 😭😭😭💔💔
R I p
ACHA TULIE MILELE
MWAMBA UMEVUNJIKA
😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭 you will always be our leader.Thank you for your life na kwa kipindi ulichokitawala
Wanaofurahia Kifo hiki,Ni wasaliti wa nchi ambao walishirikiana na mabeberu kuihujumu nch I, Kamanda alivyo wafungia mlango wamemjengea chuki, MUNGU awachukulue hatua kali!!!! Mungu amlaze Magufuli mahala pema Peponi,
Aamin
Ninamfahamu Mtanzania mwenzangu anaishi Sweden ambayo amefurahia kifo cha Rais wetu, Hatuwezi kuwa maraki tena.
"I didn't come to sell my image, I was loved by my wife, it's enough" John Pombe Magufuli.
Well said waaa.
Nimecheka jmn unaishikashika niyako😄😄😄😄😄😭😭😭🤲
@@ynkhamis4758 ya JPM hiyo mjomba 😊
💔💔💔💔💔💔😥😥
@@ynkhamis4758mimi mkenya nilimpenda sana, Jasiri sana. Jameni tumempoteza, ya Mungu hayana Maswali
This guy was so sharp...great mind....real african icon...
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
Tutakukumbuka daima
Amina
The true patriot.may the almighty God bless him and give him strength to lead us to a prosperous life.
R.I.P JPM
One of the greatest speech of JPM
Mzee utaendelea ishii ndani ya mioyo ya watanzania
May you live 200 years to save Tanzania people. You're Mose's .Susan Nairobi Kenya
Mungu akupe nguvu na ulinzi nami ningekuwa na uwezo ungekuwa madarakani miaka 20na zaid
Amefariki 😭😭😭😭can you believe this😭😭😭😭
@@lilianestephanie7881 So painful 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ameenda aki mkombozi wa wanyonge
AMEENDA KWA MAKAO BORA ZAIDI
Ooooh my dear God😭😭😭😢😢why why why? Eeeh Mungu ww unachukua vilivyovyema😭😭😢kwa nn? Daaaah so painful may our God forgive you our helo Mr.President 🙏 rest in Paradise Mr.President JPM😭😢🙏
😭😭
From oman and I say Tz will transform rapidly with this guy.. Much respect much love TZ
He's NO MORE MR JOHN POMBE MAGUFULI
ITS PAIN ME SO MUCH ILA HATUNA BUDI KUKUBALI
Duuu!! Ila huyu jamaa anauchungu
Sjawai ona. Anajali utanzania kama familia yake
Wewe ni jembe na wewe ni sime unakata kuwili r,I,p magufuli
Analilia watanzania kiroho safi
Pumzika kwa amani John. Umeondoka mapema sana Rais wangu. So sad 😭😭
You were a real fighter tutakumic sana jpm rest easy our father 😭😭😭
😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
Mungu akupumzishe shujaa, vita ya uchumi sio rahisi kabisa, Mungu alikuonyesha mapema
Tanzania does not need grants in fact we should be the ones giving grants ~John Magufuli
I totally agree with you
The whole of Africa actually
Baba.wewe.ulikuwa.usema ukwel
the Africa
yaani nakukubali sana...... achana na hao vishashunda..... asante magu
Huyu alikuwa Thomas Sankara mpya wa Africa hakutaka unafiki😭😭😭😭 R.I.P shujaa wa Africa.
Daaah inaumaa
@@emanuelmasanja8575 😭😭😭😭😭😭
Sankara mwenyewe...
Sankara mwenyewe...
Wonderful leader with amazing speech
This is a real meaning of transparency sio kudai uhuru wa kubwabwaja mitandaoni eti human rights and freedom of speech!!
Absolutely bro👌😘😭🙏🇹🇿
No 1 like u baba pumzka kwa aman tunakuombea sn sn... Mwendo umeumaliza na kaz umeifanya tena tumeziona c kwa kuckia tu.rest in power legend
from this day on I appreciate you my sent president
I will miss you, daddy. May the Lord be with you. Rest in peace.
Tutakumbuka sana speech kama hiiii goodbye the greatest land lord of Africa JPM
Tunakukubali baba. Mungu akulinde.
piga kaz
Ameni
Mwenyezi Mungu akulipe kwa yote uliyowatendea watanzania, Umetusaidia Sana tena Sana sasahivi kazi ni chanjo, ndo maendekeo
Mungu akulinde Raisi wetu, akujaze neema na busara yake iwe ndio mwongozo wako.
Mungu akuhifadhi raisi wangu jpm raisi tulie kuchagua kwa moyo mmoja daima mungu akulinde nafatilia hotuba zako hakika wewe ni msema kweli mpenzi wa mungu 2020 kula yangu lazima uipate
Lait kama rais magufuli angekuwa rais wa pili tanzania tungekuwa matajili
ILOVE TANZANIA
Matajiri siyo matajili
Mungu mbariki huyu mzalendo wa kweli Jpm Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mungu akulinde mzee wetu yani kila hutuba yako lazima nitoe mchozi kwa ukweliwako
we surely thank God for giving us this President. he was meant to come and mend things then go as he paved way for mama yetu Samia Suluhu. how do we thank God? God u deserve praises and worship Halelujah
Mjomba magu... wallahy u are de best
Mwenyezi mungu akulinde Rais wetu
tupo nyuma yako
Mwenyezi MUNGU amlinde
Yamungu Athuman nyuma yake unataka kumfanya nn mungu anakuona ww
Mussa Mbegu We nawe vipi!
JPM YOU HAVE DONE YOUR PART MUNGU AKUSAIDIE !!!
Emungu utupatie magufuli mwingine
Majority of Kenyans would give up their entire political leadership for 1 month of Magufuli to fix our nation. Magufuli is probably one of the greatest African President. ✊🏿 RIP Mr. President
Aise nchi ilikuwa inaibiwa sana, well said Mr. President
Kweli mzee
Seems mkapa, kikwete Hawana kitu wa lifanya ni unafki tu walikua nao
Ulikuwa mzalendo sana,kuna wakati nilishindwa kukuelewa lakini nadhani ulikuwa ni uelewa wangu mdogo tu lakini pia kuna wakati nilikuelewa kwa uharaka sana,wewe utakuwa my role model katika maisha yangu kwa sababu hukuwa mtu wa kuogopa kusema ukweli hata pale ulipohisi unahatarisha maisha yako na sasa umekufa na ukweli wote uliousema unatuumiza mioyo yetu leo,watu wanakulilia na wasiokupenda ipo siku watazikumbuka hizi speech zako.
Kweli Kaka😭😭😭😭😭
The fact he always spoke in Kiswahili is a testament of how humble he was.
that why I appreciate you prezoo doesn't matter how hard today but I believe in future it will be good for everyone
Kiongozi tuliyemtaka tumempata hatuna budi kumuongezea muda zaidi, Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!!!!
Kabisa
Can't stop watching this man...May you rest in peace
Me too, may he continue resting in peace bado moyo wauma 💔.
nakuelewa saana rais wangu ila hawa wanaokupuuza ipo siku ukimaliza muda wako madarakani watakukumbuka. big up JPM.
Kk uliliona hili
Really wwe ulionaga mbali Mimi najuta now
Daah Powerful message kutoka kwa Hayati JPM Rest in Power.
Ak mungu akulinde rais nakupenda sana nafurahi unatetea haki ya watanzania mungu akulinde na usirudi nyuma na usiangalie nyuma mbele kwa mbele
Daaaahrestinpicedady
@Milard Mungu Akubariki kwa kuweka kumbukumbu hii bayana
Mungu akupokee akusamehe dhambi zako😭😭🙉🙉 mungu akulaze mahali pema peponi 😭
Watanzania tusimame imara sana jaman huyu mzee ametuachia elimu kubwa na ujasiri wa hali ya juu sana 😭😭😭
@@edisonkashaija4067 kabisa yaan tuzid kuiombea nchi yetu.
Aisee tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi, umetuacha njia panda baba.Mungu tuinulie mzalendo mwingine tuione tz mpya.
Kwa kweli ulikuwa mtetezi,RIP,JPM Africa already miss you.
Cjui Kama atakuja kutokea kiongozi jasiri muwazi mkweli asiye ogopa chochote kwa ajili ya nchi yake Kama Raisi Magufuli Nilimoenda Sana Raisi huyu cjui Kama atakuja kutokea jasiri na muwazi Kama huyu na akitokea basi WTZ nae tutampenda Sana LOVE U SO MUCH DAD we miss rest in piece Dad Magufuli kimwili haupo nasi lakini upo ktk mioyo yetu daima
Best speech ever! Tumepoteza kiongozi watanzania
Pumzka kwa Amani Baba yetu...umetufumbua macho szan kama kuna kiongoz atatudanganya tukamuelewa...Ahsant Baba
sana itabidi tuwe makini sana kuchagua kiongozi
Pamoja sana Rais wetu,,nakukubali mzee wetu
Huyu Jamaa Ni Tofauti😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿💐💐
He was the man with a real spirit!
Let his soul rest in power!
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante magufuli we will always love you babaa r i p kipenzi changu🙏🙏
Shujaa pumzika kwa amani , mwamba tunalia Africa 🌍 inaliya
Rtyz
Good things comes ONES.. I pray Mama Samia, you follow the path!!!! Let's put Corona Story ASIDES!!! BUT MAGUFULI STOOD BY AND FOR TANZANIA😭😭😭RIP BABA
Maneno yake nikiyasikiliza sana najikuta nasahau kama kashatutoka najikuta nacheka baada ya kulia Eee Mungu baba umemtoa mtetez wetu😥😥
Yaan acha tu kama vile mi naota jomon 😭😭😭😭😭😭njoeni mniamushe niamke mimi
Dah! Baba weee umetuacha tena.
Aisee km ndoto kumbe ni kweli nyiye huu msiba umeniuma sijuw nisemej Mungu amlaze mahal pema pepon Amina
Inauma sana, kumpoteza mzalendo wa kweli kama huyu.Nimeamini kweli uliyatoa maisha yako kwa ajili ya WATANZANIA. Nenda salama baba mwendo umeumaliza nitakukumbuka daima
I can spend one GB just listen to his speech, so organized
Same here
Same as me
@@mosescodes3677 even me
The same to me
A really leader. Oooh God why did you let it happen. TZ has grown in a short time under JPM leadership. He was a great gift for his people. Gone too soon, when TZ needed him most.
Kaza kamba mzee ivi vita nivigumu tuko pamoja magufuli 4 change
Hili lijamaa nalikubali sana yaani mpaka nahisikuugua baba nikupendejeee nikikusikiliza nahisi machozi yananitoka baba piga kazi yetu sisi maombi wasiwasi wangu ni rais atakae kuja mwaka 2025 atakuwa na uchungu kama wewe najua kumpata nikazi ngumu plz tusaidie kuangalia atakaefanana kimtazamo,fikra,matendo ,maamuzi magumu/tumbuatumbua na hofu ya Mungu baba hatuna shaka na wewe njia umeonyesha Mungu akupe maisha marefu amina