Hii ilitakiwa iwe na series zaidi ya 20 maana imetengenezwa kama za nje option ni nyingi mno za kwenda nazo. Sio movie inayoonyesha nini kitatokea yaani kila series ikiisha unafikiria sijuwi kitatokea nini baada ya hapo.
Tangia tumpoteze marehemu kanumba basi nikimuona gabo jinsi hanavyopamban ktk kuigiza basi najikuta km namuon kanumba gabo pamban san ktk movie maan uko vzr hakika tunakupenda sana watanzania 🇹🇿🇹🇿
Pole sana baba olivia ila move mzuli sana ila wekeni ata dakika 50 jamani mnatufanya tunaludia kila saa jamani mtukumbuke ata kwa dakika 50 like kwa wanaosema sawa
Yaani killa ikifika ijumaa mimi kabla ya kuenda kwenye ibada kwanza napata burudani ya BABA OLIVER huku nikipiga jicho la wivu kwa mwalimu mrembo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 BIG UP
Niwemuazi ndugu zangu, nimekua addicted na movie kwasababu ya mwalim janet ofcoz kabarikiwa sura ya mvuto, suala la umbo mloganzila wapo kwazi hiyo nakupenda mwalim Jannet
Kiukweli nimeangalia tamthilia nyingi sana hapa za hapa nyumbani na hata nje ila hii hata mimi imenipa funzo kubwa sana pia inaelimisha sana haichagui jinsia wala umri. Big up sana mr Henry kwa kazi nzuri
Nawaita. Nawaita tena. Nawaita ili muone ujasiri ninao upata kupitia tamthiliya yenu hii ya baba olivia. Napata kifua kwa shauku na kujifunza namna ya kuondokana na misukosuko inayonikabili... Mmefaulu kushika makini yangu hongera kwenu wote mlohusika.
Inagasa sana maisha halisi ya kiafrica that is meaning of creativity and nataman skumoja nitoe my story i think it will be the best in movies ❤❤❤#nzury sana producer na writer wa story
Mziki Wa Nyuma Unaolindima Wakati Matukio Yanaendelea Tulivu Na Laini Saana Unaifanya Roho i Relax(ituliye) Nakutafakari Timu Ya Muziki Na Benchi Lote La Ufundi Mmetisha 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿 So Poa Waooow Amazing Instrumental(miziki mizuri) Matukio Tulivu Yakisindikizwa Na Mziki Mwanana Aisee Nafurahi Sana Kuona Watanzania Tunaamka Katika Upana Wakufikili Redio Muziki Utumbwizao Mashairi imara Wakati Wakulima Gabo Kazi Nzuri Saaana Hisia Majonzi Gabo Na Teacher Kazi Safi Wale wahalifu langi ya jioni ubora wakuyachukua mazingira wakati wamatukio yao yote pongezi kubwa Mnaigiza Vizuri Mbarikiwe Saaana ila muziki hapo nimenyoosha mikono safi
Ni movies ambayo nimekuwa najifunza zaidi kupitia baba Olivia na Olivia mwenyewe ❤ ................ Lakini nikazidi kujifunza kupitia Athur na mwalim Janet kunahaki yakujifunza au la kujifunza juu yahii movies ya baba Olivia ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Broo Broo broo nimekuita mara tatu movies yko nzur sna imenitoa hadi machoz kaka umenikumbusha mbali mno asante kwa hiki ulicho tuletea naomba ikiisha waletee tena watanzania kitu kma hiki ambacho watu wapuuzi waendeleee kujifunza kuwa wanakosea wap kak sikufichi nimeshindwa kuendelea na masomo yangu kwa upuuzi kma huu mpka leo nina miaka 40 staki kusikia kijitu kinaitwa mwanamke asante sna kaka unamoyo kupenda tna
Pole sana lkn watu hawafanani.. ni huyo tu hamkuendana. Achilia maumivu na fungua moyo wangu ruhusu upendo kwa upya. Utampata mtu ambaye utasema ulichelewa wapi. Mimi nimepitia maumivu makali ya usaliti na nipo kwny kuukubali ukweli ili nipone.. haijawa rahisi lkn ndio binadaamu tunaokutana nao kwa mapenzi na kuwaamini lkn kumbe wao hawawazi km tuwazavyo. Mungu wetu atusaidie
Ila gabo anajua kuigiza sana huyu jamaaa kama unaamini gabo ni muigizaji mzuri tuhesabu like hapa
Anajua ila atoboi mbele ya clam vevo 🌺 🌺 🌺
Like n nying san
@AllyBabu-kr6lgwe nae ujibga acha
Ety jaman Kuna mtu nimeona amecoment ety gabo anajuwa kuigiza ila hamfikii cram VEVO kwel ??
@@nicholousksng7209 bombo clatiiiiiii
Sema nimrembo sana huyu mwalimu duhhh wanaokubali mwalimu nimzuri gongen like hapa twenzetu..
Mwarimu mim
Tatz nyashi sas😅😅😅
Kaka angalia n Sura y kuzaa nayo@@Nicky_ali_371
@@Nicky_ali_371 nyash mtatumia zangu😂
Umalaya tu kuoga aaah😅😅
Leo nimewai nimekua wa 6 duuh naitaji like zenu
Umeiyotea
Wow!! Niliisibiri kwa hamu sana hii movie, asante sana Mr. Gabo ujumbe ni mkubwa na mafunzo ni mengi mno kwenye hii movie🙏♥️🥰
Gabo mm ni fan wako mkubwaa sanaa Tena napendaa unacho fanyaaa na mmm napenda kuigiza lakini Sina saport nilikuwa naomba ni saport 🙏🙏
Wa kwanza leo from Kenya naomba like zangu
Hongera kuwa WA kwanza🎉🎉
Asante sana☺️☺️@@MdNasr-jm8pj
umetisha
Mtu kibanda chake kimeungua we unaomba like😂😂
😂😂act movie yko nww tukupe likes kàribia zote
Tunaomba kwa wik mote vipande viwili kama kuna mwingine yupo pamoja na mimi gonna like
Haaa nimechelewa kidg lakin sio sana. Waliobkuwa wakisubiria jwaham kama Mimi gonga like twende mbelee
Asanteni🎉🎉🎉🎉🎉❤ nawapenda wote
Kazii nzurii sanaa ilaa kilaa ijumaa ni mbalii sanaa banaa, tunaoombaa wafanye ata episode 2 kwa wikii like apaa❤
kweli 2naisubiria adi 2nasahau
Jaman kwann Wiki mara moja angalau mara mbili bs gabo jmn a. K. a diba
@@UpendoMichael-xd1lrkwani unalipia ujinga tuu watu waekti film zao ww nimuangaliaji tuu
Wiki ninoma tulio kua tuna isubiri gong like
Hii ilitakiwa iwe na series zaidi ya 20 maana imetengenezwa kama za nje option ni nyingi mno za kwenda nazo. Sio movie inayoonyesha nini kitatokea yaani kila series ikiisha unafikiria sijuwi kitatokea nini baada ya hapo.
Tangia tumpoteze marehemu kanumba basi nikimuona gabo jinsi hanavyopamban ktk kuigiza basi najikuta km namuon kanumba gabo pamban san ktk movie maan uko vzr hakika tunakupenda sana watanzania 🇹🇿🇹🇿
Uhamisho tena Duuh unamuumiza Baba Olivia moyo wake
Nakibanda pia kiechomwa yaani ni huzuni juu ya huzuni😢
Nawapata apa from Congo 🇨🇩🇨🇩 kama nawewe ni mcongo mani towa liké Yako apa 👍
Wanao Sema kuwa hii muvi hakuna Kam hii gonna hapa🎉
Pole sana baba olivia ila move mzuli sana ila wekeni ata dakika 50 jamani mnatufanya tunaludia kila saa jamani mtukumbuke ata kwa dakika 50 like kwa wanaosema sawa
Kazi Nzur sana inanifanya nipende BOngo movies maan wanaigiza vizur san 🎉🎉🎉🎉 nawapatia maua yenu
Asanteee!
Jamani WA kwanza Leo kutok Saud like zetu 5 tu
Hii series inaigizwa kwa hisia kali mpaka inaliza😭😭 bigup Gabo, Olivia na Mwl.Janeth ♥️
Wakwanza leo like zangu Kwa wingiii
Dar maisha nimutihani mugumu sana mpaka kutoboa ngwalu anapitiamagumu sana Tia like apo
Baba Olivia pole sana unapitia wakati mgumu mno
Janet anahamisha kikazi
Kibanda kinaungua
😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭
Sisi tusio kosa toleo jipya na kumuangalia kwa makini mwalimu tuweke likes nyingi aiseeee ❤❤
bila kumuona weekend yangu haiendi sawa ila kibanda chetu kinawaka moto aisee😢😢
Yaani killa ikifika ijumaa mimi kabla ya kuenda kwenye ibada kwanza napata burudani ya BABA OLIVER huku nikipiga jicho la wivu kwa mwalimu mrembo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 BIG UP
Duh unaswl kwel au mawazo yote Kwa Mwl?
Nimekua naisubiri kua hamu nyingi sna serie tamu mnoo❤❤nawafuatilia nikiwa Qatar@wanaofuatiliea baba olivia kutoka burundi tufamiane 🎉🎉🎉🎉
Asante? Upo Doha au?
@@henrymwakajumba ndio utaftaji wa maisha
I love Olivia kua mwenyekujielewa utafanikiwa in your life
Nafafatilia Igizo hii nikiwa Africa kusini South Africa 🇿🇦🇹🇿Hakika Marry Mrembo sana😊😂❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️
Jaman na mimi munipe like japo wamwishooo😢😢😢
❤❤❤❤ any Rwanda here🎉🎉🎉
Leo mkininyima like mtakua na roho mbaya wakuu😮, nmewah sanaaa
😂😂😂 daah ila binadamu cc
Ubora unazidi kila Episode, hongereni sana wote mlioshiriki
Wakubwa tuu ndio tunaelewa hii movie kiukweli ❤❤❤❤
Tena ni yenye uhalisia sana
Sure
Kalale
❤️❤️
Kweli bhana nilijaribu kuwa wekea watoto na wenzangu hapa nyumbani hawajaielewa kabisa lakin mim sasa naipenda hatari
Niwemuazi ndugu zangu, nimekua addicted na movie kwasababu ya mwalim janet ofcoz kabarikiwa sura ya mvuto, suala la umbo mloganzila wapo kwazi hiyo nakupenda mwalim Jannet
Kiukweli nimeangalia tamthilia nyingi sana hapa za hapa nyumbani na hata nje ila hii hata mimi imenipa funzo kubwa sana pia inaelimisha sana haichagui jinsia wala umri. Big up sana mr Henry kwa kazi nzuri
Asante sana! ❤️
jamani mbona mimi sijawahi kua wa kwanza ili na mm nikapata like zenu
Sad moment nkwamba anaenda kwenye msba na mamake hayupo maskn
Weka notifications kwenye simu yako na unsubscribe
Kama na wewe unakuja ku watch hii movie cause ya rangi na uzuri wa mwalimu Janet tujuane kwa like 😂😂😂😂
nampenda asee,nipe namba zake
Napenda macho yake
@@rashidsalim7078 hakika ni mazuri mno
In short yuko vizur huyo Madam
Me mwenyew ananivutia ile mbaya yaan sema tu ana kauhuni flan hiv
Pole sana baba Olivia kwa kuumiza kicha nakuwa mubunifu muzuri nawapata vema kutoka Zambia kitwe
Mwalimu mzuri sana❤ picha la kujifunza sana kama unakubaliana na mm like hii comment
Dah huyu dogo aliekua anasoma na olivia anajua sana alipoona hali cio ya kawaida2 ameamua kusepa
Anajuwa kusoma alama za nyakati
Baba Olivie pole nakuunguliwa na kibanda piya namwalimu mpenzi kuhamishwa shuke😢
😢😢😢😢😢😢
jamani kwanini mnatufanyia hivi ijumaa mbali Sana wekeni angalau x2 kwa wiki 😢alafu inabidi episode ziongezeke tafadhari
Leo nimeumia sana pale arther kibanda chake kinaumgua
Mwalimu na gabo wana act uhalisia kabisa mashallah
Nawaita. Nawaita tena. Nawaita ili muone ujasiri ninao upata kupitia tamthiliya yenu hii ya baba olivia. Napata kifua kwa shauku na kujifunza namna ya kuondokana na misukosuko inayonikabili...
Mmefaulu kushika makini yangu hongera kwenu wote mlohusika.
Asantee!🙏🏾
Inagasa sana maisha halisi ya kiafrica that is meaning of creativity and nataman skumoja nitoe my story i think it will be the best in movies ❤❤❤#nzury sana producer na writer wa story
Baba olivia ni zaidi ya jua kali. 🎉🎉🎉🎉🎉❤
We jamaa juakali weka mbali na watoto
Mimi wa kwanza kutazama nipewe komenti😂❤
Tusimulie 😂
@@agustinorichadi1253 na mimi
Nimekupa like bure ila si wewe wakwanza 😂😂😂
@@TitusSarkai-hg5uk haya
Nawapenda kutoka rwanda 🇷🇼 ❤ munipe like zenu jameni
Sawa habar za Rwanda
P
Umaskini ulaaniwe kabisa😮💨😮💨😮💨
Kabisa brother yani tulaani umasikini milele
Nipen like zangu
Arafu
Like kwa wanao sikitika kwa matokeo kutokea
Leo wakwanza jaman
I love how this Man is cool and calm.Janeth uko poa mama
Nina uhakika ile sigara ya watu wamikopo imewasha kibanda moto
Jmn meh siwez kukos hiii kityu🎉❤❤
😢😢😢nimelia sana Madamu Janet kutaka kuhama pia kibanda kuwaka moto dah!!! Inasikitisha atakama ni movie 😢😢😢😢😢
Henry Mwakajumba, amazing content
🙏🏾🙏🏾
Jamani leo hata like 20 kwangu
Baba oliva anasikitika kusikia mwalimu amehamishwa sehemu nyingine
Jaman mov hii ni nzuri tunaomba bas ata ep 2 kwa wiki plz🙏
Mziki Wa Nyuma Unaolindima Wakati Matukio Yanaendelea Tulivu Na Laini Saana Unaifanya Roho i Relax(ituliye) Nakutafakari Timu Ya Muziki Na Benchi Lote La Ufundi Mmetisha 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿 So Poa Waooow Amazing Instrumental(miziki mizuri) Matukio Tulivu Yakisindikizwa Na Mziki Mwanana
Aisee Nafurahi Sana Kuona Watanzania Tunaamka Katika Upana Wakufikili
Redio Muziki Utumbwizao Mashairi imara Wakati Wakulima Gabo Kazi Nzuri Saaana
Hisia Majonzi Gabo Na Teacher Kazi Safi
Wale wahalifu langi ya jioni ubora wakuyachukua mazingira wakati wamatukio yao yote pongezi kubwa
Mnaigiza Vizuri Mbarikiwe Saaana
ila muziki hapo nimenyoosha mikono safi
Asante sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 shukran sana!
@@henrymwakajumba Tuko Pamoja Ndugu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Jamani nimechelewa nilienda hospital
Cko poah nipeni pole kwa like jamn
Ugua pole
Ugua pole
@@Happyrichard-fr1yk thanks
@@rizikladyherson8451 thanks
@@rizikladyherson8451 thanks
Asee msiruhusu watoto wenu ...kulala na watoto wengine hata kama wa jinsia sawa....huyo dogo simuamini
Second 9 watu washa comment sawa taem strong am here now kuwasubiri mje 😂😂
❤❤
Tulikua na njaa tukala zote kabla 😅
Mwalimu baba Olivia akizingua njoo kwangu ❤usha usambalatisha moyo wangu💔
😂😂😂😂😂😂 Kuna mtu kasambalatishwa moyo wako
😂😂😂😂 hahaha
@@Emilybrightness mwalimu
@@janethdavidsanga5999 🥰🥰🥰
Nchi hii ina vijana wa hovyo sana😂😂😂😂😂
Woooow tunaosubiriaga ijumaa kwa hamu tujuane
Naanza mimi❤❤❤❤
Baba olivia na crew nzima ni wa moto❤❤❤
❤️❤️❤️❤️
❤❤❤🎉nZUR SANA JAMN Mauwa yenu💓💓💗
Inamafundisho makubwa na ya maana kwa jamii
Mashallah ❤❤❤❤❤Mashallah mungu abaliki sana kazi zenu mbona amtumi linki jamani
Leo wa kwanza
Ni movies ambayo nimekuwa najifunza zaidi kupitia baba Olivia na Olivia mwenyewe ❤
................
Lakini nikazidi kujifunza kupitia Athur na mwalim Janet kunahaki yakujifunza au la kujifunza juu yahii movies ya baba Olivia ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Namimi leo wa kwanza like zangu naomba
Mlichonifurahisha waandaji wa filamu mmerudisha oldschool stuffs kwa asilimia kubwa hongereni sana❤
Asante sana!
Leo nimewai naomba like zenu hta 5 2
Kazi nzuri san kwa wiki ata vipande viwili jamn ila big up sana 🎉
Baba Oliver anaumia sana kwa kumpenda huyu mwalimu lkn tu anajifanya kukaza kiume, kama imewahi kukutokea hii kitu gonga like tujuane
Unampenda mtu anaenda zake daslam😢
Kwspenz la Leo mwalimu atahairisha kwenda kasuru
Pia mimi from kenya nipee like
duuh pole sanaa baba olivia unapitia magum sanaa
Broo Broo broo nimekuita mara tatu movies yko nzur sna imenitoa hadi machoz kaka umenikumbusha mbali mno asante kwa hiki ulicho tuletea naomba ikiisha waletee tena watanzania kitu kma hiki ambacho watu wapuuzi waendeleee kujifunza kuwa wanakosea wap kak sikufichi nimeshindwa kuendelea na masomo yangu kwa upuuzi kma huu mpka leo nina miaka 40 staki kusikia kijitu kinaitwa mwanamke asante sna kaka unamoyo kupenda tna
Pole mnoo
Pole sana!
Thanks
Pole sana lkn watu hawafanani.. ni huyo tu hamkuendana. Achilia maumivu na fungua moyo wangu ruhusu upendo kwa upya. Utampata mtu ambaye utasema ulichelewa wapi.
Mimi nimepitia maumivu makali ya usaliti na nipo kwny kuukubali ukweli ili nipone.. haijawa rahisi lkn ndio binadaamu tunaokutana nao kwa mapenzi na kuwaamini lkn kumbe wao hawawazi km tuwazavyo.
Mungu wetu atusaidie
Yaani watu wanavaa uhusika hadi wamenilizaa na mimk😢😢😢😢
Kwani humu wa2 wanafata like au muvi 🙌🙌🙌
Karibu mwalimu kasulu kigoma hakikisha unakuja na Baba olivia
Pga cm
😂😂
kweli mwalimu nimzuri tena sana nimwanamke wandoto
Love you guys
Mwalimu nakupenda jaman unajua sana yan mpaka raha yan
Wa2 naon mumeweka notification kweny simu zenu duuuh co p😅😅😅
Leo mmeamua mtulize tu yani,simanzi juu ya simanzi...pole sana baba olivia😢😢
Pole!
Hii ya leo imetisha kinoma 🔥💯 nko 🇰🇪 nimetulia nikiitizama karibuni nyote 🤝
Dahh hiki kipande cha leo kimeniuzunisha snaa😊😊😊😊jmn athour
Movie nzuri saaana jaman
Mwalimu Janeth mrembo mashallah😍😍
Kwa kweli mwalimu amenibamba tu na rangi na nyonyo ila kalio hana
Umalaya tu😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
We all Men need a woman like mwalimu janet Love and Caring❤❤❤
Hii filam ni nzr sana na actors wake ni bora sana gabo ameziba mapengo ya wasanii wote walokufa na walikua hai
Hufai
Nikwli
Tafta mwio movie yke Gabo utakbal
Tuputianeni please tu grow pamoja ❤❤
Brave
Hatimaye leo kitu kwa meza❤❤❤❤
Nataka na mimi like zangu
Duh bba olivia
Kibanda kimeungua
Mwalimu anahama
Bibi kafa jamn😢😢😢😢
Wale wa KASULU KIGOMA 💥
Mwakajumba hongera sana kwa movie nzuri