IBADA MAALUM: KUJENGA UFALME WA MUNGU NA KUBOMOA UFALME WA GIZA - JULAI 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ค. 2024
  • BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya NYUMBA KWA NYUMBA. Ibada hii ya NYUMBA KWA NYUMBA ni maalum sana inayosimamia KUTOA MAPANDIKIZO YA GIZA KWENYE KILA NYUMBA NA FAMILIA NA KURUHUSU UFALME WA MUNGU USIMAME inayokujia leo Jumapili ya tarehe 14 Julai 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
    Ibada za nyumba kwa nyumba inaongozwa na maelekezo "KUJENGA UFALME WA MUNGU NA KUBOMOA UFALME WA GIZA NYUMBA KWA NYUMBA" na neno la MUNGU kutoka kitabu cha Danieli 2:44 "Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele."
    Ibada hii inaongozwa na kichwa cha somo; "EEH BWANA IFANYE NYUMBA YANGU KUWA MOTO ULAO KINYUME NA WACHAWI"
    Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

ความคิดเห็น •