Ee Mungu tunakulilia sisi na familia nzima wewe ndo hakimu halali, tunaumia zaidiii hukumu ya uonevu juu ya kaka yetu imesababisha kifo cha baba yetu kipenzi😭😭😭baba amekumbwa na magonjwa ya moyo hapo tu kaka alivyosingiziwa na boss mwajiri wake umeiba mabillioni ya hela..Ee Baba tunanyoosha mikono utupe uhukumu ya haki ktk hili😭tumekuwa yatima, tumemzika baba yetu tarehe 20 august 2020 kwa ajili ya uonevu wa haki😭😭😭Mungu wewe ndio hakimu wetu tunakulilia ktk hili kaka yetu ashinde kesi aje alione kaburi la baba yake kipenzi😭😭😭😭😭😭😭
Baba nirehemu katika kila ambalo ukiangalia unaona kosa nililofanya nisamehe makosa yangu yote niliyoyafanya kwa kujua na kutokujua nirehemu Baba yangu
Mwenyezi Mungu mwenye huruma na rehema usiwaache watoto wangu wanahangaika na kuteseka,watoe baba kwenye vifungo na minyororo ya muda mrefu sana.Peke yako waweza MUNGU.
Ee Mungu nirehemu na uhukumu kwa haki katika mahusiano yangu niliyonayo.hukumu pia kuhusu kesi ya shamba la babaangu toa hukumu yako Mungu.sima pia kwenye kesi ya babaangu mdogo wewe ukawe hakimu naamini utatenda bwana.Amen
Raise Up Oh Lord and Let our Enemies Scatter🙌🏿🙌🏿
baba MUNGU usiniache katika uonevu huu,usiniache niendelee kupitia kwenye mateso ,katikati ya ghadhabu kumbuka rehema
Baba nirehemu
Usiniache baba🙌
Nakuamin wewe
NAKUTEGEMEA WEWE 👐
😭🙏Baba nifanyie hukumu ya haki Baba, kumbuka Rehema katikati ya hasira Baba!😭😭
Ee Mungu tunakulilia sisi na familia nzima wewe ndo hakimu halali, tunaumia zaidiii hukumu ya uonevu juu ya kaka yetu imesababisha kifo cha baba yetu kipenzi😭😭😭baba amekumbwa na magonjwa ya moyo hapo tu kaka alivyosingiziwa na boss mwajiri wake umeiba mabillioni ya hela..Ee Baba tunanyoosha mikono utupe uhukumu ya haki ktk hili😭tumekuwa yatima, tumemzika baba yetu tarehe 20 august 2020 kwa ajili ya uonevu wa haki😭😭😭Mungu wewe ndio hakimu wetu tunakulilia ktk hili kaka yetu ashinde kesi aje alione kaburi la baba yake kipenzi😭😭😭😭😭😭😭
Poleeen sanaa mpendwa Mungu amesikia na anafanya kwa Jina la Yesu😢
Baba nifanyie hukumu ya haki kwa waliodhurumu uchumu wa haki
Baba nirehemu katika kila ambalo ukiangalia unaona kosa nililofanya nisamehe makosa yangu yote niliyoyafanya kwa kujua na kutokujua nirehemu Baba yangu
Katikati ya ghadhabu yangu leo Mungu kumbuka Rehema
Ooh Lord fanya hukumu ya haki juu ya Kazi yangu in Jesus name,Baraka zako zikawe katika ndoa na uzao wangu kwa jina la Yesu🙏🏽🙏🏽
Mwenyezi Mungu mwenye huruma na rehema usiwaache watoto wangu
wanahangaika na kuteseka,watoe
baba kwenye vifungo na minyororo
ya muda mrefu sana.Peke yako waweza MUNGU.
Mungu baba katikati ya gadhabu kumbuka rehema 😭 peke yetu hatuwezi Jehova😭.Tunahitaji neema yako baba
Ee Mungu nirehemu na uhukumu kwa haki katika mahusiano yangu niliyonayo.hukumu pia kuhusu kesi ya shamba la babaangu toa hukumu yako Mungu.sima pia kwenye kesi ya babaangu mdogo wewe ukawe hakimu naamini utatenda bwana.Amen
Aminaaaa. MUNGU wewe ni MUNGU wa haki 😭😭😭 tusaidie BWANA tupate haki yetu 🙏
Nifanyie hukumu ya haki eeeh Bwana.
,nimedharaulika bwana vyakutosha...nilivyozunguka mlima imetosha
Baba rehemu dhambi zangu za wazi na za sirini rehemu Baba yangu😭😭😭😭
Kupitia haya maombi uhusiano wangu na boyfriend wangu ulikuwa confirmed
Eeh Bwana simama uturehemu na utupiganie juu ya uonevu Wa Movu
Nirehemu eeeh Mungu na ukahukumu kwa haki
Baba wewe ndio hakimu wa haki hukumu katika hili Baba wewe ndiyo tegemeo langu
Mungu asante
Hukumu Kwa haki kinyume na kuonewa baba yangu mdg. Umkumbuke atoke kifungoni. In the mighty name of Jesus Christ I believe Amen
Eeeh YESU Wangu Uniokoe Uniponye, Nivushe Baba kwenye haya Mateso, Adui anafurahi kuteseka kwangu...Baba Nisamehe UNIOKOE Uniponye 🙏🙏🙏
Show up o Lord
Unisaidie Mwokozi unifanyie hukumu ya haki.
Katika shida yangu nalimwita Bwana naye akanisikia akanyoosha mkono wake akaniokoa akanitoa katika shimo la mauti .
Yesu niokoe
Eeee mungu unikumbuke katika shida yangu naaam we ni mwwles wa kuelewan na unajibu kwa wakati ni mwaka wangu sasa
Baba nifanyie hukumu ya haki kila eneo la maisha yangu, katikati ya ghadhabu kumbuka rehema
Blessed mtumishi mungu kwa maombi haya awezi kujizuiya kabisa,na hata ukisikiliza hii klp utajikuta machozi nakisima cha maombi kikichimbiliwa
AMEN
AMINA
Ameen
Ubarikiwe Sana kwa kipaji hicho
Katikati ya ghadhabu kumbuka rehema Baba.
Ameen swii
Asante Daddy
Thank you Jesus,Asante Yesu
Usinyamazie mateso ya Mimi mwanao Bwana
Uturehemu Bwana
Eeee baba simama nami
Amen mama🙏
Tufungulie hii klp tuisev power full pray
Amen 🙏
Ameeen
Amen 🙏🙏🙏
😭😭
Haleluya
Amen
Msifungie clip jaman
😭😭😭
nimepokea kwajina la yesu
Hear our prayers oo Lord
Dear God i need you
Amen mtumishi ubarikiwe sana kwa maombi
Nisikie eee Bwana nakutegemea wewe hukumu kwa haki