ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Baba Mzee Rajabu Kajungo nakukumbuka sana enzi hizo ukituchukua famlia nzima na Marafiki kwenda kuburudika na Bima lee orchestra bila kumsahau Baba Mkubwa Patrick Kamalee mpiga solo wa Bima lee
Ama kweli kipindi hicho ilikuwa burudani tosha kwenu.
mwimbo-mzuri-sana
Ni kweli kabisa unavutia kuusikiliza
Oné of the best from Shaban Dede
It is quite true that the late Shaban Dede was a real musician not the same as the current contemptible musicians
Kwakweli nyimbo zakezina zina madili unsikiliza ata ukiwa na baba mkwe tutamkumbuka Dede kwa Kazi nzuri
Ni kweli kabisa, Dede alikuwa mahiri katika utunzi, uimbaji na upangaji wa muziki... Tutamkumbuka kwa kazi zake.
Huu wimbo haukutungwa na Dede ulitungwa na mpuliza sax jina nimesahau,Dede yeye alipewa kuimba, solo ilipigwa na halfani uvuruge
Sawa, tunashukuru kwa mchangao
Uwezo wa kuimba alikuwa nao na mengi ne mengi
Ni kweli kabisa uwezo wake ulikuwa wa kipekee..huwezi kumfananisha na yoyote..
Mola hupeana na hucukua