Wimbo ni Pesa Zanisumbua, Kazi ya Jerry Nashon Dudumizi akiwa Bima Lee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @hakimundabila7940
    @hakimundabila7940 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakumbuka alifariki kwa ajali ya pikipiki aliyokuwa akiendesha jijini Dar es Salaam. Jamaa alikuwa kipaji hatari RIP Dudumizi

    • @bantutanzania9449
      @bantutanzania9449  3 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi kabisa Dudumizi alikuwa hatari sana kwenye tungo na kuimba.

  • @shabanmwankosole9323
    @shabanmwankosole9323 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah!! Jerry mwanamuziki Wa kuenziwa

    • @bantutanzania9449
      @bantutanzania9449  3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli kabisa Jerry Nashon alikuwa na uwezo mkubwa sanaa...

  • @ShaabanOthman-qb9cp
    @ShaabanOthman-qb9cp 3 หลายเดือนก่อน

    Any one listening to this song in this 2024, kudos

    • @bantutanzania9449
      @bantutanzania9449  3 หลายเดือนก่อน

      A very good song never gets tired of listening

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 2 ปีที่แล้ว

    Alikua na sauti jamaa

    • @bantutanzania9449
      @bantutanzania9449  2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa, ndio maana walimuita Sauti ya Dudumizi..