Shabaani Dede alikuwa na Kipaji cha Hali ya juu” hapo Anaimba na mabingwa wa Muziki kina Jerry Nashon na Athumani Momba lakini bado ameng’aa duh” Rest In Peace wote hao
Eddie Unatisha hapa Dede akiwaongoza kina Momba na Dudumizi RIP. Unasikia base la Mwanyiro hapo solo Mulenga hiyo Magneto tingisha 84. dah siku hazigandi
Baba chezea kila kitu sio udongo - udongo huu umehifadhi vitu vingi vya thamani , ikiwamo binadamu wenye wasifu mnene, yuko wapi dudumizi yuko wapi Momba, yuko wapi Mulenga (gita lake ni kavu na lenye kusikika kila nyuzi), bado sijampata mbadala wa aina ya upigaji wake)
Marc,nyimbo nyengine nimeziandika majina ambayo si sahihi.Sasa inawezekana kabisa nikawa nnao lakini si katika jina hilo.Tafadhali andika mashairi yake muhimu ki ufupi japo si kwa usahihi ili uusaidie kuutingisha ubongo wangu mpevu!
Yupo wapi Marijani?? yy alijaribu hata kuimba rufaa ya kifo yupo wapi sasa?? Remmy yupo wapi?? aliimba siku yangu ya kufa, na kwanini waliokufa hawarudi?? yupo wapi TX MOSHI?? Aliimba wanaume tumeumbwa mateso tu' yupo wapi sasa?? Dudumizi, Muhidini Ngurumo yupo wapi?? na mashujaa wote wa urafiki jazz band hakika udongo umebeba wengi wenye sifa nyingi'''
Duniani, yapo mengi ambayo, uyatapa na kila mtu, ayaonapo, akakusifu eeeh. Hata uwe na heshima, inayomshinda, hata mfalme, aliyetajiri duniani na nguvu nyingi za dolla, dolla eeeh. Kujemga majumba ya fahari na magari ya kisasa bila ya mke nyumbani, ni bure tuuu. Heshim ya mwanamme ni kuona na mwanamke kuolewaaa aaah, bila hivyoooo oh, utapotezaaa aah, thamani yakoooo. Utakuwa kama kichaa anayetembea barabarani bila ya nguooo
Naomba tuaminiane, nimeutafuta bila mafanikio. Pia Kapu la Mjanja ile original version(ya Eddie Sheggy mwenyewe, siyo ile copy), nimeikosa. Sijui nani anayo. Eddie huna hizo?
Hakika kaka, dunia imepita watu, dah, mungu awarehemu, unaweza kutokwa na machozi, inasiktisha,
Mtunzi wa huu wimbo ni Jumbe Batamwanya mkali asiyeongelewa sana
Shabaani Dede alikuwa na Kipaji cha Hali ya juu” hapo Anaimba na mabingwa wa Muziki kina Jerry Nashon na Athumani Momba lakini bado ameng’aa duh” Rest In Peace wote hao
Kweli kabisa,
Kama ambavyo alitambaa kwenye kile kibao cha iko siku Italian cha Bima,
Na kile cna Nelson Mandela akiwa na DDC.
Hatari sana.
Eddie Unatisha hapa Dede akiwaongoza kina Momba na Dudumizi RIP. Unasikia base la Mwanyiro hapo solo Mulenga hiyo Magneto tingisha 84. dah siku hazigandi
Daaah Super Motisha Dede enzi za uhai wake
A.K.A Kamchape.... Dede alikuwa na kipaji Cha kipekee kwa kweli, R.I.P Super Motisha...
Huu wimbo unaitwa "Linalonisibu Moyo."
Ahsante kaka
Kweli kabisa Linalonisibu moyo
Hii nyimbo nayo ilikuwa dongo kwa aikinde ama ? Naendelea kujifunza wazee wangu
Baba chezea kila kitu sio udongo - udongo huu umehifadhi vitu vingi vya thamani , ikiwamo binadamu wenye wasifu mnene, yuko wapi dudumizi yuko wapi Momba, yuko wapi Mulenga (gita lake ni kavu na lenye kusikika kila nyuzi), bado sijampata mbadala wa aina ya upigaji wake)
Kweli kabisa ndugu Anthony.Udongo umetufilisi kabisa.
Eddie Nassor Sasa Eddie, kwenye hazina yako ya classics hizi za zamani je huna ule wimbo wa OSS duku-duku unaoitwa 'Ufanye Nini Dunia Hii?'
Marc,nyimbo nyengine nimeziandika majina ambayo si sahihi.Sasa inawezekana kabisa nikawa nnao lakini si katika jina hilo.Tafadhali andika mashairi yake muhimu ki ufupi japo si kwa usahihi ili uusaidie kuutingisha ubongo wangu mpevu!
Yupo wapi Marijani?? yy alijaribu hata kuimba rufaa ya kifo yupo wapi sasa?? Remmy yupo wapi?? aliimba siku yangu ya kufa, na kwanini waliokufa hawarudi?? yupo wapi TX MOSHI?? Aliimba wanaume tumeumbwa mateso tu' yupo wapi sasa?? Dudumizi, Muhidini Ngurumo yupo wapi?? na mashujaa wote wa urafiki jazz band hakika udongo umebeba wengi wenye sifa nyingi'''
@@obillaezra7617 Yupo wapi mwalami said, yupo wapi mabela said, yupo wapi mwanyiro, yupo wapi Abel batazal, yupo wapi. mbaraka, yupo wapi Gurumo mbwembwe Adam bakari, Hemed maneti
Naile ya Katie zege mbinguni tupia Eddie
Jina la wimbo huo ni LINALONISIBU MOYO
techmax solutions eebwana aweke na Motimo ya Juwat
kazi nzuri sana na wana bima lee
Safi
Haya dede ahsante
EDDY NYIMBO ZA MK BEAT AUNA?
KUNA WIMBO MMOJA WA VIJANA JAZZ ILA SIJAJUA UNAITWAJE ILA KUNA KIPANDE KINAIMBWA SIFA YA MKE KUWA NA MUME ATAUWE NA MAGARI HUKO MBELE NIMESAAU KIDOGO
Duniani, yapo mengi ambayo, uyatapa na kila mtu, ayaonapo, akakusifu eeeh. Hata uwe na heshima, inayomshinda, hata mfalme, aliyetajiri duniani na nguvu nyingi za dolla, dolla eeeh. Kujemga majumba ya fahari na magari ya kisasa bila ya mke nyumbani, ni bure tuuu. Heshim ya mwanamme ni kuona na mwanamke kuolewaaa aaah, bila hivyoooo oh, utapotezaaa aah, thamani yakoooo. Utakuwa kama kichaa anayetembea barabarani bila ya nguooo
@@shijarichardshija8458 wimbo unaitwaje
Heshima ya ndoa
Kaka umeenda kwenye channel yangu kweli? Jana na juzi nimeweka zaidi ya tano!
Eddie Nassor Naomba Msondo namba tano,Kaka wa Biashara jazz na Tausi wa Urafiki jazz band tafadhali.
Eddie Nassor ndugu weka na Motimo Ya Juwata
Daah! Dede hakika alikuwa anaimba kwa hisia Kali, Mungu ampe pumziko la Amani.
Kaka Edie kuna kikundi cha taarabu kilitamba sana mandela na nyimbo za shoga si shoga tupiamo tujidai
Naomba tuaminiane, nimeutafuta bila mafanikio.
Pia Kapu la Mjanja ile original version(ya Eddie Sheggy mwenyewe, siyo ile copy), nimeikosa. Sijui nani anayo. Eddie huna hizo?
Eddie tupiamo nyimbo za dede akiwa na msondo ktk mtindo "msondo afya"