Hawa watu walikuwa na akili kubwa sana kwenye muziki wa TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nashangaa wizara husika haitumii platform zao kuuenzi muziki wa viwango vikubwa sana kama huu.Shida kubwa idara husika zinaongozwa na watu wasiokuwa na uwezo.BIMA LEE ORCHESTRA MAGNET TINGISHA itabakia kuwa moja ya bendi bora kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿,DEDE,MOMBA, DUDUMIZI,KASHEBANAKO,MWANYILO,MULENGA na wengineo daaaaah aiseeee walikuwa ni moto wa kuotea mbali.
Unanikumbusha mbali sana enzi hizo Muleba bar ndani ya Mabibo bila kusahau Mbwisi bar ndani ya Manzese Argentina opposite na Friends Corner hoteli miaka hiyo
Kama naiona squad nzima ya BIMA Lee wakikiwasha Omax Bar Keko Machungwa 1984 wakiongozwa na Joseph Batholomeo Mulenga kwenye Solo, rythim Abdallah Gama, bass Suleiman Mwanyiro, waimbaji Shabaan Dede, Athuman Momba, Jerry Nashon Dudumizi na Roy Bashekanako. Jamani kweli dunia haipigi reverse kama gari... Raha kama hizi uzipate wapi, imebaki simulizi
Nakumbuka 1992 nikisoma Chang'ombe ufundi Wakati napita Kariakoo nikienda chuo akaja jamaa na raba kali akanishawishi ninunue kwa bei poa, nikampa hela tukaachana. Nikasogea mbele kidogo nikaona nifungue raba zangu mpya nivae, Cha ajabu ndani ya box kulikua na magunzi ya mahindi, nikawa nimevurugwa, chuo tena sikwenda, nikapanda chai maharage kurudi nyumbani. Ndani ya ile chai maharage pakawa panapigwa huu wimbo. Siwezi kusahau.
Sauti zimeshiba wa kwanza kuimba ni Marehemu Shabani Dede Kamchape "Super Motisha", akufuata Marehemu Jerry "Dudumizi" Nashon na amemalizia Marehemu Othumani Momba "Sauti ya Chuma".
Hawa watu walikuwa na akili kubwa sana kwenye muziki wa TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nashangaa wizara husika haitumii platform zao kuuenzi muziki wa viwango vikubwa sana kama huu.Shida kubwa idara husika zinaongozwa na watu wasiokuwa na uwezo.BIMA LEE ORCHESTRA MAGNET TINGISHA itabakia kuwa moja ya bendi bora kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿,DEDE,MOMBA, DUDUMIZI,KASHEBANAKO,MWANYILO,MULENGA na wengineo daaaaah aiseeee walikuwa ni moto wa kuotea mbali.
Ni kweli kabisa
Nawakumbuka hawa jamaa nilifanya nao kazi chini ya bosi wetu harun mgude
Ni kumbukumbu nzuri sana, usikose kuendelea kutazama channel yetu
Unanikumbusha mbali sana enzi hizo Muleba bar ndani ya Mabibo bila kusahau Mbwisi bar ndani ya Manzese Argentina opposite na Friends Corner hoteli miaka hiyo
Ndugu yetu Hamisi Jaffari, miaka inakimbia sana, burudani hiyo itabaki kama kumbukumbu kwetu sisi tulioshuhudia.
Nakumbuka mwaka 1993 nikiwa stendi ya kisutu nikapigwa roba ya Mbao ndo nimetoka Arusha wakachukua kila kitu nika lala kituo Cha polisi
Pole sana, hiyo ni kumbukumbu tosho ya maisha yako
Kama naiona squad nzima ya BIMA Lee wakikiwasha Omax Bar Keko Machungwa 1984 wakiongozwa na Joseph Batholomeo Mulenga kwenye Solo, rythim Abdallah Gama, bass Suleiman Mwanyiro, waimbaji Shabaan Dede, Athuman Momba, Jerry Nashon Dudumizi na Roy Bashekanako. Jamani kweli dunia haipigi reverse kama gari... Raha kama hizi uzipate wapi, imebaki simulizi
Ni kweli kabisa itabaki kuwa kumbukumbu kwa kizazi kijacho.
Ndugu yangu nina swali..... Nijibu kama upo online hapa
Nimesahau mmoja jafari omange
Nyimbo hizi tunakumbusha mbali sana, zinatukumbusha tulivyokuwa na marafiki zetu miaka hiyo
Jery nashon dudumizi, sauti special
Ni kweli kabisa sauti ya Jerry Nashon ilikuwa Special, alishirikiana kuimba na Shaban Dede....
Usiniache pekee Neema, Nitasema na nani'eeh Mama, Usifuate wayasemayo wafitini, hao wapo mbelembele kuharibu Mapenzi yetu' mimi na wee!
Neema ilikuwa moto sana.
Nakumbuka 1992 nikisoma Chang'ombe ufundi
Wakati napita Kariakoo nikienda chuo akaja jamaa na raba kali akanishawishi ninunue kwa bei poa, nikampa hela tukaachana. Nikasogea mbele kidogo nikaona nifungue raba zangu mpya nivae, Cha ajabu ndani ya box kulikua na magunzi ya mahindi, nikawa nimevurugwa, chuo tena sikwenda, nikapanda chai maharage kurudi nyumbani. Ndani ya ile chai maharage pakawa panapigwa huu wimbo. Siwezi kusahau.
Pole sana kwa mkasa uliokupata. Nikumbukumbu tosha kwenye maisha yako
Pole sana ndugu
😂😂zamani Raha sana walikuwa mabibo chabruma inn
Ni kweli kabisa enzi hizo haziwezi kurudi tena.
Nyimbo hii inanikumbusha mbali sana wakati nipo shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko Ilala miaka ya 80s
Umekumbuka nini?
@@bantutanzania9449 Nimekumbuka marafiki zangu wa utotoni, ndugu zangu na maisha ya zamani kwa ujumla. Maisha yalikuwa tofauti sana na sasa
Sauti zimeshiba wa kwanza kuimba ni Marehemu Shabani Dede Kamchape "Super Motisha", akufuata Marehemu Jerry "Dudumizi" Nashon na amemalizia Marehemu Othumani Momba "Sauti ya Chuma".
Walikuwa wanamuziki wa ukweli sio kama wa sasa.
duuu umesasambua vzuri
Zamani wanamuziki walikuwa wakijituma sio sasa
Watu walikua makini hao mungu pumzisha roho zao 🙏
Magnet tingisha dah ,Muleba bar mabibo aisee hatari sana
Ni kweli kabisa mambo yalikuwa moto wakati huo... Hayawezi kurudi tena itabaki kumbukumbu.
Nakumbuka zamani wazee wenzangu
Unakumbuka nini?
Yupo pia Ramadhani mwinyikonda
Tukipata taarifa tutakufahamisha
🎉
Usisahau kuangalia channel mara kwa mara.
Watu wanajua kuimba na kupanga sauti
Ni kweli kabisa
Kati nyimbo bora zilitendewa haki na safu ya uimbaji za BIMA lee
Nikweli kabisa
Magnet tingisha 84 mabibo Moja
Ilitingisha kweli kipindi hicho. Ya kale ni dhahabu.
Ukumbi chabruma hapo mabibo
Kipindi hicho muziki wa dansi ulikuwa na thamani kubwa sana.
Nimesahau mmoja jafari omange
Nyimbo hizi tunakumbusha mbali sana, zinatukumbusha tulivyokuwa na marafiki zetu miaka hiyo